THE RICHEST MAN IN BABYLON [Tajiri zaidi wa Babylon]- James Atilio

  Рет қаралды 7,524

James Atilio

James Atilio

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@BaisaMohamed-fj3vf
@BaisaMohamed-fj3vf Ай бұрын
habari ndugu,, kiukweli unajuwa sana tena sana, nimejifunza mengi sana kupitia kitabu hicho.. barikiwa sana
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Ай бұрын
Upo sawa kabisa
@methodmartinchuwa9109
@methodmartinchuwa9109 Ай бұрын
Good message bother.
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Asante sana
@fratilupembe3479
@fratilupembe3479 Ай бұрын
Real recognizes real.
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Ай бұрын
Upo sahihi economist,analyst and speaker.kwa mujibu wa biblia kwenye mkutadha wa mawaidha ya vitendo kitabu cha mithali 6:6-8 [6} ewe mvivu mwendee chungu zitafakari njia zake ukapate hekima. {7} kwa maana yeye hana kiongozi Wala msimamizi, wala mkuu, {8} Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa mavuno. #Tukutane nchi ya asali na maziwa#
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@hamudshabani7801 😄sawa kaka, shukrani sana.
@bhokewambura9941
@bhokewambura9941 Ай бұрын
Ni muhimu kudhibiti matumizi. Barikiwa
@LearningWithCuriousMind
@LearningWithCuriousMind Ай бұрын
Nimejifunza kitu bro
@boyrobby5612
@boyrobby5612 Ай бұрын
Nakupa subscribe na notfcation on
@Madam255
@Madam255 Ай бұрын
Asante sana Bro endelea hivyo hivyo asubuhi hii nmeingza akili nyingne kichwani🎉🎉
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@Madam255 Asante sana, Barikiwa.
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe wako na kwa kujali maelezo ya kitabu cha The Richest Man in Babylon. Ni vizuri sana kwamba unajitahidi kujilipa kwanza na unataka kuwa na elimu bora kuhusu uwekezaji. Kujilipa mwenyewe kwanza ni hatua muhimu sana katika kujenga usalama wa kifedha. Kuhusu elimu ya uwekezaji, ni kweli kwamba elimu ni muhimu sana. Si lazima kuwa na elimu ya juu katika mifuko ya uwekezaji ili kuanza, lakini inasaidia sana kuwa na maarifa na kufanya utafiti kabla ya kufanya maamuzi. Hapa kuna baadhi ya hatua ambazo unaweza kuchukua: Jifunze Msingi wa Uwekezaji: Anza na kujifunza misingi ya uwekezaji kama vile hisa, mapato ya kudumu, na mali isiyohamishika. Kitabu kama Rich Dad Poor Dad kinaweza kuwa na manufaa kwa kuanzisha mawazo yako kuhusu uwekezaji. Tafuta Mafunzo na Kozi: Kuna kozi nyingi za bure na za kulipia mtandaoni kuhusu uwekezaji. Websites kama Coursera, Udemy, na Khan Academy zinaweza kuwa na mafunzo bora. Anza Polepole: Kujaribu uwekezaji wa kiwango kidogo na kufuatilia maendeleo yake ni njia nzuri ya kujifunza bila kuchukua hatari kubwa sana. Hii itakusaidia kuelewa jinsi soko linavyofanya kazi. Nimefurahi kuona kwamba una mtazamo wa tahadhari kuhusu uwekezaji, kila hatua unayochukua kuwa makini elimu pia itakusaidia kuepuka majuto na kufanikiwa katika malengo yako.
@everyaman4260
@everyaman4260 Ай бұрын
Akiba na Uwekezaji 🎉🎉🎉
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Hakika
@everyaman4260
@everyaman4260 Ай бұрын
@@JamesAtilio Endelea kutupa Madini Brother 🙏🙏🙏
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@everyaman4260 sawa kaka
@kelvinmushubiro8187
@kelvinmushubiro8187 Ай бұрын
Kuna swala la kumtantuliza Mungu pia,,maana wachawi nao wapo kazin
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@kelvinmushubiro8187 Hakika
@dansonkateme8264
@dansonkateme8264 Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@dansonkateme8264 Amen
@hamenyalugano7238
@hamenyalugano7238 Ай бұрын
kujilipa kwanza
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@hamenyalugano7238 Natumaini umepata kitu.
