Mbowe Asisitiza Umoja wa Kitaifa Sakata la Bandari

  Рет қаралды 53,277

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Kupitia kampeni yao ya #OkoaBandariZetu CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati mbalimbali na viongozi wengine wa kijamii wanafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Bulyaga Temeke.
Wanaharakati na CHADEMA wameendelea kusisitiza mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai hauna maslahi mapana kwa nchi. Mkutano huu wa CHADEMA unafanyika ikiwa ni wiki mbili toka CCM kuanza mikutano yao ya hadhara ya kufafanua kuhusu suala la bandari.
Endelea kufuatilia The Chanzo tupo hapa katika viwanja vya Bulyaga kurusha Live
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 226
@jacoblongo6814
@jacoblongo6814 Жыл бұрын
Mwenyekiti wangu Mungu akubariki sana akulinde akutunze kila siku mpaka ukombozi timilifu ❤❤❤
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Mbowe umejaa hekima sana ndg yangu mungu kukubariki ndg yangu
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Hana hekima yoyote zaidi ya kuwa mchochezi
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Жыл бұрын
@@karimkassam571 wewe ni mpuuzi dhidi ya uhuru wetu kibaraka cha wakoloni
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
​@@karimkassam571akili Yako, haina akili
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up Жыл бұрын
Safi sana....wewe ni mtu muhimu sana kwenye Taifa letu....Mungu akubariki
@benedictmatiko6614
@benedictmatiko6614 Жыл бұрын
0p99i6rcp
@AbdallahMgwasi-zy1ei
@AbdallahMgwasi-zy1ei Жыл бұрын
Daa Hawa mafisad Hawana huruma had mama
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Safi mwenyekiti ,Umeongea hoja za msingi sana 👍..
@basilisajacob1065
@basilisajacob1065 Жыл бұрын
God bless you Mr. Mbowe! God protect you!
@danielmushi5755
@danielmushi5755 Жыл бұрын
Well said Mr Chairman,truth will always prevail.God bless Tanzania.❤❤
@yussufmussa-xc6nb
@yussufmussa-xc6nb Жыл бұрын
Nakubaliana na yote lakini ukitaja zanzibar ni unguja na pemba
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Mwanga umeanza kuonekana. Fredom is comming tomorrow. Aluta continua!
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Fact's
@HappyObass
@HappyObass Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awe nanyj chadema. Yesu kristor mwema awe nanyi
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Chama cha wagalatia
@StevenTambi
@StevenTambi Жыл бұрын
Serikali 3 ni muhimu sana
@peterkitekero4303
@peterkitekero4303 Жыл бұрын
Mwenyekiti sema baba
@azizabdallah585
@azizabdallah585 Жыл бұрын
BRAVO MH. MBOWE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI WEWE BINAFSI, CHADEMA, DR. SLAA, WANASHERIA WAZALENDO WA NCHI HII,VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAZALENDO, VIONGOZI WA DINI ZOTE NA WATANZANIA WOTE WAZALENDO WA NCHI YETU.
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Жыл бұрын
Mbowe una muwona kabisa ana ongea kutoka moyoni mungu akupe nguvu azidi kuku weka utupambambanie 2025 mimi na familia tusha kuchagua
@lilyNakamura4993
@lilyNakamura4993 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwenye kiti tunakuombea Simama Himara Mungu yupo na Wewe Amen 🙏🙏🙏
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk Жыл бұрын
Genius anaongea
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Жыл бұрын
Mwenyekiti tunakuelewa sana. CCM bila vyombo vya dola CCM ni kama nyoka asiye na uti wa mgongo
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
We acha ujinga hapo kaongea nini cha maana zaidi ya uchochezi
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Жыл бұрын
@@karimkassam571 acha kulamba lamba safuria za ukoko na kuacha ukweli wewe ni kibaraka cha wakoloni na kuubeza uhuru wetu hata enzi ya mwalimu Nyerere kulikuwa na vibaraka kama wewe
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Haha😂😂
@RomaMichael-ei6di
@RomaMichael-ei6di Жыл бұрын
Mbowe ase mungu azidi kukutangulia 🙏🙏🙏🙏🙏
@cavinjohn-9648
@cavinjohn-9648 Жыл бұрын
Uko sawa brother
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
Mungu mbariki mbowe
@MzambuliUtashiba
@MzambuliUtashiba Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kwa hilo
@BeatriceHenry-t3i
@BeatriceHenry-t3i Жыл бұрын
Ukweli utamalaki;Ukweli utamalaki Alleluia
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy Жыл бұрын
MUNGU akulinde daima
@manpascal1967
@manpascal1967 Жыл бұрын
Hadi Shirati kwetu
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Жыл бұрын
Kumbe mkutano ulifanikiwa? Hongereni sana
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 Жыл бұрын
Jembe sana huyu mwamba
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Жыл бұрын
Hii ndiyo ya kuwa na watu makini cyo njaa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mungu akupiganie Mwkt.Mbowe. Kuna watu wanauza haki ya wananchi kwaajili ya tumbo,wala hawajui kuwa kelele hizi ni vilio vitakavyo waletea laana kwa vipande vya fedha kama Yuda aliyeponzwa na tamaa ya vipande 30 vya fedha,baadae akavitupa na kujinyonga! Mtaungaje mkono maangamizi ya vizazi vyenu wenyewe kwa takrima zitoksnazo na kodi zenu wenyewe kama sio uzuzu?!
@weramunisi7490
@weramunisi7490 Жыл бұрын
Kaka yangu Mungu ninaemwamini atakulinda
@florianmodest6215
@florianmodest6215 Жыл бұрын
Bravo freeman!!.
@OswardLaurent
@OswardLaurent Жыл бұрын
Wewe hakika ni mwanaume nakuombea tuko pamoja kiongozi na tunawaelewa wana mapinduzi
@Maguzu.studios
@Maguzu.studios Жыл бұрын
Kila chenye mwanzo huwa na mwisho wake. Hata hili nalo litapita mwenda zake alisema tutamkumbuka kwa mema hata kwa mabaya. Nikweli tunajionea kwa mifumo. Mungu awepe ushujaa makamanda wetu maana ninyi mungu amewapa mwanga kuona pale tulipo zibiwa.
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Жыл бұрын
100% kwenu chadema Pamoja sana
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 Жыл бұрын
Biblia katika kitabu cha maombolezo 5:1-5
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Kiukweli.mungu anaiokoa tanzania.mungu awa bariki
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Tuunganishe nguvu maana kuna nguvu kubwa unayo tumika kurizuia jambo hili siku wahi kutegemea kama viongozi wa Tanzania wana weza kuwa mfano mbaya katika karne hii ya ishirini na moja
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Kweli kabisa. Tutafakari KESHO yetu
@rabFamily-w4q
@rabFamily-w4q Жыл бұрын
🎉❤saut ya simba dume ikiunguruma nyikan tupo pamoja na wewe kamanda mungu atubaliki watanzania wote
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Mungu arndelee kukutumia kma nabii Musa alivyopambana na farao bila kukata tamaa hd akawatoa wna Israel nawe hyu farao imebaki tu pigo la damu watuachie neno la mungu soma kutoka 1_mwisho kufika kanan
@JumaRashidi-d8w
@JumaRashidi-d8w Жыл бұрын
Mbowe hao jamaa zako wanakuharibia Chama. Hutafanikiwa.
