MTUME MUHAMMAD ATAHUKUMIWA NA YESU SIKU YA KIYAMA? TUMFUATE YESU AU MTUME | UST. SULEIMAN MBOGO

  Рет қаралды 2,886

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 3 күн бұрын
Baraka Allah fykum,wajazakumAllahu-khair
@Educatedmind-k9r
@Educatedmind-k9r 3 күн бұрын
Uislam raha sana. Allah akuzidishie sheikh wetu.
@aligedi2869
@aligedi2869 2 күн бұрын
Mungu akuzidishie elimu na wingi wa hekima mbona upo sawa sheikh wetu.
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 3 күн бұрын
Mashallah mungu akufanyie wepec uendelee kufundisha
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 күн бұрын
mashallah sheikh sheikh Mbogo ujumbe umefika ❤❤❤❤❤
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 3 күн бұрын
Sheikh Mbogo uko vzur
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 күн бұрын
Simurizi njo silimu ufate dini yahaki ya manabi namitume yote silimu mungu atakusame toka uko ❤
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
Kusilimu ni kufata kristo
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
WEW SHEHE AMESEMA MADINAGOGI NA MAHEKALU AYA TUAMBIE HEKALU NI LA DINI GANI?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 күн бұрын
Simulizi kusilimu kazi sana
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 күн бұрын
Mtume Muhammed ndiye anafaa kufuatwa kwa zama hizi kwa sababu mtume Muhamadi kaeleza wazi juu ya mwenyezi Mungu kapewa uhai na Mungu awaambie watu wote uwaambie Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa na hayo ndiyo matamshi ya kweli mbele ya mwenyezi Mungu hadi leo hii wakristo hawajui Mungu ambaye anafaa kuabudiwa bado wapo kwenye giza hawajitambui kwenye imani yao wamebaki hewani wawaulize waislamu ni Mungu gani anastaili kuabuduwa wakristo wanaabudu binadamu kama wao Mungu wamemkimbia
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 2 күн бұрын
Katika Mitume wote Muhamad ndo tapeli, alitumia cheo kuwa ABUSE wanawake, na kudanganya uma kwa kutumia aya pale alipotenda uovu. Alafu bado watu wanamfuata. Apa ndipo ninapoukumbuka utabiri wa Yesu Kristo juu ya manabii wa uongo. Waislam poleni.
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 3 күн бұрын
Ifike mahala mfikie muafaka mpige hatua muende mbele hayo mwswali mshayafanyia mjadara sana
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 3 күн бұрын
Mndengereko
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 2 күн бұрын
Mzee wa fitna upo kazini
@iddiathumani8181
@iddiathumani8181 3 күн бұрын
Mashaallah shehe wangu naomba siku moja utuletee somo lamazehebu ya kikiristo mwanzilishi wake ninani maana mlokole ana mkataa Mroma msabato hamkubali kkkt wakati wote ni wakiristo
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 3 күн бұрын
Ni kweli kinachostaajabisha wakristo hujisifu wao ni wengi kuliko WAISLAMU wakati huohuo hutakuta mroma anasali kwa msabato au kwa mlokole na kinyume chake, Ni mtihani mkubwa
@Jifunzebure
@Jifunzebure 3 күн бұрын
@@rizikiyahya5254Tuanze kwanza shia na suni
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 3 күн бұрын
​@@JifunzebureShia ni pote dogo sana ambalo halifiki hata robo ya waislamu wote duniani Sunni ndio majority Muslims Hao waroma wanaonekana kama waabudu sanamu kwa wakristo wengine lakini ndio wengi zaidi (ni nusu ya wakristo wote duniani) ña ndio kanisa kongwe zaidi Hata Biblia za madhehebu tofauti hutofautiana baadhi ya maandiko Na hata idadi ya vitabu. Quran ni moja Dunia nzima, Muhammad ni Mtume, swala ni Tano nk. Zinduka ndugu
