The Story Book : Kijiji Cha VIPOFU wa Jangwani DALI KOUMBÉ

  Рет қаралды 215,952

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 502
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 4 ай бұрын
Takbiiiir ALLAHÛ WAKBAR Wanabadirisha mtoto aje napkins 😢, especially kakiwa kandogo na mkunga ni nani juu wote ni wapofu..mungu ni mkuu na hana mushirika
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 4 ай бұрын
Rehma za Allah Tu
@gu-away5246
@gu-away5246 4 ай бұрын
Wallahi, afu nashangaa watu walio pewa kila kitu wanafikia kumlahumu Mwenyezi Mungu kisa tu umaskini,... Naona ajabu kuskia kuna Kijiji cha watu vipofu, Na wanahishi Salama 🤔 Allahou Akbar
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 4 ай бұрын
Mm mwanzo I thought ni Hadith za abunwasasi Na watu wanakufuru😢😢 ALLAHU WAKBAR
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
Ndyo wanadamu wengi walivyo wanaangalia ambacho hawana sio walivyopewa
@RawAlly-gf4gw
@RawAlly-gf4gw 4 ай бұрын
😭😭ewe mola wetu mlezi alhamdulillah kwa neema ulotupa na utusamehe kwa kulalamika kwa madogo uliyotunyima 😞😞 alhamdulillah ❤
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 4 ай бұрын
Mm kwenye Story book sijawahi pewa like hebu leo mnipeni hata 10 tu
@cleartzboy
@cleartzboy 4 ай бұрын
Tafuta hela ww kondoo
@makatym6151
@makatym6151 4 ай бұрын
​@cleartzboy 😂😂😂😂
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 4 ай бұрын
Visokolokwinyo huwa hamjifichi unaombaje like kwenye kurasa za watu Kama sio ushoga
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 4 ай бұрын
​@@stanleynombwe4865ndugu yangu kuwa mpole basi ebu mpe japo maneno mazuri
@shomarkikond9035
@shomarkikond9035 4 ай бұрын
Kwan unasimulia wew au jamali😅
@HassanMfuko-tn9yz
@HassanMfuko-tn9yz 4 ай бұрын
Leo naomba like ata 100 unwell wasafi naombeni story book ipewe wakati mkubwa Japan maana jamli anajua sana story ❤ kwa wasafi media
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b 4 ай бұрын
Jamal unachimba sana ndio hii leo nasikia kuhusu hii habari 🙏 hongera sana kwa kutujuza tusiyoyayajua,,, ALLAH AKBAR
@mohamedjamaahmed1261
@mohamedjamaahmed1261 2 ай бұрын
Basi wewe ni mshamba bro penda kuangalia sana documentary za ma youtubers wanaotembea duniani utajifunza mengi sana hii dunia ya MUNGU
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 4 ай бұрын
We jamaa ni noma sana anayamkubali Jamar agonge like
@michaelmnzava3798
@michaelmnzava3798 4 ай бұрын
Juz nimegonga like ikashika ujauzito
@abdulihassan2720
@abdulihassan2720 4 ай бұрын
😂😂​@@michaelmnzava3798
@chichasam9032
@chichasam9032 4 ай бұрын
We fala una like nyingi
@jumashiyo1378
@jumashiyo1378 4 ай бұрын
kipaji anacho kiukweli
@zahorsuleyman7617
@zahorsuleyman7617 4 ай бұрын
Subhannallah.Hakika umetakasika ewe mungu wng muumbambingu na ardhi.Kwa hakika hukuna Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila wewe,Kwa akili yakawaida kwa hakika utasema,Never never never.
@kilogreek4050
@kilogreek4050 4 ай бұрын
ÙKISIKIA WATU WA PEPONI NDIO HAWA MUNGU YUPO PAMOJA NAO AMEEN AMEEN 🙏 ♥️ ❤
@Sadi_Tv
@Sadi_Tv 4 ай бұрын
Le professor 🔥🔥🔥 Mimi ndo Sijawai kupata hata Like hata moja Waungwana
@IsraëlLebonCiza
@IsraëlLebonCiza 4 ай бұрын
Prof hâta Nasi kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤ tunakupenda sana
@AllyRashid-zk9tb
@AllyRashid-zk9tb 4 ай бұрын
Jpo kuw sio wa kwanza naomben anglau like mojaaa 2😢😢
@premierjizzle5121
@premierjizzle5121 3 ай бұрын
Dahhhh ni nomah kila day ,nazid kunogewa na kutaka xaid kujua kila kitu kuhus story za jamal but now day nazid kujifunza na kujua kila kitu dunian🎙️🎧
@IrineJulius
@IrineJulius Ай бұрын
Ninakukubali mnoo bro ofcourse najifunza mengi😊
@mohammedjuma9476
@mohammedjuma9476 4 ай бұрын
Gonga like kama unapitia magumu lakin hukosi jero la bando kutazama the story book 💪🤝
@islamomary2043
@islamomary2043 4 ай бұрын
Hii story ni ya kwl haya ndo maajbu ya mungu na anatuonysha yuko
@ibrahmuya3528
@ibrahmuya3528 4 ай бұрын
Kabisa kaka mungu yupo nakumbuka kuna siku nilikuwa nimeludi nyumbani nikiwa nimechoka sana nikajilaza kwenye kiti mke wangu akawa ananiamsha na kuniambia amka hapo unaliwa na mmbu nikawa naitika tuu lakini siamki ndipo mke wangu akachoka kuniamsha akaamua kuniacha baada ya muda nilisikia sauti nzito ikiniamsha na kuniambia kwanini umsikilizi mkeo embu amka usije ukapata madhala niliamka nikamuuliza mke wangu kuna sauti imeniita umeisikia akasema hapana binafsi niliamini kabisa ile ni sauti ya mungu kabisa
@wewa7329
@wewa7329 4 ай бұрын
Yaaan wew jamaa bwana sasa mungu anajivunia nni watu kuteseka kwenye jangwa wakiwa vipofu
@kamarhelo
@kamarhelo 4 ай бұрын
Hio story ni ya kweri
@wewa7329
@wewa7329 4 ай бұрын
@@kamarhelo sawa ni ya kweli mungu anafaidika nni watu hao kua vipofu
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 4 ай бұрын
​@@wewa7329 yanii akili yako haIna akili we unaonaje yanii lazima umtukuze yy cz hao watu wanaishi bila kuona huoni huo ni muujizaaa nyau we tumia akili kama huna muombe mungu akupe akili ili ufikrie
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 4 ай бұрын
Hivi mnaoombaga like huwa mnapata nini na ole wake mtu a like kwangu busha linamhusu hakuna kuvaa modo
@fredyijumba1023
@fredyijumba1023 4 ай бұрын
Kama unauelewa uwezo mkubwa alionao profesa Jamal nipe like zangu
@KhalidMwanga
@KhalidMwanga 4 ай бұрын
Kaka Jamal wewe ni genius kwenye swala la usimuliaji✊✊✊
@AminaMohamed-v2w
@AminaMohamed-v2w 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu kweli muumba yaani mtu kipofu lakini bado anapata riziki na anafuga pia
@daraone1290
@daraone1290 4 ай бұрын
Like sio kitu cha msingi kwenye maisha yetu kabisa 😅
@RomakaAbdala
@RomakaAbdala 4 ай бұрын
Leo nipeni like 👍 Mimi kutoka Mozambique 🇲🇿 napenda sana The story book( Hoje estou pider me dar like eu só fá de The story book
@UpendoMushi-f5s
@UpendoMushi-f5s 4 ай бұрын
😂
@JuxvatonOmmari
@JuxvatonOmmari 4 ай бұрын
kwayule anaeangaria the story book kwamudauhu basi agonge like apa!!!!!!
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 4 ай бұрын
😢 subhanallah ametakasikaa anae milikiii kila kty katika ulimwengu huu na mbinguu ❤❤❤
@sudibad5512
@sudibad5512 4 ай бұрын
Huyu jamaq ni professor kweli nakubali sana
@Jaysantans
@Jaysantans 4 ай бұрын
Leo wa kwanza lakin sitaki like sababu hazina msaanda wowte kwangu😂
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 ай бұрын
Nimekuongeza moja unyweee chai kesho asubuh
@Jaysantans
@Jaysantans 4 ай бұрын
@@NemaAli-zh6hr neema 😂naenda kukusema
@kamarhelo
@kamarhelo 4 ай бұрын
Tumekupa sasa ziludishe kama kweri huzitak
@RAYMONDNGOMA-te9tg
@RAYMONDNGOMA-te9tg 4 ай бұрын
Kama unamkubali jamali kama ukiamini anajua like hapa
@johnmboga6114
@johnmboga6114 4 ай бұрын
Ndio kuingia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@daudibrandMakeseni
@daudibrandMakeseni 2 ай бұрын
Ndugu zangu nawaomba leo namimi mnipe like nione faida yake nitawa shukuru
@azeezmawled5830
@azeezmawled5830 4 ай бұрын
Allahu akbar ❤
@danielmutemi5607
@danielmutemi5607 4 ай бұрын
Nipewe like zangu......😂😂nikumbukage the storybook❤
@Danny254
@Danny254 4 ай бұрын
Wakenya ndani ya nyumba naomba likes zenu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿
@nellito9
@nellito9 4 ай бұрын
Next time sema 254 unatuanika 😂
@calvinceochieng2321
@calvinceochieng2321 4 ай бұрын
Tuko ndani....sema 254
@allywaziri1997
@allywaziri1997 4 ай бұрын
Mutura akili zenu zipo matakoni...likes za nn😅
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 4 ай бұрын
Mambo ya Wakenya yanatoka wapi? Mnaubaguzi sana nyie viumbe
@NeemaJonathan-d2e
@NeemaJonathan-d2e 4 ай бұрын
Mungu ni wa kushangaza mno mmm 🙏
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 4 ай бұрын
Respect big brother 💪💪🔥 love From Mozambique 🇲🇿❤
@shadrackkeneth5055
@shadrackkeneth5055 4 ай бұрын
Mimi ndo comment zang watu huwa hawazion naombeni like ata tatu tu😢
@emanuellucas939
@emanuellucas939 4 ай бұрын
nimeiwai ii leo kutia comment😅
@lilfourcreatives
@lilfourcreatives 4 ай бұрын
I am watching from Kenya ... Show love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Abkhamzinjibar
@Abkhamzinjibar 3 ай бұрын
Allahu akbar lailaha illa llahu
@amanimazera3124
@amanimazera3124 4 ай бұрын
Nime miss sana story zako tamutamu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BarutaJoyce
@BarutaJoyce 3 ай бұрын
Shukurumungu ivyo ulivyo waburundi aki simunipatie hata mimi like zenu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Billbrowntz
@Billbrowntz 4 ай бұрын
❤🎉❤🎉 nakubali kaka mkubwa gonga like apa twenden sw na story book
@JumaMtangi-f6d
@JumaMtangi-f6d 2 ай бұрын
We jamaa n noma kam unamkubar gonga like hap
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 4 ай бұрын
Allahu Akbar
@zayumar2955
@zayumar2955 4 ай бұрын
Allah Akbar nyiee Mungu yupo tumuogope na tumuabudu !!!
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 4 ай бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu ,,, daima ww ndo Baba 🙏😓
@VicentMkude
@VicentMkude 4 ай бұрын
Ila Jamal uyu mwana ni genius kinoma apewe mauwa yake🎉🎉🎉
@lifecash180
@lifecash180 4 ай бұрын
I will support THE STORY BOOK WASAFI. maishaaaaa.
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 4 ай бұрын
Bro thank you so much man I like your story bro🇿🇦🇧🇮
@AlexKessy-e5c
@AlexKessy-e5c 2 ай бұрын
Mungu hanaitaji yeyote hanayependa kushinda uwe wa Kwanza kuhamka alfajiri usali na uguse maji utende yanayo mpendeza utakuwà wakwanza Kwa Kila kitu kwake amini hanza Leo
@AnveraliAnveralishivji
@AnveraliAnveralishivji 2 ай бұрын
Mungu anamaana yake hataki watende maovu
@MartinRupia
@MartinRupia 4 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana
@Shadadihamis25
@Shadadihamis25 4 ай бұрын
Leo mimi wa mwisho Na sijawahi omba likes..sijui ntapewa sijui
@twahaibrahim2767
@twahaibrahim2767 4 ай бұрын
Inafundisha kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kila jambo. Jiulize wewe uliyekamilika umefanya nini Cha kusema mbele ya muumba?
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 4 ай бұрын
Safi cna kazi nzur
@qtrqtr8016
@qtrqtr8016 4 ай бұрын
SIJAWAI PEWA ATA LIKE NAOMBA
@animalslife_1-g
@animalslife_1-g 4 ай бұрын
Mungu wa ajabu kwel daahh yaani vipofu ila wanaishi na wala hawana wasiwasi yoyote ile. Hakika Mungu ni mkubwa
@lameckleonard9437
@lameckleonard9437 4 ай бұрын
Naomba like angalau nami Leo
@Brian.254
@Brian.254 4 ай бұрын
Kama unakubali storybook kutoka Kenya weka like 🇰🇪
@marvinnjoroge648
@marvinnjoroge648 4 ай бұрын
Haya ni maajabu ya Dunia...heko Jamal Professor.
@WINNIFRIDAVALENTINE
@WINNIFRIDAVALENTINE 4 ай бұрын
Mungu atupe hekima na maarifa na pia kutusamehe sisi ambao hatushukuru ata kwa uzima na kidogo alichotujalia
@anamsaid8610
@anamsaid8610 4 ай бұрын
Ametakasika mwenyezi mungu mbora wa waumbaji.
@AsiaussenMadamhero
@AsiaussenMadamhero 3 ай бұрын
Duh jamali weee kiboko kbs uko ulipajuwa aje minakukubali toka Burundi 🤲🇧🇮
@Samweli331
@Samweli331 4 ай бұрын
Mapema kabisa leo
@PendoMathias-vt3xt
@PendoMathias-vt3xt 26 күн бұрын
Kila nikicomment sipat like 😢
@ShabanMaganga-ry6fc
@ShabanMaganga-ry6fc 4 ай бұрын
kwa wanao angalia huku wanasoma comment LIKE HAPA 😊
@SALMINSAID-fb9ub
@SALMINSAID-fb9ub 4 ай бұрын
😂😂😂
@NasriSaid-f2b
@NasriSaid-f2b 27 күн бұрын
Mungu u nasi
@KataNerd1251
@KataNerd1251 4 ай бұрын
Huyu jamaa❤🎉🇰🇪
@Faa-f9p
@Faa-f9p 4 ай бұрын
Allahu Akbar 🙌🏽
@Nairi-h2q
@Nairi-h2q 4 ай бұрын
Dahh kılıo changu nikwa watu wa dalı kumbe 😭🙏vipi mtu akifa wanajuwaje na wapi wanazika hili limeniumiza sana pale ninapo litafakari kwa kina 😭
@MoshaynMapesa-es4mk
@MoshaynMapesa-es4mk 4 ай бұрын
Mungu ni mwema inshallah
@mohammedmwalimtv5579
@mohammedmwalimtv5579 4 ай бұрын
Salute kwa professor Jamal likes zake ziwekwe hap
@Mjeshitv
@Mjeshitv 4 ай бұрын
Kama umeikubali dal kumbe gonga like
@islamomary2043
@islamomary2043 4 ай бұрын
Wakwanza mm jamn mnipe like
@ochuMay05
@ochuMay05 4 ай бұрын
Nakubali sana kazi zako.. Ila nilikuwa naomba utuletee Historia inayohusiana na watu aina ya Magenius-Jiniasi maana nasikia kuwa wana habari ndefu kuwahusu..
