Hakika uimbaji uliokomaa waimbaji wamepevuka kiuimbaji sana,hongereni sana Mungu aendelee kuwatumia vyema kwenye huduma hii aliyowaitia.
@stanleyzoka95273 жыл бұрын
Kutoka Mombasa, Kenya nasema mumeubariki moyo wangu sana tangu nilipoanza kupata kanda zenu 1990 hadi sasa 2022. Muzidi kuinuliwa na Bwana juu tena juu sana. February 22, 2022.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Upendo mwingi sana kwako na nchi yoye ya Kenya
@elizabethdaudi-kw1qf Жыл бұрын
Hbr ya leo wazima huko nawapenda sana mungu azidi kuwainua katika uimbaji wenu kila siku lazima niwasikilize mungu awabariki.
@lamfy4098 Жыл бұрын
Naye atanipa mlango wa kutokea tuu. Be blessed
@mputaostin3077 Жыл бұрын
Mungu awabariki kazi nzuri ila tunaomba mtu wekee wimbo unaitwa "Bwana Mungu atafuta machozi ni wimbo ninao upenda sana.
@criss3364 жыл бұрын
Ninabarikiwa sana asanteni tumaini inawezekana napitia kwenye magumu lkn lipo tumaini kwa Yesu.
@georgedinda74003 жыл бұрын
Wimbo huu ni ushuhuda wa maisha yangu. M'barikiwe sana rafiki zangu.
@ziribarmurumwa4 жыл бұрын
Hakuna jambo gumu ambalo la kumshinda Mungu,,Amina Nabarikiwa sana na huu wimbo,,Mungu awabariki na awazidishie katika huduma wenu. Love From Kenya
@NeemaMushi-hn9oe Жыл бұрын
Wimbo huu ni ushuhuda wa maisha yangu Mungu awabariki sana
@emanuelmoshi74145 жыл бұрын
Huu wimbo una upako jamani... Yesu wabariki hawa watu. Kuna siku nilipaki gari pembeni kwa kuzidiwa na upako nilipokuwa nasikiliza huu wimbo
@irisdionis81316 жыл бұрын
Nna mshuhudia Mung kwamba amenivusha kwenye eneo Gum ambalo sktegemea baada ya kusikilza wimbo huu .Kweli Amini na Mung atafanya.Nawapenda sana Mung awabariki waimbaji.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania mpendwa
@eliminadokinanda34142 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo
@AbdallahMbegu-e2n11 ай бұрын
Hili nalo litapita tuu hakika Mungu ni mwema, barikiwen watumish wa Mungu
@TumainiShangilieniChoir9 ай бұрын
Amen Amen, Mungu wa mbinguni akubariki
@agneshassan4712 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@ackgospelchannel28194 жыл бұрын
Nimejifunza mengi mazuri kupita kanda hill. Litukuzwe Yesu Mwokozi.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Amen
@amosnyanda11604 жыл бұрын
Mungu nisaidie nami nikutumikie kwa uimbaji 😭😭😭😭
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Amen, Mungu asikie maombi yako
@esthermamuya5645 Жыл бұрын
Excellent ❤😘
@ericamalima66504 жыл бұрын
HII nyimbo imefanifanya nipate furaha ya ajabu
@mwaminilyaweye40783 жыл бұрын
Huwa mnanibariki sana .
@johnmponji65216 жыл бұрын
Furaha Mwaisoba ninawapenda sana na uimbaji wenu mnanibariki natoka mbeya
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Neema ya Mungu iendelee kukutunza sana
@Is_God_real3 жыл бұрын
Nimerudi tena 2022
@evansmtambi96732 жыл бұрын
Dah speechless Amen
@angelmazanda85903 жыл бұрын
Nafarijika Sana na kujiona mshindi kupitia wimbo huu
@gmwakiro2 жыл бұрын
Very soothing song when I suddenly lost my mom.
@michaelchristopher84155 жыл бұрын
Masolo mko vizuri
@isayasonelo40872 жыл бұрын
my foveolate song waooh!
@isaackivuitu8574 жыл бұрын
Nafarijika Kwa kuusikiliza wimbo huu
@naomijuma51907 жыл бұрын
Kama ni magonjwa ww unaponya kama ni machoz ww unafuta,ooh hallelujah nice song
@afmabeat95676 жыл бұрын
Naomi Juma nani kama yesu kristo?
@shilikale7 жыл бұрын
Ninaishukuru sana Tumain kwaya kwa wimbo huu unanitia moyo. Thanks sana.
@freyfastle17847 жыл бұрын
hongeren kwa huduma hiyoooo
@ashelyjonas81416 жыл бұрын
ukwel hapa mlijitahdi sana hasa kwa ss wenye kiu na hofu KwA mungu inatupa nguvu
@edrozasanga56324 жыл бұрын
Hakika nabarikiwa mnoo na huu wimbo
@Mg-ow9dm7 жыл бұрын
Mmmmh ninaupenda wimbo huu mno... Mbarikiwe sana
@saidsullemankliff Жыл бұрын
🙏🙏
@ymusic8035 жыл бұрын
Nyimbo za moyo wangu
@ernestkayombi54743 жыл бұрын
Asanteni,nimebarikawa
@neemaalice74825 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu,,,ni ibada nzuri
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
We are humbled
@michaelchristopher84155 жыл бұрын
Hiii nyimbo naipenda sanaaa solo ubarikiwe
@janekwahada5806 жыл бұрын
Mbarikiwe amen
@latifahood46954 жыл бұрын
Blessed
@johnnyemba32616 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@benjakavageme16937 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana
@hoseagabriel46986 жыл бұрын
Mbarikiwe sanaa
@ombennassary74384 жыл бұрын
Love you all
@mwitasamwel79726 жыл бұрын
C wasikii wanaume kbsa
@hoseagabriel46985 жыл бұрын
Hongereni Sana na mbarikiwe watu wa mungu
@glorykamenya25434 жыл бұрын
Amen
@afmabeat95676 жыл бұрын
Wekeni futa machozi online please.
@edinalihedule34215 жыл бұрын
Amen🙏
@Is_God_real3 жыл бұрын
Jaman mm ndo naongoza views maana si kwa kuurudia huu wimbo
@TumainiShangilieniChoir3 жыл бұрын
Ahsante sana rachel, Mungu akubariki sana.
@salomeramadhani38872 жыл бұрын
Nabarikiwa saana na waimbaji wa Shangilieni tangu nikiwa binti Mwaka 1997 mpaka Sasa sijawahi juta kuwafahamu mbarikiwe saana