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 3 күн бұрын
Simulizi napenda unavosikiliza kwa utulivu,km aya zimekuingia,mara kesho unakujakuuliza tena hayo hayo😂 Niutani tu sitaki makasiriko
@DidieuShambani
@DidieuShambani 2 күн бұрын
asalamwalekmu kakayangu muzewangu tunashukukurusana kwamafundishoyako minafaidikamengisana miminikokongo lubumbashi
@gabrielmahala9848
@gabrielmahala9848 3 күн бұрын
Yani huyu shekh anakwepa ukweli ni mbishi sana, kubishana na hawa watu ni kupoteza muda, mwandishi hongera umekuwa mchungaji uko vizuri
@hashirali4587
@hashirali4587 3 күн бұрын
.mbishi wewe unafuata maamdishi yaliyopotoshwa sio Ile injil ya Issa
@hashirali4587
@hashirali4587 3 күн бұрын
Shikilia TU wewe yesu ni mungu halafu useme ni injil
@chazgunda5823
@chazgunda5823 2 күн бұрын
WAkristo wanavitabu vyao BIBLIA waislam wanavitabu vyao QURAN na HADITHI BIBLIA HAIMTAMBUI MUHAMMAD lakin QURAN na HADITHI zinamtambua YESU KWA UFUPI APO AFATWE ANAETAMBULIKA KOTE
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 күн бұрын
Yesu ni kwa wanawaisraeli tu kwa nini mnamng'ang'ania Yesu kwa sababu ya biaashara za wazungu
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 3 күн бұрын
Wasalam huwa hawajui lolote yesu kapewa mamlaka kwa watu wote wenye mamwiri nyie waslam muendelee kudanganyika tu et muamadi nabibi wamwisho takataka ile hameoa mpaka mtoto mdogo
@NahseebulChibudee
@NahseebulChibudee Күн бұрын
Shekhe vingereza vingereza vingi
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Күн бұрын
Muhammad ndiye mtume wa kwanza wa waislam sura 39:12 na alitumwa Kwa waarabu watu wake wanaongea na kusikia kiarabu sura 14:4
@Ayxha12Zanzibar-h9u
@Ayxha12Zanzibar-h9u 2 күн бұрын
@simulizizone uyo mwalimu hanogi tena kumsikiliza, kakimbia maswali ya kitabu chake kisichokamilika bila hadithi na kisichokamilika pamoja na hadithi, juu ya kukabana kwa aya za Quran. Usiruhusu atudanganye tena kwenye mada nyingine kwa kitabu iko iko cha mizozo. Maswali ya aya umetumiwa, tunaomba utuwakilishe vizuri na sisi kwenye kuuliza tujue. Naomba ajibu tena maswali yetu juu ya iko kitabu chake QURAN. Mbona Mwamkemwa ulimuuliza vizuri na akajibu.
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 3 күн бұрын
Ata simulizi umepata mafundisho mengi na najua sai ushajua ukweli na ni kuufwata, ata mim nilikua ivo hadi nikafwata ukweli
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
Ulimwengu ni dunia walimwengu ni watu wanaoishi duniani ulimwengu ni dunia
@suleimankassim7523
@suleimankassim7523 3 күн бұрын
Hawa Jamaa washakaririshwa Yesu ni mtoto wa Mungu na Maria ni mama wa Mungu hawakuelewi kitu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 күн бұрын
Simulizi haelewi kabisaa. Atabaki ukristo maisha pengine
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 3 күн бұрын
Wapo watakaoelewa in shaa Allah Ukifuatilia hizi mada ña ukitazama comments unapata picha ugumu waliopitia Mitume Allah awape salam Kuna wàliouliwa, kupigwa, kutukanwa, watu kuziba masikio wasiwasikie, nk Wanachofanya makafiri wa Leo ni mariduo tu.
@annaniasamuelmgawe1698
@annaniasamuelmgawe1698 Күн бұрын
Hata Allah ana mwana(mtoto), nenda kasome Quran 4:171
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
watu wote wa jamii gani? Mmh we huna hoja tulia kikubwa ni matendo mema na kuishika sheria ya Mungu
@binseif2216
@binseif2216 2 күн бұрын
Me nashangaa wakristo wanaabudu tofaut kabisa na waislamu ukikuta kina nabii Mussa walivoabudu ndani ya bible sio kama wanavosali wakristo.
