Tid alivyotoa ushuhuda wa matumizi ya madawa ya kulevya mbele ya Makonda

  Рет қаралды 10,850

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Msanii wa muziki wa bongo fleva maarufu kama Tid aka Mnyama ametoa ushuhuda mbele ya Mkuu wa mkoa Paul Makonda na Igp Kamanda Sirro akisema hata rudia tena kutumia Madawa ya kulevya.

Пікірлер: 18
@hamidurashida7834
@hamidurashida7834 7 жыл бұрын
Hizo mbwembwe tu...wengi hutangaza kuacha ila hurejea tena..yangu macho
@ashakatima5064
@ashakatima5064 7 жыл бұрын
mungu akuongoze na akusimamie InShaAllah
@BarakaSanane
@BarakaSanane 7 жыл бұрын
be blessed kwa umeonyesha ujasiri wa hali ya juu hakika utakuwa kioo cha jamii
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 7 жыл бұрын
msema kwel mpeni wa mungu msamehe umekubalika hongera kwa kujitambua
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 7 жыл бұрын
Kufanya kosa si kosa.Kosa ni kurudia" KOSA TID "Maneno yako yatosha kuwa hukumu yako. Big up.👍.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 7 жыл бұрын
MUNGU akubariki TID wetu tunakupenda sana.yaani mpaka nimetoa machozi
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 жыл бұрын
Nahimana Joyce kiukweli Mimi mwenyewe imeniliza hii na yote hayo tusingeyajua mpaka mungu kumuweka makonda kwa makusudio yake ,kumbe wengi wamejificha Hatujui,iwe mungu wape nguvu viongozi wetu
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Khalib my bro nimependa sana kwanza kwasalamu,kwahakika kimuonekano nimekuhisi umeanza kubadilika
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 7 жыл бұрын
kweli mira Abdullah.inauma sana.
@rukiahussein9737
@rukiahussein9737 7 жыл бұрын
Pole Na Mungu Akusaidie ila take care bro
@rugugumangobo1069
@rugugumangobo1069 7 жыл бұрын
ila tid kama kweli umeacha madawa ya kulevya inatakiwa umludie mola wako.
@maswagamkuta8695
@maswagamkuta8695 7 жыл бұрын
namukubali makonda mungu amulinde makonda
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Safi
@nancynsekela3770
@nancynsekela3770 7 жыл бұрын
proud of you tid
@yusuphmussa6589
@yusuphmussa6589 5 жыл бұрын
Mnyamaaa saffi
@estherwangare9759
@estherwangare9759 7 жыл бұрын
T.I.D LOVE YOUUUUUUU
@eddomgaya5059
@eddomgaya5059 2 жыл бұрын
Toka apa
@bremo3241
@bremo3241 7 жыл бұрын
big up boy tid
Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga
10:39
Global TV Online
Рет қаралды 15 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 28 МЛН
TID -"SITORUDI KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA"
8:09
Millard Ayo
Рет қаралды 2,7 М.
Polisi DSM 'ILIVYOWANASA' Watu Watatu Wakisafirisha Madawa!
18:50
Global TV Online
Рет қаралды 18 М.
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 176 М.
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,6 МЛН
FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM
10:49
POLISI DSM YAWANASA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA DSM
9:55
Millard Ayo
Рет қаралды 128 М.
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН