JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA

  Рет қаралды 191,710

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 417
@kipkoechkosgei104
@kipkoechkosgei104 5 жыл бұрын
As I always say. Our problems start with us. The day we will accept we are the cause of all our problems is the day we will move forward. Ni kawaida ya watu wa zembe kulaumu wengine
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
kipkoech kosgei we already know the problem we just don't wanna change things we like how things are some Africans real like to be colonized as long as u can keep feeding her, him we good we got many leaders who believe in white so much and that's the big problem but things are starting to change now like Ethiopian airlines has sign a 6 year deal with Ghana also the africa free trade is going to start next month so the is still lil bit of hope
@kipkoechkosgei104
@kipkoechkosgei104 5 жыл бұрын
@@jp1780 I wonder why we have to blame whites for all of our problems. Even USA was once colonized. We Africans still think the reason we are behind is because of wazungu colonizing us
@kipkoechkosgei104
@kipkoechkosgei104 5 жыл бұрын
@@jp1780 I wonder why we have to blame whites for all of our problems. Even USA was once colonized. We Africans still think the reason we are behind is because of wazungu colonizing us
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
kipkoech kosgei we have to blame them they dont wanna let us be an who told u the usa did get colonized by who? Lol they colonized us for over 400 years that's a lot of yrs to be colonized bro an till to this day france still colonizing 14 African countries they make those 14 use their Franco currency an the funny thing is the france it self doesn't even use that Franco currency I mean it's just insane and embarrassing real! But it's time to fight back to get real freedom
@isackkiketelo3344
@isackkiketelo3344 5 жыл бұрын
ww mwenyew ni tatizo anza kujikubali ww mwenyewe, mfano mzuri lugha unayotumia kutoka nje.
@classicnaufal9100
@classicnaufal9100 5 жыл бұрын
Ikiwa unapenda kazi ya ananias like hapa
@salumally1322
@salumally1322 5 жыл бұрын
classic naufal 💪
@danieln.laurence1485
@danieln.laurence1485 5 жыл бұрын
This guy is super talented
@classicnaufal9100
@classicnaufal9100 5 жыл бұрын
Sure broo naniel N. laurence
@classicnaufal9100
@classicnaufal9100 5 жыл бұрын
@@danieln.laurence1485 sure broo
@daudisamwel6366
@daudisamwel6366 4 жыл бұрын
Good
@veelusa
@veelusa 5 жыл бұрын
Hii makala safi sana. Ichapishe tengeneza kitabu inahitaji marekebisho kidogo. Lakini imetulia sana hongera san
@swaumukiondo3217
@swaumukiondo3217 5 жыл бұрын
Hii kaz kwel yaaaan tunaitaji utulivu San kwa ujumbe huu asateh
@abdimaulid5569
@abdimaulid5569 5 жыл бұрын
Daaah mwanangu katika siku umenishawishi kuzidi kukuelewa ni hii story maana yake imegusa maisha ya bara la Africa god bless Africa kama tuko pamoja naomba likes zenu....
@ntakirutimanaabdulazizi7778
@ntakirutimanaabdulazizi7778 5 жыл бұрын
Asante sana bwanamkubwa Mpagaze .İla ingekua bora otoe video hii kwachini İtafsiriwe mkıngereza Pia nakifaransa ili mataifa Mengine waeze elimika pia haswa kwawale wasio skia na kuelewa kiswahili
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 5 жыл бұрын
Asante leo nimesikiya yenye nilikuwa ubongo wangu unahitaji chakula cha akili asante sana
@azizacleny8677
@azizacleny8677 5 жыл бұрын
sema kaka upo vzr wallah napenda kuskiliza vipindi vyako duuuh najikuta nainjoy ungekuwa mwalim mm ningefaulu historia wallah ILA HAKIKA WAAFRIKA TUSIPO JIELEW TUTAKUWA WATUMWA WAO MM NMEKATAA KUWA MTUMWA
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 жыл бұрын
Hongera sana umeongea point sana hii ndio Elimu inayotakiwa kwa jamii 👏👏👏 maana kweli hatujitambui na hatujithamini
@zahorsuleiman5679
@zahorsuleiman5679 5 жыл бұрын
h
@chidiomari.65
@chidiomari.65 5 жыл бұрын
Asante Kwa huduma yenu,Mungu awabariki Sana.
@deadcrush
@deadcrush 5 жыл бұрын
Kwa msimuliaji, Kazi yako unaipenda sana. Hasa sauti yako ni safi sana. Hongera. Binaadamu hakuwa nyani. Hakikisha unafanya utafiti na kuhariri jumbe zako kabla hujaliza la mgambo.
@daudintanga1521
@daudintanga1521 5 жыл бұрын
Unaweza sana nimemaliza historia karibu zote na najifunza mengi unaweza sana
@applestru_cape2219
@applestru_cape2219 5 жыл бұрын
Broo umetisha mpeni like yake.
@moviesseries9923
@moviesseries9923 5 жыл бұрын
Hakika anaongea points
@abdimaulid5569
@abdimaulid5569 5 жыл бұрын
Said lumuli jamaa sio poa huyu
@applestru_cape2219
@applestru_cape2219 5 жыл бұрын
@@abdimaulid5569 sana
@rihannarose1731
@rihannarose1731 5 жыл бұрын
Tunaomba nakala ziendelee na kwenye TV ndugu zetu nao wapate kusikiliza angalau wajuwe uhalisia wa mambo#kazi nzur
@mohammediallykaboza5862
@mohammediallykaboza5862 5 жыл бұрын
Aise edga mungu akulinde makala zako zinatisha sijui ututengenezee vitabu!
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Amina
@Cesar2000k
@Cesar2000k 5 жыл бұрын
point apo....tunanunua majembe ulaya wakati babu zetu ndio waliogundua chuma hahahah
@edsonmwaibanje129
@edsonmwaibanje129 5 жыл бұрын
Ahsante kwa simulizi hii, hakika wewe ni mwaafrika halisi na mzaleno wa kweli kaka, Hongera sana
@acleymangu9020
@acleymangu9020 5 жыл бұрын
Braza kunywa unachotaka alaf nitumie bili yako dah!! We jamaa n nomaa sana. Embu tuandikie kitabu kuhusu haya maisha aisee ila pia ukitengeneza CD itapendezaa sana ili hawa watoto wadogo waendelee kusikia haya labda wanaweza kutusaidia tubadilike! Duh!!
@ototek8037
@ototek8037 5 жыл бұрын
Bado sana kunamijitu imesoma na bado utaskia wazungu eti ni watetez wa haki za binadam..tuspoandamana au kufanya mikutano kila siku watatutenga...pumbavu
@robertmasatu4029
@robertmasatu4029 5 жыл бұрын
Iko vizuri iyo ndugu yangu Africa inahitaji miti shamba tofauti na ile ya wazungu
@mzunguonlinetv9181
@mzunguonlinetv9181 5 жыл бұрын
Nimesikiliza sana simulizi zako nikagundua .......unatumia muda mwingi sanaa kujiandaa kabala ya kuanza simulizi .......na pia nikagundua wewe ni moja ya watu wenye upeo mkubwa sanaa wa kufikiri kabla ya jambo na nikagundua kuwa watu kama wewe wanaitajika sanaa katika nchi zetu izi ..............namalizia tu kwa kusema wewe unajua unachokifanya yaani wewe ni kichwa unatumia akili yako vizuri sanaa ........napenda sana simulizi zako ANANIAS EDGER my brother from another mother ..................
@nissannicolas8397
@nissannicolas8397 4 жыл бұрын
Baba nakupenda sana Natena nakufwata 100% Unasemakweli adui wamu afrika ni mu afrika Hataserekali zetu zingekuwa zinaku fwata kungekuwa mabadiliko
@cascmvirile8687
@cascmvirile8687 5 жыл бұрын
Daaah Aseee broo fikira zako kama ZANGU daah MUNGU akuongoze Mzee mana ukisema kweli wanakuzima kama analogia kwenda digital
@nemohos4885
@nemohos4885 5 жыл бұрын
mungu? mbona mungu asaiidi watoto ambayo awana chakula wawe na chakula?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 жыл бұрын
Ata Mungu ni Mzungu mwenzao sisi tushaatupa Miungu yetu asili tukabeba dini zao
@brokenigga2842
@brokenigga2842 5 жыл бұрын
@@BigZhumbe we acha tu
@olivercloud5597
@olivercloud5597 5 жыл бұрын
Hongera sana kijana una mawazo mengi sana kijana. Umasikini wetu ume sababishwa na ubaguzi ambao tuko nao. Tu ache kwanza ubaguzi kati yetu sisi kwa sisi.
@benp7693
@benp7693 5 жыл бұрын
Very great message
@MauBonde
@MauBonde 2 ай бұрын
Point muhimu sana.kweli sisi tuliokua ulaya huku mipaka IPO lakin i tunapita tofauti na afrika tunavobaguana.
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 5 жыл бұрын
Gonga like...Kaka yangu kutoka mama mwingine......"Africa ina umri mkubwa lakini bado inavalishwa nepi"
@masungadutta3823
@masungadutta3823 5 жыл бұрын
Kaka Mungu akusimamie yani Mpaka Machozi yamenitoka. Inauma sana na ukweli siku zote hauburudishi Bali unaridhisha na huja na maumivu.
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
😃😃😃
@thetriplesofbethlehem6095
@thetriplesofbethlehem6095 4 жыл бұрын
Asantesana kwa mafundisho mazuri mwalimu✊🏿we are coming home soon
@rajabkafuta3385
@rajabkafuta3385 5 жыл бұрын
kazi njema kaka. ushauri mzuri, tupunguze ufinyu wa kimawazo na kifikra Afrika.
@venancemalima1181
@venancemalima1181 5 жыл бұрын
Hongera na asamte,hata viongoz bora wamapotokea Afrika tunawaita dikteta.Inapendeza kukusikiliza.
@kirujam628
@kirujam628 5 жыл бұрын
Asante kaka kwa video yako nzuri. Ninaunga mkono na mengi ulichoyasema. Lakini kuna jambo moja ambalo sijakubaliana nalo, na hiyo ni kulinganisha hali ya maendeleo ya Afrika na ya nchi kama Amerika, Malaysia, Singapore na kadhalika. Nchi ya Amerika haikufikia maendeleo kwa sababu ya ''maono'' ama ''founding fathers'', la! Amerika ni nchi iliyonyakuliwa kutoka kabila ya ''Red Indians'' naye ilijengwa kwa jasho na damu ya ndugu zetu, yaani ''Black Americans''. Bila huo unyakuzi na bila utumwa wa ndugu zetu, Amerika ingekuwa nchi ya kawaida au hata ya umaskini. Nchi kama Singapore na Malaysia hazina rasilimali kiasi cha kulinganishwa na zetu. Afrika kina mali nyingi chini ya ardhi yake na mali hii inavutia wakora mbalimbali kutoka kila pembe ya dunia. Wakora hawa, sana sana wakishirikiana na viongozi wetu bure, wanatupangia vita na kutuletea magonjwa. Tunaposhughulika na majangwa mbalimbali wao wanelendelea kutupora. Kwa hivyo shida kuu ya Afrika ni mali yetu nyingi!
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 5 жыл бұрын
Wewe Ni pumbavu ujuhi lolote ,kaha kimia funga bakuli lako ,ajakoseya ata kidogo ,nyama wa pori wewe
@ufc-ultimatefightingchampi8456
@ufc-ultimatefightingchampi8456 5 жыл бұрын
Africa Hamkeni....Great job bro.
@sagudanicasnicas2660
@sagudanicasnicas2660 5 жыл бұрын
Tukiona viongozi wanaopambana ili tujikomboe wenyewe tunawaponda eti wantutesa
@agathathobias8690
@agathathobias8690 5 жыл бұрын
Sagudanicas Kwel kbs tena et mashtak tunawapelekea wao watuamulie tunawaona wazungu wa maana sana
@agathathobias8690
@agathathobias8690 5 жыл бұрын
@@jp1780 Marufuku kukata tamaa usichoke
@agathathobias8690
@agathathobias8690 5 жыл бұрын
@UCqmzrUyTOODhZZny-yyYxWg Marufuku kukata tamaa usichoke
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
Agatha Thobias kweli bro but sometimes is just to much ulaya wa Africans tuna huwawa kama minyama ukija Africa ndohivo tena
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
Agatha Thobias ila nakwelewa bro
@haidarihondo4475
@haidarihondo4475 5 жыл бұрын
umetisha sana kk hongera
@is-hakaame
@is-hakaame 5 күн бұрын
Gaddafi alipotaka kuifanya Africa iwe ni NCHI yakujitegemea wenyewe Alipewa jina GAIDI Lakini sawa ACHA TUONE PANAPOVUJA ILI ILI TUTAFUTE NDOO TUKINGE MAJI ILA NDO ZIKIJAA NAHISI WAAFRIKA TUTAPATA AKILI YA KUVUNJA ILI TUJENGE UPYA
@allysamba1695
@allysamba1695 5 жыл бұрын
Nakku bali sana bulaz salute kwako na mngu hakufanyie wepes katka mmbo yko
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe huu....
@UlimwenguMilenga
@UlimwenguMilenga 5 жыл бұрын
Tunaomba Africa tuwe United, mganda akionekana Tanzania 🇹🇿 anafungwa. Sio maisha ayo wote ni waafrica.
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 5 жыл бұрын
Gonga cheers bro hata kama hutaki huo ndio ukweli "Unyenyekevu usio na maana ni sehemu ya ujinga pia", afrika tumejenga majeshi yenye nguvu, majeshi ya afrika yanatumika kulinda wapolaji, nguvu hii ingetumika kulinda raslimali za afrika ingekuwa baraka kwa waafrika, mfano ni raslimali zinazoibiwa Kongo, huku wakongo wakiuana na kula risasi, kweli ukiwa masikini halafu mjinga ni hatari kweli kama ilivyo Afrika.
@gloirejoseph9408
@gloirejoseph9408 5 жыл бұрын
mimi mkongomani ila nahishi south Africa nakukubali sana Bro kwa story zako ohh my Africa
@zesootv6726
@zesootv6726 5 жыл бұрын
kaka uko juu mungu akubariki
@imanivard1127
@imanivard1127 5 жыл бұрын
Umezungumza ukweli sana tena sana,tunawafanya wao miungu watu mpaka tunachukia asili yetu, Mambo yao ya ajabu sisi ndio tunaona ujanja
@thobiassmollel2608
@thobiassmollel2608 5 жыл бұрын
Brother hongera sn...sijajua Ni lini watu weusi tutastuka kuheshimiana, kujikubali na kujitambua...never
@prochesslyimo4863
@prochesslyimo4863 5 жыл бұрын
Heri wazazi waliokuzaa....Na ashukuriwe Mungu aliyewapa maarifa haya
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Amina sana
@abdulxavi8121
@abdulxavi8121 5 жыл бұрын
Safi sana gonga like
@rizikivincent9471
@rizikivincent9471 4 жыл бұрын
Mungu akubariki afrika tumetiwa akili finyo kujirudi kwenye usawa.wetu inakuwa shida na wanaoweza.kurekebisha ni viongozi wetu wa afrika nzima kuungana na kulifanyia kazi ili tatizo
@princejaytz6166
@princejaytz6166 5 жыл бұрын
Nakubali xana
@almacaugust9501
@almacaugust9501 5 жыл бұрын
Asante Sana'a
@nemohos4885
@nemohos4885 5 жыл бұрын
wazungu sio rafiki wetu. nakumbuka 2014 nikivyo rudi bongo niliona mademu na wazungu nikasema daa nchii yetu imeisha. watu wengine ni washamba wana fikiria wazungu ni mungu. mzungu hana roho nzuri.
@humphreykajigili6866
@humphreykajigili6866 5 жыл бұрын
Bro nakubali kinoma kaz ya kutoa ujinga kikubwa tufanyie kaz tunarudishwa nyuma na viongoz wetu pia
@ramadhanalfan6249
@ramadhanalfan6249 5 жыл бұрын
NDUGU YANGU UNACHO SEMA KWELI NAUNAONA MBALI SANA ASANTE SANA
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 5 жыл бұрын
Asante sana
@khalifadaudi622
@khalifadaudi622 3 жыл бұрын
Ningependa sana maneno haya kama yangewafikia wakubwa wa nchi hii
@petermahimbo9450
@petermahimbo9450 5 жыл бұрын
Safi sana kiongozi .bigbrain.
@moviesseries9923
@moviesseries9923 5 жыл бұрын
Unaongea points tupu Brother 🤗
@godfreymkanje5667
@godfreymkanje5667 5 жыл бұрын
"Babu zetu walifungwa minyororo shingoni..lakini sisi tumefungwa fikra hili ni kweli ...natamani tuamke tulipo lala ...TANZANIA ni nchi tajiri sana lakini rais akifanya maendeleo wengine wanampinga...sijui ni nini tumefichwa usoni petu ...tunampinga raisi kwa kuipa kipaumbele lugha ya kiswahili ila waswahili sisi bado tunampinga...MUNGU inusuru africa ..."
@juhudikihongosi3904
@juhudikihongosi3904 5 жыл бұрын
Tengeneza kitabu bro kitakuwa kinatufundisha Sana maana makala zako ziko vizuri sana
@msonocollo9551
@msonocollo9551 4 жыл бұрын
asante kwa kumbea mama africa ukweli asante mungu akuwe uzidi kutuelimisha sisi wana wa afrika
@ryobajohn7177
@ryobajohn7177 5 жыл бұрын
hongelen sana kazi nzuri sana
@erickmodest5488
@erickmodest5488 5 жыл бұрын
Du kaka uko sawa kabisa
@isayamichael
@isayamichael 5 жыл бұрын
Point kabisa BRO mungu awe nawew Et
@chumujr3961
@chumujr3961 5 жыл бұрын
Maarifa mazuri sana
@alfredmtui8602
@alfredmtui8602 5 жыл бұрын
damn bro upo vizur sana
@kelvinshaban2641
@kelvinshaban2641 5 жыл бұрын
keep it up ananias
@scopioncaptan551
@scopioncaptan551 5 жыл бұрын
Dah Inaskitisha sana
@japhetkazeri7135
@japhetkazeri7135 4 жыл бұрын
Kaka ubalikiwe sana na Mwenyezi Mungu.Wewe ni Mkombozi wetu
@petrochengula9480
@petrochengula9480 5 жыл бұрын
Inauma sana
@kulwamigo9127
@kulwamigo9127 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana ,lkn hivi hawa tunaoamini ni viongozi wetu wanajua haya!? Anyway hii inaonekana hili la waafrika ni agano la Mungu....maana kujua haya mambo hayahitaji akili kubwa. !
@sonson9282
@sonson9282 5 жыл бұрын
Shida sio viongozi shida ni sisi
@ayubunyiriza6124
@ayubunyiriza6124 5 жыл бұрын
😂😂😂 mda wote unafanya maandalizi ya kuondoka duniani
@mickyomary5215
@mickyomary5215 5 жыл бұрын
Unajuwa sana
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Wazee wa zaman hawakuish wao Ila walituandalia sisi...ila sisi tunaharib vyote...ili wanao kuja wapamban wenywe..fid q alisema wanataman kutuangusha chini wanatukuta tumelala chini..
@rashakishoka2798
@rashakishoka2798 5 жыл бұрын
Nakubali sana kakaa
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 5 жыл бұрын
Duuh kaka nimekuewa vizuri sanaa wazugumza ukweli mtupu kabisaa
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Naomba nishaur fungua group whtsap kisha liite harakat kwa MTU mweusi..tufunguan harakt nimuhim ili historian ibadirik tena uafrica ulindwe na kila mmoja
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 5 жыл бұрын
Naskia hasiraaaaaah vibaya mnooo Mung ameibariki Africa nawatu wake
@hermanstephenntabahungu5310
@hermanstephenntabahungu5310 5 жыл бұрын
Kama ingekua inaruhusiwa kuilike hii video hata mara trillion ningefanya hivyo,,,,bigup boss kwa elimu makini na ya kizalendo
@Amarimartins254
@Amarimartins254 5 жыл бұрын
mie natoka Kenya na nimependa maneno unayoyatamka. umeongea ukweli na ninakubaliana nawe
@jamalnaeem9569
@jamalnaeem9569 5 жыл бұрын
.
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 5 жыл бұрын
Huzuni kwa kweli,
@januarykayala2396
@januarykayala2396 4 жыл бұрын
Amazing nachukua mda mwingi kumfuatilia
@ntcltd5010
@ntcltd5010 5 жыл бұрын
true bro
@josephnyandadomenick7373
@josephnyandadomenick7373 5 жыл бұрын
nice stories
@rasihamsangi8084
@rasihamsangi8084 5 жыл бұрын
Mungu endelea kutufahamisha yaliyo ya kweli
@calhoun1750
@calhoun1750 5 жыл бұрын
I hope everyone watch this video so people can change 😭😭😭
@kennedymmbando
@kennedymmbando 5 жыл бұрын
Umeongea Kweli Waafrika tuamke .
@dickeyjoseph8229
@dickeyjoseph8229 5 жыл бұрын
Dah..so sad kwakweli...
@abdulkarimhamissi3755
@abdulkarimhamissi3755 5 жыл бұрын
Jana nimeona marekan imemuwekea vikwazo balozi wa Zambia tanzania nikashindwa kuelewa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Naipende kazi ya huyu jamaa sana .
@amani2555
@amani2555 5 жыл бұрын
Naipenda sana
@abdiqaniabdiqani3852
@abdiqaniabdiqani3852 5 жыл бұрын
I am loving it bro gudjob
@geraldpetro7895
@geraldpetro7895 2 жыл бұрын
Upo sawa kaka Bado hatujielewi utaifa unashinda tumebaki kuangalia mipaka wayaliyotugawa nayo. Israeli walikaa utumwani miaka 400 hata sisi Ipo siku tutajitambua tu.
@alphoncemtuluka3387
@alphoncemtuluka3387 5 жыл бұрын
Ongera sana muandaaji wa hii story yaani
@emmanuelndaka6881
@emmanuelndaka6881 4 жыл бұрын
Napenda sana kuskiliza stori zako
@jamalsalim2845
@jamalsalim2845 5 жыл бұрын
Mashaallah kkngu unajua uongea
@bensonkimaro8892
@bensonkimaro8892 5 жыл бұрын
Dah this is great na inasikitisha sana😥😥
@michaelmlewa2346
@michaelmlewa2346 4 жыл бұрын
God bless you kaka
@frankmwagara5025
@frankmwagara5025 3 жыл бұрын
Umoja wa mataifa haina kazi shida tupu nchi nyingi zina vita nawapa polen sana
@t33pelos77
@t33pelos77 5 жыл бұрын
kazi nzur bro
@quentinotieno7103
@quentinotieno7103 5 жыл бұрын
I salute u man. I wish Africans could learn from ur truth narations
@marykinuthia6067
@marykinuthia6067 4 жыл бұрын
I fully agree, nikweli. Uzuni kabisa.
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 жыл бұрын
wa china na wa Inde nao wanazaaga sana mradi kuwa wengi wa africa tuna kosa misimamo ndo kinacho turudisha nyuma
@heritier5119
@heritier5119 5 жыл бұрын
Africa ingekuwa mbali sana kiuchumi kama tusingedai Uhuru bandia
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
40:32
Global TV Online
Рет қаралды 2,2 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
Он улетел, но обещал вернуться...
00:30
ПРЕМИЯ ДАРВИНА
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 25 МЛН
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 949 М.
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 903 М.
OMAR  AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe
17:00
Global TV Online
Рет қаралды 646 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
GAMAL NASSER: Rais Aliyeamini MABAVU Kuliko AKILI!
14:56
Global TV Online
Рет қаралды 217 М.
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
13:34
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН