Mh,mm nakupenda sana bac tu mm nilitarajia mbeleni unaweza kuwa rais mbeleni maana kama sisi waha umetupambania sana,mm natoka wilaya ya buhigwe lakn ningepend niongozwe nawewe
@tusajigwekanemela47844 жыл бұрын
Acheni nicheke mieeeeeeeee Tanzania kuna watu wamesoma lakini bogaziiii kwwliiiiiiii
@gojvon1164 жыл бұрын
mwenye nacho haambiwi tazama asio na mwana aeleke jiwe kweli ikidhihiri uwongo hujitenga
@maisatou4 жыл бұрын
Kwa kawaida ya maisha inapokuwa mambo yako hayaendi sawa,una badilisha njia,hotuba zako za zamani uliwahi kusema (mimi sitegemei mshahara wa bungeni,nitaweza kufanya biashara ya kuuza DAGAA)Je umekwisha anza?Wananchi wakiwapa vyeo watumikieni msiwadharau,sasa unamfokea nani? Wazee wa Kigo town wamechoka na dharau zako,kauze DAGAA. Sisi yetu macho. A.R.Msimbazy
@thekingbudah37114 жыл бұрын
Amna jipya Zitto umechanganyikiwa sasa joto ya jiwekwisha jua Lilikua jimbo lako sio sasa Sasa nynyi kama watu wakawaida sio waeshimiwa tena
@francisseleman78404 жыл бұрын
Wananchi wanaojielewa hawataandamana kwa AJILI ya Matumbo yenu, Mtatengeneza Sana hoja kwa AJILI ya kuwashawishi watanzania waandamane lakini mmefeli, Mtapigwaje.
@azizisalimu81194 жыл бұрын
Mbona mliowakamatanazo hatuwaon aunanyie mnatupiga changa la macho
@zainabumwagiroabdallamwagi974 жыл бұрын
Tupo kwenye zama zagiza wanao shangilia ushindi wa 84.4%nawahakikishia baada ya mwaka mmoja watalia nakusaga meno ,mfumo wa chama kimoja hudhulumu sana wananchi na huwa mateka,kwa watawala wanachotaka wanafanya maana hakuna sauti mbadala.
@innobugobola16944 жыл бұрын
Nkwel mkuu ngj tusherekehe lkn tutaumia sote
@mrsnam68974 жыл бұрын
Ivi watu tunajua maana ya democracy kweli, ikiwa watu wamechagua chaguo lao wamekosea? Ulitaka achague sehemu sio maono yake
@zainabumwagiroabdallamwagi974 жыл бұрын
@@mrsnam6897 hiyo si democracy nimapinduzi ,police wametumika kuchafua uchaguzi huu,sisemi lisu alishinda lkn matokeo yaliyotolewa si matokeo ya wananchi,nimatokeo bandia yakura zilizopigwa nakuhifadhiwa ndani ya mabegi?nakuingizwa kwenye VITUO vyakupigia kura kwa ulinzi wa police wenye silaha,tangu lini police wakawa ni wasimamizi wa uchaguzi returning officers na wakawa ndio wabandika matokeo hapo nikupindua mawazo yawananchi,na ujuwe katika mfumo wademocrasia since 1990 ulipo anzishwa afrika karibu miaka 30 sasa haiwezekani Tanzania mgombea akapita 70% hiyo haiwezekani kamwe democracy niserekali yawatu iliondwa na watu kwaajili ya watu.siserekali ya polisi ,iandaliwe na police kisha inyanyase watu.
@tausshasani20644 жыл бұрын
@@zainabumwagiroabdallamwagi97 kweli kabisa
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Sijaona CCM hata mmoja akishangiria mara hii wote kimnya km wamepata msiba
@ingemnenuka87724 жыл бұрын
Wateja wenu hawana vitambulisho vya kupigia kura walio wengi ,,,, wao no mashabiki tuuu Wa kujaa uwanjani kwenye kampeni
@abcdabcd16054 жыл бұрын
Wallahi cjui ata utaisha lini huu ukhanithi wao sasa kama wewe ni mwema unaiba kura za nini????
@sameramwajdu90294 жыл бұрын
Wajielewa kuwa hawatakiwi mwinyi hajaokota kiti hata kimoja zanzibar majimbo yote ha kupata kura zilizozidi kua 30 wamevamia kituoni lakini hawa watu hatuwapendi wajifanya tuu kila kitu utafkiri wao tuu ndio wenyé haki
@malbarahassan12324 жыл бұрын
Walllah nihatar kwahiki tumefungiwa mitandao ili kufanya yao
@tatujk62604 жыл бұрын
Hii Ndio nyimbo watakaoimba chadema download na usikilize mdundo.com/song/1656428
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Uyu jamaa akirusu mtu andamane basi yeye awe wa mbele sio aseme mgomo alafu akajifiche ndani uku watu wauwawe😃.kaka kaa pembeni Jimbo lishachukuliwa maneno mengi ya nini ndugu. Asio kubali kushindwa sio mshindani. Kafanye kazi nyingine kaka✌️🇹🇿.