@lamecktabu1157
@lamecktabu1157 Ай бұрын
Appreciation sana brother🙏🙏
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
🤝
@FarajaMkumbo-pc3ft
@FarajaMkumbo-pc3ft Ай бұрын
Naweza nikapata hiyo summary kwa lugha kiswahil
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@FarajaMkumbo-pc3ft samahani sijakuelewa
@FarajaMkumbo-pc3ft
@FarajaMkumbo-pc3ft Ай бұрын
​@@JamesAtilio Namaanisha naweza nikapata softcopy ya kitabu hicho
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@FarajaMkumbo-pc3ft ndio unapata 0759551270.
@hdjirungakashililika7538
@hdjirungakashililika7538 Ай бұрын
Heshima kwako ndugu.mana ni uchambuzi yakinifu kwelikweli ❤
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@hdjirungakashililika7538 Asante sana ndugu
@shamimabdallah4394
@shamimabdallah4394 Ай бұрын
Hapo kwenye kanuni ya kudhibiti matumizi.Aisee Mimi naona nahitaji elimu sana
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@shamimabdallah4394 Inawezekana kuwa na malengo ya mda mfupi ya kufatilia matumizi yako unaweza jifanyia mazoezi hata ya siku au wiki kwanza kujifuatilia. Hii itakusaidia kwamba kila wakati unapotaka kununua kitu lazima utakumbuka na kujiuliza unachotaka kufanya kina umuhimu gan, ukiandika lengo itakusaidia zaidi kukumbuka, maana chochote unachoandika mara nyingi ndio unakikumbuka.
@kepherkunasa8073
@kepherkunasa8073 Ай бұрын
Shida yangu inayonifanya nishindwe kuweka fedha, nayo ni kusomesha watoto.
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Kujua Bajeti na Kuweka Kipaumbele kwenye Akiba: Kwa mzazi anayekabiliwa na changamoto ya kuweka akiba kutokana na gharama za kusomesha watoto, hatua ya kwanza ni kutengeneza bajeti ya familia. Hii itasaidia kujua mapato na matumizi yote, na kubaini maeneo yanayoweza kupunguzwa. Ni muhimu kuweka akiba kama sehemu ya bajeti, hata kama ni kiasi kidogo kama asilimia 5 hadi 10 ya mapato kila mwezi. Hii itasaidia kuanza kuweka akiba na kuhakikisha usalama wa kifedha wa baadaye wa familia.
@bestcakes7098
@bestcakes7098 Ай бұрын
Kujilipa kwanza
@janetmbwana553
@janetmbwana553 Ай бұрын
Wow👏👏👏 Asante sana Kiukweli Mimi najitahidi sana kujilipa lkn tatizo bado sijapata namna sahihi ya kuwekeza pesa Sina bado elimu nzuri ya mifuko ya uwekezaji mana biashara pia lazm uijue inside out ili usiingie kwenye majuto
@weddingmarriagelifeexperience
@weddingmarriagelifeexperience Ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe wako na kwa kujali maelezo ya kitabu cha The Richest Man in Babylon. Ni vizuri sana kwamba unajitahidi kujilipa kwanza na unataka kuwa na elimu bora kuhusu uwekezaji. Kujilipa mwenyewe kwanza ni hatua muhimu sana katika kujenga usalama wa kifedha. Kuhusu elimu ya uwekezaji, ni kweli kwamba elimu ni muhimu sana. Si lazima kuwa na elimu ya juu katika mifuko ya uwekezaji ili kuanza, lakini inasaidia sana kuwa na maarifa na kufanya utafiti kabla ya kufanya maamuzi. Hapa kuna baadhi ya hatua ambazo unaweza kuchukua: Jifunze Msingi wa Uwekezaji: Anza na kujifunza misingi ya uwekezaji kama vile hisa, mapato ya kudumu, na mali isiyohamishika. Kitabu kama Rich Dad Poor Dad kinaweza kuwa na manufaa kwa kuanzisha mawazo yako kuhusu uwekezaji. Tafuta Mafunzo na Kozi: Kuna kozi nyingi za bure na za kulipia mtandaoni kuhusu uwekezaji. Websites kama Coursera, Udemy, na Khan Academy zinaweza kuwa na mafunzo bora. Anza Polepole: Kujaribu uwekezaji wa kiwango kidogo na kufuatilia maendeleo yake ni njia nzuri ya kujifunza bila kuchukua hatari kubwa sana. Hii itakusaidia kuelewa jinsi soko linavyofanya kazi. Nimefurahi kuona kwamba una mtazamo wa tahadhari kuhusu uwekezaji, kila hatua unayochukua kuwa makini elimu pia itakusaidia kuepuka majuto na kufanikiwa katika malengo yako.
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe wako na kwa kujali maelezo ya kitabu cha The Richest Man in Babylon. Ni vizuri sana kwamba unajitahidi kujilipa kwanza na unataka kuwa na elimu bora kuhusu uwekezaji. Kujilipa mwenyewe kwanza ni hatua muhimu sana katika kujenga usalama wa kifedha. Kuhusu elimu ya uwekezaji, ni kweli kwamba elimu ni muhimu sana. Si lazima kuwa na elimu ya juu katika mifuko ya uwekezaji ili kuanza, lakini inasaidia sana kuwa na maarifa na kufanya utafiti kabla ya kufanya maamuzi. Hapa kuna baadhi ya hatua ambazo unaweza kuchukua: Jifunze Msingi wa Uwekezaji: Anza na kujifunza misingi ya uwekezaji kama vile hisa, mapato ya kudumu, na mali isiyohamishika. Kitabu kama Rich Dad Poor Dad kinaweza kuwa na manufaa kwa kuanzisha mawazo yako kuhusu uwekezaji. Tafuta Mafunzo na Kozi: Kuna kozi nyingi za bure na za kulipia mtandaoni kuhusu uwekezaji. Websites kama Coursera, Udemy, na Khan Academy zinaweza kuwa na mafunzo bora. Anza Polepole: Kujaribu uwekezaji wa kiwango kidogo na kufuatilia maendeleo yake ni njia nzuri ya kujifunza bila kuchukua hatari kubwa sana. Hii itakusaidia kuelewa jinsi soko linavyofanya kazi. Nimefurahi kuona kwamba una mtazamo wa tahadhari kuhusu uwekezaji, kila hatua unayochukua kuwa makini elimu pia itakusaidia kuepuka majuto na kufanikiwa katika malengo yako.
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Ай бұрын
Woow
@visionaryyouthorganization
@visionaryyouthorganization Ай бұрын
Asante, Tunaomba namba yako tafadhali 👏👏
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
0759551270
@kelvinmushubiro8187
@kelvinmushubiro8187 Ай бұрын
kitabu kizr, na mafundisho mazr,,changamoto ni kwmba kuna muda yanakutokea majanga kabla hata hujafikia hatua ya kuweka hyo hakiba ya dhalula,,kuna muda unashambuliwa na majanga had unajihis kama umelogwa,
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
Kwanza pole sana ni kawaida kukutana na changamoto kabla ya kufikia malengo yako, lakini usikate tamaa. Hakikisha unakuwa na mpango wa bajeti mzuri na uwe na malengo ya dharura. Ikiwa matatizo yanakushambulia, jaribu kutafuta msaada wa kitaalamu na fikiria jinsi unavyoweza kuboresha mipango yako. Kila hatua ndogo unayochukua itakusogeza karibu na mafanikio yako. Uvumilivu na mpango mzuri utakusaidia kupita vikwazo na kufanikisha malengo yako✍️
@privaushaki7395
@privaushaki7395 Ай бұрын
Kuweka akiba na kuifanya akiba izae hakika lazima utoboe
@JamesAtilio
@JamesAtilio Ай бұрын
@@privaushaki7395 Hakika
The Richest Man in Babylon Summary in Swahili by Mwl. Augustino Mwogosi
45:27
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 15 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 197 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1000 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 179 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 51 М.
SIRI ZA WATU WA ZAMANI: UCHAMBUZI WA KITABU CHA TAJIRI WA BABELI
23:29
Siri za Vitabu
Рет қаралды 1,7 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
Mambo ya Kuzingatia Ukitaka Kufanikiwa Kwenye Maisha - Joel Nanauka
17:05
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН