Quran 5:33 Wauwawe wote wanaompinga Mohamed na allah Dini ya kuuwa tu
@ibrahimjuma9709Күн бұрын
Elewa mandishi wanao mpinga mwenyezi mungu kwa kufanya uchafuuzi Haram kuwa halali.halali kuwa haramu mfano naokota mzoga wa mnyama nawauzia watu wanao niona nakujuwa nimefanya kosa nawakatalia nawambia hili Sawa watu awajui wanakula nyama kisha wanaambukuzwa maradhi wanakufa wale walio shuudia tuko wanapaswa kunizuia na nikiwapinga wao ni halali kuniuwa juu ili kuzuia madhara
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
AHSANTE SANA SIMULIZI, UMENIWAKILISHA IPASAVYO. NA ILO SWALI WALIMU WENZIE DUNIANI WAMELIKIMBIA. MWACHE AJIKANYAGE TUMSIKIE
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
Lipo wazi kwa wenye akili hao makafiri sura zote Zilishuka kwa nyamati na kitendo chake huna akili
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabuata alipobaka mtume aya ilishuka
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@Jamal22-o5n huo ni ujinga wako tu bibilia inasema bi mariyam mama wa yesu aliilewa akiwa na umri usiozidi miaka. 12 vipi alibakwaa huo ni ukafiri tu unakusumbua
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@Jamal22-o5n kwani kufungisha ndoa za wasenge kanisani vipi mumeshushiwa aya pia
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
We acha tu, iyo ya aya ya utata mm ndio niilitoa
@nuhumohammed5307Күн бұрын
Mbogo uko sahii lakini bado auja Mfafanulia simuliz vizur nenda kamuulize shafii shomar pango
@IshakaHamad-y9b3 күн бұрын
Mashaallah
@ZayyanaBamuni4 күн бұрын
Shukran shekh Mbogo kwa elimu unayotupatia
@nicholousmtemi39024 күн бұрын
Anajichanganya ni kweli Quran inasema muislam akihama dini sheria auliwe ni dini gani
@nicholousmtemi39024 күн бұрын
Mungu gani snayeruhusu mtu auliwe kisa amekataa dini yake
@ZayyanaBamuni3 күн бұрын
@nicholousmtemi3902 kwani yule wa biblia ni mungu gani ata yeye amesema hivo hivo
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni hapana sio kweli umeshwahi kusoma bibilia au nipe namba kidogo nikupe mwanga kuhusu bibilia utanishukuru baadae
@Jamal22-o5n3 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni Aya gani kwenye Biblia inasema mtu akiacha UKRISTO auwawe. Jibu kwa AYA kuitetea QURAN yako inavyodhalilika.
@Ayxha12Zanzibar-h9u3 күн бұрын
KUMBE QURAN ILIKUWA KATIBA YA NCHI ZA DOLA YA KIISLAMU, {ISLAMIC STATE} KWA IYO WATANZANIA NA WAAFRIKA AMBAO HAWAPO KATIKA NCHI ZA DOLA ZA KIISLAMU WAMEDANDIA GARI KWA MBELE. WAMESHOBOKEA DUNDO. MASIKINI WAISLAM 😂😂😂😂😂😂😂
@mwalagokache3753 күн бұрын
Muulizaji unasema qur an ni ya dunia nzima je imekubalika kuwa katiba na na muongozo hata uulize maswali hayo Unataka elimu juu ya maneno ya Mwenyezi Mungu tulizana watafute wajuzi keti kwao usome
@swalehissa7774 күн бұрын
Prophet also raised alimfufua his father and his mother kwa idhni ya mungu and took shahada. This is very knowledgeable I adore him.
@yohanamwamkili43973 күн бұрын
Aliwafufua akawatamkisha shahada? 😂
@amanilucy3 күн бұрын
@@swalehissa777 aya ipi
@graduationtv30723 күн бұрын
Walitamkata shahada gani na walifufukia wapi ikiwa tu abutwalib ambaye alikuwa hai mpka anafariki hakutamka shahada hiyo
@Karimchembela3 күн бұрын
Hiyo aya ya pili hujatafsiri hadi mwisho umefeli hakuna vita aliyopigana mtume kwa ajili ya kulazimisha watu waingie kwenye dini zaidi ya kutetea tu uislam
@graduationtv30723 күн бұрын
Mwongo wewe kutetea ni vip na kulazimisha ni vip
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
MWALIMU KAWAAMBIA WAISLAM WAENDELEE KUMKATAA YESU, MAANA ATA KIPINDI CHA YESU WATU WALIMKATAA.
@ZayyanaBamuni4 күн бұрын
Ata wewe ni miongoni mwa wanaomkataa Yesu
@brothermuadhwam8903 күн бұрын
Udhaifu wako wakuelewa usituletee hapa umesoma mpk langap maan unachekesha kwel yaan apo pia hujaelewa 😂😂😂 mkiambiwa msome hamuskii
@brothermuadhwam8903 күн бұрын
Ww ndo unamkataa yesu maan yesu desturi yake anaingia kweny sinagogi Yaan mskiti ww unaingia wap Kam unamfata Kam sisi
@chazgunda58232 күн бұрын
Mara iyo Aya haipo mara IPO ila ni kwa nchi zinazotawaliwa kiislam, atuoneshe wapi kwenye Quran wamemalizia ayo maneno kwamba ni kwa nchi zinazotawaliwa kiislam TU tuone JAMAA ANALINDA MASLAI YA DINI NO MATTER WHAT
@dulasele-ud8cw3 күн бұрын
Kuna wengine wanauliza maswali wanajiekti kama waislamu ili upoteze muelekeo wako nakupenda kwa ajili ya allah ❤
@prochesernest54392 күн бұрын
We we Allah nini ?
@abdurahimabdulkadir39264 күн бұрын
@jamal 22 o5n ww kma si mwislamu ni mkristo mrushie swali yy lkni ww unaswali wapi?
@alexclems8153 күн бұрын
Qiraat na ashruf, naomba liwe somo lijalo, je quran imehifadhiwa? Je quran ni moja?
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
MWALIMU ANAKATAA KUJIBU SWALI LA KWENYE QURAN, ANAKIMBILIA DOLA YA KIISLAM. AYA IPO KWENYE QURAN SIO KWENYE DOLA YA KIISLAM. JIBU AYA YA QURAN KUAMRISHA KUUA MUISLAM ANAEIKIMBIA KUSWALI MAJINI.
@OmariShuli4 күн бұрын
@jamal22....., Quran ndio katiba ya wanaadamu kutoka kwa Mola wao ambapo wanaadamu wametakiwa kuismamia na kuilinda. Dola ndio chombo kilicho na mamlaka ya kuhukumu na kutekeleza adhabu kwa yule atakaekutwa na hatia. Mambo hayendi kiholela hivyo.
@Jamal22-o5n3 күн бұрын
@OmariShuli acha bangi, sema katiba ya waislam. Sawa mdogo wetu
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
@@OmariShuli duuu kweli umepotea sana mzee wangu
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
MWALIMU ANATETEMEKA KUJIBU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
MWALIMU KAGEUZA MADA KUTOKA KWENYE QURAN KUTOKAMILIKA, KAGEUKIA BIBLIA, SIMULIZI MWISHONI UMETUANGUSHA. HAJATOA MAJIBU.
@SuleimanaliAmour-d6v3 күн бұрын
Kwnn Quran inahifadhiwa na kushindanishw dunian ila bible haipo ivo kwnn?
@alyzickohotestboy8872 күн бұрын
@@SuleimanaliAmour-d6v Qur'an inahifadhiwa kwasababu isiweze kuchafuliwa au kubadilishwa Aya yake Ila bibilia hawajaihufadhi Na ndio maana inabadilishwa Aya yake kila mwaka wanaigeuzageyza tu
@alexclems8153 күн бұрын
Quran imesema tuisome inachuki kwa wakristo na wayahudi
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
APO UNAZUNGUMZIWA UISLAM ACHANA NA SERIKALI. UYU MWALIMU MZIMA KWELI?
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
Mwalimu kalewa, anahamia nchi za kiislam na sheria za serikali. Quran inawaongoza waislam, na iyo ipo kwenye Quran
@ZayyanaBamuni4 күн бұрын
Itakuongozaje wewe kafiki wakati umeikataa
@alyzickohotestboy8872 күн бұрын
Ndio Qur'an inaogoza waislamu Na hakuna kitabu kingine kitakacho kuongoza kama Sio Qur'an usipo ifuata Qur'an Basi jiandae kukabiliana Na adhabu siku utakapofika huko mbinguni
@@Jamal22-o5n hapo nimemaansha siku ya mwisho huko mbinguni kwenye mahakama ya MWENYEZI MUNGU Kama hukuifuata Qur'an jiandae Na adhabu ya kutiwa motoni elewa kilicho andikwa Ndugu yangu hivi nkuulize una maana Gani Na Hilo Neno mbinguni Au mbinguni Ni Wapi labda nkuuulize wewe Sababu mi najua Kuna sehemu tutakayosimamishwa Na kahukumiwa Na baada ya hapo Ni uende peponi au motoni Sasa hio mbinguni Ni Wapi hem nieleze niijue
@alexclems8153 күн бұрын
Makifir n wakristo na wayahudi, mwisho wadunia kwa waislam hautakuja hadi wayahudi wote wauwawe,, ndomana vita y hamas na israel haiwez isha
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
WAISLAM MWALIMU WENU KAKUBALI QURAN HAIJAKAMILIKA, ILA KASEMA ATA BIBLIA HAIJAKAMILIKA. AKASOMA AYA KWENYE BIBLIA. 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Jamal22-o5n3 күн бұрын
KANISANI TUNAFUNDISHWA UPENDO NA MSAMAHA KWA WATU WOTE, MISIKITINI WANAFUNDISHWA KUBAGUANA KIIMANI NA KUPIGANA KWA ANAEKUPIGA, ETI NDUGU YAKO NI MUISLAM MWENZIO. MKRISTO KWAO NI ADUI, UPUUZI MTUPU.
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
WATU WAREFU WAPO ATA LEO, BIBLIA HAIJADANGANYA KUSEMA ALIKUWA NA UREFU WA MILE 6. UPUUZI MTUPU MWALIMU.
@brothermuadhwam8903 күн бұрын
Wew Akili zako kwel mbov kwaiy unaamini Dunia ya Sasa Kuna watu waref kma zaman au huna akili timamu
@zuberisalum20043 күн бұрын
Ustaaz naomba number yako hunajua najivunia wewe kuwa muislaammm
@lilhydon4524 күн бұрын
Mimi huwa nawauliza waislam ikiwa mitume wote walikua waislam kwa nini majini hawakusiliahwa na hao mitume? Nikipata majibu ya hii aya nasilim
@0badiaMwasongwe-rt1wrКүн бұрын
Na sio majini tuu hadi shetani mwenyewe alislimishwaaa
@adamsaidi71233 күн бұрын
Ukiwa na uelewa utaelewa ila ukija na mihemko kweli utapata tabu kiufupi nimefaiidika na mafunzo haya
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
Mwalimu wa waislam kashindwa kujibu swali la QURAN kuamrisha KUUA, Maana kakosa majibu ya kutoa. Leo Quran imeumbuka
@OmariShuli4 күн бұрын
Hata Bibilia imeamrisha kuuwawa walioritadi. tatizo hujui maana ya kuritadi.
