Nmebalikiwa nayo sanaa, kazi safiii huyo wa tarumbeta nmemkubaliii sanaaaa anajua
@colinsmatowo6527 Жыл бұрын
Thank you , you are welcome .
@JustaMakolo Жыл бұрын
barikiwa sana kwa kazi nzuri mwenyezi mungu azidi kuwabariki
@ayubuchambogo3111 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume
@amaniabeI Жыл бұрын
Ivi we ni mashamba yuleyule wa makoko au, ni yupi.. Mwanangu umekua Hatari sana, kwahizo sifa ,unafaa kuwa serafi wa Mungu. Endelea kubarikiwa sana mashamba. Kwa utunzi wa kibabe bro😊😊😊. Bonge moja la nyimbo
@gaspergabo4143 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana vijana wenzangu kwa utume
@AnnaKalungu-by4st Жыл бұрын
Nzuri snaaa Sauti hiyo inakuita umtukuze kwel kweli
@kizitookothowino2593 Жыл бұрын
Hongereni kwa juhudi na talanta 🙏🙏🇰🇪❤❤
@annapaterine9281 Жыл бұрын
Asaante Altoo..
@josephmwenyekiti3786 Жыл бұрын
Hii ndio maana harisi ya kwaya ya chuo kisomi zaidi hongereni. Mungu aendelee kujaza baraka
@lidyaevaristi8248 Жыл бұрын
Mme pendeza mnoo mungu ni mwema endeleeni kufanya vizuri mungu wa mbinguni na awatangulie