TUMAINI SHANGILIENI CHOIR FUTA MACHOZI

  Рет қаралды 19,790

Tumaini Shangilieni Choir

Tumaini Shangilieni Choir

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@cecilianampesya4286
@cecilianampesya4286 3 жыл бұрын
Mathayo hajawahi niangusha. He is a genious ikifika kwenye kuabudu.Mungu azidi kuwainua
@annaErnest-y3w
@annaErnest-y3w 10 күн бұрын
Nimefulai ongereni Sana mam pinda
@isayasonelo4087
@isayasonelo4087 2 жыл бұрын
Nimeguswa utunzi umebarikiwa sana kaka mathew mungu azidi kuwapaka mafuta mzidi kung;aa shangilieni
@kombakomba7922
@kombakomba7922 3 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu wetu aliye hai,hongera kwa kazi nzuri.
@moureensabugo901
@moureensabugo901 3 жыл бұрын
Futa machozi unanibariki mnoo, ila ule mliorekodi live mkali Sana, Yan shangilien live mnaiweza rekod pia mnaiweza, NAWAPENDA na ninawafuatilia mno, MBARIKIWE
@Regnard999
@Regnard999 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana japo kujua jina la solorist huyu!! Ana kitu cha tofauti sana ndani yake. Nimekuwa nikimfuatilia sana katika nyimbo mbalimbali za Tumaini Shangilieni!! Endeleeni kubarikiwa sana Tumaini! Kazi yenu ina kibali mbele za Mungu na mnatubariki sana.
@davidnhukuwalah4518
@davidnhukuwalah4518 3 жыл бұрын
Hongereni sana mmenifariji sana mnaimba vizuri Mungu awabariki Big up
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 жыл бұрын
Hii kazi imekaa mahali pake,mbarikiwe sana
@kuttyferraasukile.4535
@kuttyferraasukile.4535 3 жыл бұрын
Nice Song,nice Video Mungu awabariki sana
@fionawahu5573
@fionawahu5573 2 жыл бұрын
Wow! Another video after the live one! This is great! God bless you Tumaini Choir.
@isayasonelo4087
@isayasonelo4087 2 жыл бұрын
WOUNDERFULL SONG
@newtongabriel8529
@newtongabriel8529 3 жыл бұрын
TAMU SANA kwaya yangu, halafu hongera sana Rol model wangu na Mwalimu wangu Mathayo umeutendea haki wimbo kwa upako wa aina yake, nakuahindi na mimi nitaendelea kuenzi na kujifunza kutoka kwa Bwana Yesu na kwenu walimu wangu. Mpe hai Walter Mimi nabarikiwa mnoooooooo
@maranathaanglicanchoirkoro2271
@maranathaanglicanchoirkoro2271 3 жыл бұрын
Amen.. Sifa na utukufu kwa Mungu Mkuu
@tonyrighton7402
@tonyrighton7402 3 жыл бұрын
great song
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana what's a rhumba
@jefredyfrednandy5880
@jefredyfrednandy5880 3 жыл бұрын
Safiiiiii
@carolelabo1620
@carolelabo1620 3 жыл бұрын
What's the name of this guy leading the song??ningependa kujua jina lake
@isayasonelo4087
@isayasonelo4087 2 жыл бұрын
some body methew
@margarethmonjesa7983
@margarethmonjesa7983 3 жыл бұрын
How come ndo naiona hii
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Haha, karibu.
@shaapedtreasure4197
@shaapedtreasure4197 3 жыл бұрын
🙏🙏
@drelpmacsinc7786
@drelpmacsinc7786 3 жыл бұрын
i wonder why nauona leo huu wimbo..
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 3 жыл бұрын
Mwenyewe na shangaa maana ulikuwa premiered last month..... Eti inaonesha ulikuwa released four months ago🤔🤔🤔🤔
@ayesigabuberwa4703
@ayesigabuberwa4703 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
NJOZI - Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
11:10
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 552 М.
FUTA MACHOZI Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
6:44
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 191 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
"Umeamuwa Kunipenda" by Nice Ndatabaye Ft Dr Ipyana on Heavenly Swahili Lyrics
11:15
HEAVENLY SWAHILI LYRICS
Рет қаралды 11 М.
KUZALIWA
10:04
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 21 М.
KARIBU NDANI YANGU | Kvf Spiritual Choir
7:48
KVF SpiritualChoir
Рет қаралды 1 М.
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE - Tumaini Shangilieni Choir
8:18
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 57 М.
Siitafuti Mali  - Tumaini Shangilieni Choir
7:13
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 25 М.
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 758 М.
BORITI
8:43
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 84 М.
Jane Misso  Usikumbuke Remix Lyrics
8:15
JANE MISSO
Рет қаралды 119 М.
LAKINI NDUGU - Tumaini Shangilieni Choir
6:46
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 94 М.
Moyo (Live)
10:09
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 14 М.