Mavoko Yuko vizuri asikate tamaa anakubalika sana maneno ya watu acha iwe story kama wimbo wake.❤️❤️❤️❤️
@daynesakulu3169 Жыл бұрын
Imebaki story ni wimbo nzuri , ana nyimbo nzuri nyingi tu, Mavoko ni mwanamuziki mzuri sana.
@brendankatha8038 Жыл бұрын
cha muhimu maokoto bro ukipata riski ya siku inatosha💪💪👍💯 much love from Messi kadenge 254🇰🇪🙏 big up mavoko Kwa upendo Kwa watu bila kiburi au maringo.🙏🙏
@MBATINOFILMS Жыл бұрын
Tin we ni msaada mkubwa sana sana katika sanaa yetu ya Tz 💥
@HamzaMpilla Жыл бұрын
Kwenye maisha kila mmoja ana njia zake za kupita
@makejaffar8119 Жыл бұрын
Ameanzisha ili tamasha la chaka to chaka..Kesho utaona mabwenyenye wengine wanaiga... Respect Rich Mavoko
@avidiuselias4126 Жыл бұрын
Natamani Rich Mavoko awe kwenye competition ya Kina Kiba, Konde na mondi. Namkubali sana Mavoko. Big up sana Tin white
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mavoko kote anakubalika mi napenda sana nyimbo zake mpk Sasa ni Nzuri hazichuji ❤❤
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Kabisa aendeleee hivo hvio
@draxlerjunior1882 Жыл бұрын
Chaka tuchaka salute tin white napenda kuwaona p1 na mkojani
@lailalaila8206 Жыл бұрын
Nimependa hi ya kumnyanyua rich atasimama in sha allah kweri allah kareem uyo mond sio allah wara atoi ridhiki yye nani kwa mfano mbaka ashudiwe hongeren tin wainti na mkojani pambaneni na washiken mkono wario didimizwa kimsiki na kuigiza mrad ridhiki ingie maokoto ndio kira kitu sio mbaka mtu afanye sho mjin hata vijijin ni utafutaji na vijijin ndio kunapesa sana kuriko mjini sema waja wariozoeya mji hawaerewi?
@ManG-ru1km Жыл бұрын
Safi sana kaka wa Rich kumtia moyo ndugu yako
@tabiangonyani3526 Жыл бұрын
😂
@Shekalagekassim Жыл бұрын
Namkubari sana rich mavoko big up kwake .....upo na mashabiki wa kutosha broo
@salomecomedyofficial Жыл бұрын
Chaka 2 chaka itakuja kua show kubwa hatari, next time mjumulisheni na 20 percent,, pia na Best nasso ikiwezekana,,
@richardromo1547 Жыл бұрын
Pia mavoko alete show Kenya fundi mwenye 🔥🔥🔥💪💪💪
@christinembeye5489 Жыл бұрын
Safi kabisa Tin White umewajibu Vizuri sanaaaa👍 Mhimu Mkono uende Kinywani kuliko Msanii anae Lala na Kunywa au Kuvuta. Big up Mavoko’s Brother. Mavoko asisikilize Maneno ya Watu achape Kazi tu❤🤝
@alimasha7017 Жыл бұрын
God bless your progress ❤❤
@PamelaJonas-dh6lg Жыл бұрын
Yani nikiangalia wote hapo naona komedia tu 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ nawapenda sana yana mpo services lakini surazenu zinakaa kuchekesha tu😂😂😂😂❤❤❤
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Namkubali sana mavoko kigwendu mbona anamawazo sana jmn ila nimependa ubunifu wenu🎉🎉🎉🎉
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
Mavoko ana kipaji kikubwa 🎉
@eduardomala150 Жыл бұрын
Hongera sana, huo ni uvumbuzi mkubwa sana. Mnastahili kuingia kwenye "Guiness book". Wanatoa dhihaki watakoma
@ikouwasi7644 Жыл бұрын
Hii nchi ngumu yaani waingie kwenye guines book kisa show za vumbi😂
@mweroruwa6339 Жыл бұрын
Chaka 2 chaka big up sanaaaaaa tine white
@salimkibwana4189 Жыл бұрын
😂😂😂kingwendu ameenda chaka 2 chaka akarud na mtoto😅😅😅
@fidemgonja1966 Жыл бұрын
Xafi sana wazee achanane nayule paka maringo wa tandale
@izzahboe1442 Жыл бұрын
Namuona Samofi kwa nyuma😂🥰🥰🥰🥰❤❤❤
@AllenMwakabana Жыл бұрын
Me siwapingi brothers... Mapambano yaendelee
@edwinelias8554 Жыл бұрын
Mkojani 😂eti tutaanza kulinga hapa karibuni
@rasmbegu Жыл бұрын
Heshima kwenu damu zangu mmetisha sana nipo upande wenu
@TitaOmari-c4x Жыл бұрын
+254 mm nakubali xana Richie mavoko God bless him❤❤❤❤❤❤❤
@demolenebooysen2085 Жыл бұрын
Piga kazi sana
@RamadhanBasha Жыл бұрын
wazee wa bariad chaka to chaka saf sana mshiko upo mpka chaka ni mikazo tu
@SaidiAbdalah-y4h Жыл бұрын
brodhe mond nakuomba uweke ofisi yoyote ile songea meneja niwe mimi atupigiela kafungue labo kule
@D_50886 Жыл бұрын
Sanaaaa nasis tufaidike bana
@VYATWONAGROUP Жыл бұрын
Brother .K.
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Duuh yani VOKO kawa sawa na kina Best Naso 😂😂😂😂😂 Chaka tu Chaka for every body😂😂
@KitangaliMaster Жыл бұрын
Voko Ukovizuli mwanangu endelea nashoo shabikizako tunakusapoti By kitangally
@matabishipatrick3965 Жыл бұрын
Hongera kwahio mawazo mazuri saaana yani chukuweni wale wasanii wote waliyo jificha muwazungushe African zima tunatani kuwaona kabisa, karibuni Uvira,kalemie,Lubumbashi,Bukavu,Goma,Bujumbura huko kote mutatoboa
@Lovenesszani Жыл бұрын
Team rich ❤💪💪💪💪💪
@ricklandennis Жыл бұрын
Chaka tu chaka zina faida kubwa ukitolea pesa watu wanaona fursa kibao huko ndichi kwa uwekezaji wa pesa kidogo, ila kwa mpumbavu anayehisi maisha ni mjini tu na kuwa chawa hawezi kuelewa
@chiefnyanda3260 Жыл бұрын
Good idea
@SufoWazir-s4q Жыл бұрын
Kkkk😂😂😂 kingwendu ariludi na prado. Na sio prado tuu ariludi pia na mtoto wa kiume
@MusaDadi-pd3jd Жыл бұрын
Mtanga angekuwa na bambo ingekuwa poa sana
@kisebwaanord1787 Жыл бұрын
Acheni uongo kashuka kiwango ila sisi bado tunampenda akaze ❤❤❤
@منهج_الرسل Жыл бұрын
Mtanga akili zako mbovu 😂😂😂
@mussasalimomuarabo7259 Жыл бұрын
Mavoko anajulikana adi Moçambique UP mavoko!
@KassimSiri Жыл бұрын
Og
@roseney5779 Жыл бұрын
Nice aidia
@AbdulhakimAbdala-qc5pj Жыл бұрын
Kingwendu anaitamani hii hiyo maiki
@EzzyEddy-il3ce Жыл бұрын
Mje na Tunduma border hakuna wasafi festival Wala fiesta huku but Kuna watu wakutosha na mafans wenu wakumwaga wapo huku so muwe mnaangalia pande zote
@mdachiog5211 Жыл бұрын
Kabisa
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Tunduma 😂😂😂 wakinga kutosha
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Hizi shoo amnazo piga rich mavoko ndio zinahela kama hamuamini umuulize h baba
@shykohjopa7518 Жыл бұрын
Atamim namupenda mavko
@oneboytzoneboytz6789 Жыл бұрын
Waje TUNDUMA
@mashalamusicempire1158 Жыл бұрын
Nakubali nakubali karibuni sana kwakitolyo
@thumy0926 Жыл бұрын
Pigeni kazi
@RichardMlaguzi Жыл бұрын
Kaz Kaz ilimradi maokoto yako vizuri iyo festival yao yenyewe pia wengine wamekataa laki tano sio kisa umepanda jukwaani
@rahimmarions5712 Жыл бұрын
Hii itakwenda itakuja kuwa ndio style.. Chaka to Chaka watu wanapiga pesa sana Ila wakina stuka wenzao wako mbali tu
@AishaTarimo Жыл бұрын
Mbona Mkojani analegeza macho 😅😅😅😅
@brazilsanga7978 Жыл бұрын
hakuna Cha kishuka brandi mashabiki ni Hawa wa chini wa juu wapo wangapi mavoko nakukubali sana njia hii ukiiheshimu itakutoa zaidi usiangalie machawa wanasemaje
@kherizambo420 Жыл бұрын
Long time pacha wangu
@meshack3266 Жыл бұрын
Ila kamkojani bhana utazani sio kenyewe kanakosumbuaga kwenye muvi😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#kwer kabis
@donaldmartin-ps2ig Жыл бұрын
Chaka to chaka
@suleimanjuma1872 Жыл бұрын
Mavoko kafungua fursa kwanza haina gharama
@Mswahili-12 Жыл бұрын
Ila kwenye ile clip muliyoonesha pesa, kwa mimi nimeziona elfu 30 tu.
@HenryckLuslaus Жыл бұрын
Jamani ringo yuko wapi
@ernestsereli8559 Жыл бұрын
Wapili mm
@Mr_maamen360 Жыл бұрын
Lao mmeniwahi
@milliardere9177 Жыл бұрын
Mavoco
@SalehSaleh-yr7ce Жыл бұрын
Kingwendu kitambo sana alikuwa na kofia yenye mwamvuli kazuramimba kigoma
@-ex5ig Жыл бұрын
Sna sna mnafanya poa snaa njooni narombo tarakea nyie ndiyo wasanii wakubwa kilakijj wanahamu yakuwaona sana
@victorbwisso Жыл бұрын
Njoo Eni na mbingaa ruvuma uku
@princehalawa_official7980 Жыл бұрын
Yani Tin ukimuona ata akiwa serious basi utacheka tu 😂😂😂
Rich mavoko haja anza leoo. Kuna show akipiga malawi ilikua Loko sana lakini ndiyoaliingiza pesa freshi .
@godfreysanziki1461 Жыл бұрын
Nikimwona kingwendu na jicho lake la khila 😂😂😅nachekaga sana
@mdachiog5211 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@janifferkavutu7484 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fatumasuleiman6989 Жыл бұрын
Kingwendu yupo seriously 😂😂😂😂
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Pesa bongo zipo ndiyo maana wazungu wanakuja kuwekeza
@bonabonala5559 Жыл бұрын
mavoko sio freemasoni hamasharti
@Saginimokaya-rp5cg Жыл бұрын
Mziki wa Vijana ukahi mavoko achanza Leo kuimba anakubalika kimziki
@HalidiMbonde-jn4hi Жыл бұрын
Mikoa ya kusini pia
@suleimanmohamed111 Жыл бұрын
Hawakawii kuiga sasa hapo halafu wajifanye kuboresha mafisadi
@nzitogondwe9976 Жыл бұрын
😂😂😂 acheni uongo atapataje Hera show ya uwazi vile au tunzo za buku mbili mbili ndio maokoto acheni uongo mavoko kashuka nanyie mmeona ndio pakupatia ishu
@193_JR Жыл бұрын
Ukiielewa hela hutadharau hela
@fatmanadia1357 Жыл бұрын
Kumbe tin white ni kaka yake mavoko
@abrahamtitusi8967 Жыл бұрын
nivizuli sana kunamashabiki wapo wametulia huko mikoa wasanii muwemnaenda jaman mashabiki wapowengisana wanawapenda msanii kioo cha jamii
@lugakajohn4509 Жыл бұрын
Hii comedy inaemdelea
@perfectpixelsstudio3603 Жыл бұрын
Watu elfu 6 hicho Kijiji kinawatu milioni ngapi ???
@HISEXCELLENCEFAMILY Жыл бұрын
Natamani wampe nafasi kingwendu😅
@kitapondatv8709 Жыл бұрын
Mtanga anatetemeka akiwa kwenye vyombo vya habari
@isayakatuwa9482 Жыл бұрын
Huyu kigwendu sura yake tu mi nacheka kinoma
@ChrisMwambeje Жыл бұрын
Nendeni morogoro vijinini
@JazamuKadogo Жыл бұрын
Bwana mkojani tumekumiss kitama tandahimba chaka tu chaka iibukie tandahimba kipind hichi cha msimu wa korosho maokoto yake usipime ndio maan mwenyeji konde boy atakuja miezi hii
@issackathman850 Жыл бұрын
kachakaa kweli bana yani muhuni kakonda kinoma
@DOTOCHARLES-so7rh Жыл бұрын
Safiiii
@JumaSalum-r3g Жыл бұрын
Atar
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Kwaiyo mavoko amekua comedian sio
@DaniKasa-en4kt Жыл бұрын
Samofi namuona nyuma
@FredrickFredrickPhilomena Жыл бұрын
Kingwendu bana yani sura yake ni ya kicheko 🤣🤣🤣
@SheddyTz-m7t Жыл бұрын
Tiny white nawakubal sana
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Safi
@tabithakitundu8736 Жыл бұрын
Ana akili. Ukiitaka mali unaipata shambani
@wiseman-or8xv Жыл бұрын
Hahahaha mutajibiwa kila swali lenu na hao watu
@paulalove1223 Жыл бұрын
😂😂😂
@jessicanchimbi9419 Жыл бұрын
Mkojani ametulia kama mtu kweli
@مونيكمونيك-ع1غ Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rajogemzanaki3030 Жыл бұрын
Me nawaunga mkono pia naweza kupafom naomben nafasi chaka tuchaka