Daah bro umekulia maisha mazur sana wengne hata hizo posho wazaz wetu hawajawahi kuziona wala hata nyumba ya bati mpaka leo hawajabahatika kujenga zaid ya nyumba za nyasi..Yaani dhiki juu ya dhiki,mlo mmoja usio na uhakika..kifup ukiona kwako kunaungua wengne kwetu majivu kabisa,Ila hongera na Mungu akusimamie kwa kuwakomboa wazaz....
@mainajimmy60037 күн бұрын
Amen, napenda sana mawaidha yako boss.. much respect
@MariaChitema6 күн бұрын
Hongela sana chifu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@richardibrahim5609 Жыл бұрын
Yaani shamba lote hilo halafu unasema umetokea maisha ya chini🤣🤣🤣
@Mwampashe-o7p11 күн бұрын
Imenigusa san, mshua anamiliki baiskeli tu lakini baiskeli yenyewe marufuku kuigusa😂 nimetokea huko
@SemsyNganaАй бұрын
wew mbona wakishua kabisa asee
@kingswebe3251 Жыл бұрын
Eti mzee anajenga ghorofa lake huko wakati lile ni kanisa 😂😂
@Holyandunique17214 ай бұрын
Huyu jamaa akili Hana, umetokea maisha ya chini ambayo watu hawakuwahi kuishi Nyumba ya bati na rangi aise, unayajuwa maduku wewe watu tumekulia Nyumba za nyasi hakuna hata kuku lakini Leo tuko mjini life linasonga jitazame ww
@JohnMtatiro-kx4jw4 ай бұрын
Amen safi sana ndio mambo ambayo tunatakiwa tuwafanyie wazee wetu ili tupate kheri na baraka
@NadharMohd-ek8wl5 ай бұрын
Mh!Kumbe ni kuzuli kweli,natamani nifike unainjoi life,kuko poa sana
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
Mkoa gan
@Joseph-e4s7o4 ай бұрын
Wanakutukana ni matutusa mim mwenyew nimeishi maisha magumu nataman kufika ulipo bro
@linnusaloyce65594 ай бұрын
Mkuu hayo cyo maisha ya chini kk hayo ni maisha ya kati mzee kuna waliotokea ya chini kibanda nyasi tope kuta kitanda cha fito godoro mi nyasi chumba kimoja raia shazi kwaiyo wew kwa mazingira yko ulikuwa km wakishua flani kwao japo upande wko ulikuwa unajiona kama kwenu maskini sn ila wale wachini zaidi wakikuona wakishua kk kwaiyo jivunie wazee wako walikulea nyumba nzuri mkuu
@jeremiamsuya1820 Жыл бұрын
Amen chef
@jumamnyika7041Ай бұрын
Wazwaz bro strong
@JaxBeatKillerАй бұрын
Amen bro
@RichMond-nw6jm2 ай бұрын
Kaka habali samahani naomba muongozo wako wakupata pesa nisaidie kaka
@Softtlipss0012 ай бұрын
Amen 🎉
@Preetyamshy.16 сағат бұрын
🙏🙏🙏
@OumaWuodabandu3 ай бұрын
Pongezi chief God love mi Niko Kenya nakufatilia ndugu
@DottoNtemi-kt5jc3 ай бұрын
Safi sana yaaaaaaaaani kaka
@michaelkazungu19873 ай бұрын
Amen blessings
@brandkomanya60643 ай бұрын
Nimekuelewa bro.
@MichaelVughese4 ай бұрын
Kivipi u aeza kuwa na pesa kiasi icho mimi ni mkongomani naishi uganda Kampala naeza penda nikuone face to face brother
@stanfordaradini5220Ай бұрын
Umeongea pont brow
@magrethdaniel844111 ай бұрын
Ni kweli kabisa kaka wazazi ni mungu wa pili
@guellordrachid2875 Жыл бұрын
Amina insha Allah
@johnshongoro Жыл бұрын
Safiii
@SUN_GFboy3 ай бұрын
🎉🎉🎉uhakika🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@showejikinjekitile5942 Жыл бұрын
Za mchana kaka Mr money Mr famous tajili mdogo zaidi africa hakunakibisha ila nikuombe sapoti yako kwangu
@VeronicaMushi-ms1tn26 күн бұрын
HONGERA SANA.
@aswaneliphas227111 ай бұрын
AMEN 🙏 in GOD we trust
@RichMond-nw6jm2 ай бұрын
Hata nikipata mawasiliano Yako nikakutafuta kwa mudawako siombaya utakuwa umenisaidia kaka
@GetfordMasehe-w3m11 ай бұрын
Mi nakukubali Sana chief
@stanfordaradini5220Ай бұрын
Najitahid kupata mawasiliano yako,lakin sipat mkuu.naomba namba yako
@neemachaula61124 ай бұрын
Nakupenda bure kwauwaz na ukweli
@emmanuelissack6164 Жыл бұрын
Nimekubar mzee baba
@josephmysononline5919 Жыл бұрын
Amen 🙏
@stivinmtikatika65695 ай бұрын
yeah amen kaka🙏
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Umeona ukodi gari mzee
@BalkissHaidat4 ай бұрын
Kk nakupataje
@FidkimKim5 ай бұрын
Fidd Kim✌️✌️✌️❤️
@MeinhardMbondeАй бұрын
AMENI
@MohammedMzee-e5f5 ай бұрын
ma shaa ALLAH
@Harounhadi-l9t Жыл бұрын
NGUO ZENYE NEMBO YA (G) ZINA MAANA YA GAY-GAY MAANAKE NI SHOGA, WEWE TOKA KWENYE NCHI YETU, NENDA KWA WAZUNGU.
@farajitwalib976914 күн бұрын
Acha hating kijana fanya kazi hustle kivyako..Kama unahisi ametusua kwa ajili ya ushoga..Mashoga wapo kibao hawana mbele wala nyuma
@lawrence-xk1km5 ай бұрын
Duu kwakweli unapambana ila hapo kwenye kutokea familia ya chini unadanganya, angalia tu shamba na eneo LA familia na utajir tosha
@nicksonshuma51592 ай бұрын
AMEN
@issasulle7141 Жыл бұрын
Amenii🙏
@MatthewKiwinga5 ай бұрын
❤❤❤
@JPTHESWAGGERBOY3 ай бұрын
Orepakofipaa emikoko ghwa kokajaa
@robertalphan55334 ай бұрын
Kiufupi kyela ni pazuri unanishawishi nipate site kyela
@JosephKesembe-wm2oy Жыл бұрын
Wewe sifa hazina maana huna kitu mwenye kitu hasemi
@WinfridaPeter-vl1nw5 ай бұрын
Amen baba
@netomanuel9244 Жыл бұрын
Amém
@RobotiRoboti-ey4fb5 ай бұрын
Kweli
@robertalphan55334 ай бұрын
Kokoa kokoa baba
@filbertbeatus8905 Жыл бұрын
Ameen
@AsdDsa-fi5qkАй бұрын
Pazur
@NNews-o9e Жыл бұрын
Ameni❤
@REUBENIMWAMBUJULE4 ай бұрын
Amenii
@richmanbeatpro26916 ай бұрын
amen
@Blessing_uk8 ай бұрын
Chifu wenzako wanautajiri wamajoka mimi nahsi hata ww sikuamn unaweza ukawa najoka sasa hvi sikuamn