No video

Mazoezi ya Kijeshi ya China, Urusi na Belarus Yana lengo Kutuma Salamu Kwa NATO?

  Рет қаралды 8,351

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Wakati vikosi vya majeshi ya China na Belarus yakiendelea na mazoezi ya kijeshi mashariki ya Belarus, umbali wa takribani maili 40 mahali ulipo mpaka wa nchi mwanachamawa NATO, siku ya jumapili pia China na Urusi zimetangaza kuanza zoezi jingine la kijeshi katika eneo la bahari ya Pasifiki.
Katika taarifa yake Wizara ya Ulinzi ya China imeeleza kuwa zoezi la kijeshi kati ya Urusi na nchi yao litahusisha majeshi ya majini na melivita, ambapo tayari melivita za Urusi zimeshawasili katika bandari ya kijeshi iliyopo katika jimbo la Guangdong. Zoezi hilo linatarajia kufanyika kwa siku kadhaa ndani ya mwezi huu wa saba.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 3
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Waafrica wote tunamtaka urusi sio marekani anae taka watoto wetu wawe mashoga
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Ай бұрын
Wangejumlisha na N,korea
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂haya huwa ni mazuzu yenyewe sijui ninan kayapa mamulaka ya kumsaidia Ukraine 🇺🇦
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН