HII HAPA TRENI YA UMEME IKIKATA UPEPO KUELEKEA DODOMA, TAZAMA IKIPITA KWENYE MADARAJA, MAHANDAKI

  Рет қаралды 51,552

TRC RELI TV

TRC RELI TV

3 ай бұрын

HII HAPA TRENI YA UMEME IKIKATA UPEPO KUELEKEA DODOMA, TAZAMA IKIPITA KWENYE MADARAJA, MAHANDAKI

Пікірлер: 81
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 3 ай бұрын
Mungu ampe rehema JPM mahali alipo lala, mama SSH hongera kwa kauli mbiu kazi zieendelee Mungu bariki Taifa letu
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Hongera sana Tanzania 🇹🇿 kwa maendeleo haya cha muhimu mtunze hii miundo mbinu na muwe mlinzi wa mwenzako
@godfrey3926
@godfrey3926 25 күн бұрын
So proud of mama Samia and Tanzanian people..This is simply amazing..President Samia proved how tough, smart and effective she has been in continuing pushing the dreams of the late Genius, President Magufuli..Congrats Tanzania
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Nimejikuta narudia kuangalia zaid ya mara tano , Mungu ibark Tanzania, Mbarik SSH, na wote wanao msaidia kazi ktk kutekeleza miradi ya maendeleo
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 ай бұрын
Jamaa kaonesha saini ya magufuli apo mwsho wa andaki
@alfredkalaba1614
@alfredkalaba1614 3 ай бұрын
Hakika JPM alifanya maamzi magumu. A man from Lake zone
@husseinzakaria914
@husseinzakaria914 3 ай бұрын
najihisi faraja kuona maendeleo ndani ya nchi .please viongozi jitoeni sana kwajili ya nchi yetu. Huwa inatupa faraja kubwa sana sie wananchi pale tunapoona uhalisia kuliko ahadi zamaneno. Hongera TZ .
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii 3 ай бұрын
Hakika
@donaldmartin-ps2ig
@donaldmartin-ps2ig 3 ай бұрын
Lakini tabora mwanza mradi umesimama hakuna kinachoendelea
@mkude
@mkude 3 ай бұрын
Hongera MAMA Samia hongereni TRC
@danogeto78
@danogeto78 3 ай бұрын
Hongela sana majilani 🇰🇪🇰🇪🇺🇬🇺🇬🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SafayaPlatnum-zz1dz
@SafayaPlatnum-zz1dz 3 ай бұрын
Hongera magufuli tunaona kazi yako ikitekelezwa kwasababu yako tunaona mambo ambayo hakuna raisi alifanikiwa pumzika kw amani baba tutakukumbuka daima
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 3 ай бұрын
Kwahiyo magufuli aliikuta nchi ikiwa haina maendeleo? Au kaikuta nchi ikiwa pori? Hebu tumieni maneno ya nidham kuwapa viongozi haki zao
@davidl.shangali6924
@davidl.shangali6924 3 ай бұрын
​@@Kim19onlinetvlakini bila magufuli hiyo miradi pengine isingianzishwa au ingechelewa sanaaa so acha apewe sifa zake bhana maana kwa kipindi kifupi alianzisha miradi mikubwa na yenye tija kwa nchi, huyu mama kaja kumalizia tu alipoishia.. tungoje tuone yake ndo tujue Kama anastahili sifa au la.
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 3 ай бұрын
Nenda chato kwenye makaburini ukampe hizo hongera zako.. ila huku duniani hongera ni Kwa mama Samia..
@zeddyshindika9502
@zeddyshindika9502 3 ай бұрын
@@ibrahimally8073 duh....!!!
@davidl.shangali6924
@davidl.shangali6924 3 ай бұрын
@@ibrahimally8073 itakuwa unachuki Sana moyoni mwako au unautafuta uenyekiti wa mtaa kwa gia hiyo, uchawa na unafki Ni mbaya mno.. pole Sana, Ila ukweli ndo huo, huyo mama yako hakuna miradi aliyoianzisha yote ameikuta imeanzishwa na mtangulizi wake, yeye kaja kuimalizia Tena kwa kusuasua sanaaa, najua unatetea tumbo lako so sikulaumu Ila ukweli ndo huo.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Hongereni wadau wote mliowezesha mradi huu Mkubwa
@musakatwale1959
@musakatwale1959 3 ай бұрын
JPM YU HAI
@BaitohCodes
@BaitohCodes 2 ай бұрын
Kanyimbo bwana kamefana🔥🔥
@tabysareva586
@tabysareva586 2 ай бұрын
Hongereni Serikali ya jamuhuri wa tanzani ,, mh mama samia kweli mama wa taifaa,, Mungu ibariki Tanzani,, Mungu ibariki TRC
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Ай бұрын
JPM atakumbukwa kwa miaka mingi. Mungu aiweke roho yake peponi.
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 ай бұрын
Ahsante TZ
@FCMUSICUNIVERSAL
@FCMUSICUNIVERSAL 3 ай бұрын
Hongera Tz. From ke 🇰🇪📍
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution 3 ай бұрын
asante sana
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 2 ай бұрын
Asante Jirani, tunawapenda Sana.!
@FCMUSICUNIVERSAL
@FCMUSICUNIVERSAL 2 ай бұрын
@@aloycekiwia8613 twapenda pia
@abdulkarimshabanmhandeni847
@abdulkarimshabanmhandeni847 3 ай бұрын
Hongera
@HassaniMzee
@HassaniMzee 3 ай бұрын
Bado siamini macho yangu kua hii ni Tanzania nilizowea kuyaona haya Japan China na kwengineko,hongera sana Rais wetu na timu yako ya uongozi nchi nzima
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m 3 ай бұрын
Nice one and one of the best if not in East Africa, it is the best for whole Africa. One thing they need to stop CATERING SERVICE AND SELL SNACKS AND SOFT DRINKS/ALCOHOL TOO. THE FOOD IS NOT CLASS AT ALL. STOP THAT BUSINESS OF SELLING FOOD
@ZakariaFaraja
@ZakariaFaraja 28 күн бұрын
Kaz iendeiee
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
RIP JPM, mbona mpaka huyo samia hana mradi wake aliouanzisha?
@felllokip
@felllokip 3 ай бұрын
Hongera Tanganyika👌💪
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 ай бұрын
Mambo mazuri Kama hayapewi nafasi kubwa kwenye vyombo vyetu vya Habari Isipokuwa kutwa kucha ni habari za Makonda tu.😮😮😮😮
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 ай бұрын
😀😀😀
@husseinally4932
@husseinally4932 3 ай бұрын
Wananchi wana pasion ya kuona maedeleo viongozi kazi kwenu
@jumanzumbi1215
@jumanzumbi1215 3 ай бұрын
Mama kapiga hatua kubwa sana.siyo rahisi kukamilisha hii miradi
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 3 ай бұрын
Rais Samia hongera umejipinda mno kuimaliza hii miradi mikubwa ambayo imeachwa na Rais maguful ikiwa haifiki asilimia 20. Ni sawa na kuianza upya,
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 3 ай бұрын
Kodi zetu
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 ай бұрын
Mitano tena mama
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 ай бұрын
Jpm 😢😢
@joma8989
@joma8989 3 ай бұрын
Rest in peace magufuli hakika juhudi zako na maono yako sasa yanaonekana
@angosele
@angosele 2 ай бұрын
Naomba kueleweshwa maana kuna kipindi trc team walionekana korea wakipata mafunzo, lakini yalikuwa ya vichwa vya loc, je ivi vya mchongoko vp? mafunzo
@Neycent
@Neycent 3 ай бұрын
RIP JPM
@thomasernest-ct2vs
@thomasernest-ct2vs 3 ай бұрын
Hii ndo TANZANIA tumayoitamani mama chapa kazi
@jkaaya3639
@jkaaya3639 3 ай бұрын
Mama tupo pamoja na wewe sisi wazalendo wanchiyetu tuna kupenda MaMayetu❤❤❤
@ShufaaSalumu
@ShufaaSalumu Ай бұрын
Dodoma dar au dar Dodoma ratiba yake jamani naomba kujua na nauli ipo vp
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 3 ай бұрын
JPM.
@arnoldmambali3770
@arnoldmambali3770 3 ай бұрын
mwimbo mkali sana
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 3 ай бұрын
Tatizo letu kesho tuuu utasikia Imeuzwa tena kwa bei cheee kwq watu wapi sijui kuleeeee
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 2 ай бұрын
JPM
@mrajani786
@mrajani786 3 ай бұрын
Majarabio kila siku majarabio lini inaanza
@husseinally4932
@husseinally4932 3 ай бұрын
Ipo haja ya kuharakishwa uzio njia yote maana tunaona sehemu nyingi inayo pita kuna makaazi ya watu na wanyama
@ChrisPA2007
@ChrisPA2007 3 ай бұрын
Pigeni picha za HD bwana. This is 2024
@westside5542
@westside5542 3 ай бұрын
Sure hi ni aibu
@mzungungaravit5580
@mzungungaravit5580 3 ай бұрын
Nani kama mama? Ccm nambari moja, kura zetu 2025 100%
@makolokolodavid6707
@makolokolodavid6707 3 ай бұрын
Shida hapo ni huo wimbo!! Tatizo kubwa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
SSH❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯💯
@adammakoye9332
@adammakoye9332 3 ай бұрын
Hivi naskiaga Dubai kule vile vivutio baadhi ya majumba na baadhi ya miji ni Serikali yenyewe ndo yajenga Kwann? Na sisi Tanzania tusianze na kijisehemu kidogo kukijenga kiwe kivutio kwa hapo Dodoma ambapo bado kuna Ardhi ya kutosha eh!!! Likawa limji limoja la serikali na jiji la kibiashara na vipi kuhusu ile ikulu pale Dodoma
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Sasa tujitahidi kufanya uzalishaji mkubwa katika nchi yetu tukitumia miundo mbinu hii kurahisisha maendeleo
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 3 ай бұрын
ITAUZWA SOON KWA WAARABU NIKO PALEÈEEE
@salumumakombo
@salumumakombo 3 ай бұрын
😅😅😅
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Samia mi 10 tena
@martinmhando2079
@martinmhando2079 3 ай бұрын
hizi nyimbo ndio uchawa uchawa uchawa
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 2 ай бұрын
Ndoto zako bado zinaishi JPM pumnzika kwa amani kamanda
@aminata3702
@aminata3702 3 ай бұрын
Nyimbo gani sasa hiyo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
hahahaha Samia Oyeeeeee
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 3 ай бұрын
huo wimbo tu ndio kero, acheni ujinga
@zawadix9574
@zawadix9574 3 ай бұрын
Wame msahawu magafuli Sasa nyimbo za Samia.... WA Tz Jamani WA nafiki
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 3 ай бұрын
Nawasikia wakisema asiyekuwepo na lake halipo
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 3 ай бұрын
Kila zama na uongozi wake kwahiyo ambiwe na ni?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
hawajamsahau si umeona hata Kaburi lake lilivyojengewa vizuri
@gideonmrema1851
@gideonmrema1851 3 ай бұрын
Akija kupata kura yangu mniite mbwa 😅
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 ай бұрын
😀😀😀😀
@CalvinMungure-nu1wl
@CalvinMungure-nu1wl 3 ай бұрын
Tumepigwa hiyo cio treni aliyo itaka Hati Magufuli
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 86 МЛН
Riding the Japan's Fastest Bullet Train l HAYABUSA First Class Seat 🚄
28:11
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 29 М.
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 650 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН