Рет қаралды 39,054
Written and Performed by Totti. Audio Produced By Kay-G Records. Video directed by Sync Production. Special Thanks to Maliza Umaskini.
Follow Totti on Instagram / tottimusic
Follow Totti on Twitter / tottimusic_
Like Totti on Facebook / tottimusic
Visit www.tottimusic.com
Lyrics
Kama mapenzi nishakupa,
hata vya kwangu ukashambulia sana, ila hutaki kuwa nami,
unanirusha roho kwani, kwa wazazi nishafika,
Ombi langu wakaridhika ila bado hutaki kuwa nami unanirusha roho.
Muda mwingi ushapita na najipa moyo utafika,
kesho ama mtondogoo kama sio leo.
Chorus
(Jangelewale) Wangu Eeh
(Jangelewale) Wangu Ooh
(Jangelewale)Eeh Eh Ooh x2
Usijewacha mbachao kwa msala upitao,
Walishasema zamani, na hata raha zina mwisho.
Nyama choma na tu beer, raha chache za dunia
zikakufanya ukakimbia ukaniwacha nikilia.
Usidanganyike na maneno, ungana na yangu vitendo,
Roho inachinjwa na Upendo, ya kwangu yote huyaoni
(Why why) Why Why
Muda mwingi ushapita na najipa moyo utafika
kesho ama mtondogoo kama sio leo.
Chorus
(Yako wapi (yako wapi) yale mapenzi (mapenzi) ya zamani (ya zamani) x 3
Chorus
La Internationale 2015(c)