Nitatua mizigo nitaacha yote ya dunia nikufuate yesu👏
@zama684channel93 жыл бұрын
Uzoefu wa muda mrefu na nidhamu yenu ya juu na uchezaji vyombo vyenu vyote hunipa mafunzo na mimi katika kuwaiga katika uimbaji wangu.
@MakupaSenyagwa8 ай бұрын
Ni wimbo unanibariki,kila nikiusikiliza,napata tumaini jipya
@greysonmheni69384 жыл бұрын
Ee Mungu nakuomba kwa neema yako usiwaondoe mapema duniani hawa watumishi wako,ktk Jina la Yesu nimeomba,amen.
@chikuissa6170 Жыл бұрын
Nakupenda Nakuhitaji Usinisahau Bwana! Nakutafuta Baba Unishike Usiniache kamwe
@gracejulius50006 жыл бұрын
Huu wimbo ni mpya kwangu kila wakati,bila wewe Yesu sitaweza kuishi salama katika mwaka ujao
@obadiambilinyi27 Жыл бұрын
Jueni tu kwamba mnahubiri sana, Mungu awabariki
@evelenev28773 жыл бұрын
Nabarikiwa na hiii nyimbo 2021💪👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmasanja60402 жыл бұрын
Hamjawahi kufanya kazi mbovu,,huwa nawakubali sana
@gracejulius50006 жыл бұрын
Nionapo shaka moyoniii,au nionapo matesoo,najua yesu upo nami ,utaniongoza.............nawapenda sanaa
@gentleclass21635 жыл бұрын
Hii Choir ni namba 1 Africa. Mungu aendelee kuwainua kwa wakati wote. Nyimbo zenu nazipenda kama sala. Nyuso zenu zinasadifu kila mnachokiimba. Sauti nzuri. Aseeeeeeeee nikija Arusha lazima nije kanisani kwenu tu kwa ajili yenu. Nawapenda. Be blessed yall
@emanuelmsoloka83064 жыл бұрын
Lazima nirudi Arusha nimtumikie Mungu kwa nguvu zote
@greysonmheni69384 жыл бұрын
Mimi nshakwenda kanisani kwao kuwasalimia
@catherinejohnzainykgo50226 жыл бұрын
Naupenda wimbo huu sana.nimerudia zaidi ya mara tano lkn badoooo.Mungu awabariki sana Tumaini
@mukhsinally24666 жыл бұрын
my favorite choir of all da time nawapenda sana
@Gwaselya7 жыл бұрын
Nionapo shaka Moyoni au nionapo mateso/ Woga wasiwasi huzuni vinaposonga Moyo wangu/ Najua wewe uko nami utaniongoza nisione kuharibiwa kwangu.
@laurensiamasalu35453 жыл бұрын
Wimbo huu hunibariki sana! Mungu awabariki na azidi kuwainua zaid na zaidi.
@kedmondkepha22495 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Sana najivunia kua Manglican
@tajaelmichael2274 жыл бұрын
Tumaini shangilieni kwaya kazi nzurii
@emmanuelndumukwa74846 жыл бұрын
Sauti+ujumbe =perfect Mimi ni Shabiki wa kwaya hii siku zote
@sinzasoundbandtanzania62007 жыл бұрын
Tanzania, kwaya pendwa ya kiroho ni hawa ndugu zetu wa Tumaini Shangilieni Choir, kila kazi zenu zinatuimarisha kiroho, asanteni ktk Bwana.
@gentleclass21635 жыл бұрын
Asilimia zaidi ya 1000% . Hii ni namba one Tanzania nzima na Africa Mashariki na Kati na Africa nzima
@bookofthomas6 жыл бұрын
Wonderful voices, Even though I can not make out everything they are singing I decent they are praising the Lord!
@Nyamubi612 жыл бұрын
Great songs. May Tumaini Shangilieni be showered with Blessings and continue being leaders in this very important calling!!!!!!
@patricksoriney63154 жыл бұрын
Kindly balance instruments and song instruments bit high Great choir great servants of Lord Jesus
@mercykelly99147 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huduma yenu ya uimbaji mbarikiwe zaidi na zaidi
@isaiahsitati60076 жыл бұрын
Perfect and inspiring balanced voices.....Miye ni shabiki wenu zaidi.Be blessed
@aiyasageo25726 жыл бұрын
Asanteni kwakunibariki kwa kibao hiki changuvu
@peace23375 жыл бұрын
Nakupenda ,nahitaji usinisau bwanaaa
@ernestshaha19326 жыл бұрын
Naipendaga hii choir. Na be blessed for the preaching in music
@soomoche4 жыл бұрын
Asanteni sana kwa wimbo mzuri?
@aiyasageo25725 жыл бұрын
Nawapenda sana hawa . The instruments and vocals are well organised. Mungu awabariki sana.
@gabrieljoshua48596 жыл бұрын
Naipenda saaaaaana hii kwaya.
@chauothebig2255 жыл бұрын
2020 bado mpo hot
@jonathanrenatusmsuya55656 жыл бұрын
Best choir of all the time big up all for the Glory of God
@wilsonmukuna18636 жыл бұрын
Nimebarikiwa tu sana
@karasirajeanpierre71253 жыл бұрын
Nuhu
@geofreymhina18217 жыл бұрын
Naku,naku,naku,nakupenda,nakupenda oooooooii mbarikiwe sana
@NJEMA_CHANNEL5 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatunza
@bellaraphael97836 жыл бұрын
Base guitar nakuelewa sana na hao vocalist.
@ymusic8034 жыл бұрын
Nyimbo za moyo wangu
@Joybajuta5 жыл бұрын
You are my all time fav choir
@aronmlaki90486 жыл бұрын
Baraka tele mnatupa!
@bulayakakule32557 жыл бұрын
very inspiring christian songs!
@geofreymhina18217 жыл бұрын
Naku,naku,naku,nakupenda,nakupenda oooooooii mbarikiwe sana