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 күн бұрын
Tunaona Toba na msamaha WA dhambi unaenda kwa Israeli,ili andiko moja linatosha kwa mtu mwenye maarifa kujua ku ashakataliwa
@babazungu3180
@babazungu3180 2 күн бұрын
Wewe km unamfuata yesu bas acha kumuita mama yako mama mwite mama yako mwanamke 😂😂😂 na kuwaita mataifa mengine ni mbwa na ndiyo maana bibilia ni kitabu hatar dunian
@DidieuShambani
@DidieuShambani 2 күн бұрын
mimiliingiyaka kuwusilamubila kuhubiriwanamutuyoyote mimimukupekuwamandiko nika onakakwelimimwenyewe nikuombea mutuwotemwenyezimungu awaongozewajuwe hakinawaifate
@NajmaSuleiman-o4j
@NajmaSuleiman-o4j 3 күн бұрын
Lakini simulizi siku zoooote hizo bado tu haujaamini kama yesu hana ni kiumbe wa Mwenyezimungu na hana uwezo wa kuhukum?
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 3 күн бұрын
Soma vizuri hata Quran ww unafikiri anasubiliwa kurudi kuja kufanyaje?
@NajmaSuleiman-o4j
@NajmaSuleiman-o4j 3 күн бұрын
Yesu anasubiriwa kuja kuvunja vunja makanisa na kumuua antichrist
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 күн бұрын
​@@nicholousmtemi3902anaye hukumu ni mungu
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 2 күн бұрын
WAJUBA WALIO ANDIKA KITABU CHA QURAN HAWA APA! * Abdullah Ibn Masud * Ubayy Ibn Ka'b * Zayd Ibn Thabit * Mu'awiyah Ibn Abu Sufyan Na WENGINEO. Hivyo WAISLAM acheni Kumsingizia MUNGU kuwa kashusha maandiko ambayo ni comedy. Takbirrrr
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
WEW SHEHE AMESEMA MADINAGOGI NA MAHEKALU AYA TUAMBIE HEKALU NI LA DINI GANI?
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 күн бұрын
Shehe acha uongo ulimwengu ni sehemu fulani?
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 2 күн бұрын
Bas bibilia niuongo kijana maan ndoinaelekeza ivo
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 3 күн бұрын
Huyu mbogo ni Mwalimu mtu asipo mwwelewa ni kichwa maji
@qarimohdmakamemossi4676
@qarimohdmakamemossi4676 3 күн бұрын
Manabii wote ni ndiminjia kwa watu aliopewa
@DidieuShambani
@DidieuShambani 2 күн бұрын
sasanauliza uyumunakanayemusitidio nimwandishi aonimutubinafusi tunatamani tuwetunamuona
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 3 күн бұрын
Yaan kama mkristo akielewa haya maandiko akatafakari then ataijua haki
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 3 күн бұрын
Nyie watu mna shida kubwa sana kwenye akili zenu trust me
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 күн бұрын
Muhammad Mwenyewe alipokuwa Kitandani Mgonjwa siku chache kabla ya kufa aliulizwa anawaachaje wafuasi wake na je Kama Wafuasi wake watafika a Mbinguni Kwa Mungu Aya Yeye? Muhammad alinunuliwa: hata Yeye Mwenyewe Hakuwa anajua akifa atakwenda Wapi na sio tu Wafuasi wake.Ina maana hata Muhammad mwenyewe anasubiri kufufuliwa na Yesu siku ya Kiama.
@AlisaidAlis
@AlisaidAlis 3 күн бұрын
Ushaidi la andiko tupe
@NajmaSuleiman-o4j
@NajmaSuleiman-o4j 3 күн бұрын
Tatizo lenu ndugu zetu wakristo mnaongea kwa chuki dhidi ya uislam na sio kwa hoja ya maandiko
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 күн бұрын
Acha uongo ndio mnavodabganywa akija yesu atawauwa dajari na pia yeye atafa kama wengine na kama ndio kina ingia na Allah atwafufua wote kwa pamoja. Sasa wewe nasema yesu anafufua uwezo na wallah tu
@Jifunzebure
@Jifunzebure 3 күн бұрын
@@AlisaidAlis (Sahih Bukhari: 3448; Sahih Muslim:155) “Nafsi yangu iko mikononi mwa Yule Ambaye hakuna Mungu isipokuwa Yeye. Hakika, mwana wa Mariamu (Yesu) atashuka miongoni mwenu kama hakimu wa haki. Atavunja msalaba, ataua nguruwe, na kuondoa Jizya (kodi ya wasio Waislamu), na mali zitamwagwa kwa wingi mpaka hakuna anayekubali kuzipokea."
@Jifunzebure
@Jifunzebure 3 күн бұрын
@@NajmaSuleiman-o4j (Sahih Bukhari: 3448; Sahih Muslim:155) “Nafsi yangu iko mikononi mwa Yule Ambaye hakuna Mungu isipokuwa Yeye. Hakika, mwana wa Mariamu (Yesu) atashuka miongoni mwenu kama hakimu wa haki. Atavunja msalaba, ataua nguruwe, na kuondoa Jizya (kodi ya wasio Waislamu), na mali zitamwagwa kwa wingi mpaka hakuna anayekubali kuzipokea."
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 3 күн бұрын
SIMULIZI MPAKA MWAKA 2025 BADO UNAENDELEA NA UKAFIRI WAKO TU? UNATAKA USAHIDI GANI ILI UWAMINI? SAWA UNATAFUTA CONTENT LAKINI INAONYESHA BADO HUAMINI
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 күн бұрын
Haamini kabisa
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 2 күн бұрын
QURAN NA MUHAMMAD NI NGUZO YA UGAIDI KWA WAISLAM. KUMBE NDO MANA MUISLAM KABLAN YA KUUA HUSEMA ALLAH AKBAR, YANI NI RUHUSA TOKA KWA MUNGU WAO. QURAN 9:111 - Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur´ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa, HAPA HAMNA DINI KWA KWELI.
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 3 күн бұрын
Wewe hujui ulimwengu ni Dunia na viumbe vyote
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 3 күн бұрын
@@WazaeliStefano ww ndo hujui Kwan maanduko si ndo yanasomwa apo mbna mnajizima data lakin mnajifanya hamuskii izo Aya za bible au mnakatirishwa upuuzi mnapewa mikate ndomana
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 3 күн бұрын
Simulizi bado huja silimu tuu 🤷‍♂️
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 күн бұрын
Haelewi kabisa. Nafikiri Kuna maswali yanamfanya aone uislam si dini ya kweli
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 күн бұрын
Imetumwa kwa kondoo wapotevu kwa nyumba ya israil tu Sasa na nyie mshakua waisrail. Wakiristu mmepigwa live Bila chenga
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 күн бұрын
Huyu Jamaa aliyevaa Kilemba hana akili na hajui maana ya Israel mpaka leo hii. Israel haikuwa Nchi wala Mahali ila walikuwa ni Watu wa wakati ule. Kama haijui Biblia anyamaze na sio Kupotosha watu.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 3 күн бұрын
Hii mpya
@AsiaSiraji-ud9ju
@AsiaSiraji-ud9ju 3 күн бұрын
Kabra ya kutoa maneno ya ovyo nà we leta mafunzo yako tuyasikie
@AsiaSiraji-ud9ju
@AsiaSiraji-ud9ju 3 күн бұрын
We kama àujamuekewa kaa kimya acha tunao taka kujifunza tuendelee kusikiliza
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 3 күн бұрын
Pole Mr ziro Israel in nani
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 3 күн бұрын
Punguza hasira 😅😅😅 tunajua inauma kuambiwa ukweli ila vumilia tu ndiyo tiba yenyewe
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
NI YESU ALISULUBIWA MSALABANI AU YUDA?? UST. SULEIMAN MBOGO AWATEGA MWANKEMWA NA NDACHA
1:12:59