Nakumbuka ilikua mwaka 2004 kimara baruti nipo na marafiki zangu hapo tupo primary recho kido Danny,tully na dada ester ilikua tunashindana kuimba❤❤❤
@mwanakheri1692 жыл бұрын
2022 still🔥 Wakubwa tu ndo tunajua
@terrymzae21332 жыл бұрын
Wakubwa tu ndio tunajua aki
@aminabasso3371 Жыл бұрын
1pç19😮
@rugemekacha7 ай бұрын
Mbona hawa wameimba vizuri na hawachezi uchi wamevaa kawaida kabisaa na nyimbo inaeweleweka nzuri kabisaa
@athumanwazir61399 ай бұрын
Sasa hivi kawa mzuri zaidi ya hapo, dataz
@Opmedia85176 ай бұрын
Watoto 2000 hawawezi kujua hiyo geuzia mjini😅😅😅😅
@georgeoputo6663 Жыл бұрын
Hapa Kenya wimbo huu ulikua Moto mpaka Leo nauskiza
@AshirafuMdoe18 күн бұрын
Hii ngoma haijawahi chuja yaani dah angeiimba miaka hii ingekua on 🔥🔥🔥🔥🔥
@mbuganitv30217 ай бұрын
MSANII: DATAZ FT JOAN WIMBO: MUME WA MTU Chorus..... Sikiliza nikueleze wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari Hana mpango nawe jivinjari Anakudanganya unatakiwa ujivinjari. Verse ya kwanza Kweli unayosema wewe Joan, mume wa mtu kuwa nae ni hatari Nitafanya nini sielewi, hakuniambia sikujua ni tapeli. Mtege sikio sasa muweze sikia Nilipomaliza masomo mtaani naingia Nakutana na jamaa ananielezea Nakupenda nakuhitaji binti tulia Sio siri ilikuwa ngumu kumuelewa, siku zinakatika jamaa anazitumbua Kuja kutahamaki moyoni kashaingia Mbaya zaidi kavuta kiti kashatulia Slow slow mapenzi yakaniteka akili Mtoto napiga simu hata night kali Jibu lake hello darling mbona usiku what's wrong sweetie what's wrong sweetie. Chorus..... Sikiliza nikueleze wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari Hana mpango nawe jivinjari Anakudanganya unatakiwa ujivinjari... Verse ya pili Tisa kumi siku yangu ya birthday Nilikabidhiwa Chesa Mayai okay Nikapewa nyumba mitaa ya Obey Tumeishi kwa raha wacha niseme Dj Sasa nina mimba ya miezi sita Amenipa gari aina ya Cresta Yote hayo ndani ya miaka mitano Leo mpenzi napata ukweli juu yako Umeoa una watoto watano Huendi safari waenda kwa mkeo Napokuuliza wadai unanipenda Hukutaka sema penzi kulilinda Chorus..... Sikiliza nikueleze wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari Hana mpango nawe jivinjari Anakudanganya unatakiwa ujivinjari... Verse ya tatu Walimwengu niambieni, kama mimi nina kosa Kila nilipomuhitaji, alikuja nyumbani Kwa mapenzi motomoto, hakika kanichanganya Eeeenh eeeenh eeeenh kosa ni la nani Watu wanasema wanadai nacheza Nitafute mwenye Penzi la kupoza Nami nina swali nataka uliza Nitamjua vipi ye hatonitenda Mbona mume wa mtu kanipenda Nampenda kumuacha sitoweza Japo maswali mengi najiuliza Anaficha na mimi ninawaza Napomuuliza anazidi nishangaza Yu' tayari familia kutelekeza Nilichoamua Dataz kumueleza Basi mpenzi mkeo muheshimu. Chorus.... Sikiliza nikueleze wewe Dataz, mume wa mtu ukimpata jivinjari Hana mpango nawe jivinjari Anakudanganya unatakiwa ujivinjari...
@VeronicaPeter-rm7ky6 ай бұрын
Nzuri sana Asante kw kuitype❤❤❤❤ Be blessed some of us never knew about the Lyrics
@tuyizereghadi16195 ай бұрын
Eti "9/10 siku yangu ya birthday" i like that.
@ernestmchiwa6418 Жыл бұрын
Eti geuzia mjini 😂😂😂 dah tumetoka mbali sana
@lauriankisala-cz3fp5 ай бұрын
simchezo yani🤣
@mwanamvuasuleyman46717 ай бұрын
Joan hazeek jmn had leo anaigiza mtoto kweny series😂😂
Hawa wadada jamanii, nawamiss sanaa. Naisikiliza mpaka leo 2019
@enginierthalion-kid4998 Жыл бұрын
Aky hii rap iko sawa.... Anafoka kama EVE
@Minzatz2 жыл бұрын
2023 January 1st naifungulia mwaka
@farysaziz7306 Жыл бұрын
💕💕💕
@williamchenjelu38385 күн бұрын
26 DEC 2024 naomba likes kwa wapendwa wa hii track
@janemsamati6700 Жыл бұрын
22 July, 2023 nasikiliiza wimbo na sauti tamu
@jersonlukinda9410 Жыл бұрын
Hit moja makini sana halafu ya moto kinyama sana.
@davidjailos10312 жыл бұрын
Kitambo sana iseee dar nilikuwa darasa la tano
@sundaylukulugu Жыл бұрын
❤❤❤🎉nyimbo ilikuwa hot 🔥 sana
@divinewakenge22792 жыл бұрын
Apo powa saana, mume ni jenga moyo saaana dada zangu, Nawa fata apo Congo DRC12/2022
@AminKanefu6 ай бұрын
Balaaa nyimbooo motoooo motoo on fire
@SmartechZone3 ай бұрын
Old is gold, it brings a lot of memoriies
@rehemabryson51012 жыл бұрын
Miss uu dataz #2022
@malila4582 Жыл бұрын
Daaaaaaaa! Cyo pow ktmbo sana
@VeraikundaMbise4 ай бұрын
Kitambo sana ngoma kal ..achana na kina zuchu 20000
@anthonymalosha73408 ай бұрын
Mpaka Leo nikiskia hii inanfarji sana
@aishaissa25122 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana enzi hizo 🔥😘
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Uliiba mume wa mtu 🤣
@peterfujokalogi78213 жыл бұрын
Hawa walikuwa ni balaaa
@sumakijaji4547 Жыл бұрын
2023
@bongotel58234 ай бұрын
Geuzia mjini wakati kwenye Tv umeweka AV hahaha
@MusaEcindoАй бұрын
Ndio nyimbo hizo sio nyegezi
@jumamohamed62732 жыл бұрын
Listen 1/1/2023
@chotarawakingoni81482 жыл бұрын
BackYard Production chin ya producer Complex (r.i.p)
@obbymweucy44247 ай бұрын
Ebana eh kumbe marehem complex ndo alifanya hii?
@MudiSaidi-s6y7 ай бұрын
Kweli enzi hizo Backyard Record Kinondoni. COMPLEX alikuwa moto saana
@chotarawakingoni81487 ай бұрын
@@obbymweucy4424 yaah hii alipiga SAIMON SAYI A.k.a Complex
@halimasalim7891Ай бұрын
Am here 2024 nj yamotoo bado
@eliudmkumbwa5681 Жыл бұрын
2023 April 23 like hapa
@MudiSaidi-s6y7 ай бұрын
Hizi ndio Ngoma za Malegendary. Hakuna kuvaa uchi Wala upuuzi. Dataz na Joan ilikuwa bonge la Ngoma. Bonge la BEAT
@simonrusigwa30242 жыл бұрын
Huu wimbo ni wa miaka ya 2000s
@martinswai239 Жыл бұрын
Zamani Raha sana 😂😂😂 hizi kofia Sasa walivyozigeuza😂
@seniorliapaguzman398610 ай бұрын
Mo fire 2024
@berthabraison797911 ай бұрын
2024
@yurisongoro28952 жыл бұрын
2023 nasikiliza🥰
@remigiuskamugisha12022 жыл бұрын
naukumbuka sana huu wimbo
@MusaEcindoАй бұрын
Bingwa zabongo
@bugaleejustine49902 жыл бұрын
Upo wap sistaa
@husseinmaingo5009 Жыл бұрын
Ameajiriwa Crdb bank
@NuhuLubiki-ty2cq10 ай бұрын
Yaaan kitambo saana
@JohnsonMutua-xn9dg5 ай бұрын
2024🔥🔥🔥
@msafiridiaryАй бұрын
K SAL mzee wa mjini
@estasiashiringa1038 Жыл бұрын
❤❤❤
@furahasibonike59812 жыл бұрын
2023💪
@madamehatibu9324 Жыл бұрын
Geuza mjini
@Romyjohns Жыл бұрын
2023 busy in old school.....
@EliyaSebastianEliyaSebasti-g3x10 ай бұрын
Ngoma kama ngoma
@nassjenas271410 ай бұрын
Still 2024
@pascoalbert79617 жыл бұрын
where z dis gel gone??
@RAJABUMWELUKA Жыл бұрын
Hawa dada dah
@davidndyamukama3148 Жыл бұрын
Long ago
@Wozzah.Africa Жыл бұрын
20Feb 2023 ☀️
@bakarisembeyu40492 ай бұрын
YP YA Kale dhahabu
@catherinekihengu24202 жыл бұрын
Duh kitambo cna
@georgeoputo6663 Жыл бұрын
Still hot
@tynahchitamu867510 ай бұрын
2024🔥🔥🔥🔥
@henrytarimo9802 Жыл бұрын
Old is good. Hapa kila kitu kipo poa. Kuanzia mavazi, make up shape og no surgery......
@eliasmbise43282 жыл бұрын
💫💫💫💫
@victorphilibert162911 ай бұрын
Hyo apo januari 2024
@ignaschengula2569 Жыл бұрын
Hawa wadada wako wapi kwa sasa niwape mchongo
@omaryally-fd6qm9 ай бұрын
Duh
@lupandesimukindje81708 ай бұрын
2024 mpo ?
@madamehatibu9324 Жыл бұрын
What's wrong swerii
@sabrinayusuph7921 Жыл бұрын
Nakumbuka huu wimbo ulikuwa ukipigwa kwenye TV nauimba mwanzo mwisho, sa siku moja bwana mama alinifinyaaa akataka nimueleze maana ya mume wa mtu na kujivinjali nae 🤣🤣🤣 nakumbuka nilikuwa darasa la 2 hivi kama sikosei, wakati na yeye alikuwa anaupenda hatar hata akiwa jikoni akiusikia anakwambia uongeze sauti 😄
@rebeccatairo5579 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ThomasEmmanuel-ex1qq7 ай бұрын
I hope sasa hiv una mme na kuna kuumbe kinajivinjari nae
@sabrinayusuph79217 ай бұрын
@@ThomasEmmanuel-ex1qq kwani nilimuumba mimi mpaka awe wangu peke yangu?
@obbymweucy44247 ай бұрын
😂😂😂 hio ndo aina ya wazazi wa generation yetu ila siku hiz mtoto anaimba ifinyie Kwa ndani afu mama ake anamchekea tu
@sabrinayusuph79217 ай бұрын
@@obbymweucy4424 yani kizazi hiki cha sasa ni hatari, hata huwezi kumkataza jambo baya mtoto wa jirani maana mzazi wake atakujia juu hatar