Very interesting let the young generation youths to know the truth
@victormwansasu70054 жыл бұрын
Kalii sana ....Niwabunifu sanaa Wa vipnd vyenu ...Huwa havichoshi #wasafi for de life#
@edwinelias85544 жыл бұрын
OTA Benga😝alikuwa na meno yamechongoka km sururuu km umegundua hilo twende pmj na otabenga na chibudenga ndugu wa damu kwa like za kufa nyanii👍👍👍
@allpotentials84204 жыл бұрын
Daah we jamaaa,,,tuko pa1,,,team otabenga😂🤣🤣🤣
@zaitunijuma78313 жыл бұрын
😆
@maysarahesha95323 жыл бұрын
Z Ssd Skd
@maysarahesha95323 жыл бұрын
@@zaitunijuma7831 Vip
@zaitunijuma78313 жыл бұрын
@@maysarahesha9532 pow kwem
@kandeboyjrmanji71494 жыл бұрын
Huyu ndo mbadala sahihi was mtiga abdalahh...jamaa anajua sana...naombeni likes zenu na mimi
@shabanramadhan35874 жыл бұрын
Mtiga zaid uyuu proffes
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
@@shabanramadhan3587 huyo mtiga tumemjua kupitia huyu maana huyu ni muandishi na msimulizi Mwamba
@bigjizee41303 жыл бұрын
Huyu ndie aliye mpika mtiga, Mtiga Ni mwanafunzi wa huyu bwana
@nawesulle35663 жыл бұрын
Huyu ndo anajua sanaaa
@MuganwaPatrick-jy3fx5 ай бұрын
Yoo nependa sana comment Yako nipe nambari zako za sim
@nafuwswedi24654 жыл бұрын
My brother Jamal Historia ya utumwa ni ya kusikitisha sana sana sana Mume wangu ni Mmarekani mweusi ambae hajui ni nchi gani ametokea Africa, yeye ni kizazi cha nne,lakini bado anauchungu sana kwa hawa washenzi wazungu,ukiishi na hawa waamerika ndio utajua jinsi gani bado wanauchungu mno na sio rahisi kusahau,ni historia ya kusikitisha sana kama ukisikia wenyewe wakikuaadithia.
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Kuna na huku omani dada kila mtu mweusi anakwambia ana jua Kiswahili japo vizaz vyao sasa hawajui kuzngumza inaumiza Sana Allah awalaani ote walotesa ndug zetu
@makalakatembo47734 жыл бұрын
Wazungu unaweza ukawachukia milele😰 wasenge sanaa
@donme93084 жыл бұрын
acha tu sema simu unayotumia ata ni ya wazungu 😆😆😆
@goldshukri864 жыл бұрын
Wasenge kweli kweli MACHETANI
@morineakinyi11163 жыл бұрын
Hata mimi sana
@rehema20183 жыл бұрын
Don Me sio ya wazungu
@neemanicholaus54683 жыл бұрын
umetukana eeh?
@ibrahimnyutu14614 жыл бұрын
Wasafi-storybook for life professor Kutoka Kenya tuko pamoja Twajua utumwa mpka wa Leo haujaisha sisi Kama waafrika tushikane pamoja tuweze kuukabidhi racism duniani💯
@baby_najma38010 ай бұрын
🇹🇿🇰🇪
@edmundmbele43074 жыл бұрын
Namshangaa sana mou anaelilia kwenda ulaya, kufanya kazi za ndani wakati rasilimali zote Zipo huku,hususani Ardhi.laiti kama mababu zetu wangeona kizazi chetu tunavyolilia kupendwa na wazungu,na kuwakaribisha kwetu na kuwanyenyekea,nadhani wangelia sana.Tunawabatiza watoto zetu majina yao ya kishetani,zaidi sana tunabaguana kwa dini dini ambazo zimetoka kwao hao hao washenzi,unawezaje kumuita ndugu na jamaa yako kafiri kisa tu,haamini imani ya kitumwa kutoka huko kwa mashetani weupe.Unakuta mzazi yupo tayari mwanae aitwe BROWN,lakini sio aitwe KAHAWIA,hivi tupo sawa kiakili jamani.......PUMBAVU KABISA
@abdulmarijani33014 жыл бұрын
Nice mwamba your the hero
@allexlunny77954 жыл бұрын
Hongera sana bro tunajivunia kuwa na watanzania wabunifu kama ivi tukiwa kama watanzania endelea kutufundisha wavivu wa kusoma vitabu
@carolkangethe95444 жыл бұрын
Jamal is alikiba's look alike Viva africa may God bless Africa both today and forever..
