TIZAMA UONE NAMNA USTADH YUSUF WAMBUGU ALIVIO VUNJA HOJA ZA PASTOR NDACHA KATIKA DEBATE ISIOLO PART2

  Рет қаралды 28,363

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@rasheedlee2530
@rasheedlee2530 2 жыл бұрын
Masha Allah maustaadh wangu...mada imefika nyumbani. Barkallah fikum🤲
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Ndacha mtapeli.masha Allah Ustaz Wambugu
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
Masheikhe wetu Allah atawalipa kila la kheir na baraka kuipigania dini ya haki mbele ya Allah inshaAllah Amiin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 7 ай бұрын
Wwe wapee sheikh wangu mungu akulipe akulinde akulipe mrri mrefu nakupenda sana kwa jili Allah ❤❤❤❤❤
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 7 ай бұрын
Amin sote
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Shekhe Yusuphu Allah atawalipa kheri hapa Duniani na kesho mbele ya haki Amiin.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@barakaalberto2879
@barakaalberto2879 Жыл бұрын
Pastor, Mungu akubariki tumejifunzaaa aiseee hatujakosea kuwa wakristo,maana pastor anatumia mpaka koroan yenu kujibuuu lakin nyie hamtumiii bibilia kujibuuu 👍🏼👍🏼
@caringtonbarasa4501
@caringtonbarasa4501 Жыл бұрын
Ndacha ni professor
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Allah awabariki nyote Waislamu na viongozi wetu Sheikh Yusuf na Sheikh Mwirigi na Maalim na tumuombe Allah amuongoze Ndacha aweze kufahamu njia sahihi ya Maisha ambayo, bila Shaka ni Uislamu. Mtu akikataa kufuata Uislamu ati kwa kuwa anakatiwa sima kubwa na wapotofu ajue heri aiache hiyo sima kubwa afuate haki bila uoga
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 2 жыл бұрын
MashaAllah. Ujembe ume fika! Ndacha hawezi ku silimu kwa sababu Kanisa yake ina tengeneza QUICK MONEY anao itwa 'SADAKA'
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
Safi Sheik wetu kiboko cha Ndacha. 👍💪👌
@ahmedmohmed-j8j
@ahmedmohmed-j8j Жыл бұрын
Yuko wapi kiboko wa ndacha hivi hata haibu hamna
@LilyKangethe-hw2bw
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
Taakbir Allah Akbar...❤❤❤
@mohammedabdinur6236
@mohammedabdinur6236 2 жыл бұрын
Mungu akujaliye mema na kuongezee tawabu kwa mizani yako siku ya kiyama
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 жыл бұрын
Maasha Allah.Huwa napenda sana Ndacha akikutana na hawa masimba wa daa,wa maana anapewa dozi ya kutosha kabisa.
@Ibnubjr
@Ibnubjr 2 жыл бұрын
Proud of you ❤❤❤
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 4 ай бұрын
Wanataja neno bila kuelewa
@zumrantorez8570
@zumrantorez8570 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah awalinde popote muendapo inshallah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@deborahmoraa2442
@deborahmoraa2442 Жыл бұрын
Mungu akubariki pastor ndacho
@SmilingArcade-xj7zg
@SmilingArcade-xj7zg 3 ай бұрын
Weslam amna dini pasta ndacha waonyeshe awo ilo watubu mungu akubaliki sana 🙏
@issamohamedi9225
@issamohamedi9225 2 жыл бұрын
MashaaAllah masheikh ndacha kawa mpole kama kamwagiwa maji
@mishijuma5558
@mishijuma5558 2 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu Allah awape afya njema
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@macrinnahneema
@macrinnahneema Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe ukweli unauma lkn ndacha siezi ingia wislam
@harunhassan5066
@harunhassan5066 2 жыл бұрын
Mashallah....Yusuf wambugu...ndio dawa ya ndacha
@jokabable
@jokabable Жыл бұрын
Skiza Arab guy called Christian prince if your heart is open I bet you utaamka umewachana na hii news paper mnasomanga this guy proves everything to even Arabs he is a native Arab wacha nyinyi mnaambiwa hapa eti kiarabu ABC and d huyu amelelewa na kiarabu akula kiarabu amekua Kwa uislamu na hakuna ATA Dr nakir. Amekataa kumpea challenge just know you are in news paper religion there is nothing like Allah and nothing like Qur'an nothing at all
@emmymshomi8893
@emmymshomi8893 Жыл бұрын
mbona hajibu hoja anaongea maneno nje yamabjibuu Mohamed akaslimishwa na nan
@abdallahnassoro6515
@abdallahnassoro6515 2 жыл бұрын
Mwalimu yusufu uliadimika je ilikua salama shekhe wangu na nunaiman wewe ndio mwalimu was ndacha wallahi hua hafurukuti anapokua na wewe na hua Hana furaha ya kweli Kisha ninakushauli mwalimu wangu hua wakristo wanatoa vijioja Vitara vya uongo Sasa nyinyi walimu wetu muwe mnaifuatia neno kwa neno ndio mtakua mnafanya vizuri zaidi alafu ninaomba irudie Tena hoja ya wake wengi inshaallah jazaka llahu khaira
@aishaally6602
@aishaally6602 2 жыл бұрын
ALLAHUMA BARIK ALLAH awazidishie mana niujasiri wa ajabu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@richardsineno6720
@richardsineno6720 Жыл бұрын
Mashaallah ndacha ujue kwamba jina la mtu haliwezi kuwa dini kristo ni jina la masihi na haliwezi kuwa dini
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin kazi nzr sana ust wang mola akulipen pepo kwa wote pamoja na ss amiin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 2 жыл бұрын
Masha Allah
@shamimnassor3700
@shamimnassor3700 2 жыл бұрын
Sheikh yusu ALLAH akuzidishie umri munapambana sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@aminaabu1599
@aminaabu1599 2 жыл бұрын
MashaAllah uislam Raha Allahu Akbar
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allaah Alhamdulillah JazakaAllaahu'khayran Tuko Pamoja kwa Dua'aa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 2 жыл бұрын
Mansha Allah
@NurdiinXabiib
@NurdiinXabiib 2 жыл бұрын
The first time I used to hate Ndacha but now I think he is helping people to understand Islam and he has experience with respect the time although he try to lying when he talks about Islam but we know noone can destroy Quran and Islam
@jokabable
@jokabable Жыл бұрын
Quran and Islam itself can't be backed by Allah lol 🤣🤣 it's backed by Muhammad and the rest just a loss total waste of time and energy that's just a news paper as Christian Prince the Arab calls it.... Lol 🤣🤣
@jokabable
@jokabable Жыл бұрын
Listen to Christian Prince an Arab who challenges that newspaper there is no even a single Muslim leader who accepts to challenge him because he is an Arab by birth grown as an Arab brought up in Islam and now he fights Islam. Is called Christian prince if you listen to him you'll stop reading the news paper thinking you are in a religion
@shikiliaimaniyakobypastors3371
@shikiliaimaniyakobypastors3371 Жыл бұрын
09 up∆ .
@bahatikenia39
@bahatikenia39 2 жыл бұрын
Mashaalah ndacha sindano imemuingia haswa akae kwa kutulia
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 жыл бұрын
Neema hio Allaah Atawalipa Duniani na kesho Aakheera.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 жыл бұрын
@@jkewl999 Alhamdulillah JazakaAllaahu'khayran Akhii May Allaah reward you all.
@hassanadam3007
@hassanadam3007 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤masha Allah
@ahmedsalatbashir4380
@ahmedsalatbashir4380 2 жыл бұрын
Keep going bro 🤲🤲🤲
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Ameen 🤲🏽🤲🏽
@alimahmoud5837
@alimahmoud5837 2 жыл бұрын
Quran 78:11 Tukaufanya mchana ni kutafuta maisha; a) Kula b) Chakula kinatokana na mmeya c) Mmeya unatokana na nguvu za juwa Kisayansi ni photosynthesis Hiyo ndio Quran bwana.
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Asalam alykum www safi sana sheikh yesufu pastor mukorofi amerewa mada atazidi kuwa na chuki ya wislam
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 4 ай бұрын
Hawa waislamu mada zao hazina msingi,ni kelele tu ya kuonyesha wenzao hawako pabaya,,,quran haina msingi duniani,,,hivi mtu alipata yesu ameishi kwanzà,,saa Muhammad amekuja baadaya 500 years,,,mbona hawa wapinga kristo ni vipovu
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 10 ай бұрын
Hakakajamaa hakajibu Maswali ya Mch
@RAZALOCHUMA
@RAZALOCHUMA 3 ай бұрын
Hongera ndacha
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Mpende msipende BWANA YESU weee ana tawala aaaah aaaah aaaah BWANA YESU weee ana tawala.
@ibruzah001
@ibruzah001 11 ай бұрын
Kwanza hakuna wakristo zama hizi. Hawa ni mushrikeen. Wakristo halisi walikuwa zama za Yesu, na walikuwa wanamuabudu mungu mmoja na kufuata mafundisho ya Yesu. Hawa wa zama hizi ni washirikina kwa sababu wanamuabudu Yesu badala ya Mwenyezi Mungu. Allah awaongoze kwa sababu wengi wao hawana elimu. Wanapotezwa na wachungaji waongo kama Ndacha.
@hiimbinaimmuslim3041
@hiimbinaimmuslim3041 2 жыл бұрын
Asalamu alekum mashallah walimu wetu Mungu atawalipa kher na umri muweze kuwaongoza njia sahivi kwanza huyo yesu alipo ulizwa na wanafunzi wake kuhusu ubatizo kasema hajuwi hata ni nini au paste hujasoma dah he usimcheze yusuf
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, Amin sote
@mercymjunior9684
@mercymjunior9684 Жыл бұрын
Ukweli ni kwamba yesu ndie njia kweli na uzima na sijuti kuwa mkristo Ndacha wewe ni kidune hodori wa yesu..💪👍 Bwana yesu asifiwe🙏🙏🙏
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Mathayo 24 :24
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Rahaaa mnamgaragaza Kasuku Ndacha 😃😀. Takbiriii Takbiriii Allah Akbar.
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 2 жыл бұрын
Allaahu'Akbar Alhamdulillah
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 10 ай бұрын
Jibuni swali
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 2 жыл бұрын
Yusufu mashallah
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 4 ай бұрын
Mbona nyinyi mwaosha nyuma mnapoenda msalani,,maanake kutoa uchafu,ubadizo ni kutoa uchafu wa dunia,,,
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 ай бұрын
Kuocha nyumba ni usafi
@sosdododo5653
@sosdododo5653 2 жыл бұрын
Ndacha hana say mbele ya yusuf kabisa hamuezi yusuf muangalie vile anavyoongea akiwa na yusuf yani debate yeye na yusuf tiari amekubali kabla hajajibiwa ,manake yusuf hua hacheleweshi anampa sindano ile ile yakumfunga mdomo ,haruki mbele ya yusuf, mungu ampe afya yusuf aendele na daawa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
Amiin thumma amiin
@jumamanu6054
@jumamanu6054 Жыл бұрын
Waislam wajue ukweli.
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 4 ай бұрын
Now I understand why Christian Prince educates and crushes people’s lies using their own books
@hamso254
@hamso254 Жыл бұрын
Kitabu kimetaja yesu wa Bibilia ndacha ajieliwe sio yesu wa injili😢
@CharlesDanielnyanda
@CharlesDanielnyanda 2 ай бұрын
Waisilamu niwagumu sana kuerewa
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 2 жыл бұрын
Ndacha and MURTAD PAUL ARE LOST SOUL TO DEVIL 👿
@rodrickplacide1834
@rodrickplacide1834 Жыл бұрын
Sasa swali ndacha ameuliza mbona hawaja jibu. 😂 wana kuja nama tusi. Jibuni kwanza swali. Afu hendelesheni ujinga wenu
@sultanalnaamani2156
@sultanalnaamani2156 Жыл бұрын
Ndacha unapoteza waumini eti yesu alibatizwa vipi munabatiza mnawatoa kwenye uislam kuwapoteza mwislam habatizwi
@WilliamKambi-c2u
@WilliamKambi-c2u 2 ай бұрын
Yaaani kweli waisilamu nani kawaroga yaaani kuelewa ni shida
@asmaalharthy8910
@asmaalharthy8910 2 жыл бұрын
Ndachaaa hana lake nikupoteza time ya Mashekhe wetu tu
@Mahatshallow123
@Mahatshallow123 2 жыл бұрын
Nilisikiza daawa karibu miaka kumi hadi hivi sasa na niligundua pasta ndacha si msalaamu wala mkiristo.Ulimi wake haina mfupa.Wachana naye.
@KennedyBarasa-mc4mz
@KennedyBarasa-mc4mz 3 ай бұрын
Huyu Yusuf ni kelele tupu ndacha mfunze ajue injili
@suleimanabdull1958
@suleimanabdull1958 2 жыл бұрын
Wallah huyo Paulo njaa itamungiza motoni lkni ukweli anaujua ameanza aya ya Quran kwa bismillahi mmemaikiaa? Kasahau jina la Yesu.
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 Ай бұрын
Hoja za ndacha hazijibuwi mpaka kiayama tena hata kama ndacha afariki wakristo tutaendeya kuhoji vilevile
@swalehabdullahi4257
@swalehabdullahi4257 2 жыл бұрын
Huyu hajui anasema nini... Hajasoma maskini
@aliroro9344
@aliroro9344 Жыл бұрын
😂😂😂yani kua muslim rahaaaaaaaaaaaaaaaa tupu Alhamdhullilah 🙏
@dianahanzetseodongo3929
@dianahanzetseodongo3929 Жыл бұрын
Paster ndanja usijali wao tuna ukweli wataukumiwa vibaya sana
@mercymjunior9684
@mercymjunior9684 Жыл бұрын
Ni kweli hawaelezeki ni wagumu kama mawe
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 10 ай бұрын
Kifupi Ndacha amewashinda maana mnapolojo tu Ila Maswali hayajibiki
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 7 ай бұрын
haki msafari sheik kauliza huyo wa wapi ? ukasema wa dodori umimaliza na kicheko mungu awalipe 😂😂😂😂 ndacha kayakanyanga
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
Ndacha njaaa kali
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
tuendelee kuwashughulikia wakose pakutokea makafiri huku Tanzania washasarenda na duniani kote kwasasa wanasilimu tu makafiri hawana nafasi
@nathanwakitaa8875
@nathanwakitaa8875 2 жыл бұрын
Na wish cku moja wakualike hata ukuje uku TANZANIA kwenye mihadhala!! Y hawakuliki lakin!!?
@yusufathman2478
@yusufathman2478 2 жыл бұрын
Yusuf wambugu ni kiboko wa ndacha
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 Жыл бұрын
Ndacha ni pesa zina mfanya teteye urongo
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Subuhana Allah subuhana Allah ndacha ??? unadanganya watu mpta unasubutu kusema Mohamed rasouloullah alikwenda kwa yesu kumona ??? lahaula walakuata bilah Mohamed rasouloullah alizaliwa yesu alikua wapi ??? miaka 600 kabla Muhamad rslw kuzaliwa ?? ndacha wewe umemzidi shetwani mungu yakuongeze kwa sababu umepotea kweli kweli uongo gani ndacha ??? héla zamarekani zimekupoteza akili ???
@guenterernst5481
@guenterernst5481 2 жыл бұрын
huyo ndacha na huyo murtad wanajiona mahodari wakujibu hawajijui wala hawajitambui
@tiffanyndunge4636
@tiffanyndunge4636 8 ай бұрын
Hakuna wacha kuweka maneno midomo yetu, ndacha ako poa Sana
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 5 ай бұрын
Musimualikange Dnacha Juu anajuwanga ukweli Lakin kazi yake kutaka tu ili apoteze wakiristo
@hammerandnail7111
@hammerandnail7111 2 жыл бұрын
Pastor Ndacha can you show me anywhere in your bible where the disciples of Jesus have baptized anywhere where they used " kwa jina la baba mwana na roho" let me tell you, hakuna. then you also tell me according to the new testament what is the name of the Father? hakuna!
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Kwwri ndacha mbisha na anajua saana ukweri kwamba uislam ni Dini ya haki. Hayo maswari yake anapinfisha pindisha
@saharaabdull9088
@saharaabdull9088 2 жыл бұрын
Huyu Ndacha anahepahepa na kujipa fake courage
@jumamanu6054
@jumamanu6054 Жыл бұрын
Sikiza point kwanza.
@guenterernst5481
@guenterernst5481 2 жыл бұрын
hope anaitazama hiyo video baadae ajijue anaongea nini
@fedrickgeorge290
@fedrickgeorge290 Жыл бұрын
Kwel ndacha unaelim Sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Hanalolote
@mrimh7798
@mrimh7798 2 жыл бұрын
Uyo dancha mafundisho yake nishida 🤔
@ahmedcenzatail
@ahmedcenzatail Жыл бұрын
Nami Niko DRC lubumbashi huwa nafatiliya mafundisho yenu Allah awaongenzeye na awape mwisho mwema
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin sote
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
Swali hamkujibu.
@omarnjoroge3977
@omarnjoroge3977 Жыл бұрын
Ndacha uko kazini, akikubali kusilimu hakuna mshahara.
@tutukagara9452
@tutukagara9452 8 ай бұрын
Dasha ni mwalimu waukweli
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 7 ай бұрын
Matayo 24.24
@jokabable
@jokabable Жыл бұрын
Nani alisema iyo eti njia ya haki ni uislamu Kama sio Muhammad 🤣🤣 how do you expect Muhammad aseme uislamu sio njia ya haki?!!! Waislamu nyinyi na Muhammad ni same Tu hope mnajua Muhammad hakua anajua kusoma ama kuandika
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Pole Sana malizia kusoma sura hiyo ya 7 Aya 157
@jumamanu6054
@jumamanu6054 Жыл бұрын
Kabisa yesu alikufa na haka fufuka Muhammad ako wapi watuambie.
@barakaalberto2879
@barakaalberto2879 Жыл бұрын
Aiaseee umesemaaaa
@aliroro9344
@aliroro9344 Жыл бұрын
😂😂wewe waongea nn emu uliona wapi mitume wa mungu walisoma Darasani au wewe ulipozaliwa ulikua wajua ata kuongea😂
@jokabable
@jokabable Жыл бұрын
@@aliroro9344 mbona uyo Mohamad wenyu hakua na elimu kama watume wengine kama Musa na Ibrahim allah alisahau kumpea hekima ATA yakusoma na kuandika hehe nyinyi ni wapumbavu Sana haha
@jacobmuiruri4318
@jacobmuiruri4318 Жыл бұрын
dacha hubiria hawa watu kabiza.
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 4 ай бұрын
Now I understand why Christian Prince educates and crushes people’s lies using their own books
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 3 ай бұрын
Don't forget to listen when his lies are exposed
"YESU SIO MUNGU". NIKATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART 8
36:17
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 17 М.
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 15 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН
MASWALI NA MAJIBU KATIKA MUHADHALA GITHURAI 45 TAREHE 24:2:2020
1:17:36
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 35 М.
DEBATE KUU KATIKA MJI WA ISIOLO (MADA MSALABA) BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA PASTOR NDACHA
1:27:09
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 15 М.
MJADALA KISUMU KAMAHOHA MADA MSALAMBA
1:46:45
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 74 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 37 М.
UST. MATHAYO AJIBU HOJA NZITO ZA MCH. NDACHA, Mtume MUHAMMAD ni kizazi cha Ibrahim
42:51
MJADALA MOTO MOTO BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA MCHUNGAJI NDACHA KUHUSU KIPI KITABU CHA KUFUATWA
1:38:55
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 10 М.