Pamoja na mapenzi yote. Ila mwacheni Mwenyekiti wetu apate kupumzika. Mnamtaka sana je wakati chama kinaitisha maandamano hamjitokezi anajikuta pekee na mwanae. Acheni kumpaka mafuta. Mbowe umetumikia kwa uadilifu kubali kubadili madaraka na uendelee kuwa mshauri Mkuu. Upande wa pili wanakusakama mno kisa CDM. Tulizana fanya mabiashara zako support chama.
@usembiphonedar56322 күн бұрын
Sijui huyu mzee wa Iringa ni Bumunda ama!? Mwacheni Mbowe apumzike astaafu kwa heshima amwachie Tundulissu aongoze chama! Wengi wenu hapo mnafikiri kwa kutumia matumbo! Eti tumekuja kukushawishi na kukutia moyo kwamba uendelee na uenyekiti! Acheni tamaa onyesheni demokrasia ya kweli ndani ya chama Mbowe ajiuzuru kwa heshima amwachie Tundulissu. Mbowe jiuzuru ulinde heshima yako acha kukigawa chama kwa tamaa ya madaraka, Asante, Tundulissu anatosha kwa sasa.
@bennymochiwa48002 күн бұрын
Busara zaidi
@humusitta58702 күн бұрын
😅
@AndersonMokiwa-is5ch2 күн бұрын
Aliyewatuma nani mimi ni mwanachama kutoka dodoma mbona hatujawatuma muende kwa mboe acheni ujinga na uchawa wanadodoma tunakwenda na lisu
@giztony20092 күн бұрын
Kuma la mama lako ww cyo chadema
@TM-zs3rm2 күн бұрын
Huna jipya. Wangapi wamekufa ndani ya Chadema. Acha uhuni. Wengi wamepotezwa angalau Mbowe bado mzima. Waliokufaje? Acha uchawa, Chadema imejengwa na watu wengi na wanaojitoa mhanga kwa nguvu na mali zai zote kwa manufaa ya Watanzania , nchi na mali zake
@NicodemBarantanda-ud7qy2 күн бұрын
We unayesema Mbowe amwachie Lisu we ni Dictator si uache kkura ziamue kumbukeni inàvyowaziwa kufa chadema Mbowe bado anàyo potential amefikisha chama Tz nzima
@sirilimallya7702 күн бұрын
Muda n ukuta, ukiisha n bac. Hata mkilazmisha n bure. Hapana, tunaitaji changamoto mpya chadema🙅,
@piusijukaine37292 күн бұрын
Mmmh elewa neno nje ya Nchi!
@juliussakita71602 күн бұрын
Mbona mnangania madaraka kwa namna hii hamtaweza kupata mabadiliko katika chama na taifa. Msiangaliye uchu wa madaraka. Mnatofauti gani na ssm kwa uchu wa madaraka.
@EmmanueNzilano2 күн бұрын
Ukwerii ni kua chama hiki Kwa Sasa tumuachie Tundu, lisu hajachoka umri Mbowe ila inatakiwa mawazo mapya elewa ! Kam tukisema mbowe aendelee basi Chama na baadhi ya viongozi ni uchu wa madaraka na kung'ania madaraka 😭chama kitagawika nakufa kabisa au kuto kua chama kikuu Cha upinzani Tena.😭
@Mussa-t1q3 күн бұрын
Demokrasia ni mhimu kuweka ukomo kwenye nafasi za uongozi. Weka ukomo kwenye katiba yenu
@emmanuelmathiasmpesa93962 күн бұрын
Madhara mnayajua? Inategemeana na mshindani wake wa karibu ni lisu anaweza kupita mbowe Kwa ninavoona lkn chochote kitakachotokea ni chadema kuvunjika muache uchawa fanyeni Siasa mbowe sio mpaka afe ndiyo mbadili viongozi je wakitaka ushauri hawawezi kumpata. Ni vema kuwe na mwingine Ili apate mafunzo na ushauri Kwa mstaafu. Tuache mihemko jamani.
@bongo393 күн бұрын
Leo yashawakuta ndio eti wanao ishin nje ya inchi mwanzo walikuwa halali wanaishi hapa sasahivi ndio mumegindua kama wanaishi nje ya inchi sio raia wa tanzania msituchezee hapa
@israelmpiluka-gu6vh2 күн бұрын
Sisi tunadai katiba mpya ya nchi ilikuweka ukomo wa madaraka ya viongozi na kuweka uringo sawa wa kisiasa, Kwa vyama vyote, Sasa nyinyi mnaturudisha nyuma Kwa sababu ya kung'ang'ania vyeo ndani ya chama na kushindwa kuiacha democrasia ikatamaraki ndani ya chama, ilikuamsha wananchi kudai haki Kwa serikali kandamizi.
@JAPHETJOSEPH-b6e2 күн бұрын
Mwacheni Mbowe Atunze heshima yake. Msimshawishi ujinga.
@minazsaid24702 күн бұрын
Kazi ipo Chadema Chama kilichotegemewa na wengi kuwa kitawavusha kumbe nako kuna majanga
@AnnaFelix-p1z2 күн бұрын
Umefikili tofauti uu ni uongozi wachama nilazima kampeni ifanyike waupande huu na huu umeelewa?
@wilfredmlaki8222 күн бұрын
Mbowe pumzika miaka 20 inakutosha! Yaani huu uchawa huu dah! Inatisha! Yaani ni ulafi wa madaraka tu.ccm kila baada ya miaka 10 wanabadilisha tena kwa amani kabisa! Wewe 20! Dah inatosha waachie na wengine
@israelmpiluka-gu6vh2 күн бұрын
Msimpakazie mbowe kwamba akichukua nchi atang'ang'a Nia madaraka kama Fideri Castor maana Castor alikuwa dicteta wa Quba
@bennymochiwa48002 күн бұрын
Fidel Castor hajawahi kuwa Dicteta
@edsonkilatu52113 күн бұрын
Haifuti ukweli kuwa uongozi huu hauna jipya sana
@RobertshijaMakumi3 күн бұрын
Kivipi?
@aloycejames48622 күн бұрын
Kutoka iringa mngai huna hoja za msingi nyumbani kwako iringa umeshindwa kuudumisha umoja to be honestry Mbowe kwa heshima yake anastahili kustafuu kwa hiari
@beinafuu62192 күн бұрын
Serikal ya mtaa mbona mipango.haikutokea
@israelmpiluka-gu6vh2 күн бұрын
Huu ni uchawa na ndio hata Nyerere alivyo kuwa anataka kung'atuka chawa walikuwa wanasema nchi yetu bado ni changa haiwezi kwenda bila Yeye Nyerere akagundua wanatetea nafasi alizowateua.
@beinafuu62192 күн бұрын
Lisu hata urais hawez kupata
@waziradam27949 сағат бұрын
Wewe na mwenzako nani mista chawa mzee!
@erastomwambeje99202 күн бұрын
Hakuna Sababu ya CCM kutoka madarakani. Tumeshindwa kufuata Katiba
@RamadhaniMkojera2 күн бұрын
Field marshall mbowe
@mangashajunior2422 күн бұрын
Tumekuja kama chawa viroboto na kunguni...
@TM-zs3rm2 күн бұрын
Hatuhitaji machawa, Mungu I wala viroboto. Tunahitaji uhodari, uhuru, msimamo huru wa kujitegemea na sio kujiotesha kwenye mti mwingine.Trump ni mzigo kwa Marekani na kwa dunia kama hujitambui. Huna zito, huna jipya, huna la muhimu . Ni uchawa tu.
@beinafuu62192 күн бұрын
Usikumbushe machungu ya akulina
@DerckSevelin2 күн бұрын
Wewe ni muongo tunahitaji mabadiliko.
@jimmykampate782 күн бұрын
Chama by by labda ccm awape kwa uruma
@beinafuu62192 күн бұрын
Huyu sio.wakumpa nchi
@germinusn2 күн бұрын
Lugha ya kugawa wanachama
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti sawa na Lissu akiwa mwenyekiti sawa.wote wana haki sawa.Kukaa kwa Mbowe kwa muda mrefu hakumzuii au kumnyima haki yake ya msingi ya kugombea.Mbowe agombee na Lissu agombee na wajumbe wanaopiga kura ndio watakaoamua kwenye sanduku la kura nani aibuke mshindi.Wale wote wanaosema Mbowe apumzike ni wajinga na hawamtendei haki Mbowe.