Jenerali Ulimwengu Afunguka Kuhusu Mfumo wa Serikali, "Tunajidanganya Hatuoni Tatizo"

  Рет қаралды 32,721

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Taasisi ya Maalim Seif Foundation leo imeandaa mkutano wa tatu Zanzibar katika kuuenzi mchango wa Maalim Seif Hamad katika uongozi Tanzania. Kauli mbiu ya mkutano huu ni Siasa, Uongozi na Utawala:Tumekosea Wapi, Tujisahihishe Vipi?
Kiongozi wa chama cha upinzani cha South Afrika Build One South Africa, Mmusi Maimane ni mgeni mwalikwa katika tukio hili.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 84
@johnkimaro2351
@johnkimaro2351 9 ай бұрын
Mzee wangu unazungza mambo muhimu sana yanayoeleweka hongera
@danikilawe7498
@danikilawe7498 9 ай бұрын
Asante sana mtumishi uliyetukuka. Barikiwa sana na Mungu.
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 9 ай бұрын
Mzee Barikiwa Serikali Yetu iliosikivu Aiwezi kukuelewa Maybe Mungu aingiliekati Waelewe iki ukisemacho Barikiwa sana Mzee wetu
@saviomlelwa
@saviomlelwa 9 ай бұрын
Mawazo mema Sana katika kujenga nchi katika misijgi ya haki na kweli. Ubarikiwe sana
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 9 ай бұрын
JENERALI UNAZEEKA VIZURI❤❤❤❤❤
@amanimushi4052
@amanimushi4052 9 ай бұрын
Akili kubwa ✊🏾
@hamzamajenja4891
@hamzamajenja4891 9 ай бұрын
Ukweli Mchungu, mwenyewe kuelewa ameelewa, Hongera Sana
@jaafarwibonela7402
@jaafarwibonela7402 9 ай бұрын
Mwaka 1971 Mwalimu Nyerere alitembelea kijiji cha Imalamoaka mkoani Tabora. Kijiji hiko km 2 kutoka kijijini kwetu Magiri. Aliyo oneshwa na kusomewa 90% yalikuwa uongo, lakini mwalimu aliridhika na kufurahi mno kiasi kwamba alimpa mwenyekiti wa kijiji kile udiwani wa kuteukiwa
@wilhelmibaganisa5493
@wilhelmibaganisa5493 9 ай бұрын
#GENERAL ULIMWENGU NI URITHI WA NCHI KWENYE FIKIRA TUNDUIZI 🇹🇿🇹🇿🙏🙏
@amourmtungo623
@amourmtungo623 9 ай бұрын
Mimi nafkiri tujifunze kuwa ni bora haki na ukweli wa wachache na ndio ustaarabu, kuliko uongo na dhulma ya wengi ambapo kimsingi ni kujidanganya na kurudishana nyuma. Asanteni kwa michango tafauti ya msingi na yenye nia ya kuelimishana.
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 9 ай бұрын
Sahihi Mr. Ulimwengu.
@ahmedhamis
@ahmedhamis 9 ай бұрын
Upo sahihi kabisa Gen.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 9 ай бұрын
Haya MAONI ya muhimu sana, Rais lazma AYATAFAKARI bila kusita
@Sangaadam
@Sangaadam 9 ай бұрын
Ni miungoni mwa Wazee wachache Sana waliobakia hapa nchini kwetu ambao wananyoosha maneno bila woga Wala kupendelea sehemu furani pamoja ya kwamba aliitumikia muda mrefu Serikali iliyopo mafarakani lakini haogopi kuishauri na kuikosoa pale anapoona Mambo hayaendi sawa
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 9 ай бұрын
Mungu atushe watanzania tujue yanayo endelea na tuyakatae
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 9 ай бұрын
Uko sahihi mzee!
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 9 ай бұрын
Kuna mengi CCM inatufanyia kwa kutupuuza sisi wakulima na rasilimali zetu kwa kuuza bei poa,vijana wetu kukosa ajira,serikali ya sasa kukosa maono,kodi toka mifukoni mwa watu ni mwendelezo wa umasikini kwa wananchi badala ya nchi kufikiria kujenga uchumi wa viwanda,serikali kuuwa elimu kwa kuifanya hata mjinga kuwa Doctor au profesa na menginemengi endelea kulielimisha taifa letu.
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 9 ай бұрын
Nakukubali sana mzee bila kubadilika hatufki popote
@shabanimaijo9148
@shabanimaijo9148 9 ай бұрын
Ukweli haujawahi kupendwa wala kufuatiliwa, mkweli hajawah kuwa rafiki wa mtu wala kupendwa
@rastheunique
@rastheunique 9 ай бұрын
Maneno haya na yawaingie viongozi wote hasa wa sisiem walio madarakani!
@johnjambele283
@johnjambele283 9 ай бұрын
JENERALI ULIMWENGU UNADANGANYA WATU,MBONA WEWE ULIPOTEULIWA KUWA MKUU WA WILAYA MARA MBILI HUKUYASEMA HAYO BALI ULISEMA RAIS MWINYI ALIMTUMA MZEE WARIOBA AJE AKUAMBIE ANATAKA KUKUTEUA KUWA MKUU WA WILAYA.UNAFANYA UCHCHEZI WA KITOTO SANA,RAIS NI TAASISI NA SI MTU BINAFSI.
@immamfugale7835
@immamfugale7835 9 ай бұрын
Urais ni taasisi mzee sijaamini kama hulijui hili
@sanjaypandit3790
@sanjaypandit3790 9 ай бұрын
3:28
@asungwilemwaifungapenginei2385
@asungwilemwaifungapenginei2385 9 ай бұрын
Jenerali amekuwa kwenye siasà tangu ujana wake. Aneteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya kupitia mfumo huu huu wa uteuzi. Hakuona shida. Kawa paka ghafla asiyeona mchana anaona usiku anawaonesha taswira watu wasiona usiku wanaona mchana
@yohanamahena-jb9wi
@yohanamahena-jb9wi 9 ай бұрын
Nimemielewa vizur
@frankminga9307
@frankminga9307 9 ай бұрын
Huyu ndiye Grnerali atabaki kileleni
@bensonmwabulambo9663
@bensonmwabulambo9663 6 ай бұрын
Hakika Wewe ni hazina,basi TU
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 9 ай бұрын
Tatizo ni katiba, nje ya hapo ni kupiga kelele tu😂
@GeorgesKimonge
@GeorgesKimonge 9 ай бұрын
Nyerere baada ya kustahafu alisema wakati akiwa raisi alifikiri alikuwa anajua kila kitu kinachotokea ndani ya nchi. Baada ya kustahafu amegundua kwamba alikuwa anajua machache yaliyokuwa yanatokea ndani ya nchi. Na akasema njia ya kutuondoa huko na vyama vingi na uhuru wa vyombo vya habari. Ndio Nyerere akawa muumini wa vyama vingi.
@saidabdala4980
@saidabdala4980 9 ай бұрын
Bora wazanzibar tumrejeshe .jemshid. itakuwa bora .KULIKO kusikiliza hadisi kila siku
@hajihassan5433
@hajihassan5433 9 ай бұрын
Urais ni taasisi, maoni mazuri sana lakini na anaepewa maoni ana ya kwake. Haya maoni ni mazuri sana wakati wa kutengeneza rasimu ya Katiba.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 9 ай бұрын
Afadhali mfyatuke na kusema ambayo CCM imewatendea mafyatu. Kumbe na rahisi anatumiwa bila yeye kujijua! Nshaandika makala zaidi ya 5,000 lakini sijawahi kuhisi kama naeleweka. Nashukuru kaka Ulimwengu na mwalimu wangu anaanza kujivua gamba moja kwa moja tena brutally. Nashukuru kwa kuongelea hawa wabunge wa COVID-19 ambao hawapaswi hata kuwa hai kisiasa.
@EnockKibona-xe5hp
@EnockKibona-xe5hp 8 ай бұрын
Nifanyeje ilikupata mkopo wa siku 365?
@davidmwandiga3465
@davidmwandiga3465 9 ай бұрын
Kwa katiba mbofu hii nashangaa hata vyombo vidogo vya habari vya vijiji kila siku kumsifia Rais badala ya sisi wakula kusifiwa kwa kazi kilimo Cha mkono Huku viongozi wakitupangia bei ndogo, Tanaka katimba mpya ndio suruhisho utawala bora
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
✌️👍👊。
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 9 ай бұрын
Sawa ulimwengu, hivyo tatizo la wafanyabiashara, karikoo, wakati tunawapa fursa, nchi za jirani, tungekuwa na mrejesho nyimba Kati yetu na viongozi, pipiki za boda tungekuwa sasa tumezibadilisha kuwa ngombe wa maziwa, tungekuwa uchumi kiasi gani.
@alfredibrahim7085
@alfredibrahim7085 9 ай бұрын
Mwenye akili amekuelewa
@superangeltv4615
@superangeltv4615 9 ай бұрын
Ulimwengu utakuwa mzee wa ovyo fanya kabla ujafa fanya uwen Alexander dugna wa Tanzania na maani simtank ya taifa
@dbamwenzaki
@dbamwenzaki 9 ай бұрын
Nampongeza sana mzee Ulimwengu. Naomba kuuliza. Watawala kuwa juu ya kila na kila mtu ilianza lini, ilianzishwa na nani, kwanini? Kwa nini kundi la watu wachache wanazidi kufaidi rasilimali za nchi peke yao wakati umasikini wa afya, elimu na vitu ukiongezeka kwa wananchi wengi. Mf.wananchi wanakosa ardhi ya kulima wakati wakipewa wawekezaji mapande makubwa ya ardhi!! Nchi hii ni ya watanzania au ni ya wajanja wachache wanaoingia. Kwenye kundi la watawala?
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l 9 ай бұрын
Tanzania ni nchi moja nzuri sana kwamba kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake ili mradi asipotoshe. Sasa wewe mtu unacho kiona chafaa wengine waweza kukiona hakifai. Nakumbuka miaka ya sitini alichaguliwa mtu na Mheshimiwa Rais aende mkoa fulani Mkuu wa mkoa akamkataa kumuapisha ikabidi achukuliwe akawekwa mambo ya nnjee mpaka akapelekwa ubalozi jee utaratibu ulikua upi kama Rais hawafahamu. Kuna wakati Rais alimfukuza mkuu wa wilaya kwa makosa yakufanya kazi tofauti na alivyo tegemewa kufanya. Sasa kuna vyama vingi kweli Rais atapokea mtu tu kwenye shuka bila kujua huyo anaweza? Sikatai miono ya hao waheshimiwa lakini nikijiuliza sidhani kweli twaweza kuwa na Rais asiye wafuatilia hao wskubwa wanao teuliewa. Maboresho ni yapi? Hata nchi zingine zatenda kama tunavyo tenda labda kuwe na udhaifu binafsi wa mtu aliye teuliwa. Maalim Seif alikua binaadam kama binaadam wengine hapa duniani. Jee binaadam yupi aliye kamilika 100% hakuna. Alikua na mazuri yake na pia alikua na kasoro zake. Hivyo tumuombee Mungu amuweke pahali pema.
@barack.A-Mtulo
@barack.A-Mtulo 9 ай бұрын
Rais analetewa watu na kuwapitisha, sio rahisi kuwajua watu 160.ndio maana juzi juzi Rais kateua mtu nakumfuta siku ya pili. mara mwingine kateuliwa kakataa teuzi. unaona kabisa ambavyo wanafanya mambo ya kubahatisha.
@mwanache
@mwanache 9 ай бұрын
Ndio maana wanapendekeza Katiba ilibadili hili. Wakuu wa mikoa, wilaya, na wakurugenzi wawe wanapigiwa kura na wananchi wao… na ndicho kinachofanyika ktk nchi nyingi.
@thadeiandrea877
@thadeiandrea877 9 ай бұрын
Mzeee unasitaili kuongezwa mno
@petersilas4234
@petersilas4234 9 ай бұрын
Rais ni taasisi pia sio mtu. Hata hivyo post za ukurugenzi ni za kitaalamu hivyo zingetangazwa.
@rasnchimbi
@rasnchimbi 9 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 9 ай бұрын
Jenarali Ulimwengu ni aina ya wachambuzi wazuri wenye uwezo wa kukosoa bila ya kuleta utatatuzi wa namna ya kufanya. Wachambuzi wetu wajifunze pia kutuletea mawazo mbadala ili serikali iweze kuyachuja badala ya kuponda tu.
@masijamajogoro7231
@masijamajogoro7231 9 ай бұрын
Mwenye akili amemwelewa.
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 9 ай бұрын
unajifyatua akili
@Kasonadi-hp1lv
@Kasonadi-hp1lv 9 ай бұрын
Haya makongamano yenu hayana uzalendo km ni sehemu zenu za kutosaidia taifa hili na badala yake kutudanganya jmn kwa tuna taifa la hovyo. Tusipoangalia tutarudisha wakoloni nchini. Mzee ulimwengu unayoyaongea ni chuki sio kwa uzalendo wa nchi kabsaaa
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 9 ай бұрын
Mfumo unahusisha ukaguzi wa usalama wa taifa! Acha Rais aonekane amewateua, wakiharibu awabane watu wa usalama na waliomletea hayo majina awawajibishe
@ibrahimngunde6550
@ibrahimngunde6550 9 ай бұрын
Mzee uyu wa ovyo anajua Raisi ni taasisi kubwa, sababu ya hila zake anaamua kusema uongo.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 9 ай бұрын
RAIS WETU AMEPEWA 'UMUNGU MTU'....NA MARAIS WETU 'WANAUPENDA' KWELI KWELI UMUNGU MTU HUO!
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 9 ай бұрын
Mimi ni nacho uliza Hawa wanao Sema hivi walikuwaga wapi Enzi hizo na walikua wananguvu za kuleta maulizi? Vizuri kinacho ongelewa lakini hakita tendeka mpaka Katina mpya na watanzania kujua haki zao .Kwasasa yatapita
@Jefa_Adili
@Jefa_Adili 9 ай бұрын
Anaeongea ni Jenerali Ulimwengu, hajaanza kuhoji leo, fuatila historia yake ameanza kuhoji toka akiwa mwanafunzi sekondari, mwanafunzi chuo kikuu, alivyokuwa mbunge (fuatilia kundi la G 55 ya bunge la Tanzania), kama binadamu anamapungufu yake katika misimamo na fikra zake nk. lakini katika mapungufu hayo hana mapungufu ya Unafiki wala Woga katika kusema anachokiamini.
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 9 ай бұрын
@@Jefa_Adili Sifa tu zipo,Sasa alikua serikalini miaka mingapi? Amenable mangapi mapungufu kanyamaza? Nayeye alikua General si ndio ...?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 ай бұрын
Ni propaganda zinazofanywa na wateule wake(makada) kwa faida za kisiasa tu ili kutuzuga sisi watawaliwa ambao kila senti itakayokopwa na Serikali,ni mzigo wetu tunalipa sisi kwa kodi na njia mbalimbali zinazopachikwa kwenye bidhaa za biashara na huduma za msingi.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 9 ай бұрын
Maoni yako ni mazuri sana.Lakini sidhani kama wahusika wanaelewa.
@1961nungwi
@1961nungwi 9 ай бұрын
Hili ni swala.la.kikatiba
@superangeltv4615
@superangeltv4615 9 ай бұрын
Ulimwengu Tanzania ya Leo ni matokeo ya wazee nyny ulimwengu mnaikataa akili yenu mm naona sisi ifikapo 2070 SS tukiwa wazee mbunge mcheza kamali mchukua mademu Hutu Hana sababu naona kamali kitu Cha kawaida
@fredymwoga8423
@fredymwoga8423 9 ай бұрын
Mzee wewe ndio mzalendo wa kwel ao wengine waliozoea kumsifu raisi ni wanatetea matumbo yao tuuu
@richardmadege2760
@richardmadege2760 9 ай бұрын
Urais ni taasisi sio mtu mmoja. Jenerali siku hizi nae muongo muongo
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 9 ай бұрын
Kwa nini unataka lazima awe anawafahamu? Mboba kutowafahamu ndio vizuri zaidi.Halafu kwa nini unaamini analetewa majina yoooote kwa mara moja? ili ionekane weeeengiiii.
@ahmedhamis
@ahmedhamis 9 ай бұрын
Kumjua sio kumpendelea....kumfahamu mtu uwezo wake katika uongozi ..km wangechaguliwa kdg wangekuwa Wanaakisi uwezo wao japo chaguzi zenyewe magumashi
@musasabuu2808
@musasabuu2808 9 ай бұрын
Unaweza kuoa mwanamke ambae humufaham vizr
@knight6757
@knight6757 9 ай бұрын
😂
@omarteethomar1533
@omarteethomar1533 9 ай бұрын
Huyu ni Poyoyo kweli kweli Urais ni Taasisi
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw 9 ай бұрын
Wewe ndio poyoyo no moja ndio maana huwezi kumuelewa Generali kwani uwezo wako ni mdogo sana
@1961nungwi
@1961nungwi 9 ай бұрын
Kweli ni taasisi, lakini taasisi hii ipo kikatiba. Hili ni swala la kikatiba
@ngwalitcha1655
@ngwalitcha1655 9 ай бұрын
Taasisi ipi ya nan kwa maslahi ya Nani na maamuzi ya nan
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 9 ай бұрын
Taasisi ya uchawa we akili zako ni O
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 9 ай бұрын
Jenerali, is not too late? You were one of the top youth leaders then Area commissioner so you had all the time to suggest changes, why now, I think it’s very very late!
@EnosMwamgiga
@EnosMwamgiga 9 ай бұрын
Ap
@EnosMwamgiga
@EnosMwamgiga 9 ай бұрын
Aa
@EnosMwamgiga
@EnosMwamgiga 9 ай бұрын
Qaa
@EnosMwamgiga
@EnosMwamgiga 9 ай бұрын
Aw a
@EnosMwamgiga
@EnosMwamgiga 9 ай бұрын
Apaq
@salummohamed2689
@salummohamed2689 9 ай бұрын
Haya mnayasema Kila siku na mtaendelea kuyasema lakini hawa tunaowambia hawasikii na kesho yake wewe ukipata madaraka unakuwa hivyo hivyo. Tuyaseme Kwa dhati na tuchukue hatua sasa siyo kusema tu na kupigiwa makofi ukitoka hapo unajisifu kuwa mimi nimesema. TUNAJIDANGANYA.
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 9 ай бұрын
Yeah NIKUWEKA MFUMO TU AISEE(KATIBA MPYA)
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 9 ай бұрын
Wabunge 19 ndani ya Bunge ni DHIHAKA haswaaa!!!
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 16 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 118 МЛН
#LIVE | MNYIKA Anatoa Tamko Muda Huu Mikocheni, Dar es Salaam
59:00