Yule anaye imba lead katika taabu za dunia ana nibariki Sana.
@rehemaMangwella2 ай бұрын
Narikiwa sana na nyibombo zenu
@mcpaularushatzmcpaularusha50783 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua katika uimbaji nabarikiwa sana
@stevenmanyalu8904 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wimbo huu naupenda sana wanigusa moyo wangu kwa kiasi kikubwa
@noelbernard6390 Жыл бұрын
Niliutafuta Sana huu wimbo
@solomonkibona30454 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Tumaini Shangilieni Kwaya. Huduma hii ni maalumu toka kwa Mungu.
@aiyasageo25724 жыл бұрын
Kwakweli jambo kuu ni kujiuliza jee jina langu Limeandikwaje kitabuni mbiguni. Lakufanya ni kutubu kila wakati na kuyafanya yampendezayo Mungu.
@henrynyaga19892 жыл бұрын
Lyrics Verse 1: Siitafuti mali, wala utajiri; Nataka kwa yakini nipate Mwokozi. Chuoni mwa Ufalme, niambie Yesu, Jina langu yakini limeandikwa, Je? Limeandikwa, Je? Jina langu huko? Kitabuni mbinguni, limeandikwa je? Verse 2: Dhambi zangu ni nyingi, ni kama mchanga, Lakini damu yako, Mwokozi, Yatosha; Kwani umeahidi: zijapo nyekundu Zitakuwa nyeupe ilivyo theluji. Verse 3: Mji mzuri sana, wa majumba makuu, Walipo malaika, mji bila ovu; Wakakapo walio na mavazi safi, Limeandikwa sasa, jina langu huko?
@felicianmapunda23284 жыл бұрын
Congratulations Tumaini shangilieni choir for this blessing song, may almighty God gives bless you all
@eliazaripro55323 жыл бұрын
4:17 NICE
@flanomambo85394 жыл бұрын
Jamani Jamani Tumaini wana Shangilieni hakika mnajua kutupa raha. Nafurahi kuona mmeanza kuziachia NYIMBO ZA MATUMAINI online. Nilisubiri muda mrefu kwa hamu. Hii Album iko ya kipekee, mlimaanisha hasa kusema Nyimbo za Matumaini. Sasa nausubiri wimbo mwingine NIONAPO AMANI KAMA SHWARI. Mungu Muumba Mbingu na Nchi awabariki awatunze awainue zaidi
@pmb85654 жыл бұрын
Nyimbo hizi zimenibariki kabisa. Mubarikiwe pia kiroho
@papaariziki51184 жыл бұрын
Nendeni mkaimbe kwa Mkapa
@camilaanold84874 жыл бұрын
Amen amen limeandikwa je ee mungu
@MsKadem4 жыл бұрын
Another great hit, I'm glad I'm the 3rd to write a comment. God bless you guys.....still waiting for you in Scotland
@KaziKazi-j9c Жыл бұрын
Poweful
@mwangalimijrOg4 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@dicksonthomas57644 жыл бұрын
Waooo how my name written their,oooooooh!! Jesus
@obndavut39234 жыл бұрын
Soul moving song, beautiful ❤️
@glorygodwin38834 жыл бұрын
I am so blessed with this song, this is one of my favorite songs and the holy spirit is moving in it.
@aiyasageo25724 жыл бұрын
Am so happy nimekuwa wakwanza kuview na kucomment on your song. My five year daughter has been singing some of your songs word by word since when she was 4. Lots of Love From Mombasa Kenya. Mungu awabariki sana.