@zaidiissa37144 күн бұрын
Tatizo wakristo wanatafura Makosa kwenye koroan tukufu kwalazima nahicho nikituambacho hakiwezekani Quran nikitabu ambacho kimekamilika na hakuna shaka ndaniyake sio kama bibilia kitabu chavitabu vingi vilivyo okotwaokitwa na kuunganishwa sehemu Moja nakutwa bibilia Quran sio kitabu cha kuungaunga Quran nikitabu kimojatu walahakina vitabu vingine ndani yake kwahiyo msifos Makosa ndani yake Asalaam alaykum
@ZayyanaBamuni4 күн бұрын
Qur-ani haiwezi kuumbuka wewe,kasome 14:26 WALAWI na zipo nyingi tu
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
@@OmariShuli nitolea huo mstari kwenye bibili nakua muislam Leo leo
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
@@OmariShuli bibili inafundisha aman sana sio mambo ya kujitoa muhanga sijuii makusudi uue watu wengne
@kaderbakshamin23453 күн бұрын
Yesu katika uislam hakataliwi na anaemkataa huyo hajaujuwa uislam ila aliletwa kwa kipindi chake na akaondoka bila kumaliza mission yake na mambo yaliyotokea katika kipindi chake sasa ndo maana allah akaleta mtume mwingine ili apambanue yaliyo fichikana yawe wazi akaileta quran ipambanue baina ya haki na baatil
@samxx4113 күн бұрын
nikichokisoma ni kwamba simulizi anataka ajibiwe vile alivyotaka au alivyotakiwa ajibiwe
@AllyNassor-de6ck3 күн бұрын
Tatizo hawajui kusoma Quran imeandikwa kama fumbo ukikurupuka huwezi jua lolote lazima some na sherhe yake utapata maana kamili Ila. Sasa wen zangu wakiristu wanakurupuka tu
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
FILAMU TENA, JAMANI MWALIMU LEO KALEWA. ANATAKA KUTUWEKEA MOVIE TUWAANGALIE WATU WAREFU.
@hamisikeneth23323 күн бұрын
Ukisema mwenyezi kasema kasema alisema kwa njia gani yà ndoto au maono hapo Quran haisemi iweke sawa
@qarimohdmakamemossi46764 күн бұрын
Sio kwamba Quran haijakamilika (Quran completed by self)
@alhadajjmohammedsmith90424 күн бұрын
Qura'an Completed by Allah
@amanilucy3 күн бұрын
Haijakamilika bila hadithi
@paulmushi24284 күн бұрын
Pia Qur'an inajichanganya Waislamu someni Surat Maidah 5: 82 na Maidah 5:51 huku inasema waliokaribu Kwa mapenzi huku inasema wasitufanye kuwa marafiki Qur'an ni kigeugeu
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
Kasome bibilia huko utuletee jibu wapi ukiristo ni dini ya mungu na vipi yesu ni munguu mtuu au mwanaaa
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu acha kubaka mada, leo quran ilioshushwa inavuliwa chupi kwa aya, na sio umbea.
@bakarimakomola4 күн бұрын
Kuna makafiri waabuduo sanamu na manasara ambao walikua wakimuabudu mungu lakini katika utatu. Tofautisha ivo vituu
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u hapana kikubwa hapo isipokuwa makafiri munachuki za ndani kwa nini hamukuweza kumuuwa muhammad kama mitume wengine kitabu kilochovaa chupi ni bibili ambayo mumasema ni yamungu lakini andiko linasema mungu malaika na yesu hawajui kamwe kitabu kiitwacho bibilia hio ndio chupi
@paulmushi24284 күн бұрын
@@bakarimakomola Toa Aya inayosema hivyo siyo porojo
@kaderbakshamin23453 күн бұрын
Sheikh maswali wanayouliza ni vizuri kuyatolea ufafanuzi ili wajue sababu ya kushuka hiyo aya itakuwa vizuri ili ieleweke
@rajabumasinde59353 күн бұрын
Wape daahawa
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
LEO MWALIMU MPAKA KAKASIRIKA, QURAN IMEVULIWA NGUO NA MPAKA SASA MASWALI HAYAJAJIBIWA, QURAN KUAMRISHA KUUA. NA PIA MWALIMU AKAIGEUKIA BIBLIA.
@kennedykimutai22983 күн бұрын
Demons hates the word of God that's why they're against the Bible because they know Jesus is God and the Bible is the word of God which they never want anyone to know,Ipo wazi kabisa ni kina nani wanashirikiana na mapepo(yaani wapinga kristo),kamwe shetani hawezi kulala kama neno la Mungu lina ubiriwa
@MhabeshiMaluja3 күн бұрын
Shekhe majibu yako yanajigonga sanaa kasome الناسخ والمنسوخ..Hizo aya mbili kama hujajua sababu za kushuka kwake ni nn na aya ipi iliotangulia kushuka hizi aya zilikuwa zikishuka kwa matukio kwa hiyo hakuna kugongana ktk quraani wala hakuna mapungufu wanaona kuna mapungufu elimu hawana hata hata huyu shekhe elimu hana tena sanaa hata aya anakosea sanaa kuzisoma..
