Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE KZbin Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram
Пікірлер: 16
@muhammedalisaid91524 күн бұрын
😊
@BarakaYasini-lp3ys5 күн бұрын
Acha kudanganya watu bila katiba hakuna kitu msipotezee mida watu
@lusakaone77825 күн бұрын
Mama tupo pamoja, ukifanyika uchaguzi huru CCM hamna kitu
@RahimMallya-fh9zc4 күн бұрын
😮😮😮😮😮😂
@lusakaone77825 күн бұрын
Yaani watu wamekuwa maskini wa kipato na akili, ACT-WAZALENDO ina watu wenye akili sana na watafanikiwa sana
@mpeligwamoyo42545 күн бұрын
Kumbe huyu Hana akili kabisa,Kwa mwendo huu unataka kugombea Act ni ccm b
@AbrahmanAbrahman-l7h4 күн бұрын
AHSANTE MWANDISHI KWA USHAWISHI WAKO WA MASUALA YAKO YALIO WAZI KABISA.
@AmisiLulacha5 күн бұрын
Naona kiongozi wa ccm B anatettae ccm
@lusakaone77825 күн бұрын
Watanzania tupo nyuma sana, Kiongozi wa chama anapigania demokrasia mna comment ujinga
@lusakaone77825 күн бұрын
ACT-WAZALENDO ni chama pekee kimeunda baraza kivuli la mawaziri na wanafanya kazi ya kutetea wananchi
@johnsinyinza74505 күн бұрын
Mtoto wa Gamba mtunzi wa vitabu.
@lusakaone77825 күн бұрын
Wengi wanadhani UPINZANI NI MATUSI KWA WATAWALA, hapana ACT-WAZALENDO wanafanya siasa ya kukosoa serikali na si kutukana viongozi wa vyama vingine
@AbrahmanAbrahman-l7h4 күн бұрын
KAMA RAISI ALITOA AHADI YA KUTEKELEZA DEMOKRASIA HATA KAMA ITAMGHARIMU KUKOSA UONGOZI NA ANASEMA HATISHWI NA UPINZANI NA YEYE NA VIONGOZI WENZIWE WANAAMINI VYAMA NI VYA KITAIFA TANZANIA INASIMAMA WAPI? KATIKA KARNE HII.