TUJIEPUSHE NA HAWA WATU WA BID'A (WAZUSHI) || NI NINI BID'A"SHEIKH OTHMAN MAALIM.

  Рет қаралды 29,709

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@abdulrahma300
@abdulrahma300 2 жыл бұрын
Shukran sanaa sheikh wetu, Allah akuhifadhi na hasadi za watu
@munezeroabiba6493
@munezeroabiba6493 2 жыл бұрын
Jazzaka Allah kheir Mwenyeezi Mungu S.W.W awalinde na husda za waja
@KakaSaid-h5e
@KakaSaid-h5e 6 ай бұрын
MASHAALLAH, ALLAH akuzidishie USTADH OTHMAN MAALIM...
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 3 жыл бұрын
MaaShaaAllah Othman maalim.. Allah akupe umriii nehma hiyoo alhamdullilahi sii wote wanaona. Lakini Allah bless you amen
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 9 ай бұрын
Mashaallah aendelee kukuhifadhi sheikh wetu ili tuendelee kunufaika na ilmu yko
@halimaomari3415
@halimaomari3415 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Mashaa Allah,sheikh othman mola akupe umri uzidi kituelimisha katika dini,na mola akuekee mahali pema peponi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Amiin
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Жыл бұрын
Kila muislam ana hitajika kuiangalia khutba hii mpaka mwisho wallah MaashAllah Wallah Mwenye elim wala hatumii nguvu nyingi🙌🏽
@laleinemirjangi1930
@laleinemirjangi1930 2 жыл бұрын
Mungu akuweke sheikh wetu akupe afya na umri na pia Allah akupandishie daraja ameen nasikia kila siku mawaidha yako
@abdulazizabdillahkijaro3070
@abdulazizabdillahkijaro3070 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Allah akupe maisha marefu napenda sana mada zako ila mwenye anazipa title youtube anafeli waepata shekhe ywaongelea kiyyama but mada ni ndoa ... lt would be really educative if the shekh doesnt divert so much in his sermon
@msongojumbe486
@msongojumbe486 2 жыл бұрын
allah akujaalie elimu inayoeleweka
@maryamabeidally3953
@maryamabeidally3953 Жыл бұрын
Me naomba muifananue bidhaa ili ajulikane nani anaeishi katika bidhaa Shekh Allah akulipe kheri
@bentybenty2343
@bentybenty2343 3 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah sheikh
@alhabibmkama3566
@alhabibmkama3566 3 жыл бұрын
Mashaallah mwalimu wetu Allah bless you
@imamibnhajar3586
@imamibnhajar3586 3 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Uthman Maalim
@musakibwana4596
@musakibwana4596 3 жыл бұрын
Mola akujaze mema kwa faida unazotupa sheikh wetu
@mansoormannix1753
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Hii mambo ya bid'aa inafaa kujadiliwa kwa upana sana, sasa kuna ma imam hata hawasomi Bismillahi Rahmani Raheem abadan, dua za jamaa msikitini baada ya Sala ya jamaa imeharamishwa, kwenye msikiti nyingi sana, tunaambiwa hiyo ni uzushi wa Sufi. Lakini kwa ufahamu wangu dua ni muhimu sana kwa jamii na jumuiya ya kiislamu kote ulimwenguni.
@abdallahmkomboz2679
@abdallahmkomboz2679 3 жыл бұрын
Alafu Kuna watu wanakuambia haifai kumsikiliza Shekh Othman Maalimu!! Mm nawaambia hatufai kuwasikiliza wao wenye kuleta fitna katk dini!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Wanamchukia sana is a kama makafiri walipowatahadharisha watu wao wasimsiklilize Mtume saw. Kwanini wanaogopa kusikilizwa Shekh othman ndio ujue wanahofia watu kujua ukweli
@halimasalum9701
@halimasalum9701 3 жыл бұрын
.
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Жыл бұрын
Ndugu zangu masalafiy walete Radd kwenye hili basi😔😔😔 Mbona kimya sana🤧
@aliseif2691
@aliseif2691 3 жыл бұрын
Allah akubarik
@jimjam4148
@jimjam4148 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah
@rashidsaid9409
@rashidsaid9409 Жыл бұрын
Hapo kwenye muongozo wa mtume صل الله عليه je mtume ametoa muongozo gani kuhusu maulidi yake.
@jubiercib3074
@jubiercib3074 2 жыл бұрын
Mashaallah
@saidnassor5675
@saidnassor5675 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akupe umri mrefu inshallah
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@khalifamasoud5286
@khalifamasoud5286 3 жыл бұрын
mashallha
@khalifamasoud5286
@khalifamasoud5286 3 жыл бұрын
mungu amzidshie kipaji
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
@@khalifamasoud5286 Allahumma Amiin
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 3 жыл бұрын
Mashaallah
@mansoormannix1753
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Siku hizi kila kitu utatumwa kwa Ibn Tammiyyah wanamuita Imaamun Islam. Lakini sisi tuliye soma fiqhi Imaamul Shafi hatukubaliani sana fatwaa nyingi za ibn Tammiyyah, moja wapo ni kutoa hukumu ya kuwa kafirisha Waislamu wasio kibaliana na fatwaa zake na hizi ndizo zinatuletea shida katika dola kiislamu. Leo muislamu anakadhibu amri ya mtume ya kuharamisha damu ya muislamu kwa muislamu kwa kuua waislamu kwa kuwakafirisha.
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Жыл бұрын
Duh mwaka mzima umepita na awajaleta hata RAddi.. Pigeni raddi basi masalafy wenzangu🤧
@mustafahkapopwa-bi7yb
@mustafahkapopwa-bi7yb Ай бұрын
Amna radi hapa bahari ime jaa dalili
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 3 жыл бұрын
Akuna mfano wako
@mwalimameir4305
@mwalimameir4305 3 жыл бұрын
Bidaa nzuri ni kama kumswalia Mtume(maulidi) kumsomea MTU dua(khitma) na mbaya in kuua kuzni kuiba.
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 3 жыл бұрын
Kuua, kuzini na kuiba hizo haziitwi bid'a bali ni maovu na dhambi. Bid'a maana yake uzushi ktk dini.
@mwalimameir4305
@mwalimameir4305 3 жыл бұрын
Ndugu yangu kasome usiwe unabururwa tu.
@anzurunimugunwa6761
@anzurunimugunwa6761 3 жыл бұрын
@@mwalimameir4305 ALLAH ambaarik Sheikh wetu Athumani Maalim, na amfungulie futuuhil ' aarifiyna. Pia amjaalie khatima njema insha - Allahu Aameen ya Rabbi.
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Allah akubarik Sheikh Othman
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Tutowe tongo za masikio na nyoyo
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 жыл бұрын
UNAWAFANYIA TALBIS WAISLAM WASIOJUA, KUHUSU BIDA'A, ILI UWEZE KUHALALISHA BIDA'A.. BIDA'A INAYOKUSUDIA NI KUZUA KATIKA DINI MFANO MAULID YA MTUME MUHAMMAD SALA NA SALAAM ZIWE JUU YAKE. BIDA'A KATIKA MAMBO YA ULIMWENGU HAIKUSUDIWI HAPA MFANO MAGARI, MABUSATI MSIKITINI, MAIKI...
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Hatutaki maneno yako mjinga. Lete andiko LA Mtume saw lililosema kuwa bidaa ni katika dini tuu. AMA hadithi niliojuwa mie ni hii. KULU BIDA'A DHWALALAA, KULU maana yake ni zote zikiwa zimo katika dini au hazimo katika dini. Kwaio msijifanye nyie ndio wafasaha kuliko Mtume saw. Haya onyesha Toa andiko mnafiki weye kama bidaa zilizo kuwa haipo katika dini hazijakusudiwa?. Muongo mkubwa weyee. Watu wanaelimu zao sio WAPUMBAVU kama weye
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Tawheed Tatu ni bidaa
@omarmustafa2022
@omarmustafa2022 2 жыл бұрын
Kwa nini maana ya dini?
