TUFUNUWE KITABU (SILSILA 3): Mafunzo kutoka "Pan-Africanism or Pragmatism?" cha Prof. Issa Shivji

  Рет қаралды 3,521

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Wiki iliypota, Ismail Jussa alichambua kitabu cha "The Partner-ship: Miaka 30 ya Dhoruba" kilichoandikwa na Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi, na leo anachambua cha Profesa Issa Shivji, Pan-Africanism or Pragmatism?", ambacho ni muakisiko wa kile cha Marehemu Jumbe.

Пікірлер: 20
@masilambazaim5302
@masilambazaim5302 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, mambo yanayozungumzwa ni mazuri na muhimu ningependa kushauri ni bora mada au uchambuzi kama huu ungefanywa hata kwa mfumo wa episode kuliko kulazimisha kumaliza na mambo mengi na muhimu tukayakosa wanufaika.
@Jefa_Adili
@Jefa_Adili 2 жыл бұрын
Shukran kwa waandaaji, tuna nufaika khaswaa
@shaficabdalaziiz218
@shaficabdalaziiz218 2 жыл бұрын
Waaleykum salaaam warahmatullah wabarakatuh, naaam tunawashukuru sana kwa elimu.
@alijuma7204
@alijuma7204 2 жыл бұрын
I appreciate this program and I see the enlightenment of Zanzibar prosperity
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka kujiunga na umoja wa Africa mashariki sio tanganyika ✊✊
@mohamediidrisa1259
@mohamediidrisa1259 2 жыл бұрын
Mashaallah kipindi kizuri Sana mnatujuza tusiyoyajua
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Ustaadh Ismail. Elimu uliyo nayo, iweke kwemye vitabu. Nimejifunza mengi ambayo sikuwa nayajua
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 2 жыл бұрын
Zanzibar kwanza
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 жыл бұрын
One Day Yes Zanzibar be free Insha Allah.
@ZPembaNewsAgency
@ZPembaNewsAgency 2 жыл бұрын
Kisima cha maarifa. Ahsanteni sana.
@azizamri1522
@azizamri1522 2 жыл бұрын
MashaAllah mumeweka mengi kweupe na kama ijulikanavyo Nyerere alikuwa ni kibaraka wa nchi za Magharibi katika uhai wake wote wa siasa. Yeye ndiye aliyetoa pumzi Zenj kwa kabari zake. Masikini Mzee Karume alifanywa babu jinga katika mambo mengi.
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 жыл бұрын
Shukran Sana Mh Jussa na brodher Moh'd 💕💃
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri sanaaa
@innocentman5954
@innocentman5954 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri lakini ni kifupi mno!
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 2 жыл бұрын
Mimi kwa maoni yangu kwa nn tukae chini tuzungumze muungano tulikuwa hatuutaki simple ni kuvunja muungano tu watanganyika wanheungana na kenya au Uganda au Rwanda
@innocentman5954
@innocentman5954 2 жыл бұрын
Kuna baadhi ya matukio ya kihistoria kama vita vya ng'ombe tnayaskia tu. Kama kuna umuhimu tujulishe Maalim Mohammed Ghassani. Asant.
@aliyahya5785
@aliyahya5785 2 жыл бұрын
Kitabu ni uvyumbuzi wa matatizo yetu ya kila siku.
@omarabdullah6002
@omarabdullah6002 Жыл бұрын
Ahhh uvunjike2 hakuna lazaidi
@suleimankhamis7378
@suleimankhamis7378 2 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullah Vipi hali yako sheikh Mohammed Mbona kipindi cha "Tufunuwe kitabu" kimepotea kwa takribani wiki mbili sasa! Au ndio kimemalizika??
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 2 жыл бұрын
Tatizo wasomaji wamekuwa adimu laiti tungekuwa tunasoma kiandikwacho
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Africa Suffering Because We Elect The 'Worst' To Lead Us - Lumumba
38:30
Channels Television
Рет қаралды 3,3 МЛН
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 9): Mjadala, Maswali na Maoni na Ismail Jussa
1:40:26
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 26): Gone With the Tide cha Bi Fatma Jinja
1:35:33
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 9 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН