TIZAMA MATENDO MAKUU YA MUNGU, BAADA YA MAOMBI YALIYOONGOZWA NA MWL MWAKASEGE, HAKIKA MUNGU AKAJIBU.

  Рет қаралды 269,403

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

4 жыл бұрын

SEMINA YA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE ARUSHA JANUARY 2020, BAADA YA MAOMBI MUNGU AKAJIBU NA WATU WAKASHUHUDIA JINSI MUNGU ALIVYOFANYA.

Пікірлер: 373
@deboraruhinda1818
@deboraruhinda1818 4 жыл бұрын
Heshima sifa na utukufu ni kwa Bwana YESU, Aleluya
@elizabethtr5rrtakonaay413
@elizabethtr5rrtakonaay413 4 жыл бұрын
JEHOVA SHALOM asante kwa uponyaji nilikuwa naumwa kifua namshukuru Mungu baada ya maombi niliona kifua kimefunguka
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwa MUNGU
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 4 жыл бұрын
Amen glory to God
@naomiramadhani2648
@naomiramadhani2648 3 жыл бұрын
Wewe ndiye Mungu wangu Aldonai bila wewe mimi siwezi . Yehova Yire
@hanamogiro1001
@hanamogiro1001 3 жыл бұрын
Amen
@samwelkowero1188
@samwelkowero1188 2 жыл бұрын
Amen Amen
@tumainchigeso5022
@tumainchigeso5022 3 жыл бұрын
Mungu anatenda miujiza mingi sana tatizo watu wengi hawampendi Mungu wanapenda miujiza tu hakika ipo siku utakuja kujuwa jinsi ulivyo poteza muda wako ktk Dunia hii ya dhambi ,okoka Leo ni muda sahihi
@magdalenakessy9425
@magdalenakessy9425 Жыл бұрын
Wokovu ni kila kitu patia yesu maisha yako
@jescakabogo730
@jescakabogo730 4 жыл бұрын
Haleluya haleluya. Mungu wa uweza unaweza. Barikiwa sana watumishi wa Mungu aliye hai
@faharimbwillo8403
@faharimbwillo8403 4 жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana na Mungu aendelee kuwabariki sana 👏👏👏👏👏
@samwelkowero1188
@samwelkowero1188 2 жыл бұрын
Mungu Ninakushukuru Kwakuwa Umeniponya nilikua dhaifu, Sasa Umeniweka Huru Mungu nakushukuru Sana Asante Yesu Kristo Amen,Mtumishi wa Bwana Mwalimu Mwakasege Mungu akubariki Sana .Amen
@ekaristmanoni8273
@ekaristmanoni8273 4 жыл бұрын
Mungu azidi kutungusa kwa kila mwenye hitaji lake na mimi atanifikia siku yangu ,"Tumtumainie yeye wakati wote"
@fatumaasumani7930
@fatumaasumani7930 3 жыл бұрын
Namshukuru mungu wangu kwakunirudisha kazini
@fatumaasumani7930
@fatumaasumani7930 3 жыл бұрын
Namshuru mungu kwakunipa ujauzito namuomba mungu wangu aniondolee maumivu
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
@@fatumaasumani7930 umebarikiwa Mungu ni mkuu sana , Hongera sana . Mungu anaenda kukutendea makuu zaidi ya hayo, Hujaona kitu bado. Glory to God , You’re blessed in the name of Jesus
@lovenesswaziri793
@lovenesswaziri793 3 жыл бұрын
Nampenda sana mwalim mwakasege
@elbarikimrimi7777
@elbarikimrimi7777 4 жыл бұрын
Sifa, Heshima na utukufu ni kwa Mungu. Wewe ni Bwana utuponyaye..ahsante Yesu
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 3 жыл бұрын
Amen Amen nasisi nafamilia yangu tunapokea haja ya moyo yetu kwa jina la Yesu wanadharethi Amen.
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 4 жыл бұрын
Wewe ni Bwana uniponyayeeee Wewe ni Bwana mponyaji....hulituma neno lako nipone....Wewe ni Yesu mponyaji....
@magrethsamson1835
@magrethsamson1835 4 жыл бұрын
Namshukuru mungu miguu yangu ilikuwa na maumivu kwenye viganja vya miguu baada ya ushiliki maombi haya nikasikia sauti kitu kimetoka sisikii Tena be maumivu
@concesafl
@concesafl 4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@obedyjonas4485
@obedyjonas4485 4 жыл бұрын
Mtoa ushuhuda unapoandika Mungu uanze kwa herufi kubwa maana mungu ya herufi ndogo kama hiyo hapo niliyoandika nyuma kidogo haimaanishi Mungu aliye hai.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@veronicapanga1286
@veronicapanga1286 3 жыл бұрын
Samahn huyu.mchungaji yupo mkoa gani
@mercykombe
@mercykombe 3 жыл бұрын
Glory to GOD
@luciekituza4267
@luciekituza4267 4 жыл бұрын
Amen! Jina la bwana Yesu kristo libarikiwe milele na milele🙌
@michaelelias5042
@michaelelias5042 2 жыл бұрын
Amina
@peninaancon1256
@peninaancon1256 4 жыл бұрын
Ni Maombi yangu Mungu wa mbinguni awatunze (Mwl. Mwakasege na Mama) kwaajili ya utumishi wake kwa watu wake. Amina!.
@udzungwawater2022
@udzungwawater2022 4 жыл бұрын
Naitwa Magreth, Napenda Kumshukuru Mungu kwa uponyaji wake kwa kupitia maombi haya. Nimepona kifua kabisa nilikua nasumbuliwa Sana Hadi kuinama inanipa shida Sana. Ni Neema iliyoje na Mimi namuaibisha Shetani kwa kushuhudia leo. Hakika nimeziona nguvu za Mungu , Mungu akutunze mtumishi Glory be to God.
@mariammihambo9393
@mariammihambo9393 Жыл бұрын
Hallelujah
@givenmwaluanda3590
@givenmwaluanda3590 8 ай бұрын
Namshukuru mungu Kwa navyo nitendea na sema Asante🙏🎊
@justinakafwenda683
@justinakafwenda683 4 жыл бұрын
Sikia haja za moyo wangu Bwana Yesu uniponye na kunifanyia wepesi
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 жыл бұрын
Natangaza gonjwa la ukimwi kuniachia leo na kuwa huru kwa jina yesu kristo mnadhalet Alie hai amen utukufu kwa bwanaaa🙏🙏🙏🙏
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
Ameeeeen, Mungu wetu ni mwenye nguvu, upendo na huruma, Hakuna linalomshinda na kamwe halitokuwepo. Ubarikiwe sana ndugu yangu na Mungu anakupenda na lilo unalohitaji akutendee maishani mwako na mwilini basi limejibiwa katika jina la Yesu kristo. Be blessed 😊
@maoleminja6514
@maoleminja6514 3 жыл бұрын
Amen
@ibrahjoel7283
@ibrahjoel7283 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe wapendwa samahan Ntaipataje hyo nyimbo ya kuabudu🙏 amen
@ruthstephen2791
@ruthstephen2791 3 жыл бұрын
Nadhani ipo youtube
@juliethernest4550
@juliethernest4550 3 жыл бұрын
Mnafeli wapi mnaoenda kwa waganga ? Mganga ameumbwa na Mungu he anaweza kumzidi nguvu aliyemuumba haiwezekani
@Iddapaul
@Iddapaul 4 жыл бұрын
Amen na asante Yesu kwa uponyaji. Asante kwasababu ya Watumishi wa Mungu; nina mengi ya kumshukuru Mungu pia kwa ajili yao. Nimekuwa nikishika tumbo langu la uzazi kwa ajili yangu na wote wenye uhitaji wa watoto. Kwa zaidi ya miaka 10 na mimi nikapata mtoto wa kiume mwaka jana 2019 baada ya kukosa mtoto kwa miaka 19 tangu nilipopata binti yangu wa kwanza mwaka 2000. Sikupata matibabu yoyote ya kitaalamu hivyo namuinua Kristu kwa ushindi huu na namkabidhi mtoto wangu wa miujiza kwa Bwana siku zote za maisha yake.
@happynesselisha2048
@happynesselisha2048 3 жыл бұрын
Na amini kupitia ushuhuda wako kakaangu na wifi yangu wenye miaka sita kwenye ndoa nawo watapata mtoto. Amina
@wasajo
@wasajo 3 жыл бұрын
Jamani mi pia namuomba sana Mungu kupitia ushuhuda wako naamini atanijibu yale nayomuomba kwa wakati wake
@priscajonas1978
@priscajonas1978 2 жыл бұрын
Kupitia ushuuda wako mpendwa.mungu fanye kitu kwangu
@doreenchanziii9398
@doreenchanziii9398 Жыл бұрын
O9
@OmaryAkida
@OmaryAkida 10 ай бұрын
Ame rakin sija kufaam
@gracetarimo6073
@gracetarimo6073 3 жыл бұрын
Kupitia maombi haya mwanangu akapone ugonjwa ambao unajirudiarudia kwake kwa jina la yesu naomba nakuamin Amina🙏🙏🙏🙏🙏
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
Mungu akamguse mtoto wako, Akamponye, Akamlinde na mtoto akue katika njia zinazompendeza katika Jina la Yesu kristo, Mbarikiwe sana 😊
@christophermsigala8001
@christophermsigala8001 Жыл бұрын
Namshukur Mungu nimesiliza maombi haya na niliungana nanyie katika madhabahu hiyo na nimepona sikio langu na sehem ya mbavu nlikuwa nikikaa naumia ila baada ya haya maombi nasmhukur Mungu..asante Mungu
@stellangowa9491
@stellangowa9491 3 жыл бұрын
najiunganisha na ibada hii mungu naomba usikie itaji langu
@dottosebastiano2532
@dottosebastiano2532 4 жыл бұрын
Jina la MUNGU NI KUBWA MUNGU akubariki mwalimu
@user-gt3mh5up3r
@user-gt3mh5up3r Жыл бұрын
Mungu baba asante kwaajili ya mtumishi wako Christoph a mwakasege ,naomba unikutanishe nae itaji langu walijua bwana
@venavale4173
@venavale4173 Жыл бұрын
Amina nimepokea na kupona kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI.
@janejacob1402
@janejacob1402 8 ай бұрын
Ee MUNGU wangu nionye kweli katika maisha yangu unisamehe makosa yangu unikinge na mambo mabaya ya ulimwengu mimi na uzao wangu utufungulie marango ya mafanikio kwa jina la yesu kwa damu ya yesu AMENI
@leahnkwija1003
@leahnkwija1003 4 жыл бұрын
Nani kama wewe Mungu wangu,karibu nami Leo kwangu nakukaribisha uingie na ukae kwangu
@kelvinlwiva5380
@kelvinlwiva5380 4 жыл бұрын
KWANINI UNARUDI NYUMA ILI UFE? Bwana Yesu apewe sifa mtu upendwaye na Mungu! Mungu ametupa neema ya uzima, nami ndani yangu nawiwa kukuletea neno la Mungu la lenye kuponya. Hasa wewe ambaye umekwisha kuijua neema na kipawa cha Mungu, lakini bado unavutwa na kuvutika kurudi nyuma ukidhani huko kuna usalama kuliko kwa Mungu, eti kwasababu kwa shetani utapata hirizi ya kuvaa, eti kwasababu utachanjwa chale na kuwekewa dawa, eti kwasababu utanyweshwa dawa za kujikinga, eti mganga atazindika nyumba yako, naomba nikwambie kitu mpendwa, shetani amekuwa akikuwinda sana wakati Mungu amekufunika na ulinzi wake, mara tu utakapotoka mikononi mwa Mungu,shetani atakugawanya vipande vipande, na Mungu anachukia kurudi nyuma, hebu msikie mwenyewe! “Ikiwa mtabaki katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang'oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda” Yeremia 42:10. Endelea kumsikiliza, “Haya ndiyo yatakayowapata watu wote waelekezao nyuso zao kwenda Misri, na kukaa huko; watakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni; hakuna mtu awaye yote miongoni mwao atakayesalia, au kuokoka katika mabaya nitakayoyaleta juu yao” Yeremia 42:17. Mpendwa kaa kwa Yesu kuna usalama wa kutosha, huko misri/duniani/kwa shetani UTAKUFA!!! Katika Mithali 1:32 imendikwa “Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.” Kurudi nyuma au kumwacha Yesu ni ndani ya maamuzi yako, lakini kutakuua, be sure! Yesu akagongelea msumari huu hapa katika Mathayo 12:45, msikie “Mara(pepo) huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu(aliyerudi nyuma/mwacha Yesu) yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.” Uko tayari kupata shida yote hiyo? Sema hapana, maana Mungu baba yetu anatupenda na wala hataki tupotee, kaa ndani ya Yesu uwe salama na ufanikiwe! YESU NI MWOKOZI WA ULIMWENGU NJOO KWAKE LEO! Uwe na siku njema katika jina la Yesu Kristo. Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0711271110 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
@maggieandrew995
@maggieandrew995 3 жыл бұрын
Mhhhhhh
@user-Ndashuka001
@user-Ndashuka001 10 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN. Ahsante YESU Kwa kuniponya
@christinachriss9231
@christinachriss9231 3 жыл бұрын
Ktk watumishi wanaotumiwa na Mungu huyu ni no 1 hana mbwembe Mungu anafanyaga mwenyewe live namkubali,Mungu bariki hii huduma idumu
@dr.peterik2586
@dr.peterik2586 3 жыл бұрын
Ninakupenda sana Mtumishi wa Mungu Mwakasege always hata watu waseme walitafutwa kukutanishwa na wewe wapone Wewe unasema wamekutanishwa na YESU aponyae.
@noelangowi6960
@noelangowi6960 3 жыл бұрын
Aminaa yaan hapo tuu
@emmanuelmarcofficial1977
@emmanuelmarcofficial1977 2 жыл бұрын
Mungu mponyaji yuko nami leo
@vivylove4854
@vivylove4854 4 жыл бұрын
Ur prayers is powerful I was feeling bad from my body, feeling exhausted but now am okay may God bless you
@veronicaboniventura5058
@veronicaboniventura5058 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏Hakika Mungu ni mwenza wa yote kwake hakuna linaloshidikana
@ruthShuma-ut3mo
@ruthShuma-ut3mo Жыл бұрын
Wewe ni Yesu uniponyae
@ruthShuma-ut3mo
@ruthShuma-ut3mo Жыл бұрын
Asante Yesu Kwa kuniponya
@samwelkowero1188
@samwelkowero1188 2 жыл бұрын
Asante Yesu Kristo Kwa kuniponyaa
@oliviaambrose2907
@oliviaambrose2907 2 жыл бұрын
Amina napokea uponyaji kwa jina la yesu
@oliviaambrose2907
@oliviaambrose2907 2 жыл бұрын
Asante Yesu usiku nilikuwa najisia vibay sn..nikafuatilia haya maombi hakika MUNGU mkuu. niko vizuri sn
@nuruduma4954
@nuruduma4954 4 жыл бұрын
Nimeponywa na tumbo Mara moja alipokuwa akiomba!!jina la Yesu liinuliwe.
@samsonmartin107
@samsonmartin107 3 жыл бұрын
Mungu wetu ni mponyaji mkuu.
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 3 жыл бұрын
Ameen
@beatrecepaul1467
@beatrecepaul1467 2 жыл бұрын
Naomba niweze pata namba ya mtumish tafadhal
@scholahmwelange2508
@scholahmwelange2508 2 жыл бұрын
Najivunia kuwa na mwalimu kama ww Mwakasege Mungu azidi kuku bariki
@FATUMAMSALANGI-lc5dj
@FATUMAMSALANGI-lc5dj 4 ай бұрын
Asante yesu wangu kwa kuniponya miguu yangu imepona sasa
@claraeline7458
@claraeline7458 2 жыл бұрын
Nakushukuru Mtumishi kwa ajili ya maombi haya nilikuwa na naumwa. Nikasikiliza maombi haya kwa imani nikapokea uponyaji. Na atukuzwe Mungu Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza na kukulinda🙏
@jumabernard3955
@jumabernard3955 Жыл бұрын
Naitwa Rehema nimepokea uponyaji nilikuwa nasikia maumiv chini ya tumbo, nina ujauzito wa miezi 9 naamin nitajifungua salama , namtoa mtoto huyu sadaka ya dhabihu na nadhiri yangu kwa Bwana ikiwa atanifanikisha kulipwa mafao, kupata mahitaji yangu na ya mtoto Amen.
@vannyndayake8044
@vannyndayake8044 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba upo msaada MKUBWA kwa taïfa la Mungu,laiti ungeli fika inchini mwetu DRC naomba tupate kibali machoni mwa Bwana ukanyage inchini mwetu
@lindadaudi9735
@lindadaudi9735 2 жыл бұрын
Ameniponya Yesu asante Adonai
@hurumamassawe6899
@hurumamassawe6899 3 жыл бұрын
Mungu uponyae Asante kwa uponyaji wako juu ya maisha yangu Asante Jeova nisii Ubarikiwe Mwalim Mwakasege and Diana Mwakasege
@tusajigwekanemela4784
@tusajigwekanemela4784 4 жыл бұрын
Asante Mungu kwa utukufu wako
@jimmymbisse999
@jimmymbisse999 3 жыл бұрын
Amina sifa enzi na utukufu ni kwa Mungu wa mbinguni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo
@mariahmweni7110
@mariahmweni7110 3 жыл бұрын
Ameni kubwa hata mimi ataniponya
@hildachipalo208
@hildachipalo208 4 жыл бұрын
Amen amen Mungu ni mwaminifu sanaaa,,, tunashukuru kwa maombi
@tulinagwemwakalukwa6468
@tulinagwemwakalukwa6468 3 жыл бұрын
Ameeeen
@nurulusekelo5708
@nurulusekelo5708 3 жыл бұрын
Mungu wangu uliye hai, ahsante kwa uponyaji wa mtoto wangu huko aliko shuleni, wewe ni Mungu mwenye upendo. oooh ahsante Yesu
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu sana na mwaminifu mwenye kusikia na kutenda kama unavyohitaji, Mtoto abarikiwe,Malaika wa bwana wamlinde na kusimama nae popote akanyagapo. Amebarikiwa katika jina la Yesu Kristo 🙌🏿
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 3 жыл бұрын
Neno lako ni Kweli na amina MUNGU mwenye NGUVU
@elicajimmy2059
@elicajimmy2059 3 жыл бұрын
Baba Christopher namama yangu Diana nawapenda sanaaa, Mungu waIbrahimu awatimizie ahadi zake kwenu, awatunze naRoho Mtakatifu asiwaondolee Bali awajaze daima ili muendelee kutumika, Mbarikiwe mpaka mshangae pamoja nafamiliya yenuu
@mwalimunanabiinelsonmwakik5542
@mwalimunanabiinelsonmwakik5542 4 жыл бұрын
Ubarikiwe baba Leo naweza kuwa naheshima kwa ajili yako baba Umetulea vizuri
@omarynasibu9570
@omarynasibu9570 3 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kuniponya ni mzima tena Asante yesu kwa kunikomboa amen
@vannyndayake8044
@vannyndayake8044 2 жыл бұрын
TZ mupo na NEEMA ya pekee kua na wqtumishi kama MWAKASEGE na DiaNa naomba Mungu awanyanyue zaidi ili waendelee kuwa msaada kwa watu wengi
@barakatarimo4447
@barakatarimo4447 8 ай бұрын
Mungu akafungue mbingu ktk shighuli zetu atulinde dhidi ya maadui
@bahatimyegeta5665
@bahatimyegeta5665 3 жыл бұрын
Ashukuriwe sana Mungu kwa kurupa mtumishi mwekasege nabarikiwa sana
@josselinijosiah8370
@josselinijosiah8370 2 жыл бұрын
Asante Mungu kupitia mtumishi wako
@AsheryElias-cv2pe
@AsheryElias-cv2pe 2 ай бұрын
Kweli Mungu ni Mungu heshima na tukufu ni kwenye yeye atendaye hata yote❤
@goldengodson9764
@goldengodson9764 4 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu aliye hai kwa uponyaji
@heavenlight5084
@heavenlight5084 3 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa MUNGU, kweli mom wangu umependeza, KRISTO AZIDI kuwainua
@jullyregy3057
@jullyregy3057 2 жыл бұрын
Shalom Nimesikiliza hii semina leo tar 24/10/2021 akati anaomba nimeshika tumbo Mana lilikua linasumbua anasema upande wa kushoto af kweli maumivu yakaongezeka upande huo huo kama vile anaonyeshwa yani na ni semina ya mwaka jana hii 🙏 ila namshukuru Mungu niko sawa ni hewa chafu tuu inatoka tumboni kwa sasa Maombi huambatana na imani nimejifunza hili leo Mungu akubariki mtumishi🙏🙏
@beatricemarwa6731
@beatricemarwa6731 Жыл бұрын
Asante Yesu umanaweza kutumia watu wako waliotayari kusaidia wanadamu wakujue. Maisaidie mtumishi wako kuijua kweli yote. Neno lako kupitia yy limeniponya. Asante Mungu
@maikojohn536
@maikojohn536 10 ай бұрын
Asante yesu kwa kuniponya
@jacquelinengamilaga4475
@jacquelinengamilaga4475 2 жыл бұрын
Asante Yesu kwakua umenionekania, hakika nimepokea in Jesus name.
@lindadaudi9735
@lindadaudi9735 2 жыл бұрын
Nimepona kwa jina la Yesu
@ngukumsurietarimo2003
@ngukumsurietarimo2003 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe nilikuwa naumwa mguu ulipokuwa unaomba uvimbe umepona.
@rosemarymorange3146
@rosemarymorange3146 3 жыл бұрын
Asante MUNGU kwA ajili bus uponyaji wangu. Uhimidiwe Bwana
@rehemaburuna4641
@rehemaburuna4641 3 жыл бұрын
Yesu alivyo mzuri hivi jamani, kwann wengine wanajidanganya kwenda kwa waganga, sifa zote hizi ni zako Baba yetu uliyejuu
@barlethoyema6577
@barlethoyema6577 3 жыл бұрын
Namshukulu Mungu kwa uponyaji nilioupokea hasante Bwana Yesu wew ni Mungu uniponyae
@janethurio2453
@janethurio2453 3 жыл бұрын
Acha tu I wish tumtegemee Mungu wote. Ulimwengu ungekuwa shwari.
@florencekivevo2252
@florencekivevo2252 3 жыл бұрын
Amen am blessed our God never changes more grace
@mlugujames158
@mlugujames158 3 жыл бұрын
Amina
@josephndimi6135
@josephndimi6135 3 жыл бұрын
Wewe Ni Mungu uponyae naomba uniponye Mungu wangu matatizo yote yanayo nisumbua AMINA
@doreenmfuse9805
@doreenmfuse9805 3 жыл бұрын
Mungu wangu naomb hitaji langu haja ya moyo wangu baba ,naomb nkuone leo kuptia maomb haya naamin namm bwana Mungu nakuomba Mungu
@sonjacxon908
@sonjacxon908 3 жыл бұрын
Amen Mungu and anisaidie mm Niw na ujasil iman nkiyonayo
@hawaomary1641
@hawaomary1641 11 ай бұрын
Nilikuwa napata maumivu ya vidonda vya tumbo na choo kama Cha mbuzi baada ya haya maombi namshukuru MUNGU wa mbinguni amenitetea na kuniweka huru nimeiona Nuru ya Bwana Kwa wazi ni muda wa mwaka sasa ninaumwa sana sifa utukufu na heshima na za kwake Bwana Yesu na MUNGU wangu Alie juu Yesu ni mzuri ninalia Kwa furaha asante Kwa Baraka watumishi wa MUNGU
@sinyoritasamwel6392
@sinyoritasamwel6392 4 жыл бұрын
Asante sana nimebarikiwa sana munguvazid kuwainua zaid na zaid
@juliusibundara6671
@juliusibundara6671 3 жыл бұрын
Bwana ndiye mponyaji,yesu ni maji yatuliza kiu yangu.
@rehemajayden
@rehemajayden Жыл бұрын
Bwana yesu naomba mpinye mwanangu kila homa iliyopo ndani yake itoweke kwa jina la yesu
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 3 жыл бұрын
Nawapenda Sana hawa watumishi wa Bwana Christopher Mwakasege na mkewe Diana kwa kweli maombi yenu huwa na barikiwa Sana
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 3 жыл бұрын
Asante sana barikiwa sana mwl
@japhetnkwabi-mz4gi
@japhetnkwabi-mz4gi Ай бұрын
Amina kubwa mtumishi
@ombeninassary4428
@ombeninassary4428 3 жыл бұрын
Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@kisserbeauty6828
@kisserbeauty6828 2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe milele na milele
@leornadchali9683
@leornadchali9683 Жыл бұрын
Tenda muujiza mungu wangu nenda mbele yangu yesu nipiganie nipe kushinda katika jina la yesu nivushe ng'ambo mungu wangu nishike mkono yesu
@neemanzengele5132
@neemanzengele5132 4 жыл бұрын
Amen baba kwa utumishi wako Mungu akubariki
@Shalom2018
@Shalom2018 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@mamygidion534
@mamygidion534 3 жыл бұрын
Mungu ni mwemaa
@doreenemmanuel9800
@doreenemmanuel9800 2 жыл бұрын
Amen maombi mazuri sana Mungu azidi kukuinua Mtumishi Mwalimu kirstofa
@angelkitelanya1800
@angelkitelanya1800 3 жыл бұрын
Amina barikiwa nimepona kwa imani
@kimasajesca2727
@kimasajesca2727 3 жыл бұрын
Mungu aliyejibu kwahawa wapendwa wetu naamini atajibu na kwangu
@juliuslukumay333
@juliuslukumay333 3 жыл бұрын
Hakika mungu yupo na anajibu Kila mmoja kwa wakati wake.
@teddybeasammy7860
@teddybeasammy7860 3 жыл бұрын
Napokea kwa damu Yesu!......Amen.
@givenmwaluanda3590
@givenmwaluanda3590 8 ай бұрын
Namshukuru mungu ni mwema Kila siku🙏
@davidkumulaga9419
@davidkumulaga9419 4 жыл бұрын
Asante Yesu kwa uponyaji wako
@juliethpetro1556
@juliethpetro1556 4 жыл бұрын
Amina,nawapata vizur pia nabarkiwa
@yasintabuhilya6418
@yasintabuhilya6418 Жыл бұрын
Napokea nguvu ya uzima na familiar yangu ,barikiwa watumishi wa mungu
@godwinkidio4676
@godwinkidio4676 3 жыл бұрын
Ameen ahsante Yesu kwa uponyaji wako
@janeomary8464
@janeomary8464 3 жыл бұрын
Asantee bwanA yesu kwa kuniponya
@ruthmwasomola3907
@ruthmwasomola3907 3 жыл бұрын
Amen nashukuru Sana mtumishi Mungu azidi kukulinda ili uzidi kutuudumia
@ulumbielias4947
@ulumbielias4947 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa mtumishi huyu baba nimepata uponyaji 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mathiaslyimo9373
@mathiaslyimo9373 4 жыл бұрын
Haleluya. Utukufu kwa Mungu
@raphaelsukari8465
@raphaelsukari8465 2 жыл бұрын
Miongoni mwa watumishi halisi wachache waliosalia wa Mungu aliye hai. God bless this man ,amen.
@immanulraphahel7507
@immanulraphahel7507 2 жыл бұрын
Namushu mungu mwenyew nguvu kwa kunitia nguvu
@happyobeth8599
@happyobeth8599 4 жыл бұрын
Ameeen Nami nimepokea uponyaji
MAOMBI MAALUM KWA WAGONJWA NA WAHITAJI - Pastor Myamba
12:22
Pastor Myamba
Рет қаралды 82 М.
SOMO  MUNGU ASIPOKUJIBU MAOMBI YAKO MUULIZE NI KWA NINI 1
29:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 455 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 49 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE, SEMINA YA NENO LA MUNGU ARUSHA
39:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 317 М.
Gordian Newton na Upendo Nkone wakiimba pamoja na mwl mwakasege
13:19
Gordian Newton
Рет қаралды 114 М.
EVENING SERVICE_-_NEW MIRACLE CENTRE
54:23
NEW MIRACLE CENTRE CHURCH KAZO 2024
Рет қаралды 56
Boaz Danken  -Haufananishwi/Unafanya Mambo (Official video) #GodisReal
14:58
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 8 МЛН
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
Kusubiri Kwenye Kimya Cha Umaskini | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:42
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 25 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН