Mkwere ni mchekeshaji na muigizaji aliedumu kwa karibu miongo mitatu kwenye sanaa ,hakika ni moja ya alama ya wachekeshaji nchini,tumemualika kwenye meza ya The Classic na hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano haya
Пікірлер: 10
@wilbertjosephat161521 күн бұрын
Kwakifupi MIZENGWE nikama ISIDINGO aishagi 😂😂
@patrickmwakasungu712122 күн бұрын
💪
@truppdizz733017 күн бұрын
skuiz et kibonge toz daah 😂😂😂😂😂
@rodrickmataba899922 күн бұрын
Kuvichaka Suti Kali... Tuweke tai... Jongwe misuti akija na yeye tunakamilisha