@saidsuleiman90183 күн бұрын
Asikuzonge shekhe huo kupigana na makafiri wanaoleta zulma sawa makafiri wapo wastarabu na wapu wasio wastarabu wanaowaza kuleta ushezi mfaono km kipind hiki yapo makafiri wanaharibu familia kuwafanya wawe mashoga wanauwa watu bila sababu hawa halali kupigana nao aiza wache au wasarenda
@ZayyanaBamuni3 күн бұрын
Wakristo sikushangaini kuipinga Qur-ani wala kumkataa mtume Muhammad S.A.W,makafiri wenzenu waliopita kbl yenu walimuomba mtume aushushe mwezi ili tu wamuamini,uliposhushwa na kupasuka huku wanaona kwa macho yao bado walidai ni uchawi,so na nyinyi endeleeni kupinga mpaka pale roho zenu zikitoka ndio mtajuwa kama Muhammad ni mtume wa mlmungu na Qur-ani ni maneno ya Mlmungu
@yohanamwamkili43973 күн бұрын
Ebu kwenda uko na tu story twako twa tom na jerry alafu uwe unaona aibu
@@nicholousmtemi3902Qur-ani hata muungane nyote kuipinga na kuipiga vita na kuipotosha hakuna siku itabadilika,ni maneno ya Mlmungu na itabaki kuwa ni maneno ya Mlmungu
@mdedsm55223 күн бұрын
@@ZayyanaBamuni maneno ya Mudy hayo sio ya Mungu
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
SIMULIZI NUNUA SODA NITALIPA, QURAN UNAIVUA NGUO LIVE BILA HURUMA. JAPO KUWA AYA KUUA KASHINDWA KUIJIBU.
@OmariShuli4 күн бұрын
Bibilia ina aya za kuua kibao. tatizo huisomi, wala hujui unalolisema,
@ZayyanaBamuni4 күн бұрын
14:26 WALAWI Na yeye atakaelikufuru jina la Bwana hakika atauwawa,mkutano wote watampiga kwa mawe,km ni mgeni,km ni mzaliwa hapo atakapolikufuru jina la Bwana atauwawa Km shekh hajajibu mie namjibia
@alhadajjmohammedsmith90424 күн бұрын
Maswali yote yamejibiwa n Mwalimu wa Kiislamu Kwa Ufasaha/Kwa Elimu. Kama Yesu hutukuzwa na Baba wake/hajitukuzi Mwenyewe (hutukuzwa na MwenyeziMungu) iweje eti Yesu awe Mungu?!
@Jamal22-o5n3 күн бұрын
@OmariShuli kakojoe ukalae, mada ya leo ni ya waliobalehe
@joycedimoso86483 күн бұрын
Quran haina majibu mpaka shehe atumia biblia alafu anaulizwa maswali ya quran anajificha kwenye kichaka cha biblia
Muulizaji anauliza kishabiki unahitaji kuifahamu qur an tulizana tafuta elimu usome
@fundimau23793 күн бұрын
Unaulizwa ipo au hakuna iyo aya ?
@abdallahhamisi453 күн бұрын
Dolla ya kiislam kwa maisha ya sana hakuna. Hata huko Afghanistan bado hakuna dolla ya kiislam kwa asilimia 100. Saudia yenyewe ni nchi ya kiislam lakini haipractice sheria za kiislam kwa asilimia.
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
WAISLAM NDUGU ZANGU QURAN HAIJAKAMILIKA, KIASI CHA MWALIMU KUSHINDWA KUJIBU MASWALI NA AKAGEUKIA KUISHAMBULIA BIBLIA. PERIOD. KUANZIA LEO ACHENI KUJIKWEZA.