@birigitasilayoagustin2345
@birigitasilayoagustin2345 Жыл бұрын
❤🎉
@IsackRawichi
@IsackRawichi Жыл бұрын
Mbowe wewe ni mtetezi wa waTANZANIA
@florencemengo7666
@florencemengo7666 Жыл бұрын
Mungu awabari ili mtukumbuke
@PauloolekooiLaizer-o3g
@PauloolekooiLaizer-o3g Жыл бұрын
Good
@StevenLoita-rl9cx
@StevenLoita-rl9cx Жыл бұрын
Tunahitaji Raisi wa Muungano, Raisi wa Zanzibar na Raisi wa Tanganyika. Serikali tatu siyo mbili. Eti Zanzibar Wana Ma Raisi wawili Tanganyika Ina Raisi mmoja. Zanzibar bidhaa kuileta Tanganyika Kuna vikwazo utadhani unaenda Ulaya. Nini Maana ya Muungano wanufaika wachache. Tumeelimika Tunataka Katiba Mpya na Muungano wa Serikali tatu. Bandari zirudishwe kwa Wa Tanganyika
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Chadema ni chama cha maaskofu na wachungaji wanatumia chadema ili kulinda maslahi yao
@AishaShaban-x4m
@AishaShaban-x4m 2 ай бұрын
Sio kweli na atupotoshi kiivyo
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuachane na KCMC na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza ili tuachane na hospital za kanisa zinakwepa Kodi kupitia partnership sasahv wanaogopa waarabu kuwekeza bandarini kwa maslah yao
@salmaheri971
@salmaheri971 Жыл бұрын
sijawahi kuwa ungamkono ila kwa hili tupo pamoja kama Inch tusikubali huu upuuzi
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 Жыл бұрын
Ipo siku mawe yatageuka na kuwa bindamu CCM mnatuwa sana kubalini mmekosea taifa hasa wewe bi tozo
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 Жыл бұрын
Nyinyi ni wapenda bure, hamwezi hata kuchimba vyoo na mashimo ya kutupia taka. Kila siku mnataka serikali ije kukusafisha mlangoni pako.
@kajiajohn6124
@kajiajohn6124 Жыл бұрын
Sasa muda wa " kuondoka misri"Twende kwenye nchi ilohuru na haki.Jambo hili limetuunganisha kama🇹🇿
@chumhaji6787
@chumhaji6787 Жыл бұрын
Wewe ni mpinga maendeleo tu ,msaliti namba moja mtetezi wa mijizi ya nchi hii
@SaidAbdullah-p3s
@SaidAbdullah-p3s Жыл бұрын
Bandari imeibomowa chadema watashindwa katika uchaguzi vibaya sana katika uchaguzi wa haki kuliko chaguzi zote
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
@@SaidAbdullah-p3s mmmhhhhh
@JohnManyilizu-b6h
@JohnManyilizu-b6h Жыл бұрын
Mmhhhhhu weee wee
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Жыл бұрын
Wakristowote na waislam wote na vizazi vyao ni wahanga wa mkataba huu wakifisadi tusikubali kutenganishwa na propaganda za hovyo .mbele kwa mbeleeeee
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf Жыл бұрын
Samia jiuzuru maan mama umeferi
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Kiukwelinili suala zito mungu awalinde yutub kote niili wannvhi tuunga
@mosaidi2633
@mosaidi2633 Жыл бұрын
Nchi kuitwa TANGANYIKA ni ukosefu wa Hadhi
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 Жыл бұрын
Mmeanzisha ubaguzi mmekosea sana sana
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Nyie tuna wajua hamnaga akili
@kilimohub580
@kilimohub580 Жыл бұрын
Tanganyika
@GabrielMwita-h8d
@GabrielMwita-h8d Жыл бұрын
Mbona mlikubali matacha. Au turudi analogy? Bandali zimeshindwa kuendelea na analogy. Bandali zilizoachwa kwenye mkataba ni zile ambazo hazina mpango kwenye final consumptions of items from abroad. Wazanzibari watapelekewa na meli zetu ndogo. Utaifa unatoka wapi na unatakujaje? Utanganyika unatoka wapi? Wapinzani msitubabaishe. Bandali isiwechanzo cha watu kunyemelea uraisi.
@EdgarLema-qi9or
@EdgarLema-qi9or Жыл бұрын
Mungu tazama taifa ili limeliwa na mabeberu
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 Жыл бұрын
Wewe so ndio ulianza ubaguzi halafu unasema aujutii Hilo vipi? Tena,
@saidmamba4270
@saidmamba4270 Жыл бұрын
😊
@HumphreyAtharasha
@HumphreyAtharasha Жыл бұрын
Dah jamanii
@Nigaboy-p4s
@Nigaboy-p4s Жыл бұрын
Kuma la mamako,,,😮😮mbwa we Tanzania haiwezi kutengana milele,,,unaongea tu pumba we n mchonganishi
@zefamange7281
@zefamange7281 Жыл бұрын
MA YUDA BWANA, HAIHITAJI NGUVU KUWAJUA
@AishaShaban-x4m
@AishaShaban-x4m 2 ай бұрын
❤❤❤
@mvunge7108
@mvunge7108 Жыл бұрын
Wee Meku hapo unaharibu, tafuta kiti kwanza ukianza kuwatishia wa Tz kuvunja muungano utaambulia patupu..unajipunguzia kura, hawako tayari kwa mabadiliko matatu kwa pamoja..1-Uongozi Mpya wa Chama kingine..2- Kuvunja Muungano 3- Utawala wa majimbo hapo mnajitilia ugumu wenyewe.
@thomasbwire8800
@thomasbwire8800 Жыл бұрын
Hivi kigamboni kuna bandari wanakoshushia mafuta ya tazama,au siyo bandari inayojitegemea?
@ahmadajafari1881
@ahmadajafari1881 Жыл бұрын
Haki gani nyie machadema mshazoe kupiga kilakitu mnaona nchiyetu ikiwa na maendeleo Hamtoweza kumuondoa rais Samia hizo ni chuki za kisiasa hii ndio serazenu
@Emmanuelmaige
@Emmanuelmaige Жыл бұрын
Sasa km kunamaendeleo tunauza bandar ya nn?? Hakili ndogo saaana
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy Жыл бұрын
Pambaneni tuko nyuma yenu
@athumanimfinanga1977
@athumanimfinanga1977 Жыл бұрын
✌️✌️✌️✌️
@berthaamondi8621
@berthaamondi8621 Жыл бұрын
Kweli ndgu yangu waambie ukwelii
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Жыл бұрын
Kwenye nchi yenye watu million 63+ issue nyeti kama hii na kelele zote zilizopigwa zaidi ya mwezi coment hazifiki laki na views 11k(1k =1000)...daah! Kuna tatizo kwenye hoja zetu namna tunavyozipanga wananchi wa kawaida hawatuelewi...
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Sio kila mwananchi yupo KZbin
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
@@dostovan5142 ni kweli na Watanzania wanapenda Simba day Yanga day lakini kufuatilia mambo muhimu ya leo na kesho yao wamewaachia watu wachache
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
NI UELEWA TU.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@coolruler6820
@coolruler6820 Жыл бұрын
Umejaa hekima kamanda,,,,imeenda hiyo
@boniphace1
@boniphace1 Жыл бұрын
Maoni ya tume ya Nyalali kuhusu serikali tatu iwekwe clear kwa wananchi bila kuwapotosha: Serikali ili kataa maoni ya tume hiyo kwasababu watu 49 tu kati ya watu 36299 waliyo hojiwa sawa na 0.13% ndiyo waliyotaka serikali tatu. Hivyo serikali ikaona si sawa kufanya maamuzi makubwa kufuata maoni ya watu wachache (49/36299=0.13%). Viongozi waweke tawimu sawa ili wananchi wapate taarifa kamili.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Hata Tume ya Mheshimiwa Warioba walikuja na mapendekezo ya Serikali TATU. Katiba Mpya ni sasa
@boniphace1
@boniphace1 Жыл бұрын
@@adelinelyaruu3036 Hatuwezi kwepa mabadiliko. Ila tunavyo fanya lazima wananchi wapate takwimu halisi.Unajua ni asilimia ngapi ya watu walioendekeza serikali 3 kwenye tume ya Jaji Warioba.
@HumphreyAtharasha
@HumphreyAtharasha Жыл бұрын
Dah jamanii bac muungano uvunjwe tunaonelewa
@birigitasilayoagustin2345
@birigitasilayoagustin2345 Жыл бұрын
Huyo aliyeanzisha mazungumzo ajitokeze atoe maelezo ya kina.
@StevenLoita-rl9cx
@StevenLoita-rl9cx Жыл бұрын
Et Tanzania bara mbona hakuna Tanzania visiwani ila Kuna Zanzibar. Wameipoteza Tanganyika wanaiuza,wanaijenga Zanzibar
@EphrahimMgalla
@EphrahimMgalla Жыл бұрын
Katiba kwanza upuuzi unaozidi kuenderea ccm sioni cha maana zaidi ya kubomoa
@NixonGerson
@NixonGerson Жыл бұрын
Uwelewa wa tz upo chini sana ..fikiri Aminize na Kajala waliporudiana cometi zilikiwa kibao
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
Sanaa ndugu yangu user inasikitisha lakini siyo kosa lao sana ni mfumo wa elimu na urithi tulioachiwa wa kubweteka kama Congo walivyorithishwa kucheza mayenu wakati nchi yao iliwa na mapanya yote ya jirani na waliopo mbali
@zacharyyesaya
@zacharyyesaya Жыл бұрын
Ingia ingia uwe moja wa kondooo
@GozbertAliseni-vp6kj
@GozbertAliseni-vp6kj Жыл бұрын
Tunauzanchi.kwakuletewa.wArembo.wakiarabu.watanzania.siomalaya.sera zaccm.mwanza
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
WE MBOWE ACHA FITNA!!
@imanihussein9457
@imanihussein9457 Жыл бұрын
unakalia
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 Жыл бұрын
Pole
@AminaMinja
@AminaMinja Жыл бұрын
Bila aibu wanapigania matumbo yao na sio haki ya watanzania.HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NA AIBU YA NCHI.
@latifaomary1203
@latifaomary1203 Жыл бұрын
Hiyo kampuni ndio specialization yao kwenye hiyo tasnia na sisi ndio tumebarikiwa maeneo hayo.Sema chuki ni uwarabu maeneo hayo tu lakini ikitikotea akapewa mzungu mwingine hatuwezi yaskia maneno yako...
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Жыл бұрын
Mbona viongozi wa dino Moja TU.huo ubaguzi.dai katiba serikali Tatu tatu.kila mtu kwao.
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 Жыл бұрын
Huyu Rais hafai kabisa kuwa Rais
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Sasa hapo chadema unafikiri nani anafaa...kuwa rais
@kamndemwakitosha1439
@kamndemwakitosha1439 Жыл бұрын
@@karimkassam571 wewe
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Wewe C umesema hafai ndo maana nimekuuliza
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Жыл бұрын
Mike mama Yako awe rais mjinga mmoja.
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Mtapiga kelele sanaa Mama anapiga kazi,hicho ni kikundi Cha watu wachache wanaompinga Kwa chuki tu
@MelckionMpeka
@MelckionMpeka Жыл бұрын
Hao viongozi wa dini walio hofu kifika kwenye huo mkutano wakumbuke hata petro alipo ingiwa na hofu alipokua akitembea juu maji alizama nanyi mtazama kuweni wakweli
@teriiUrasa-ut1mt
@teriiUrasa-ut1mt Жыл бұрын
Mwamba yaani pamojasana maana ukolonitumeumaliza nashangaa wanaturudishatena
@JamesMatondo-fk4bh
@JamesMatondo-fk4bh Жыл бұрын
Kisma
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Zanzibar hatuwataki tunaomba msije
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Nyie huwa hamnaga akili
@Emmanuelmaige
@Emmanuelmaige Жыл бұрын
Zanzibar !!!!! Duh
@MartinSiimay-jj9jk
@MartinSiimay-jj9jk Жыл бұрын
Kamanda 2tukopamoja
@joycedaniel7720
@joycedaniel7720 Жыл бұрын
Tuko pamoja
@fridajohn
@fridajohn Жыл бұрын
Tuko pamoja kupigania bandari yetu, sasa ndio tunajua umuhimu wa kuwa na Serikali tatu, madhara yake ndio tunayaona sasa, bandari za Tanganyika zinauzwa lakini bandari ya Zanzibar haijahusika, tunauzwa kwa sababu hana uchungu na Tanganyika
@kadangahilary9361
@kadangahilary9361 Жыл бұрын
Hanna sera kwisha
@ChristinaMaginga-yy6rl
@ChristinaMaginga-yy6rl Жыл бұрын
Hiyo nikweli kinacho ongelewa kiheshimiwe
@2003hintay
@2003hintay Жыл бұрын
Wahuni bwana
@AishaShaban-x4m
@AishaShaban-x4m 2 ай бұрын
Muuni ww usielewa
@teriiUrasa-ut1mt
@teriiUrasa-ut1mt Жыл бұрын
Ndiyo maana ya makamanda hainakuchoka 2amshepopo
@teriiUrasa-ut1mt
@teriiUrasa-ut1mt Жыл бұрын
Kwamikuchangiya Chama 2fanyeje
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Жыл бұрын
Hiki chama ni Cha upepo tu, umevuma wa katiba ukatulia na Sasa upo upepo wa bandari nao utapita tu na kibaya zaidi kinawanasheria wanaharakati
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Umesema jambo kubwa maana naona kuna anguko kubwa la upinzani maana hawajitambui
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Wilbert ulikwepa umande, nenda ukadange tu mtaani
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Mtakoma safari, mnadhani ni upepo. Hicho ni kimbunga Cha CHAMA DUME, MTAZOLEWA WOTE NYIE MAFISADI, PUMBAVU, SHENZI, MAJIZI MAKUBWA MPAKA MNATAKA KUUZA NCHI!!
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Serikali jisahisheni
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 Жыл бұрын
Fanyeni uchunguz mjue rushwa ilo tolewa ni shingp na wamegawanyishwa shingp muweke vitu hadharan
@nicholouskennedy9813
@nicholouskennedy9813 Жыл бұрын
Naomba kuuliza kutokana na aliyosema mbowe, Rais mzenji, waziri wa wizara mzenji, katibu mkuu wa wizara mzenji, halafu mkataba wa milele haugusi bandari za zenji unagusa bandari za bara tu . Hii imekaaje? Au rais wa zenji amekataa analinda chakwake? Hebu tafakari
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Mbowe saruti kwako baba
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Жыл бұрын
Mbowe na chadema yako hatutaki kutuletea ushoga wakutoka kutoka Ulaya, Chama chenu ni cha Wakristo kibao na wachungali kibao, kuna Mchungaki Peter msgwa, Lema,Dr Slaa na maaskofu wengi mpo nao
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
Dakika 48 za Lissu jukwaani Temeke baada ya kutua uwanja wa ndege
48:19
Mwananchi Digital
Рет қаралды 204 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
🔴#LIVE: Mkutano mkubwa wa CHADEMA viwanja vya Bulyaga wilaya ya Temeke
1:38:19
🔴🅻🅸🆅🅴 : TUNDU LISU ANAUNGURUMA SEGEREA
1:38:39
JAMBO TV
Рет қаралды 92 М.
LIVE: MBOWE ANATOA TAMKO LA CHADEMA "MKATABA WA BANDARI UFUTWE WOTE",
1:09:50