@lalishehe259
@lalishehe259 2 жыл бұрын
Kwema habari 8uhhbuhub
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Watu wanaogopa kuchati hawana hoja ila kwa chuki zao na kikundi Chao cha fitna wamebakia na dislike zao😂😂😂. Ujinga ni upumbavu kabisa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
.Kuna kikosi maalumu kinaongozwa na freemason. Hiko kimejifucha Sana. Atajitokeza mmoja kumbe Kuna kundi nyuma ake ndio Hao wanao dislike ni watu wasiojulikana
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 2 жыл бұрын
Dunia imejawa na fitna za bidaa za uzushi hakuna bidaa nzuri zama hizi
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
OGOPA BIDA`A AKAIZUNGUMZIA JITU LA BIDA`A
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
Kwan mnaposema Ufaham mnakusudia nin Masufi??? Ufahamu wenu au ufahamu wa Maswahaba Mana Hao ndio Wenye kuifahamu zaidi Quraan na sunna. Na wala Maswahaba Hawakufanya Bidaa.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Wamekusudia ufahamu wako ulivyo wafahamu Hao maswahaba pametofautiana
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Kwa hyo Ni upi ufahamu sahih kati uelewa Wa maswahaba na wale waliowafuata wao kwa wema na Uelewa wa Khalafu kama Ashaairah Na wengneo??? Na Sie twasoma ndani ya quraan Kuwa Allah amewasifu na kuwatukuza Maswahaba kuwa wao Ndio Wabora kuliko sisi.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش ufahamu wako ndio bora zaidi kuliko hata maswahaba
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Namuomba Allah anilinde kutokana na Shari ya Maneno yako machafu.Huwez kunambia mim ufaham wangu ndio bora....kushinda maswahaba
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش.basi itakuwa weye umekaa na maswahaba
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
Jamaa ni muongo huyu Sijapatapo Sikia. Halafu visa vingi ambavyo hataji kasoma vitab gan!? Lakin pia Lugha Haiwez kuzungumza Vzri.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Weye mkweli lakini hatujatabiriwa na Mtume saw Kuja kwako
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Ndugu sas ndo umesema nin?Hebu Usivuruge maneno...Jaribu kujibu hojja na wala sio mipasho. Unapotaja kisa chchte Kinachomhusu mtume au Swahaba au Tabiina au Matukio ya Zamani.Yanahitaji uthibitisho wa Vitabu na Sanadi sahihi. Yeye anazungumza tu kisa Bila kutaja amekisikia kwa nan au kitabu gan?Au Anajua kwa kuwa mnamuamini Hata kama akiongopa hakuna atakayempinga? Hii tabia haipo kwa Waislam bali Mara nyngi ipo Kwa waumini wa kikristo Kanisan pale Kila wanachoambiwa wao Wanaitikia tu Ndio
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش weye ndio una mipasho kwa maana unasema mtu ni muongo wakati weye hujui jambo. Ulijuaje kama kisa hiko ni cha uongo wakati hata ulikuwa hukijui?. Pili. Kataja kitabu cha Imam shafy kama hukijui nyamaza maana sisi tunachokijua tusharudia kukisoma na ni Sawa alivyo Sema Shekh juu ya kitabu cha imamu huyo. Sasa weye bakia na mipasho ya mitandaoni 😂😂😂. Vitabu alivyovitaja weye husomi Sasa basi bakia na mipasho. Wala huoni haya tokea utoto wako unafunzwa vitu vya bidaa mpaka Leo ila hio tafsiri yake tu bado hujaimaliza kuijua😂.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Dah!Ndugu yangu Hiv ni kwel ayo unayoongea! labda nikuulize umejuaje kuwa mim nasoma Maana ya bidaa na cjajua mpaka leo.?? Nikuulize ni nin maana ya Bidaa Ktk Dini?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش.nilifkiri utatoa maana ya bidaa baada ya kusema shekhe ni muongo🤔. Kumbe unaniuliza bado
@saumuussi1927
@saumuussi1927 3 жыл бұрын
Mashaallah
@tatujalala4392
@tatujalala4392 3 жыл бұрын
Mashaallah
@fatumaali906
@fatumaali906 3 жыл бұрын
MashaAllah
057.2 OTHMAN MAALIM - DHANA SIO NZURI
1:04:45
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 23 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 17 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 101 МЛН
ULIMI ULIPOTUFIKISHA- SH OTHMAN MAALIM - OMAN
46:47
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 9 М.
October 11, 2024
36:30
jamal siha
Рет қаралды 305
047 2 OTHMAN MAALIM   KISA CHA NABII ADAM
1:05:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 862 М.
BAADA YA MAUTI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:21:20
Arahman Tv Online
Рет қаралды 152 М.
SIFA WA WATU WA PEPONI. SH OTHMAN MAALIM - OMAN
48:27
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
SHEIKH MSELEM ALI UTUME WA NABII MUSSA NA MAYAHUD NO.1
39:03
J TV ZNZ
Рет қаралды 19 М.
050 NYUMBA YANGU NDIO PEPO YANGU YA DUNIANI | OTHMAN MAALIM
2:02:46
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 80 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН