Рет қаралды 2,546
Chumba cha Speak With Their Minds katika jukwaa la Clubhouse kinaendesha mjadala kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 visiwani Zanzibar kwa kuangazia yale yanayosemwa na kutendwa na wadau mbalimbali wa uchaguzi huo. Hii ni sehemu ya kwanza ambayo inajadili kauli ya chama cha ACT Wazalendo juu ya mwenendo wa uandikishaji wapigakura.