TUJIKUMBUSHE KIDOGO HASIRA ZA HAYATI JPM KWA TANESCO.

  Рет қаралды 4,096

SED Jamii.

SED Jamii.

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@rashidimussa1628
@rashidimussa1628 7 ай бұрын
Alikuwa mwamba kumdanganya uyu ilikuwa ngumu sana
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 6 ай бұрын
Ila Mh magufuli you was a Hero hakika tutakukumbuka sana mkuu kuna jambo nimejifunza sana kwako kupenda mawazo ya Mtanzania mwenzako Lala salama ulipo Mungu akuweke kwenye neema ukawe kiingozi wa malaika kama ulivyokuwa ukituambia before Ila Waafrica pale ulipotuacha bado hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu bila kutegemea mataifa ya magharibi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Mungu skulaze mahali pema peponi sasa hivi unakatika kila siku vyombo vinsungua manyama yanaoza kwenye mafriji kila kitu hovyo kabisa kuhusu umeme tumechoka ile mbaya Watanzania kuhusu umeme maji ni shida mtindo mmoja hata kama maji yanejaa
@EmmanuelNaftali
@EmmanuelNaftali 7 ай бұрын
Big.R.I.P MAGUFULI.HAWA JAMAA WANATUTESA SANA HADI WANANCHI WANAICHUKIA SERIKALI.
@AbuuFarhaan-ri2yj
@AbuuFarhaan-ri2yj 7 ай бұрын
Huyu ni mwamba
@edinamadebele973
@edinamadebele973 6 ай бұрын
Huyu huyu aliyrzungumza na miwani yake myeusi😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Unakumbukw kila siku na watanzania vutu bei juu kila siku vitu vinapanda bei
@the_data2024
@the_data2024 7 ай бұрын
Rip mwamba
@norahfrank
@norahfrank 7 ай бұрын
Sasa imekuwaje Mungu wetu.umeme umekuwa shida hivi???
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 5 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Real Or Cake For $10,000
00:37
MrBeast
Рет қаралды 58 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 5 МЛН