Рет қаралды 23,238
Kufuatia aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa ataimaliza vita inayoendelea nchini Ukraine dhidi ya Urusi ndani ya saa 24 kama atarudi White House, Rais wa Ukraine Volodimir Zelensky amemjibu kwa kusema kuwa kama Trump anao huo mpango wa kumaliza vita auweke wazi hadharani.
Zelensky amesema kuwa kama mpango wa Trump wa kumaliza vita utahusu kuitaka Ukraine kusaliti amri na kutweza Utaifa wao aseme mapema ili Ukraine ijue kuwa ifikapo Novemba kama Marekani itakuwa upande wake au la!
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.