No video

TUHUMA: Shambulizi La Trump Ladaiwa Kuwa MAIGIZO TU. Ushahidi Huu HAPA.

  Рет қаралды 25,200

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 179
@ummymuya.2060
@ummymuya.2060 Ай бұрын
Nimezoea kusikia sauti yako tu, nimefurahi kukuona. Nazipenda sana makala zako! unafanya kazi nzuri.😊
@user-jr1zj8me4u
@user-jr1zj8me4u Ай бұрын
Marekani kupigana risasi ni jambo la kawaida sana.Marekani siyo Bongo -Tanzania
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 Ай бұрын
Mchongo gani wa kupigana risasi na kumuua yule kijana! hilo ni tukio halisi
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Kama hvo basi hata rais JF kennedy ulikuwa ni mchezo wa kuigiza😂😂😂
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo Ай бұрын
Tukio gani la mchongo wakubali adi kuua watu kweli yan kuutoa uhai wa mtu kisa tu upate umaarufu wa kisiasa sio kwelii
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
@@Theman-dn8vo 🤣
@youngbona3804
@youngbona3804 Ай бұрын
Ilo tukio limegharimu maisha ya watu wawili na wengine wawili ni majeruhi wenye hali mbaya,,haiwezi kua ni maigizo mzee baba fanya research yako vizuri leo umeniangusha🤙🤙
@elvisrugims8298
@elvisrugims8298 Ай бұрын
Aliyekuambia kwenye Maigizo watu Hawafi au kuumia ni nani? Unamjua Mcheza filamu maarufu anayeitwa Baldwin? Alimpiga mtu risasi ya moto, ktk ya Movie 🎥 shooting
@elvisrugims8298
@elvisrugims8298 Ай бұрын
So mimi naona ni kama Kafara flani, ndio maana baada ya hili tukio, jamaa anatrend vibaya mno. Usisahau US 🇺🇸 ni nchi inayoendeshwa na waabudu mashetani, so kafara kwao sio kitu kipya.
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Ili lisiwe igizo ilitakiwa iweje​@@elvisrugims8298
@franssmoses6791
@franssmoses6791 Ай бұрын
Kwa Marekani inawezekana kaka watu wanajitoa muhanga
@mrfix6596
@mrfix6596 Ай бұрын
Unaamini vipi hao waliokufa ni kweli na hawakuonyeshwa.
@benswax2931
@benswax2931 Ай бұрын
Usijioneshe sura una haribu kila kitu kaka..
@riziwan9709
@riziwan9709 Ай бұрын
Una haribu kwel kbs ùkiwa unaonekana sura
@fadhilally5471
@fadhilally5471 Ай бұрын
Unajua mzee wenzetu wametuacha mbal sana kwaiyo apo lolote linaweza tokea inaweza ikawa kwel ama si kwel
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Justin, unapoteza umakini. Fuatilia SnS utafahamu, kuna vitu kidogo unakosea kosea hivi karibun kwa kukusanya taarifa chache kutoka kwenye vyanzo baadhi, pengine unakosa mda wa kuvichanganua kulingana na mda. Hii ilikua waz kabisa assasination, halkupangwa kulngana na hal ilivyo
@Mpakauseme
@Mpakauseme Ай бұрын
Yote yanawezekana kuwa ukweli au ni maigizo
@niahpike8593
@niahpike8593 Ай бұрын
Uijui america vizuri na kamwe uwez kuijua
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
@@niahpike8593 heri yako unayeijua, una any podcast may be so that we can learn from.
@ntegrity277
@ntegrity277 Ай бұрын
Hilo sio igizo huwezi kuichafua Marekani kiasi hicho, Marekani wanakumbukumbu mbaya sana kuhusu mauaji ya rais
@SalumoMchamuMchamu
@SalumoMchamuMchamu Ай бұрын
Haliwezi kuwa tukio la kuigiza, kumbuka risasi limekosa kichwa Cha trmp na kukwatua skiolake, ule uzembe ndio tukio lakupanga.
@jacquelinebyaombe9729
@jacquelinebyaombe9729 Ай бұрын
Ni kweli akuna kuhigiza apo
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj Ай бұрын
Hakuna mchongo wa kuuana hilo ni tukio sahihi ila Mungu amemuokoa
@abrahamsebastian5073
@abrahamsebastian5073 Ай бұрын
Naona ni kweli ni maigizo TU lazima risasi ingempata mtu mwingine wa nyuma yake
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Ай бұрын
😂😂😂kweli kapisa
@EmanuelNicholaus-of1qg
@EmanuelNicholaus-of1qg Ай бұрын
Sio kweli kaka
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Ай бұрын
Inawezakana kabisa hayo uliyosema ni ya kweli
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Vifo maigizo haya tupige MB zetu 👋👋
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 Ай бұрын
Hilo tukio lilipangwa ingawa kwenye utekelezaji kuna makosa yalifanyika kuelewa hili linahitaji akili na uelewa wa hali ya juu ndomana wengi wanaamini ni tukio halisi lakn sio ivo!
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Jamaa anataka ajulikane ili awarubuni vizuri wasichana.😅😅
@riziwan9709
@riziwan9709 Ай бұрын
Tumekushauri usipende kuonekana ktk video zako kaka....tengeneza audio tuu sisi tunainjoy zaid kuangalia matukio kuliko kukuangalia ww
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Atapataje mtaji wa kuwatongoza wa dada 😂😂
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 Ай бұрын
Mkitaka kuamini kwamba haya matukio ni ya kawaida taften move inayoitwa the shooter hapo utajifunza na utagundua kwamba matukio kama haya sio feki ni kwel
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👍👊✌️.
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Ай бұрын
Kaka mimi nilikuwepo pale kwenye mkutano wa trampo sio igizo ni kweli
@mansurahmed3458
@mansurahmed3458 Ай бұрын
Ni kweli kabisa kwasababu kama ni kweli donald trump angeinuka nakusema fight fight. Yaani he was sure what was going on
@stanleymanya438
@stanleymanya438 Ай бұрын
Kwani taarifaza ndani zinasemaje!!!?
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv Ай бұрын
Huu ni ujinga sio wakusikilaza hovyo kabisa
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 Ай бұрын
Umenimalizia MB zangu tu aujaeleweka
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 Ай бұрын
Hilo lilikuwa shambulio laukweli.
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 Ай бұрын
Hoja zako nyepesi Sana kaka, sio maigizo haya
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua Ай бұрын
Haiwezi kua maigizo ww wabahatisha Fanya uchunguzi mwanzo
@BukelebeTv
@BukelebeTv Ай бұрын
Ahsante kaka Justin
@ananiadaniel4064
@ananiadaniel4064 Ай бұрын
Trump pole Mungu ni mwema.
@franssmoses6791
@franssmoses6791 Ай бұрын
Ni kweli inawezekana ikawa ni maigizo maana trump analazimisha kupendwa na watu
@Kaambale-ve5el
@Kaambale-ve5el Ай бұрын
Na alieuwawa ni maigizo au,,
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Ай бұрын
Acheni kuongea vitu vya uongo, hadi watu wamekufa halafu mnasema ni uongo?? Acheni ushamba!!
@LouisianaRiri
@LouisianaRiri Ай бұрын
Tukio sio la Mchongo ila hao secret service ndio wanahisiwa kuwa wamefanya makusud hili auliwe yaweza kuwa mtu fulani mkubwa wanaogombea ndio alihitaj auwawe hili asiwe na competition (Biden)
@naima-d6f
@naima-d6f Ай бұрын
Maigizo kwa wanao mchukia
@richarddavidmk
@richarddavidmk Ай бұрын
Fuatilia vizuri hicho kisa
@bernadkomba7316
@bernadkomba7316 Ай бұрын
Chunga sana katika utafutaji wa Kiki zako watu wamepoteza maisha ww unasema maigizo
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg Ай бұрын
Ili jmbo nilijua kma maigizo trump mzinguaji
@jumafaki7473
@jumafaki7473 Ай бұрын
mimi nimejua zamani uwongo mtupu tangu siku Ile ,wamepanga vyama vyote ,2 Wana badilisha a vijiti wanawachezwa WANAICHI wa USA uwongo mtupu
@user-bq4qs7ht6b
@user-bq4qs7ht6b Ай бұрын
SnS ndo imeeleza vizuri hii habar sababu zimeelezwa SnS
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs Ай бұрын
Umezingua mjomba
@melkizedecknkini3715
@melkizedecknkini3715 Ай бұрын
Ile risasi iliyomlemlenga Trumph iligusa tu sikio, kwa mkusanyiko ule risasi ingewapata zaidi ya watu wengine wengi tu na kusababbisha vifo vingi, milio ya bunduki ilisikika lakini Trump akendelea na hotuba akasubiri ajeruhiwe Sio kawsida kabisa!!!?. Kwanini hwakumjeruhi tu huyu kijana ili wapate ushahidi waa kutosha?
@BenAman-cm5kx
@BenAman-cm5kx Ай бұрын
Inasikitisha wabongo tunatafuta kiki kweny matukio makubwa kama haya, tujitahid kufatilia mambo na sio kukurupuka, je angeuliwa ingekuwa ni maigizo ya kifo? Usiharibu kazi yako
@emmanueldeogratius3969
@emmanueldeogratius3969 Ай бұрын
Acheni ujinga risas ipite sikion, na watu wafe na mhusika afe eti. Feki
@SalumoMchamuMchamu
@SalumoMchamuMchamu Ай бұрын
Pamoja nami.
@MichaelBernad-s3t
@MichaelBernad-s3t Ай бұрын
naomba hidithi ya princess diana na phia je ule wimbo wa michael jackson wa dirty diana j ulikuwa una muhusu huyo princess diana .plz justinsheddy naomba hidithi hiyo
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 Ай бұрын
Hilo ni tukio halisi. Vinginevyo hangekufa mtu.
@hesbonmusili9855
@hesbonmusili9855 Ай бұрын
Shedy...tafadhali Mimi kama shabiki wako...napeda kusikia sauti yako tu ...ili la kuoneka hapana😊😊uko vizuri kaka ila...naoba tu sauti...kipawa kipo kwenye sauti ukiwa huonekani ndivyo tumekuzea...haswa Mimi.
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Ай бұрын
Jinga kabisa wew
@hamisindingo
@hamisindingo Ай бұрын
Kwann sauti ukioneka na usipoonekana ni tofauti?
@McGatho
@McGatho Ай бұрын
Tunakupata
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny Ай бұрын
Not fake at all
@KhatibkhamisKhatib
@KhatibkhamisKhatib Ай бұрын
Yeye sio raisi ni mstaafu
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 Ай бұрын
Jamaa liongo hili
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Ай бұрын
Sasa kama uongo umefata nn
@hanskidd2290
@hanskidd2290 Ай бұрын
Watu wanakufa unasema maigizo yooooooo
@Ramson_Senior
@Ramson_Senior Ай бұрын
Wakwanza mimi👍
@user-qs1xx9yl8i
@user-qs1xx9yl8i Ай бұрын
Acha uongo dah sio poa sitaki Tena Habari kutoka kwako 😂😂😂
@SamuelShabani
@SamuelShabani Ай бұрын
Siokwamba ni maigizo,tukio ni alisi,ila liliandaliwa kwa mda na kupangwa vzr ili kupoteza ushaidi,wangetaka ushaidi,ilikuwa ni rahisi ku mjerui naku mkamata ingaliki mapema
@rashiduchongole1333
@rashiduchongole1333 Ай бұрын
Ni kweli hilo mzee baba coz ata kushambulia bado Trump amezuba pia alipo ukolewa kabunga mkono wakati hilo ni kifo
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l Ай бұрын
Watu wake hao na yule dogo hajafa tuliosoma philosophy tunajua na huu mfumo wa Democracy hii michezo ni ya kawaida ludisha kumbukumbu tukio la Kikwete kudondoka jukwaani hii ni kawaida kabaisaaaaaaa 😅
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Ай бұрын
Unajiharibia CV yako. Utasababisha watu wengi wanaofuatilia habari zako wahisi kwamba kumbe unawadanganya.
@zaburi2386
@zaburi2386 Ай бұрын
Hakuna mchezo kwa kuuana
@johnkayombo3685
@johnkayombo3685 Ай бұрын
😂😂😂😂
@daudsonda9706
@daudsonda9706 Ай бұрын
Uwezo wako wa kufikiri unakomea hapo tu,acha wengine wachunguze.
@deneskomba6150
@deneskomba6150 Ай бұрын
Walinzi ni wanadamu na huyo aliemshambulia rais ni mtu
@ndinzeissa4778
@ndinzeissa4778 Ай бұрын
Mimi naamini ni maigizo hiyo ndio marekani kwani hata osama walitudanganya na dunia ika amini hivyo kuwa wame muuwa ni uwongo mbona hata mwili ya maiti haikuonekana hao ni maekta.sana wewe mtangazaji uko sawa
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Ulinzi alio nao ni mkali sana naweza nikweli pengne ilikua game trumpu ni miongon mwa binadamu ambao wanalindwa sana hii ni game kijana amejitoa mhanga kwajili ya familiy member
@saulomathayo
@saulomathayo Ай бұрын
Acha kuzingua Justine, hili haliwezi kuwa fake. Wanaosema ni fake ni wapinzani wake kisiasa kwa faida yao.
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw Ай бұрын
Kweli feki Lisa's ingemtoboa hadi unable wa pili Lisa si ingetokezea upended wa pili imepunyua sikio
@danielmgalla558
@danielmgalla558 Ай бұрын
Sio fake, jama alipangiwa auwawe siku ile na Secret Service wenyewe,
@user-kv8lp2ft2d
@user-kv8lp2ft2d Ай бұрын
Hizi njaa hizi...
@fuminozanzibar.6402
@fuminozanzibar.6402 Ай бұрын
Igizo tu mana Rissington sio pini pia hakufa mtu ata mmoja mchongo tu mana ww mwenyeo ujikate ukuche basi utaugulia maumivu na sio kuendelea kukata kuche
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Kwani hamza aliweza vipi acha maisha. Ya ku kariri utapotea movie zipo aina nyingi za kujifunza mbinu
@bosco709
@bosco709 Ай бұрын
Yote ninjaatu basi
@wakayakaya6
@wakayakaya6 Ай бұрын
Tukio ni kweli acheni uongo
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Ай бұрын
Maigizo kuuana? Acheni kukurupuka
@user-bq4qs7ht6b
@user-bq4qs7ht6b Ай бұрын
Maigizo kijana kafa
@YunusHassan-dl2md
@YunusHassan-dl2md Ай бұрын
Dah sio poa
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Mhhhh Leo umechemka sana kaka ,yaani maigizo hayo ,TRAMP anaweza kushawishi wanausalama kushiriki kitu ambacho kitawafanya wao wenyewe wakose kazi na hata kufungwa ,?? na yule dogo mdunguaji kapigwa risasi na kafariki , je na yeye alikubali kuigiza??
@shijamohamed369
@shijamohamed369 Ай бұрын
Unazingua shed
@mwashyombo9241
@mwashyombo9241 Ай бұрын
Acha usenge
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Ай бұрын
Hoja za upande wa kwamba tukio ni halisi lina nguvu zaidi kuliko upande wake wa pili wa kudai kwamba si tukio halisi.
@user-lg5xd1ui4v
@user-lg5xd1ui4v Ай бұрын
Akuna ukweli wowote pale ni maigizo mtupu,hivi wanasiasa mnawasikiaga tu kumbe hamjuagi michezo yao,Trump anajua kutengeneza maigizo aiseee!
@Ucheshi
@Ucheshi Ай бұрын
Maigizo mtu anapasuka duuh😮😮
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
sasa hyu trump aliigiza na nani? ni askar au mpigaji risasi? na kama ni mpigaji walipanga kua ajitahid risas ipige kwenye sikio?
@jacobnduya798
@jacobnduya798 Ай бұрын
Uwongo siyo maigizo, kwahiyo mtu anaigiza kufa 😐
@user-qs1xx9yl8i
@user-qs1xx9yl8i Ай бұрын
ACHA usenge ww
@Benjaminkakamasha662
@Benjaminkakamasha662 Ай бұрын
No sio fake mtu uwezi fanya mpango mubaya juu yako mwenyewe
@dollardavid955
@dollardavid955 Ай бұрын
Aiseee... bwana justin shedy....unapata wapi taarifa hizi nyeti... kwakweli nakukubali mno
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs Ай бұрын
Unadangaywa acha ujinga
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Ай бұрын
​@@FrancisDonald-go9cssasa kama anadanganya ww umefata sisi tunapenda uongo ndomaana tunaacha CCM izidi kutuongopea
@SumaMixy
@SumaMixy Ай бұрын
Wewe utakuja kupotosha jamii kwa hizi taarifa zako tafuta vyanzo vya uhakika utafahamu ulicho kiongea hakipo bro😂😂😂
@official_east_melody
@official_east_melody Ай бұрын
Hapana, hii issue ni ya wnaa usalama, pia ieleweke tu kwamba trump aliwahi kuwa Rais, so hata wanausalama inawezekana wamegawanyika Kuna wanaompenda na Kuna wasiomtaka kabisa.
@neemaadam9256
@neemaadam9256 Ай бұрын
Ni tukio la kweli kabisa, USA FBI Sio mchezo, uchunguzi wa kina umefanywa, vifaa vibaya vimekutwa nyumbani kwake.
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Ай бұрын
Uongo tukio ni kweli burette ilikuwa live na kijana hakuwa na mafunzo risk ya kuuwa ilikuwa kubwa kuliko kumkosa na ndio maana ilipiga sikio hilo ni swali la kujiuliza tu,ukitaka kujua jalibu kuigiza wewe
@CallmeMack.d
@CallmeMack.d Ай бұрын
Justin we jau 😢 watu wamedead bruh 😵 umezingua
@Bihagaze
@Bihagaze Ай бұрын
BADO KUNA WAJINGA TANZANIA.. WANAAMINI MZUNGU NI KAMA MALAIKA , MWENYE AKILI NA MAKINI . HAWAAMINI KWAMBA WAZUNGU NI BINAADAMU WA KAWAIDA WENYE KUFANYA MAKOSA! NADHANI HII MEDIA NITAIBLOCK JUMLA. KIWASIKILIZA WAJINGA NI KAMA AIBU FLAN.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Ай бұрын
Hiyo kuuwa 2 inatokasha kuona ni jambo la kweli na ni jambo baya
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Maigizo wakati kuna watu wameuawa! Acha hizo
@sylikiussebastian
@sylikiussebastian Ай бұрын
Ilo neno bro sijajua kama kasi ya risasi iliyompiga sikio igemtugua mtu wa nyuma yake
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 Ай бұрын
Hakuna cha maigizo hapo ile risasi ya skio ingempata kichwani ingemzima huyo dogo alidhamiria kumuuwa rais trump.
@salimalrumhy7575
@salimalrumhy7575 Ай бұрын
Si tayari Paka karushiwa Iran au nae kalia NYAU 😅
@laodapigfarmmrduroc8327
@laodapigfarmmrduroc8327 Ай бұрын
kaka huku sio kwako geopolitocs bado huiwezi
@brownshirima5924
@brownshirima5924 Ай бұрын
Bwana marekani sio. Tanzania mbona uongelei mambo ya Boston. Ni kweli kwan trump niatar adi kwa hiyo marekani yenyewe eb mfatilie utastaajabu
@godfreythomas930
@godfreythomas930 Ай бұрын
Hapo umefeli bro hakuna maigizo hapo
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 117 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 12 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 32 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 17 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 117 МЛН