@tariqomary61782 жыл бұрын
Eeeh
@ismailkasim79604 жыл бұрын
OTABENGA ...R.I.P
@saidantugwa76714 жыл бұрын
Jamal uko deep sana proffesor!!! Umetisha unachimba madini c kitoto~good bless yuh"
@costantinejohn66614 жыл бұрын
Hii story imenikumbusha shule jmn bigup sana bro
@kingsalva46633 жыл бұрын
Uui
@biramsakh92123 жыл бұрын
Allah Akbar. Allah awalaani mizungu iliofanya ivo. Inauma sana
@norbertmafioso32134 жыл бұрын
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥huyu jamaa anajua
@elias123lazaro34 жыл бұрын
Muko vizuri Sana wasafi tv_ the story book
@jolamababyofficial64814 жыл бұрын
Ur xo creativity bro, kp it up 🔥🔥🔥🔥
@mjuba4 жыл бұрын
Jamal Mustapha!! You're the Great💪💪
@jaymontale47184 жыл бұрын
Professor unajua sana.
@stellaobieno8696 Жыл бұрын
So sad ....and years down the line we have not yet attained independence, not just physically but psychologically. A deep history...TRULY PROFESSOR!!!Nice work
@faudhiaamerii6692 Жыл бұрын
Na wewe mtumwa unatumia ruga sio taifa
@Buonjiboy4 жыл бұрын
Can we all as an African people come together and unite . We still suffer from the effects of slavery. Look at what our people had to go through 😭😭 very heartbreaking 💔!! Let us please unite ...I hope this message does not fall on deaf ears.we can do it!!!
@dishasuwa76164 жыл бұрын
Problem is our leaders,
@mosucc12694 жыл бұрын
Not in Africa countries
@denicodilo94844 жыл бұрын
prblm iz neo colonialsm
@edmundmbele43074 жыл бұрын
you still even use their language....inafurahisha sana utumwa unaotutesa sisi Waafrika ni wa fikra
@richardibrahim56092 жыл бұрын
@@edmundmbele4307 hakika. xax ame2mia english ya nn xx.
@kelvinpatrick53054 жыл бұрын
Bro unachunguza asee, like kwa kaka mkubwa jamn
@veronicaboaz98124 жыл бұрын
Nzuli sana
@husseinmambo67394 жыл бұрын
DUH HUYO OTABENGA USIOMBE AKUNG'ATE HAYO MENO DUH😂😂
@astedbinyama99153 жыл бұрын
🤣🤣🤣stop that
@sebastiandidier79284 жыл бұрын
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu keep it up brother 💪
@onemoremotivation80454 жыл бұрын
Mko vizuri sana MashaAllah lakini natamani sana kuwapata na kwenye PODCAST wasafi mtupe storybook pia kwenye Podcast wengine tunapendelea zaidi Podcast kusikiliza ila kila kitu ni kizuri nafurahia sana Storybook MashaAllah ila mkileta na podcast zenu itapendeza zaidi na zaidi Asante sana WASAFI
@elifarijilaizer48464 жыл бұрын
Bro unapata kupitia podcast yangu karibu na u share please link on twitter.com/erickitalazyo
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Ila unaniliza kipenzi am a bit sensitive when it comes to anything to do with children hasa ikiwa si kitu kizuri wanacho pitia.😭😭😭😭 as always kazi nzuri Jamal 💪
@Micharazotz4 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/bJLFqnyNosqphZo
@christonchristian7448 Жыл бұрын
😢😢baeb
@ankomady76192 жыл бұрын
Napenda kusikiliza store book bgpu xana jamal
@sophiaali13613 жыл бұрын
Tuwaue wazungu
@maddog5358Ай бұрын
asalamu alaikum mwalimu wetu mim nakuobea allah akuzidishie ilimu nauhai katika maisha yako pia katika mgogo wako Allah atoa moja kama wewe jamali Allah akupe janah firidaush amina🙏
@hassaniothumani55014 жыл бұрын
Nimeikosa kwa tv leo nilikuwa naisubir huku .🔥🌍🔥
@rumayojr46384 жыл бұрын
Huwa na mda gan kwa tv?
@shabaniadolph73674 жыл бұрын
Jamal atar Sana ww ni professor haswaaa
@rameckshalom90564 жыл бұрын
Africa tulipata tabu sana ndy naama m/mungu kaamua kupunguza covd19 or corona kwa kiasi kikubwa xana niayake tupumzike tumetesek xan
@horizoncompany21924 жыл бұрын
The best
@looruaolendere25972 жыл бұрын
Hongera sana nduguyangu jamal kwa simulizi nzuri ALLAH AZZAH WAJALAH AWE PAMOJA NA WEWE, ni mimi Hassan gamal tobiko from Kenya
@aceotz25794 жыл бұрын
Upo vzuri sana Prof.👌😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙
@mfaumeseif58724 жыл бұрын
Jamal unajua sana kusimulia na sauti yako ni ya simulizi...hongera kwa kazi nzuri
@meddywayne71553 жыл бұрын
Kama umegundua Jamal anamapozi ya kucheza na story akiwa anasimulia gonga like yako hapa
@taliskare30074 жыл бұрын
From 254 🇰🇪🇰🇪 thanks a lot jamal
@Yuzzowgrapher4 жыл бұрын
dah jamaa anajua sana.....kama unapenda kuwa na IQ kama ya huyu jamaa weka like yako hapa
@anuaryfernandez72304 жыл бұрын
Otabenga Atakuwa Na Undugu Na Chibudenga
@MenTPL4 жыл бұрын
😂
@menlandmutashobya83774 жыл бұрын
He he
@oscarmick80274 жыл бұрын
😂😂
@masebtommy18634 жыл бұрын
😁.. chibudee chibudenga
@anuaryfernandez72304 жыл бұрын
@@MenTPL 😂
@joobrizy14364 жыл бұрын
Wale wa story book tujuane🖐🖐🖐
@noxlosingida23694 жыл бұрын
Ana sauti nzuri sana kwa simlizi yaani unasikika vizuri maneno unatamka vizuri sana, alafu msimulizi alitaka kufanana na Ally Kiba
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
Very sad 😭 story makes me cry 😭 and angry Africa wake up time for change from me to U God 🙏🙌
@fatmamwatamba58813 жыл бұрын
Daah aaisee hii ni hatari mpka najiisi vibaya mno😢😢😢😢 Walifanyiwa vibaya mno
@noonhustler1753 жыл бұрын
Kazi nzuri Jamal April
@aftermath52264 жыл бұрын
I really is love with this soundtrack, Inaendana na visa hivyo ni ubunifu wa hali ya juu when i think about The story book by Jamal, the soundtrack it's also my favorite issue to that stories 👌❤😎💪😊
@kingkittah67484 жыл бұрын
YAMOTO KABISA PROFESSOR KIJANA WAKO HAPA NDOTO ZANGU KUKUSOMEA ULICHO ANDIKA MKUU!!
@zenapetro8494 жыл бұрын
Wanatakiwa kutulipa fidia wanasheria wako wapi kwa upuuzi waliotufanyia wajinga hawa
@goldshukri864 жыл бұрын
WHY THEY don't SHOW this ON TV to ur children IN AFRICA or teachin at school. let the children know their enemies. Itakuwa vizuri for th new GENERATION
@japhetmasini86324 жыл бұрын
Daaah mpka roho imeniuma yani
@SennyFleva_14 жыл бұрын
Allha Akbar. Sir god
@mussanassoro7904 жыл бұрын
Goood bro
@cliffordogolla72943 жыл бұрын
Thanks for this wonderful story I love this... Kindly I would like to see more of this and other ones that happens and that happens century bless
@fabianenosy70273 жыл бұрын
I apritiet my bro.good work
@kelyanjeremiya25334 жыл бұрын
Ndy professor... Heshima kwako Jamal..👍 japo natamani mtiga ajirudi muendelee kufanya kazi kwa pamoja kwan mna combination nzuri sana
@nzekindunga9883 жыл бұрын
ouchhhhh!!!! IT'S NOTHING BUT A PAINFUL CREDIBLE TRUTH Pro. JAMAL I just feel like this was more than brutality. It's time that we as Africans should feel this as being ruthless and we ought to stand and STAND as resolute people. people with brains enough to rise up .
@allymatilda75194 жыл бұрын
Msenge nilikua sikukubali ila saivi nakuelewa sanaa kweli huwezi kufanikiwa bila kupigwa mawee hongera umetuprove rwong sisi kama wajumbe
@morrismwangi80154 жыл бұрын
lots of love from kenya...kazi nzuri
@amosmunezero99582 жыл бұрын
Baada ya Mungu ni mzungu, mmm mimi nasema baada ya Mungu, nimimi Amos, the little God on the earth, because i am a chidl of God.
@shahamemalenga48384 жыл бұрын
Niko naicheki
@joackimmbonde41254 жыл бұрын
Daaah kumamake.. Wazungu walicho kifanya kwa ma babu zetu sio poa
@veeJesus3 жыл бұрын
😭😭
@frankafrica39734 жыл бұрын
Huyu Jamaa Ndio Alikuwa ana Mfanya Mtiga Ashine Jamaa Anafanya Tafiti Zakisomi
@hooswengosha29853 жыл бұрын
Wacha uchawi kila mt anauwezo n kipaj mungu fundi
@blueeyes59523 жыл бұрын
Utaona wa bongo wanapenda wazungu nakujamiana na makafara
@yachuafricansmart17634 жыл бұрын
Eemwenyezi mungu tuondoshee tawala za wazungu katika uso wa dunia
@reubenngomi43773 жыл бұрын
Jamal kazi nzuri barikiwa
@abnizplatnumz55204 жыл бұрын
The storybook is 🔥🔥🔥🔥
@denyquedee3149 Жыл бұрын
Endelea kutuletea story tamu tamu
@OmegaThreads4 жыл бұрын
Hahahaaaaa 1st. nimejikuta nazingatia video production 2nd. Audio (Kizazi Sana)
@user-pm6tb4yz9i6 ай бұрын
Kila ijuma saa moja nakumbuka shuleni the story book
@etolozakaria39164 жыл бұрын
Mini Akili yangu baada yakusikia hiyi simlizi inaniabia kila mzungu no mshezi kwangu.
@tzcivilengineeringupdate42753 жыл бұрын
nasikitika sana baada ya kuona watanzania wenzangu wanalilia like nakusahau walichopaswa kujifunza kutokana na historia hiyo
@ramadhanboi64854 жыл бұрын
Jaaamaaa kwa mbali kama alikiba mm nlijua kiba kwenye thumbnail
@mariamabdallah52244 жыл бұрын
Na mm pia nimejua alikiba
@ramadhanboi64854 жыл бұрын
@@mariamabdallah5224 😁😁nilistuka leo wasaf wameamua nn kutoa story ya kiba
Waafraka kwann watu hawa bado tu tunaitaji maada wao ingawa walitutesa Sana hata hivyo mpaka sasa bado wanataka kutumaliza like please anayekubaliana na me
@aminakawawa19354 жыл бұрын
Siwapendi wamarekani weupe wana roho mbaya sana 😭😭😭🤲🙏
@nivanivan18204 жыл бұрын
Leo siku ya mwisho kusikia the story book back to school
@ramadhanboi64854 жыл бұрын
Acha tuu yani
@mwanahawa63624 жыл бұрын
Hahah
@nivanivan18204 жыл бұрын
@@mwanahawa6362 bc 2
@nivanivan18204 жыл бұрын
@@ramadhanboi6485 hhh
@kingmichael38604 жыл бұрын
All the best my young
@omarvovahd53994 жыл бұрын
Wazngu wa,se,nge kwel
@Pro_Hacker994 жыл бұрын
Ata kabla sijaanza kuskiliza....mmetisha sana wasafi kwa ubunifu, big up🤙
@cyrabrown86094 жыл бұрын
😢😢😢mimi heshima yangu kwa wazungu apana Napenda Africa
@calvinnundwe23163 жыл бұрын
Hey
@micamathew25953 жыл бұрын
Dahhhh aisee haya mateso si za kawaida, dahhh inaumiza sana jmn!!! Afu cha kushangaza hata wanawake hawakuachwa, wote waliteswa vibaya sana na minyororo shingoni mwao!!! Jmn wazungu si watu!!! Hawa watu weupe jmn ni mashetani wakubwa!!! Oky tuwaache tu, Mungu atatufuta machozi siku mmoja. Amen.
@abdulnaseermrisho43424 жыл бұрын
muda mwingine haya mambo walio tufanyia ngozi nyeupe ninaona hata hushpup yupo sawa kuwapiga mabilioni ya pesa
@owenmero64554 жыл бұрын
Amin mzee 😂😂
@edwardgistave94884 жыл бұрын
Huu ogonjwa Wa kitaifa wakuomba like kila siku umevuma sijui kwanini au namm ndo njaaa yangu
@briantelulu27934 жыл бұрын
Ulishindwa kutaja ilitokea inchi gani but anatajwa kuwa nilitoka CONGO
@MohamedAllyMohamed-me4bb Жыл бұрын
Africa is the second largest continent and the richest if only we unite as one we would've unstoppable and the strongest .
@bobrama58444 жыл бұрын
The first to coment hit like here
@Micharazotz4 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/bJLFqnyNosqphZo
@twaribkitogota2084 жыл бұрын
Brother uko Safi Yani unasimulia vizuri Sana story book
@priscajose10323 жыл бұрын
Asante sana Kaka nimefahamu kitu
@sophiaali13613 жыл бұрын
Ilike the story book
@hooswengosha29853 жыл бұрын
Watu tunatoka mbali sana nashangaa ati wale wanch gn cjui hp africa wanatka fidia y pesa kwa damu za wat walouwawa na ujeruman dah ujinga kwa mawazo yngu kwann wasidai vichwa vya wazungu tkavila
@avitusdamian32324 жыл бұрын
Vyema sana unatafiti, pia Sauti yako inaridhisha MTU kuendelea kusikiliza
@cynthiakipendo99334 жыл бұрын
Well done professor! 👨🏫
@Sophie-sl7zc Жыл бұрын
Asili haachi asili utumwa bado upo nashangaa sasaivi mzungu anamapenzi na mwafrica siamini lakini iyo ndiyo rohoo yao haita badika mbaka mungu ajioneshe
@gaiksaimon10954 жыл бұрын
thanks wasafi media...for this attractive story.!
@cynthiahbhoke71523 жыл бұрын
I love your stories so much, keep it up
@mukandilele96592 жыл бұрын
Kuna ukoloni mambo leo
@muhammadkombi59544 жыл бұрын
Kama nawewe umeona kua Jamaa kafanana na Ali kiba like hapa twende sawa
@mariamabdallah52244 жыл бұрын
Hahaa ht mm nimesema jaman
@tomkroos20944 жыл бұрын
Hivi ndo vipindi vzuri vinavyo sisimua UBONGO. asante Professor Alikiba