TUFUNUWE KITABU (SILSILA 7): Abeid Karume cha Ali Shaaban Juma

  Рет қаралды 6,388

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

2 жыл бұрын

Leo, Ismail Jussa anatuchambulia kitabu cha wasifu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Karume, kupitia kitabu cha Ali Shaaban Juma.

Пікірлер: 26
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 жыл бұрын
Shukran sana Mhe Ismail Jussa Allah azidi kukujaalia kila la heri na na baraka tele na umri mrefu Insha Allah.
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Inshallah AMIN
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 2 жыл бұрын
Kila mtu anasema anavyo taka Lkn watu wengi mnoooo akiwemo Al-maruhum mzee ameir bin ameir Alieleza vizuri kua mzee karume kazaliwa Malawi na alikuja na mama yake bimwaka akiwa mabegani Ukweli utabakia kua uwekweli mzee karume hakuzaliwa zanzibar Waandishi Tunaomba muandike history ya kweli
@buchbeats5337
@buchbeats5337 2 жыл бұрын
Very true
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 жыл бұрын
Ahsante saaana kwa kipindi kizuri
@yahasalel-sheibany5403
@yahasalel-sheibany5403 2 жыл бұрын
Shukraan. Siku za mbeleni In Sha Allah mukipata wasaa tunaomba kitabu cha Sheikh Issa Bin Nasser Al Ismaily "ZANZIBAR KINYANG’ANYIRO NA UTUMWA​"
@wambura-cv3ut
@wambura-cv3ut 2 жыл бұрын
Hakika tunajivunia sana kwenu
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 2 жыл бұрын
Ahsante Sana shk jussa kwa history ya mzee karume observation yangu nafkiri wengi mumeiona kama kweli kazaliwa 1905 na kufa 1972 ina maana amekufa akiwa na umri wa miaka 67 kwa hio tunaomkumbuka akiwa kweli huo ndio umri wake basi alichakaa mapema jamani hebu semeni kweli unajua ukisema uwongo itabidi uongee uwongo mwingi zaidi kuthibitisha .la pili hatuelezwi ubabani kwake
@drhalimalmaskari
@drhalimalmaskari 2 жыл бұрын
Hajazaliwa na Bi Mwaka mama yake ni Bi Amina Kadudu
@hamzarijal9093
@hamzarijal9093 2 жыл бұрын
Hichi Kitabu ni kizuri sana khasa kama unapenda Historia, Ali Shaaban ametafuta picha nyingi zikiwa sio rahisi kuzipata. Mie nimekinunua na nimekipitia sasa mizani ya kukubali kukataa ni yako mwenyewe lakini jema ni kupata nakala yako nakuweka katika kumbukumbu zako nyumbani.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 2 жыл бұрын
Wazanzibar wote ni Wasafiri na Ma Politicians hizo ndio kazi zetu mbili sawa¿thanks
@nassirbreezy1972
@nassirbreezy1972 2 ай бұрын
Tunahitaji sana kuvisoma ila vinapopatikana ndo changamoto
@lmdos4382
@lmdos4382 2 жыл бұрын
hicho kitabau ni tope tupu kutoka kwa muandishi uchwara
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Dah Hawa watanganyika sio watu wazuri hata kidogo
@jarsjam8894
@jarsjam8894 2 жыл бұрын
Hakuzaliwa Zanzibar
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Please hamna sauti
@nassirbreezy1972
@nassirbreezy1972 2 ай бұрын
Assalam Alykum? Hivi vitabu vinapatikana wp, naomba mutuelekeze vinapopatikana
@shaficabdalaziiz218
@shaficabdalaziiz218 2 жыл бұрын
👍👍👍
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Sauti
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 2 жыл бұрын
Muamko huu iendeleee kutoa tarikhi ya kweli
@feiz3180
@feiz3180 2 жыл бұрын
👍
@jarsjam8894
@jarsjam8894 2 жыл бұрын
Hajawahi kusafiri
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 2 жыл бұрын
Mpaka nyie mnasaport mahistoria ya uongo....mnajidhushia hadhi
@rashidomar2771
@rashidomar2771 2 жыл бұрын
Mngelitutajia hao waliopewa kesi ya uhaini majina yao na kuuliwa na ni wapi wengine kufungwa
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Ehh bwana we huyo muandishi muongo znz ya wakati huo watu wakijuana bwana ukiwa mzaliwa utajulikana wazee wako, asili yako n.k na ukiwa wakuja utajulikana pia hilo liko wazi. Ukiwa Songea unaiona Malawi ilee na kuna wangoni wengi tu wameingiliana na wanyasa.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 315
SHEIKH ALI BIN MUHSIN AL BARWANI NA SIASA ZA ZANZIBAR
2:26:36
Bin Seif
Рет қаралды 77 М.
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 34 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,1 МЛН