TUKIO LA MTOTO WA MAGUFULI ALILOFANYIWA NA RAIS SAMIA LATIKISA, MAKONGORO NYERERE AIBUKA

  Рет қаралды 117,919

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 106
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes Жыл бұрын
Yaan ukweli haujifichi jamaaa hayupo lakn kashangiliwa kuliko hata waliopo hai. R.I.P. MAGUFULI
@guliyinyabungi332
@guliyinyabungi332 Жыл бұрын
Daaah, Mzee Magufuli aliishi mioyoni mwa watu. Hatotoweka Kwa historia
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
You are missing the point. Ndio walivyo wanadamu. Ukiwa madarakani kimya. Ukitoka wanakumisi. Tafuta clip siku JK alipoingia Bungeni 2017 shangwe lake halijawahi kutokea. Acha kabisa! Ni unafiki!
@gersonfungo5893
@gersonfungo5893 Жыл бұрын
JPM alisifiwa akiwa hai na anasifiwa akiwa hayupo. Ila limezuka genge la watu wanataka kumpaka matope wakati walikuwa wanakula nae meza moja na kumsifu kwa mapambio. Hawatafuta historia yake kwa unafiki huo na kila wanapomchafua kuna matope yanabaki mikononi mwao. Heri yule aliyemaliza kuishi kuliko wao ambao bado wako hai maana uvundo unabaki kwao.
@rwanzukafidel5019
@rwanzukafidel5019 Жыл бұрын
Dahh magufuri anapendwa jamaani
@ayubumsigwa542
@ayubumsigwa542 Жыл бұрын
Magu alikuwa anpendwa na watanzania wote kasoro mafisadi tu
@sophymichael4429
@sophymichael4429 Жыл бұрын
Magufuli ndo alikuwa Rais wa wanyonge
@masahomwita8171
@masahomwita8171 Жыл бұрын
Jaman magufuli anapendwa nawatanzaniakwelikweli
@tamalakiinternational9396
@tamalakiinternational9396 Жыл бұрын
Asante Sana Magufulification
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Magufuri bado yu hai miyoni mwa watu japo amekufa. Generali ulimwengu na kundi lake wakiongozwa na shangazi yao wanajikondesha bure.Wapime shangwe hizo kisha wabadili msimamo.
@championtv255
@championtv255 Жыл бұрын
Mlivokua wanafki hata kumtaja mwenda zake muanzilishi watukio hilo.leo mnashindwa hata kumtaja mfalme?mungu hatowaacha salama
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Жыл бұрын
Najuwa yupo RAIS atakuja atamkumbuka magufuli wetu ataweka sanamu watanzania tutafurahili tunampenda sana magufuli hata mjishauwe vpi magu wetu,
@abelsteven3189
@abelsteven3189 Жыл бұрын
Jizuie usije ukamwabudu.
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@abelsteven3189 Nina hofu sana na hilo. Ubaya wa wanadamu akiwa hai unatukanwa. Ukifa unasifiwa. Hii kitu ni mbaya sana.
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Safi sana kwa nasaha hiyo Maana chanzo cha watu leo kuabudu masanamu ilikuwa hivihivi. Sanamu haramu
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
@@abelsteven3189 🙏🙏🙏
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Жыл бұрын
Msg kubwa sana hii kwenu majizi nyie watu wamemshangilia maguguli tu! Mjitafakari...
@mosimba467
@mosimba467 Жыл бұрын
Maguguli ndio nani?
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Hakuna anayejali lakini mioyoni mwao wanajua ukweli
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@mosimba467 acha utoto.....huwezi kujiongeza?
@bakariomary8556
@bakariomary8556 Жыл бұрын
Mm nikisikia jina la JPM tu machoz yanitoka ila mungu atajibu vilio vyetu
@agastprudence7639
@agastprudence7639 Жыл бұрын
RIP JPM japo umetuachia mateso makali na yanakalibia kufikia Kama ya yesu. Samia mateso yaendelee
@japhetmasatu6149
@japhetmasatu6149 Жыл бұрын
Unafik mbaya Jpm alikua kiongoz!Mzee kapumzika ila Mungu anjua!
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
This program and influence raise 's hands for people, shows us JPM, still alive in the hearts 💪🔥🔥🔥🇹🇿👍
@kalamesikalamesi5292
@kalamesikalamesi5292 Жыл бұрын
Nothing great has ever been achieved without enthusiasm and Magufulis great thinking and enthusiasm in building bwawa la umeme mwalimu nyerere, has finally paid off dividends. Magufulis legacy will live on RIP JPM, you worked hard for the country and never this great nation worked for you!!! In real sense and practice you lived unto John F kennedy's exhortation , ask not what your country will do for you_ask what you will do for your country. Very sad and disheartening that The political integrity in the country is slowly but surely waning off I wish i had never been born
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 Жыл бұрын
Kuna roho mbaya pale imetumika hata kwe hayo mawe tu angalieni yalivopangwa magufuli wamemuwekea vijiwe vidogo ila angalia kiwete mawe aliyopewa yote hayo ni inadhihirisha chuki na urafi uliomo ndani yao
@quanthug9517
@quanthug9517 Жыл бұрын
Hahahaha nyinyi ,watu kusikia Magufuli tuu Ni shangwe tuu na vigeregere
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 Жыл бұрын
Na hao wazungu wametoka wapi apo wanatudai kwenye sekita huo ya umeme roho inaunaniuma Sana
@karimmkejina980
@karimmkejina980 Жыл бұрын
Ahahaha hawo wanaojenda huo mradi wamisri hao walipewa hiyo kazi na jpm jembe
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Kwa awamu zote Magufuli was the best and still the best.
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 Жыл бұрын
Haki ya Mungu watu wamekuja kumuelewa magu mwishoni na yeye ndio akaondoka...sitaki kusema @Mungu amemchukua...ameondoka lakini Bado anaishi mioyoni mwa walio wengi
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 Жыл бұрын
✋✋✋
@hamisiselemani4927
@hamisiselemani4927 Жыл бұрын
Mmemuwa magufuli wetu kenge nyie
@abelchacha5977
@abelchacha5977 Жыл бұрын
Bado hatujamsahau Mwamba aka Chuma.
@phareszakayo3797
@phareszakayo3797 Жыл бұрын
Imewauma sana tuzo zimetolewa zigzag ila ukweli umejipembua
@MATIKO9640
@MATIKO9640 Жыл бұрын
Magu anaishi kwenye mioyo yetu
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Duhuu magu we will remember you forever 👉😭😭😭😭😭😭😭
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Ila maneno machafu ya mlamba asali kwamba wazuli hawafi, ameona mwenyewe leo kwamba kipi watanzania wanakithamini kutoka moyoni through hilo tukio.
@Kamandapendo
@Kamandapendo Жыл бұрын
ipo siku MUNGU atasimama kwa moto juu ya taifa hili
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Magu mungu akulaze mahali pema peponi ulisimama imara hao wengine ni shida tupu tupu tupu tupu mungu tunusuru tufike 2025 salama maana Hali hii iyo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
hizo shangwe na vifijo si bure zina ujumbe mkubwa sana. hapo message sent and delivered
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
ingependeza likawekwa masamu la mw nyerere alietoa wazo hillo na sanamu la hayat maghufuli alitekeleza alicho plan baba wa taifa.nakumbukumbu ya msaidizi wake raisi samia suluhu ni ushauri tu.
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Hii ya Tuzo ya JPM imewaonesha dhahiri kuwa watanzania wanajua kila kitu kuhusu maisha yao na utoto wanao ufanya. JPM atabaki kuwa Rais wa mfano baada ya Mh Rais kuonesha kutofuata nyayo zake mbali na kuishi nae hakurithi chochote.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
absolutely right.👍
@janethsemboni9874
@janethsemboni9874 Жыл бұрын
Hivi hawakujisikia vibaya japo Jpm hayupo ila shangwe kama lote,: Bado anaishi mioyoni mwetu Mimi nimelia tenaa;!
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 Жыл бұрын
This is the confirmation message that Magufuli is still living in people's hearts.
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Exactly 💯
@chachajulius4481
@chachajulius4481 Жыл бұрын
True
@allysanya8346
@allysanya8346 Жыл бұрын
Magu forever
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Unafiki mtupu, wengine hawakutakiwa kupewa tuzo.hili tuzo ni NYERERE +JPM PERIOD.
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
We Nigeria umesema kweli, si mbaya hata hivyo
@jamesmichael793
@jamesmichael793 Жыл бұрын
Ilivotajwa jina tuuu watuu wakalipukaaaa pumzika kwa aman uko uliko baba tz bad ♥❤
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Lkn nadhani wameelewa. Unafiki wao watanzania wameuchoka sana. Wameoneshwa hadharani
@kingslaydidas5379
@kingslaydidas5379 Жыл бұрын
Daaaah JPM bad yupo mioyon mwetu
@mamachacha6478
@mamachacha6478 Жыл бұрын
Magufuli anaishi kwenye mioyo ya watanzania daima.Na ninataka niwaambie CCM kwamba mkiendelea na katabia haka mnakokafanya sasa hivi basi 2025 mjue mna hali mbaya zaidi ya 2015 kwasababu wabunge wengi hawatorudi,madiwani nk achilia mbali urais maana lazma kwenye urais mtachakachua Tu kwasababu Samia hakubaliki huku mitaani hata kdgo.
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Жыл бұрын
Magu wangu, forever in my heart😭😭😭
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 JPM
@gemandorobo1536
@gemandorobo1536 Жыл бұрын
Magu anapendwabjamani , mmmh we❤️ u magu wetu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
MUNGU fundi , utukifu unayeye aliyejuu ,Asante Kwa zawadi ya RAIS NYERERE NA RAIS JPM ,TUNAKULILIA BADO BABA YETU
@joetchatv1453
@joetchatv1453 Жыл бұрын
Punguza upumbavu kichwani
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
@@joetchatv1453 pole Kwa kuona kibanzi kabla ya kuona boliti lako ndugu , huwezi zuia mafuriko Kwa mlango , mawazo ya mtu mwingine ulazimishe yawe Yako hahahaaa pole
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 Жыл бұрын
Kwanini uyu dogo wa magu asijitose kuomba ridhaa kwa watanzania
@mazibondahamika5857
@mazibondahamika5857 Жыл бұрын
Mumetukumbusha ndugu yetu marehemu Magufi , tulikuwa tumemupenda siosababu alikuwa mtanzania bali tuliupenda moyo wake wakipekee aliokuwa nao.
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 Жыл бұрын
mwenyezi mungu hajawahi kuwa mnafiki tuzo ya magufuli ndio tuzo bola lala salama baba utaendelea kuishi mioyoni mwetu
@richardnott4403
@richardnott4403 Жыл бұрын
ripjpm tutakupenda milele ww na mh nyerere
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Sasa wewe mtangazaji umeshindwaje kusema JPM ndiye mwanzilishi wa ujenzi w bwawa hilo? Historia haiwezi kuzimwa kirahisi namna hiyo sababu watu wote wanajua. Hata hizo shangwe na vigelegele na makofi mengi ni kielelezo tosha kwamba watu wanaelewa na wanamkubali JPM kwa sana. Next time muwe waadilifu msimbanie mtu sifa yake.... haipendezi. Ya Kaizar mpe Kaizar.
@mrishohassanimrisho8454
@mrishohassanimrisho8454 Жыл бұрын
Nazani mmetuelewa sasa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Mpeni JPM sifa yake acheni kumbania. Alikuwa mwanzilishi wa bwawa hilo. Hiyo histotia haiwezi kuzimwa kirahisi. He worked so hard for it and people know that.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 Жыл бұрын
Mama hawo wanaokusifu siyo watu wazuri.January ameshindwa kazi uliyemteuwa hakika
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
JPM you worked so hard for this country but we don't think this country has thank you enough for your efforts. But don't you worry papa you are in people's minds and hearts.
@yasminsalim291
@yasminsalim291 Жыл бұрын
Kuna la akujifunza Hapa
@babrashabanu7073
@babrashabanu7073 Жыл бұрын
Yani mkapa Hana hata mtoto wa kupokea tuzo yake
@peterpet8319
@peterpet8319 Жыл бұрын
Aiseee!
@mkalimala3564
@mkalimala3564 Жыл бұрын
Mna mpoooooza na hayo maneno ya madharau ya Senior makambaaa
@efraim1424
@efraim1424 Жыл бұрын
Acha uongo Kaka kwani watanzania mmeshatuona hatunaakili hata kidogo kwani hawawezi kuhamisha maji kama mlivo Fanya leo hii!!? Mungu awahurumie
@user-pi5oo5pt3m
@user-pi5oo5pt3m Жыл бұрын
Hili jina Magufuli ni shidaaa
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 Жыл бұрын
Duu makamba ndie waziri wa nishati duu acha nizimalisie mungu amlisie lkn mumetukanushia wenyewe hiyo ujenzi wa bawa la nyerere ni pesa ya watanzania tusisikie mkataba yoyote na wazungu Wala wafisadi wasipeleke ujinga wao na wazimamie Mali yetu
@halidsaid7437
@halidsaid7437 Жыл бұрын
Noce
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Uliitumikia nchi hii kwa moyo wako wote na nguvu zako zote na akili yako yote ukaisogeza pakubwa ambapo hapakuwahi kutokea katika historia. Ni zamu ya hii nchi nayo kukupa heshima kubwa na sifa zako unazostahili. Hata kukutaja kwamba ilikuwa mwanzilishi wa bwawa hilo wanashindwa. Historia itajiandika yenyewe hawataweza kuzuia wala kuipotezea.
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Hayati jpm mpango mzima mungu amlaze jpm mahala pema peponi amiina
@YusuphSaidy
@YusuphSaidy Жыл бұрын
Nimependa sana mtoto nae ameenda kuchukua tuzo akiwa hana tabasamu safi sio mnafiki kucheka cheka tu hataki
@hadaitachomoka9578
@hadaitachomoka9578 Жыл бұрын
Mama Samia piga Kaz
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Wananchi 99℅ hawakupendi makamba ikiwemo pamoja na Mimi ,kwa sababu wewe umesababisha maisha ya watu yawe magumu ,tumekaa miaka 6 bila kukatwa umeme hovyo sasa ni kilio unamtengenezea mama ugumu 2025 kwa hyo nakuomba ubadilike tu na Mungu atakusimamia
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 Жыл бұрын
Hi
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Жыл бұрын
Makongoro Ukatuni mwingi
@philbertmtalo2156
@philbertmtalo2156 Жыл бұрын
Kweli hiyo ni hatari uwezi kuona kabisa
@sayisayi4906
@sayisayi4906 Жыл бұрын
Mayikisai
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Жыл бұрын
Kwani tuzo ni ni za basata
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Makofi mengi mangu
@kanuskamilius6162
@kanuskamilius6162 Жыл бұрын
Mezahuru taaluma,utatuzi was migogoro
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 Жыл бұрын
Iyo size ya mawe ndani ya tunzo mhhh
@mkalimala3564
@mkalimala3564 Жыл бұрын
Aseeee kil mtu atakufa atapita ataoza na hutazikwa na kitu
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 Жыл бұрын
ALIE KUJA KUPOKEA TUZO YA HAYATI MAGUFULI AMEFARIJIKA SANA KWA SHANGWE ZILIZO PIGWA ILA WAMEONA HAYA NA WAMEONA MAPENZI TULIO NAYO
@verynicemasaka9222
@verynicemasaka9222 Жыл бұрын
Ametajwa Magufuli Shangwe na vigelegele hakika utaendeleaa kuishi ndani ya watanzania na Taifa Kwa ujumla ulikuwa jembe Kwa kula mtu
@thobiasndichaye4861
@thobiasndichaye4861 Жыл бұрын
Magu ❤
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 Жыл бұрын
huyo msungu vp
@shabansuleiman9529
@shabansuleiman9529 Жыл бұрын
Jkk
@salmaseleman3979
@salmaseleman3979 Жыл бұрын
Huuu
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 Жыл бұрын
Yaani nchi hii imejaa drama tupu maigizo Kama yote wanafurahia wakati wananchi Wana machozi kwa ukata wa maisha.
@sayisayi4906
@sayisayi4906 Жыл бұрын
Ngererasamja
@mkalimsili1614
@mkalimsili1614 Жыл бұрын
Wana wa Magufuri hapa
@benjaminmnyampi218
@benjaminmnyampi218 Жыл бұрын
Tunazidi kuumia sana tukisikia jina Baba yetu Magufuli. Mhhh. Pumzika kwa amani Baba yetu.
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
Ushauri nikweli maraisi wengi wanamchango wao.ila niwaombe viongozi wetu watukufu liwekwe sanamu la hayat mw nyerere na hayat magufuli.
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
Hivi huwa hawaoni aibu Jina la JPM likitajwa Ukumbi unalipukwa??. Kikwete kakunja suraaa lakin wapii😂
MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985
8:20
Mwananchi Digital
Рет қаралды 90 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 45 М.
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
BABA YAKE HALIMA MDEE MSIBANI, ASHANGAZWA NA DKT. TULIA
6:01
Uhondo TV
Рет қаралды 13 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 15 МЛН