Mvutano huu umetokea kwenye kifungu cha Sheria hiyo ambacho kinasema mtu atakayekutwa kwenye eneo lolote la shirika la Utangazaji TBC atatiwa hatiana na kutakiwa kulipa faini isiyopungua milioni 10 na isyozidi milioni 20
Пікірлер: 1
@rwekazamugasha64489 күн бұрын
Shida ni lugha; Kigereza na Kiswahili trespasser, je, mpita njia au kupita eneo linalo milikiwa na TBC tayari ni kosa. Arusha maeneo yako mjini na njia/barabara kubwa za kupita. Maeneo yawekewe uzio au kuwepo ulizi kujulisha wapita njia hakuna njia. 24/7 ?