@jumajuma36793 күн бұрын
Mtangazaji mwehu uwe na utulivu acha kuhemkwa
@projestuskabaka-ym6psКүн бұрын
Awezi kukujibu uyo kachemka
@MicanoBennett4 күн бұрын
Sara ya ijumaa tunapo enda msikitini huwa tuna tamka naneno haya tunsalie ntume na nwenyezi mungu ili asamehe Dhambi zake aingie pepon ,sa mi najaribu kuhuliza ili nijue sis tuna msalia mtu na mwenyezi mungu ili aingie peponi, kwa Nani na kwa mungu yupi kama mungubmwenyewe nae ana muombea Mohamad
@AllyNassor-de6ck3 күн бұрын
Sema hujaelewa maandiko tafuta anaejua akueleweshe vizuri mbona na nyie mnamsalia Maria mama yake yesu. Nasema Salam Maria na kuendelea
@alyzickohotestboy8872 күн бұрын
Kumswaliya mtume Ni Jambo ambalo ukilifanya unapata thawabu Na usipofanya umekosa thawabu Na Sio MTUME MUHAMMAD pekeake Mitume wote wakitajwa Hua tunawatakia khei Kwa MUNGU
@0badiaMwasongwe-rt1wrКүн бұрын
Kuna Aya kwenye Quran Allah na malaika wanamuombea Muhammad swali wanamuombea kwa MUNGU yupii tena😂😂 Tena ipo Aya Allah anaapa kwa jua na mwezi na anaapa kwa alieumba kiume na kikee swali kumbe yeye hajaumbaa?????
@RamadhanRajabu-tm4uo17 сағат бұрын
shekhe umejitaidi ila kamuulize shafi
@Anthonyzombie-d2s3 күн бұрын
Waabudu majini hayoooo😅😅😅
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui3 күн бұрын
Shekh ongeza ilimu elimuyako haitoshi
@hamisikeneth23323 күн бұрын
Kama ni idhini ya mungu kufufua sawa je mtume nae alifanyiwa hivyo
@joycedimoso86483 күн бұрын
Tunaomba andiko la Yesu alimfufua mtu alafu huyo mtu akarudi kaburin tupate kujifunza kwapamoja
@HashimMohamed-ku8mg18 сағат бұрын
Hicho kichwa cha habari kimeandikwa kama namna ya chuki Tuutafuteni ukweli bila chuki jamani
@MhabeshiMaluja3 күн бұрын
Hakuna shekhe hapo unaulizwa maswali ya dini unaleta mambo ya siasa za nchi kasome maalim elimu bado ndogo.
Hizo aya walipokuja makafiri kutangaza vita mtume alisubiri amri kwani kila kitu alifanya kwa amri za mungu sasa akapata wahai wapigane
@Ayxha12Zanzibar-h9u4 күн бұрын
Kila baya la Muhamad ilishuka aya.
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@Ayxha12Zanzibar-h9u mulitaka muambiwe muhammad alinyongwa kama wengine wa kina yesu lakini mulimkosa makafiri chuki yenu ni hiyo hamujawahi kumuacha salama mtume yoyote
@OmariShuli4 күн бұрын
Huo ukoo wa yesu wenyewe ulioko kwa mathayo na ulioko kwa luka ni tofauti. huku kuna majina takriban 40 na kule kuna majina zaidi ya 50.
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
MWALIMU KAIKATAA AYA YA QURAN, KWA AIBU. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 QURAN 9:5 - Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. >Kila siku tunawaambia hakuna MUNGU anaeweza kushusha UGAIDI kwa watu wake, waislam hamuelewi, Oneni Mwalimu alivyofedheheka, na mpaka sasa hajajibu swali kasema AYA hii hamna kwenye Quran. Islam without lies, DIES. Takbirrrr
@Musanasibungombo38083 күн бұрын
@@Jamal22-o5n ok aya hii isemayo ikiisha miezi mitukufu wauawe,,,kwanza hapo si kuawa...ni kupiga vita...na hii ilikuwa katika nyakati za jihad...soma kuna naskh na mansukh...kuna aya ilikuja kufuta hukmu ya aya nyingine ile hapa ilikuwa na maana ya kupiga vita jmn
@Jamal22-o5n3 күн бұрын
@Musanasibungombo3808 well try my friend, ila apo pia umethibitisha kuwa Quran peke yake bila hadith haijakamilika. Na kuanzia leo semeni QURAN NA HADITH IMEKAMILIKA. Alafu tutaendelea na kuwasomea kesi ya maandiko yanayopishana kwenye Quran na Hadith zilizokamilika. Kesi ya kwanza iyo apo. 6:161 - Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. 6:162 - Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 6:163 - Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. VS Quran 39:11 - Sema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia Dini Yeye tu.9: Quran 39:12 Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu YUPI MUISLAM WA KWANZA KATI YA: Muhammad VS Ibrahim
@wambokimani6824 күн бұрын
Swali la kwanza hajibu...mnakubali mauaji and it's very bad
Mwalimu kawamaindi waislam wanaomlaumu kutumia Biblia.
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
Mwalimu chenga, yeye aya anazozikosoa kwenye Biblia anaanziaga nyuma. Alafu Quran ni serikali, lazima iwe na jeshi la kujilinda. 😂😂😂😂😂😂😂
@zaidiissa37144 күн бұрын
Tatizo mtangazqji anatumwa na mapasta na wa chungaji na maaskofu nenda kaulize hili swali kama watakujibu. maana wanazani Quran kunakitu hawatajibuwa. Quran inamajibu yote tena kwamaandiko na ushahidi nahua wanaumia sana kusikia wamejibiwa sasa sijui chuki nizanini pia isingepatikana kwenye bibilia kwamba kuna watu warefu tayali wangesema Quran inadanganya pia kuhusu kuua kama bibilia isingepatikana manafundisho au maandiko ya kuua wangesema Quran inafubdisha kuua sasa mbona yesu alisema waleambao hawataki niwatawale waleteni muachinje mbeleyangu je hayo sio mauwaji?? pia yesu alifundisha kuuua?? Au hayo maandiko hayaamini yafuteni basi😂😂tatizo ukristo ni Dini yakupelekanapelekanatu kama kondoo au nyumbu wanaowaweza nyinyi nikina mwamposatu nabii kiboko ya wachawi na nabii mkuu geogredavie na yule wakenya makenzi yule washakahola hao ndio mnaowaamini kina papa walewanafundisha ushaoga nakuurusu makanisa LGBTQ mfano katholic chach angrykan charch namengine kibao hao ndio watakatifu kwenu Lakini akiwafundi muisilamu vitu vinavyo mpendeza mungu na akiwafundisha kuacha vile vinavyo mchukiza mungu kwenu vinakua niuongo mkiambiwa tumuabudu mungu mmojatu alieumba mbingu na ardhi navyote vilivyomo nakataa mnsema sisi hapana tutamuabudu yesu yesu ndio mungu mwenyewe ikiwa yesu mwenyewe anamuomba na kumuabudu mungu sasa nyinyi nikinanani ??kweli nyinyi mmelaaniwa sana mungu awaongozetu siku moja mtaujua ukweli niupi Asalaam alaykum masheikh zangu kazi mayoifanya nikubwa sana hakika mungu atawalipa
Mbogo mbona mada nyepeesi unazingushwa zungushwa kama huiwezi ipeleke sehemu husika
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
Hshaha sio nyepesi anashindwa kujibu
@daawaonlinetv44863 күн бұрын
Tukupe mice wewe utoe maji?
@nicholousmtemi39023 күн бұрын
Shida hutakataka kuelewa utakaza na kuweka ugumu usitake kuelewa
@daawaonlinetv44863 күн бұрын
@@FadhilZaharan Wewe mwenyewe unajiona kama vile hatukujui ila tushakujua mzee wa rufiji
@daawaonlinetv44863 күн бұрын
@@FadhilZaharan Acha hasad mdogoangu
@hassanWanjikuКүн бұрын
Na ikiwa wewe ni mkristo Qur'an haiwahusu na Qur'an haijawahi jichanganya toka zama za mtume salallahu alayhi wasalaam hadi siku ya kiama Quran kitabu cha Allah subhannahu wa taala maneno yake Sasa wakristo fanyeni adabu Qur'an ,,,,uislamu dini ya haki mbele ya Allah
@ogdosho934 күн бұрын
Tatizo lenu hamumuelewi shehe mnamihemko sana... Unajua tuko katika zama ambazo serikali ndio inayotawala sio dini kuzifata Sheria za kidini haiwezekani japokuwa kwenye nchi ambayo ni Islamic state Sheria hizo hufwatwa halafu kingine hizo Sheria za kuuliwa zilitumika zaidi zamani hata ukitizama Sheria ya zinaa ni kupigwa mawe shimoni mpaka ufe... Sasa anapigwa mawe mpaka afe hata ao mashehe wanatelezaga na zinaa.. hata io biblia inasheria Kali na hazitumiki Sasa hivi.. kwaio kila kitu kinamda wake
@zuberisalum20043 күн бұрын
Maalim kama kunamtu amuelewi huyo ziro kabisa
@paulmushi24284 күн бұрын
Ni kweli Qur'an inajichanganya sana Quran 2: 256 huo ni UONGO kwani Kuna Khadith Muhammad katoa HUKUMU ya Murtaddyn ni kuuawa kama hatarudi kwenye Uislamu baada siku tatu je hiyo siyo kulazimishana!!
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
Utasema imejichanganya mana huna upeo wa ufahamu lakini unajisahaulisha mpaka leo bubilia haijui yesu ni munguu au mwanaa au mtuu huo ndo kujichanganya
@lilhydon4524 күн бұрын
Kwa mfano:hivi ni kweli Muhammad hajui atakavyo fanywa siku ya kiama?@@SabihaibrahimRajabu
@paulmushi24284 күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu Upeo upi unaoutaka wakati Iko wazi?
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@paulmushi2428 vya wazi huvisemi tunasema hivii makafiri siku zote ndo walokuwa wanatangaza vita sio mtume alokuwa akitangaza vita sasa ulitaka asubiri auliwe kama mitume wengine yesu mulimkosa kosa hahahaaaa ingekuwa keshatundikwa zamani makafiri kwa hila
@SabihaibrahimRajabu4 күн бұрын
@lilhydon452 sio muhammad sote na yesu na babaako na mamaako na wewe na kila binaadamu tunajua ni kufa na kufufuliwa ukasomewa mashtaka yako kama mazuri peponi mabaya motoni huna ujanja wowote mengine ni ujinga tu
@zuberisalum20043 күн бұрын
Kaka uko sawah mbogo fundisha baba unajua biblia kuliko wachungaji wote
@HABIBHASSAN-wf5mr3 күн бұрын
HAKUNA VITA BAINA YA MUISLAM NA MUISLAM NI HARAMU... WAISLAM WATAPIGANA KWSSB ZIPI ? UISLAM NI DINI YA HAKI SASA KAMA WOTE NI WAISLAM MTAPIGANA VIPI ? AIWEZEKANI KABISA KABISA
@Jamal22-o5n4 күн бұрын
QURAN NI UPUUZI HAIJAKAMILIKA, MPAKA USOME HADITH
@OmariShuli4 күн бұрын
Haija kamilika nini? hadithi utafasiri quran, hatutafasiri kwa kutumia hawaa zetu na akili zetu kama bibilia.
@alhadajjmohammedsmith90424 күн бұрын
Ila Biblia Kuhalaisha Ushoga na Kupeana Barka, Kula Nyamafu, Nguruwe nk yasompendeza MwenyeziMungu ndo Uhalali huo?! 🙌
@abdurahimabdulkadir39264 күн бұрын
@jamal 22 ulivyokuja ndivyo tutakutoa deuteronomy 22 23 24 msichana asipo lia wakati akirepiwa yafaa auwawe
@abdurahimabdulkadir39264 күн бұрын
@jamal 22 -o5n Deuteronomy 22 20 22 ukidanganya juu ya ubikra wako yafaa uuwawe