DONALD TRUMP,gwiji mwenye UTAJIRI wa kugawa BILIONI 3.9 kwa watu 1823,hivi ndivyo ALIVYOPATA UTAJIRI

  Рет қаралды 16,291

BONGO FASTA

BONGO FASTA

3 жыл бұрын

Watu wengi duniani tumeanza kumfahamu donald trump baada ya kuinia katika ulimweng wa siasa,lakini kwa wafuatiliaji wa masuala ya biashara na burudani za marekani,wanaweza wakawa wamemfahamu trump kabla ya hapo,kwani si mgeni masikioni mwa watu,gwiji huyu wa biashara amekuwa kwenye vyombo vya habari tangu miaka ya 80,akija na kituko kimoja baada ya kingine,mradi mmoja baada ya mwingine.inawezekana ukamchukia kwa matendo yake,lakini hiyo haibadili ukweli kwamba trump ni tajiri kupita maelezo,kwani licha ya kuwa raisi mwenye vituko wa marekani,donald trump pia ni binadamu tajiri Zaidi kuwahi kukalia kiti cha uraisi wa marekani,kwani wakati anaingia white house,tayari alikuwa na utajiri wa dola za kimarekani billion 3.1,na kiwango hiki si kidogo,kwani kwa mujibu wa makadirio ya kiwango cha fedha ambacho mmarekani wa kawaida hutengeneza katika maisha yake,fedha hii ya trump inatengenezwa na watu 1823 watakaofanya kazi maisha yao yote.na hata baada ya kuondoka white house trump hatoishi kwa kutegemea pension za maraisi wastaafu,kuna biashara zake nyingi sana ambazo zinaweza mfanya akawa tajiri kuliko alivyo sasa,mpaka hapa nadhani nimempamba vya kutosha kiasi cha wewe mtazamaji kujiuliza,hivi huu utajiri aliutoa wapi?usijari hilo ndio dhumuni la hii video,hivyo kabla hatujaendelea,wacha nikupe sekunde kadhaa za wewe kubonyeza subscribe hapo chini kisha alama ya kengere pembeni yake.

Пікірлер: 21
@dennisrono622
@dennisrono622 3 жыл бұрын
Story nitamu sana twende kazi justin
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa 4 ku like sasa twende kazi namba moja .......😛😛😛😛
@Shiwingambozi
@Shiwingambozi 3 жыл бұрын
Good sana bongo pita na kwangu for subscribe
@janethjane745
@janethjane745 3 жыл бұрын
Habari Shedi mi shida yangu nione japo picha tu..... maana kila tukio lazima nione ila msimuliaji simjuii japo navutiwa sana na na kupendezwa na story zako
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😜😜😜😜🤩🤩🤩🤩🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@gammamsagama7106
@gammamsagama7106 3 жыл бұрын
Weka namba ya tsapp twende kazo
@busta_malik5971
@busta_malik5971 3 жыл бұрын
Mimi naitwa justin shedy sasa twende kazi 😂😂
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 жыл бұрын
🤭🤭🤭🤭🤭🤭😛😛😛😛
@enockkiptoo4063
@enockkiptoo4063 2 жыл бұрын
Natamani one day one tyme nivke kw studio yako bro twende kazi
@enockkiptoo4063
@enockkiptoo4063 2 жыл бұрын
Justin kweli wwe tunakuexhimu kw history mbali mbali axante kaka
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@danielmkama24
@danielmkama24 3 жыл бұрын
Nakubali kaz
@VeraRebaka
@VeraRebaka 10 сағат бұрын
Alikuwa imara
@Dm-yq9wn
@Dm-yq9wn 3 жыл бұрын
Mara yangu ya kwanza kumuona trumpo ni WWE
@youngchua697
@youngchua697 3 жыл бұрын
CONGRATULATIONS
@enockkimanga992
@enockkimanga992 3 жыл бұрын
✌️
@gackygregory8591
@gackygregory8591 3 жыл бұрын
Justin unajua wew ni hatari sana Kwa usimulizi tunakuomba utuandalie video kuhusu ukweli wa kisiwa cha pasaka kaka
@ibrajohnson128
@ibrajohnson128 3 жыл бұрын
Mm ni Justin shedi aya twende kaz
@kassimmussa7814
@kassimmussa7814 3 жыл бұрын
Huku kwetu kelele nyengii et flani tajiri ukiuliza nini et anamiliki nyumba mbagala,🤣🤣🤣🤣🤣
@joellymballawah8188
@joellymballawah8188 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 3 жыл бұрын
Daw we mnyama umenikumbusha iyo movie ya home Alone. Nikweli nilikua namuona Sana Trump na uyo Kelvin ila nilikua sijui Kama ni yeye Donald Nme Enjoy sana
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3 МЛН