Hongera sana kijana John John Mnyika hotuba nzuri viongozi woote wa chama cha chadema mnauwezo mkubwa sana wa kujieleza mnastahili kuitwa miamba ya kutetea wanyonge. Mungu awasaidie sana ktk majukumu yenu
@starlily0710 күн бұрын
I love you Mnyika ❤️❤️ Mungu akulinde na akuongoze kuifanya kazi yako kikamilifu.
@zebedayokatamaduni967610 күн бұрын
Love you mnyika❤❤❤
@dongadau332910 күн бұрын
The Chanzo, is the best online media for coverage big up keep it up you deserve credits and congratulations
@jr_mkumbojr9 күн бұрын
Na wale jamaa wa JAMBO TV🎉🎉🎉
@mkongoejsm194210 күн бұрын
Nakuamini sana John tangu ulipo kua mbunge wangu wa Jimbo la ubungo na ukawa mbunge wa kibamba hongera sana mnyika kwa ukovu wa siasa kamanda john
@KanaufooKweka10 күн бұрын
Hongera sana mnyika umeonyesha uaminifu kwa kutoegemea upande wowote kati ya timu lissu na timu mbowe,
@abuubaya761410 күн бұрын
Huyu jamaa alikuwa smart sana
@JK-uq1tv10 күн бұрын
Ahsante Mh TL kwa kumrudisha John kuendelea kuwa Katibu Mkuu.
@odoieriasmonga659110 күн бұрын
hiki sasa ni kikosi kazi yaani moyo ❤️ wangu imetulia tuli kwani kazi ipo mbele
@johnsovela906110 күн бұрын
The Chanzo na Jambo Tv mmetisha sana kwenye hii coverage
@henrygwalema186010 күн бұрын
Nadiliki kutamka kwamba Chadema ya Mbowe ni chadema ya kihistoria ambayo ilikuwa kwa sababu ya utumishi wa Freeman uliotukuka, na sasa naipokea Chadema ya Lissu ambayo naiita Chadema mpya ya tumaini jipya, nikimaanisha Chedema chini ya mbowe na Chadema chini ya Lissu ni Chadema moja yenye tofauti ya mihula lakini malengo sawa kwa mstakabali wa taifa letu
@MsabahAli-d6u10 күн бұрын
Uchaguzi wa chadema ni tranding kuliko hbari yyte hapa Tanznia kiki zoote hazijasaidia kuifunika hii habari
@WilliamMlangi8 күн бұрын
Mungu awe upande wenu, amen
@revocatusvedastus889310 күн бұрын
pole mh mnyika kwa kazi kubwa,
@enockmlyuka64759 күн бұрын
Mnyika is genius, smart and a good leader. He deserves the position!
@EDSONHERUMAN10 күн бұрын
Pamoja❤🎉
@TomasiklistophaMwinuka9 күн бұрын
Mnyika nmpambanaji sana kaka mtufikishe nchi yaahadi chadema ndo tunawategemea mnatufunua sana akir watu walikuwa wanaamini ccm ndo baba ,saizi tunajua ccm nichama ,kama vyama vingine mungu awape nguvu sana kwenye mapambano hayo makamanda tuko pamoja
@BensonMpete10 күн бұрын
John mnyika🎉🎉🎉🎉🎉
@kadilamore80210 күн бұрын
Karibu tena😅❤
@barryrioba393410 күн бұрын
LISSU Amefikiri Kwa Umakini Na Busara Sana Kumrudisha Au Kumuacha MNYIKA Kuendelea Na UKATIBU MKUU.
@sophiamalinga1810 күн бұрын
Hongera sana Mnyika
@AustineMosha10 күн бұрын
Mungu awatangulie vyema katika kutekeleza majukumu yenu. Mko vizuri sana
@NikomediLukas9 күн бұрын
Mungu akulinde
@emmanuelsunday832510 күн бұрын
Mnyika nakukubali sana bigp
@salamwajeka-yo6su10 күн бұрын
Hongera sana
@PaschalBoi-z8h10 күн бұрын
Very good mnyika
@amosgerald776310 күн бұрын
Mnyika hongera sana nakupenda sana
@MonicaMushi-z8s10 күн бұрын
Big up🎉🎉🎉🎉🎉
@AmbakisyeSimion10 күн бұрын
Hakuna katibu mkuiu amepitia wakati ngumu kama mnyika
@fredysiwale541310 күн бұрын
Wewe Mnyika ni padri uliye kamilika ukweli tumeuona leo kwenye uchaguzi wenu mlio fanya jana umeonyesha uwezo wako. Umeelezewa vyema
@davidnyamo61109 күн бұрын
I love CHADEMA it is the only party that will liberate Tanzanias and it's resources
@israelbenjamin179910 күн бұрын
Nimemuona mwenyekiti wangu wa wilaya seth chessam vegula
@josephmawala869410 күн бұрын
2025 tunachukua nchi.. Hongera sna Mnyika
@danielkanso9 күн бұрын
Huyu mheshimiwa anajua sana na ni msomi mkubwa Hongera mnyika
@PaulMwashikuba-rm5xs10 күн бұрын
Msimsahau odero kwa afya ya chama
@LoitushulYamat9 күн бұрын
Kweli nimekuwa nikimpongeza kwa kusimamia mchakato wa uchaguzi Hadi kusimamia uchaguzi na kumalizika salama na kwa amani nawapongeza wote waliomwona Tena na kumwamini Tena asanteni sana.
@PetroMwacha-e5g10 күн бұрын
Mwenyekiti ajaye
@MsabahAli-d6u10 күн бұрын
Mnyika yuko vizuri sana ni katibu mkuu hasa ni mtu mtulivu weledi ni kiongozi na nusu namkubali sana na nilijua lissu hawezi kumuacha ata siku moja
@JofreyMwamlapi10 күн бұрын
Hogeleni makamanda
@HasaniSasi10 күн бұрын
Poleni viongozii huo ndio ukomavu wa uongoz
@dicksondomisian951610 күн бұрын
Sahau ya nyuma kiongozi tunakuitaji katika nguvu mpya na hali mpya
@BahatiAloys-w8l10 күн бұрын
🙌🙌
@MchungajiNzelani10 күн бұрын
Huyu alisomea upadre
@vengageorge657410 күн бұрын
Kadi Za chama zinapatikana wap
@abuumasemele62469 күн бұрын
Word
@GoodluckHaule-p7h9 күн бұрын
i want to join in this political party, what i can do??
@WilbertManjonda9 күн бұрын
Ndo timu ya watetezi wa wanyonge nchini Tanzania
@Joseph-t7n7q9 күн бұрын
Mupo vizul sana kwakutupa abal nzul
@thomastemu333210 күн бұрын
100% myika
@revocatusvedastus889310 күн бұрын
ccm Ni hatari kuliko ukimwi duuuh
@MabeyoLutobola10 күн бұрын
Watanzania wanaitaji babadiliko simamieni haki
@BichongolaInvestment9 күн бұрын
MAPAMBANO YAENDELEE TUNATAKA WABUNGE WA KUTOSHA OCTOBER
@hamisiMlangi10 күн бұрын
Watenda wema ni wengi ila mashujaa wachache mnyika wewe ni shujaaa
@MwazoaMwazoa10 күн бұрын
Walemavu wanawakilishwa na nani?
@SamweliChacha-l4y10 күн бұрын
Philosophical oblongata
@lucasmkwizu178610 күн бұрын
kaka yangu mnyika nadhani omba kupumzika kidogo , kwani unayo nafasi ya kuayeyote na bado Ni kijana, uongozi huu utakupa wakati mgumu kimfumo. fikiri vyema.
@GeorgeAkasha-zx2rj10 күн бұрын
Mkuu huu ndo uchawi sasa unaleta, wenzako hata kazi hawajaanza tayari umeshatoa utabiri wako wa kishirikina. Binafsi sina chama lakini hebu ona huu uongozi utafanya nn kwa wanachama wao.