@LuluOMary
@LuluOMary 4 ай бұрын
Alhamdulillah🙏🤲
@lovyfrancis7667
@lovyfrancis7667 3 ай бұрын
Maajabu kweli kweli
@ZuberiOmari-gz3kk
@ZuberiOmari-gz3kk 4 ай бұрын
Aliye misi the story book kama mimi gonga like🎉🎉
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 4 ай бұрын
Nimetamani kufika kwenye hichi kijiji Mungu litie nguvu hili wazo langu
@SabriAbdallah-x9x
@SabriAbdallah-x9x 4 ай бұрын
Nakukubali sana ❤
@geoffreymwiti8355
@geoffreymwiti8355 4 ай бұрын
Ready for another documentary 😁😁😁....good work though champ
@GaspalPallangyo
@GaspalPallangyo 2 ай бұрын
Kweli kunawatu wanaishi maish tofauti san na watu wengin
@AvitiNjau
@AvitiNjau 4 ай бұрын
Mungu apewesifa
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu humpa amtakaye bila hesabu
@DioRitte-uc2kk
@DioRitte-uc2kk 4 ай бұрын
JamalApril ❤❤❤❤❤ Unajua sana kaka
@CrispinSamson-hj8tf
@CrispinSamson-hj8tf 4 ай бұрын
Ofa! ofa! ofa! Naomba like nikupe naniiiii!
@symkvtv6756
@symkvtv6756 4 ай бұрын
Ama kweli DUNIA imebeba mengi
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 4 ай бұрын
DAAH AISEEH 😢😢😢😢
@cornelytv2839
@cornelytv2839 4 ай бұрын
Congratulations jamali april ❤❤❤❤
@felixomondi77
@felixomondi77 4 ай бұрын
Story book mambo yote🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mtaostephen3660
@mtaostephen3660 4 ай бұрын
My brother Jamal
@benjaking9153
@benjaking9153 4 ай бұрын
Tunakupenda sana jamal
@stankapembe8246
@stankapembe8246 4 ай бұрын
Allah Akbar... Allah awaongoze jamii hii...
@LewisKaimenyi-jo5rv
@LewisKaimenyi-jo5rv 4 ай бұрын
Jamal,na request utengeneze hadithi kuhusu kiumbe cha kutisha ndunuani LEVIATHAN
@LatifahKhamis
@LatifahKhamis 4 ай бұрын
Profesa m nakupenda sana unanielimisha wallah ❤
@PaulFrank-lw2jt
@PaulFrank-lw2jt 4 ай бұрын
Mimi sitaki like kabisaaa kwanza nazichukia sanaa kwanza sizipendi laikiii
@Tinytunest
@Tinytunest 4 ай бұрын
Kwanini watu wanaomba like😢
@DJQueenBeeOG
@DJQueenBeeOG 4 ай бұрын
Mm nampenda huyu kaka mwenzenu 😂😂😂 niko serous nisaidieni kumwambia ndugu zangu wana comment 😢😢❤❤
@ramadhanvennyboy3940
@ramadhanvennyboy3940 4 ай бұрын
andika namba zako nimpe
@jimmymeshack9338
@jimmymeshack9338 4 ай бұрын
@@ramadhanvennyboy3940😂😂😂😂
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 ай бұрын
Acha umalaya
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 4 ай бұрын
Ana mke
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
Hakuna aliyeongea serious akacheka 😂😂😂
@AminaMusaa-c7j
@AminaMusaa-c7j 4 ай бұрын
Mungu ni mkubwa ❤
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 ай бұрын
Kuna maswali mengi ya msingi ya kuuliza ila mafala yanalilia LIKES..
@kidmozjkm7965
@kidmozjkm7965 4 ай бұрын
Kutoka Moçambique 🇲🇿✊🫂
@SallumSaid
@SallumSaid 4 ай бұрын
Jamal... Prof
#TheStoryBook PABLO ESCOBAR Katili , Muuaji Na Bedui Kipenzi Cha Watu
32:12
The Story Book : JINAMIZI ni Jini , Shetani AU Mchawi?
28:47
Wasafi Media
Рет қаралды 160 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
MJUE MEDUSA MWANAMKE MREMBO ALIE GEUKA DUDU ( Part 1 )
14:45
IPH Media TV.
Рет қаралды 1,7 М.
TUMPANG RUMAH KOSONG DI KAMPUNG
16:06
REACT87
Рет қаралды 24 М.
The Sory Book : Jasusi Waliyemuua Chooni na Kumfunga Ndani ya Begi
45:15
The Sory Book : SALEM ‘Mji Uliolaaniwa na Wachawi’
46:28
Wasafi Media
Рет қаралды 488 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН