THE CLASSIC MR NICE PT 1 : NILISHIKA HELA KABLA YA WATOTO/NLITAKA HELA SIO SIFA/ZAID MIAKA27 YA GAME

  Рет қаралды 36,446

KuviFacts

KuviFacts

6 ай бұрын

Mr Nice ni jina lililotikisa anga za muziki katika ukanda wa Afrika ya Mashariki na kati ,ni msanii ambaye sifa zake na mapato yake yameweka rekodi hadi sasa katika historia ya Bongo fleva licha ya muziki wake kuzngukwa na migogoro ya hapa na pale wakati huu,hii ni sehemu ya kwanza ya mazungumzo yetu ndani ya The Classic akiwa na Jabir Saleh

Пікірлер: 81
@mosse1466
@mosse1466 6 ай бұрын
16:23 asante kwa kunipa maua yangu Mr. Nice.
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 6 ай бұрын
Nmefurahi sana kumskia nice akisema hata mtoto wa darasa la pili awe anaweza akaskia na akaelewa, kipindi Cha kikulacho ndio nilikuwa darasa la pili na nyimbo ya kikulacho ilikuwa favourite yangu, Kila ikipigwa kwenye redio mamangu, mashangazi zangu na wajomba zangu lazima waniite ata nikiwa mbali nacheza na watoto wenzangu, "Njooo nyimbo yako inachezwa huku" mi ndio nanyanyuka mbio kuisikiliza Kwa furaha sana. Inanikumbusha mbali kiasi, enzi izo nikiwa darasa la pili sai nishapiga Diploma yangu nataka kuenda degree, Mr Nice Salute....
@barakaekuro
@barakaekuro 6 ай бұрын
😂😂😂 Unacha hadi kucheza 🙌🏼
@michaeljeremiah5364
@michaeljeremiah5364 5 ай бұрын
Kwa sasa akuna kipindi Bora Cha weekend kama hiki Cha the classic.... congratulations kuvi chaka !!!...salute kwa efm Kwa kukupa platform hii jizzo blessings kwakee🏁🏁🏁🏁🙏💪
@tidesmwakinyuke8633
@tidesmwakinyuke8633 6 ай бұрын
Kwa kweli nyimbo za Mr. Nice zilikiwa zinaweza aikilizwa na watu wote nikimaanisha ht watoto pasipo kupotosha watoto. Congrat's Mr. Nice
@kelvinkebby6843
@kelvinkebby6843 5 ай бұрын
natamani Mr nice hafanye remix Ile nyimbo ya mama na harmonize itakaa poa Sana
@ndesafanamfala5800
@ndesafanamfala5800 6 ай бұрын
1994 tukiwa Kisangiro Moshi Marangu Kilema wakati Mwanamzi Ghato kutoka Congo anatamba na Ngoma yake ya Azalaki awa Mr Nice ntamwita hivyo Sema Kuna jina lake la skonga huyu Ndugu akiwa na zile Double deck Panasonic radio alikuwa anapiga show zakwenda Mgombani Babu kubwa ukatoboa kweli Sema Kipaji chako Cha uchoraji Mzee mwenyewe Nakupa salute zako ubora wa Obi na Linda...yum yum king Man hapa East London
@nandomosha1115
@nandomosha1115 6 ай бұрын
Kwetu kbs hapa!
@bestman8182
@bestman8182 4 ай бұрын
Ghato kaokoka siku hizi hatak muzik wadunia😅
@bestman8182
@bestman8182 4 ай бұрын
1. Azalaki awa pembeni na ngai....alikuwa hapa..she used to be here with me 2. Esika Akei ....ameenda mbali 3. Moto oyo nalingi akomi mosika...mtu niliyempenda sasa yupo mbali nami 4. Nalela na nani, nasala po nini, nakende ko wapi..nitalia na nani, nifanye nini, niende wapi mimi 5. Sherry akei na ye, alobaki na nga kozonga...mpenz wangu kaniacha, aliniambia angerudi 6. Nakati ya ndoto asingi nga loboko, nafungula miso natala pembeni namoni moto te...naota nipo naye amenishika mkono nikifungua macho sioni mtu 7. Lelo natimi baye baloba maladi ya bolingo eza na kisi te!..leo nimeamini waliosema maradhi ya mapenzi hayana tiba😅😅
@furahakanzao
@furahakanzao 3 ай бұрын
N memiss nyimbo zake jamani mr nice❤🎉
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 6 ай бұрын
Jamaa Angekuwa Ni Mzungu Now Tungekuwa Tunasikiliza Interview Ya Billionaire #RespectLegend✌
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Hamna wazungu walofilisika ?
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 6 ай бұрын
@@fahadfaraj6474 naa ww hiyo neno kufilisika umelitolea wapi ...!!? mbn m sikutaja hilo neno
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 6 ай бұрын
Ilitangazwa wapi amefikisika au alijitangaza mwenyewe
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 6 ай бұрын
@@edwardpeter8569 ni nani amesema amefilisika
@gracewairimu800
@gracewairimu800 6 ай бұрын
Mpunguze back ground music mnatesa maskio yetu
@nmasare9364
@nmasare9364 6 ай бұрын
Kiukwel Mr nice ni msanii ambae kwanza ni mkweli kutoka namfaham pili ni mtu asiyefeki maisha na kbsa ni mtu mwenye kipaji kile Cha asili shida ya watu wanapenda mpaka ufe ndo wakusifie huyu jamaa anastahili sifa za taifa
@burihabwaramadhan6162
@burihabwaramadhan6162 5 ай бұрын
♥️🫂♥️💐💐💐🌹💐🌹💐
@user-ti7nf4jc8g
@user-ti7nf4jc8g 3 ай бұрын
Kiwengwa Beach napajua vizuri sana
@mikatejunior1362
@mikatejunior1362 6 ай бұрын
Friday night naipenda Sana iyo nyimbo
@jonathan3325
@jonathan3325 5 ай бұрын
Mr nice from no where amepasua East africa.
@dikamboy9513
@dikamboy9513 6 ай бұрын
nafurahi sana mrnice kukusikiatena
@user-mh9qg1bo2y
@user-mh9qg1bo2y 6 ай бұрын
Brother yani we travel in the time through kipindi hikii ..keep going and God bless you for keeping legends alive...big up sana ..love from Rwanda..
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
One love
@user-wt7vf4uf3x
@user-wt7vf4uf3x 6 ай бұрын
Mziki wako umetukuza brothr, mziki wa kiungwana sana. uliimba bila kutia tusi mr nice unastahili kupongezwa sana.
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 6 ай бұрын
Hakika
@Summerbtz
@Summerbtz 6 ай бұрын
Interview nzuri sana,natamani sana siku moja na Mimi NIFANYE interview hapo EFM
@IsacRobath
@IsacRobath 5 ай бұрын
Nimeaza kuimba kisa Mr Nice toka 2003🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-qh9cy9lu4h
@user-qh9cy9lu4h 6 ай бұрын
Heshima kubwa kwako baba nimesikia nyimbo zako nikiwa bado mdogo zilifundisha naziliburudisha ninamengi yakukusifu wakat bado ukiwa hai ila ingekuwa kwa wenzetu ungejengewa sanamu
@BrokiMaform
@BrokiMaform 5 ай бұрын
Naikubali kutoka Kenya...siku moja tu nitakuwa guest hapo kwa #Theclassic
@middytwalib3936
@middytwalib3936 5 ай бұрын
Allah akutangulie br kuvi chaka
@bekacarter5348
@bekacarter5348 6 ай бұрын
Kaka fanya siku tumpate Glover Guru uyu mtu ana'madini sana ya huu mziki wetu
@DRON3Y__
@DRON3Y__ 6 ай бұрын
GURU ASEE AJEE APAAA✅🤝
@user-jn7tr5oi3o
@user-jn7tr5oi3o 5 ай бұрын
Legend
@rahimchardluck
@rahimchardluck 6 ай бұрын
TAKEU - TANZANIA , KENYA , UGANDA STYLE.Aloo ndio leo nmeelewa maana yake
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 6 ай бұрын
Duu basi we mdogo sana
@richardsolomon1268
@richardsolomon1268 6 ай бұрын
@@fahadfaraj6474 the style itself was copied from a legend from South Africa, I don't know if she's still live up to date her name was Ntombi Marhumbini, her music videos are on KZbin.
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 6 ай бұрын
😂😂 aloooh sema wengi hawajui​@@fahadfaraj6474
@josephkiwale374
@josephkiwale374 6 ай бұрын
​@@richardsolomon1268offcourse the phrase" Sasa ndo nimeelewa Sasa"left me in awe,how come those years back until now you have no idea what TAKEU style real means,,I bet you are not Tanzanian or if you are, you live in diaspora
@mvungigaming
@mvungigaming 6 ай бұрын
Nice mkenda kikulacho
@DDammySerious
@DDammySerious 4 ай бұрын
Brother Mr Nice
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 5 ай бұрын
Mshukuru sana Jonas Mkenda !
@siegfrieddavid6816
@siegfrieddavid6816 6 ай бұрын
Sijua huyu brother ni very humble kiasi hiki
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 6 ай бұрын
Nakumbuk 2005/2006 alikuj nangwanda stadium alichelewa akaingia saa11 kwenda saa12 alipigwa mawe sisahau
@godkigoda9620
@godkigoda9620 6 ай бұрын
nakubali sana kuv chaka
@DRON3Y__
@DRON3Y__ 6 ай бұрын
Friday night ni ya 1997😂…. Yani mimi ndo nyimbo yangu pendwa kutoka kwa MR Nice ni ya 97 … mmmh hadi sisi tunakua 2003/2004 ilikua bado kene chat kweli LEJENDI .. UPEWE MAUA MR NICE
@abednego229
@abednego229 4 ай бұрын
leo ndio nimejua the meaning of TAKEU style ,TANZANIA, KENYA AND UGANDA
@salumuseif3324
@salumuseif3324 6 ай бұрын
shoo Bora ya mwaka huu
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 ай бұрын
Legend🔥🔥🔥🔥
@dicksonabdon656
@dicksonabdon656 6 ай бұрын
safi sana mkuu nimemuona Mr Nice nimefurahi
@mbishiwatown7929
@mbishiwatown7929 6 ай бұрын
Namkubar Sana huyo mwamba
@dikamboy9513
@dikamboy9513 6 ай бұрын
mrnice nakubali sana
@samrankingfire5009
@samrankingfire5009 6 ай бұрын
Masanja anarudi lini mzee
@strong8534
@strong8534 6 ай бұрын
Eti kuku wako walikuwa wakipanda baskeli???
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 6 ай бұрын
Interview mwishoni inakwama kwamaaa
@bakarimahenge
@bakarimahenge 6 ай бұрын
napenda sana nyimbo zako ila ya mbona umeniacha mama kilasiku naiskia ila nyimbo yangu bola kinani nani nakuita ujeuwewangu naipenda hadi leo hasa ile biti
@user-kz8eq3vi6y
@user-kz8eq3vi6y 6 ай бұрын
Mr nais kiboko alichangia wa mama wakichaga kila siku kwenye sherehe kupigana ikipigwa Ile nyimbo yake ya kikulacho
@bullychandy6509
@bullychandy6509 6 ай бұрын
Jamaa sauti yake iko poa sana
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 6 ай бұрын
Mr Nice alikua mkubwa kabisa huo wakati alikua mwamba
@johnmtega-wm4xt
@johnmtega-wm4xt 5 ай бұрын
Mr nice
@user-gi1pk5hq1s
@user-gi1pk5hq1s 6 ай бұрын
Anapenda kuongea Sana anaalibu
@jiwefurniture1128
@jiwefurniture1128 6 ай бұрын
Picha kali...
@kagirasta1476
@kagirasta1476 6 ай бұрын
Namkubali sana Nice mkenda, nlkua nadhan friday night ya 2000 kumbe 1997
@DRON3Y__
@DRON3Y__ 6 ай бұрын
Naikubali saaana 🤝
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 6 ай бұрын
Jamaha ana miyaka 74
@bestman8182
@bestman8182 6 ай бұрын
Ila kuna vionjo vya kikenya kwenye lafudhi yake...why?
@guluramadhani1799
@guluramadhani1799 6 ай бұрын
🙌💥💥💥🙌
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
🙌🏾
@stevewanga957
@stevewanga957 6 ай бұрын
Jamaa bado hazeeki kabisa 😂
@BABAGIFTBOY
@BABAGIFTBOY 5 ай бұрын
Kuku kapanda beskeli
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 6 ай бұрын
Nyota yako ipo ila umeamua mwenyewe kuiacha ife hvohvyo. Hujaibiwa nyota
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 6 ай бұрын
Mr nice dudu baya alikipigia nini ivi
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 ай бұрын
Mr nice alikua mchokozi
@bakarimahenge
@bakarimahenge 6 ай бұрын
ila jamaa kikenya kimemkaa
@user-gc7ms1pv4q
@user-gc7ms1pv4q 6 ай бұрын
Mwamba kabisa huyo mtu hatari mr nice
@ElchapoGG
@ElchapoGG 6 ай бұрын
Poor sound ina scratch sana!! Work on that
@JaymbwanziOg
@JaymbwanziOg 6 ай бұрын
Jmn kofia ya kibonge tozz c ndyo ile ya diamond plutnumz iliyo poteaga et wadau au hajaliona hro
@Deussiyussuphu-jc8wi
@Deussiyussuphu-jc8wi 6 ай бұрын
Yenyewe iyo
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
Hahah zinafanana mkuu
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 4 ай бұрын
Si unajua Nice na diamond ni wako sayari 1 SEMA generation tofauti. Mr Nice ni diamond wa zama zile
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 738 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 59 М.
EXCLUSIVE: "HATA NIKIFA LEO SINA CHA KUJUTIA" - MR NICE
11:00
Millard Ayo
Рет қаралды 306 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 738 М.