No video

THE CLASSIC SHARAMA WA UKOO FLANI :MUZIKI ULITUTOA KWENYE UHUNI/HISTORIA YA RAP KENYA/STREET HUSSLA

  Рет қаралды 3,112

KuviFacts

KuviFacts

Күн бұрын

Sharama ni rapper mkongwe aliekuya sehemu ya kundi kubwa la Hiphop nchini Kenya la Ukoo Flani na baadae kuwa sehemu ya Ukoo Flani Mau Mau,pia alikua ni sehmu ya kundi la watu wawili la Sharama na Cannibal ambao walifanya poa sana na kazi zao kama Kichwa kibovu na Street Hustler,alipita kwenye The Classic ya Efm na kuongea na Jabir Kuvichaka kuhusu masuala mbali mbali ikwemo historia ya Rap nchini Kenya
#bongoflava #gengeton #kenya #ukooflani #kalamashaka

Пікірлер: 35
@nickmugesh6986
@nickmugesh6986 3 ай бұрын
Hii upuzi ndio kazi. Big up sharamaa..
@rasgeorges9459
@rasgeorges9459 9 ай бұрын
Big up sana Sharamaa...well represented Mombasa.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 11 ай бұрын
Interview kali muwe mnaachia na upande vya hizo ngoma
@KuviFacts
@KuviFacts 11 ай бұрын
pole ndugu hizi nyimbo zina haki miliki ndo mana hatuziachii hapa
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 11 ай бұрын
@@KuviFacts Ok
@bakarabbaskhamis2645
@bakarabbaskhamis2645 2 ай бұрын
Kweli jabir mna Kata kata sana mziki mna rusha japo dkk 3 ya track bro!!
@victorosong132
@victorosong132 9 ай бұрын
Ndani Ya Pwani ilikuwa ngoma noma sana.
@sylvesterpeter1272
@sylvesterpeter1272 10 ай бұрын
sharama ni story teller mzuri sana
@mkazy6550
@mkazy6550 5 ай бұрын
Huu.upuzi..ndio.Kazi,""SHARAMA Mupaye
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
"Mashabiki ni Real Ukoo Flani kuliko Ukoo Flani wenyewe.." Ukoo Flani for Life🇰🇪
@mkazy6550
@mkazy6550 5 ай бұрын
Very Interesting
@dottolambert-wf4rq
@dottolambert-wf4rq 8 ай бұрын
Shalama bonge ya rapper
@ahmedahmed1533
@ahmedahmed1533 7 ай бұрын
Kuvifacts we need Redsan kwa show yako
@khamisramadhan5133
@khamisramadhan5133 11 ай бұрын
Ndio 🎉 maua yako salute kuvi facts
@KuviFacts
@KuviFacts 11 ай бұрын
pamoja sana
@sajo_lkm2781
@sajo_lkm2781 11 ай бұрын
Big up Jabri, kipindi chako ni classic for sure ❤🔥
@KuviFacts
@KuviFacts 11 ай бұрын
salute sana
@jayfourmusic462
@jayfourmusic462 5 ай бұрын
Magongo city
@samwelmasssawe1767
@samwelmasssawe1767 11 ай бұрын
Pindi Bora sana kwangu namba Uno.. Oii Stay blessed Kuvi Facts
@KuviFacts
@KuviFacts 11 ай бұрын
pamoja sana
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 11 ай бұрын
Nimeipenda hio story ya jamaaa.
@salimkibwana4189
@salimkibwana4189 11 ай бұрын
Sure homeboy utakualisha safi
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 8 ай бұрын
#StraightAutoBarisheba #streetWakali #kichaja
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 11 ай бұрын
Kubwa hii..love from mombasa 🇰🇪
@KuviFacts
@KuviFacts 11 ай бұрын
pamoja sana,salaam Mombasa huko
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 11 ай бұрын
Tuko locked brother..blessings kwa kila mtayarishaji that made this interview happen,wakaribishe wote ukipata nafasi e.g vigetti k south cannibal chizen ambrose Juacali bobby mapesa nonini nazizi
@samirmswahili
@samirmswahili 11 ай бұрын
Kuvichaka 🐐
@evancekinabo2595
@evancekinabo2595 11 ай бұрын
Pale Pakistan Kuna rapper Atari sana mc Abdul
@victorosong132
@victorosong132 9 ай бұрын
Nampata sana huyo dogo Alipita na beat ya Eminem.
@danielmihanjo5472
@danielmihanjo5472 11 ай бұрын
sharama anaonekana akili mingi sana the way anavyoongea
@meyou-zz8mj
@meyou-zz8mj 10 ай бұрын
Alafu tafuta kitabu chake online keefe D ameandika yule Vlad tv ndio kamponza aliaanza ujinga alivyomjibu Boose
@hashimshaqur9363
@hashimshaqur9363 9 ай бұрын
Fujo makelele alikuwa mtu na nusu😂😂 mwamba alikuwa mnoko balaa
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
Ndani ya kapuela😂 Energy hatari sana
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 11 ай бұрын
Asante ✊🏿👮🏿
@ahmedahmed1533
@ahmedahmed1533 7 ай бұрын
Kuvifacts we need Redsan kwa show yako
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН
Prison Warder meets former inmate on set after guarding him in Prison  - WE 287
28:41
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 325 М.
372. Eric Musyoka Shares On Working With Kalamashaka & Ukoo Flani - The Play House
13:02
CTA - Cleaning The Airwaves
Рет қаралды 4,1 М.
JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA  AFRIKA
18:32
Global TV Online
Рет қаралды 190 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН