Huwa nawaza sana ivi hawa usalama wa taifa na police hawana watoto au ndugu mtaani!!? Maana kama na wao watoto wao wakitekwa ndio nafikiri wataacha huu uonevu wao..... Tupaze sauti wote.
@nivvermsemo4595Ай бұрын
Iko siku na huenda ni leo Mungu atawaumbua wote wanaohusika ktk kuteka na kutesa watu. Mungu hadhihakiwi na wala hachezewi iko siku damu za wote waliotekwa na kuteswa na hata kuuwawa damu itawalilia wote wanaohusika. Mungu ni mwema hatakubali.
@eliaschessa5728Ай бұрын
Mpaka lini haya yanaleta taharuki?
@jdanny497Ай бұрын
Hivi hawa watu hawana familia
@amosdickson6318Ай бұрын
Chadema ipo katika mbio za mawindo. Yaani kutekwa ni chadema tu, msisahau wengine hao ambao hawana majina
@rwezimulastephen3713Ай бұрын
Sijui umri wa huyo Mzee lakini inaogofya. Tunapandikiza mbeya mbaya jamani hakuna kitu muhimu duniani kama uhai na usalama na maisha ya binadamu uongozi ni kitu Cha mpito tu
@muddyausi8470Ай бұрын
Nini. munafanya sio. kila. siki. story. tu tumewachoka
@humphreymwihambi4330Ай бұрын
Huna macho? Huoni kutoa taarifa kwa umma ni hatua kubwa? Ulitaka wafanyaje?