@saidabdala49804 жыл бұрын
Wewe utakuwa chizi
@saidalkiyumi92704 жыл бұрын
Viongozi wa wapinzani hamna kurudi nyuma mpaka haki irudi
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
Sasa ww si uingie barabarani sasa udai haki
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
ww chiziiii auna chochote ingia udai haki sasa ata mm pia ninawezo wa kupint karats
@grevazjoseph33614 жыл бұрын
maandamano muandamane na wakezenu cc cyo machoko
@asiahassan63234 жыл бұрын
Haya wapinzani kazi kwenu andamaneni kilalakheri katika maandamano yenu
@valeriananziku35614 жыл бұрын
Wizi usio na shule ndiyo huo ubongo unakoboa haupepeti
@dangotesepetu18824 жыл бұрын
Hunahaja ya kutukana matusi yatizame maisha yako na familia yako mzee
@abasamwame65834 жыл бұрын
Ndugu mzanzibar siasa hizi za kisekula ni ukafiri ,tushikamane na mafunzo ya dini yetu Allah atatusimamia na kutuletea viongozi mwenye kheri na sisi Tuachane na mila hizi za mayahudi na manasara
@saidabdala49804 жыл бұрын
BRO ....KWANI HUJUWI HIYO SEREKALI KULE ZANZIBAR. NDIO INAYOPOTEZA HIYO DINI. SI UNAONA IMEFUNGA MASHEKH.
@abasamwame65834 жыл бұрын
@@saidabdala4980 Allah awasaidie
@rukiajuma5674 жыл бұрын
Good umeona mbali na kujua tunalazimishwa kumsahau mungu na kupigania uzungu
@MrCosmas154 жыл бұрын
Inaonekana usalama wa taifa hawataki wapinzani wachukue nchi kwa sasa, sasa ingetokea mmeshinda halafu usalama wa taifa hawawataki mngeongoza vipi nchi ? mkichukua nchi halafu usalama wa taifa wakazubaa mnapotea mtachinjwa ndani ya dak 1, heshimuni matokeo tusonge mbele na maisha. Kwa sasa tunahitaji maendeleo na sio maandamano. Kama mtatoa posho kwenye maandamano nitakuja, vinginevyo naenda kuandaa shamba langu kwa msimu ujao. Tukubali matokeo, sasa hivi tufanye kazi, huku tunasubiri uchaguzi mwingine 2025. Najua kabisa mtu mwenye kazi hawezi kuacha kazi na kuja kuandamana, watakaokuja kuandamana ni wasio na kazi na vibaka na ndio tunapkaribisha umasikini.
@fundikado8774 жыл бұрын
Uchaguzi hauto weza kurudiwa nchi hainahela huku marekani anataka hela zake Lizo tupatia kwaajili ya korona
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Kwa sasa ndiyo tutaona faida ama hasara ya yale yaliyotokea.
@omarsultan71954 жыл бұрын
Wizi tu wanaona Mungu hawaoni lissu kura mil 1 magu mil 12 never
@yunussothman74224 жыл бұрын
Kweli bora mufanye ivo
@sifamajura79254 жыл бұрын
Komaa ili wajue nakukubali msiwapeleke wanawake. Huko dodoma wache wakaee wenyewe
@samiyaoman10164 жыл бұрын
Mungu anusuru isitokee vurugu yaani vita ila najiuliza ikitokea ccm itawatambuwa wanachama wake ikawatetea au itakuwa tu
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
Hata Sasa hivi upo vitani kama utakuwa siyo kula kulala.
@innobugobola16944 жыл бұрын
Kwel chama kimoja 🤪🤣🙆jmn mmmh 🙅tumeisha bas wafute mfumo wa vyama vingi ili ibaki Ccm tu tunapga kura za nn sASa
@abcdabcd16054 жыл бұрын
TUMECHOKA NA DHULUMA ZAO HIZI MYAKA YOTE WANATUNYIMA HAKI ZETU HATUTARUSI NYUMA KTK HILI WASHENZI AWA BORA WATUUWE TU KAMA WANATAKA KUTUUWA ILA HATURUDI NYUMA KTK HILI
Balaa la nchi hii ni kwamba msomi kama Kabwe anatoa hoja halafu dereva bodaboda aliyenyoa kichwa kama kuku au mcheza kigodoro asiye na lolote anachangia utumbo! Wasomi mko wapi?
@shamsahaji62024 жыл бұрын
Tatizo watz mmenyimwa elimu na mmepewa njaa hamna uwezo wa kufikiri hata haki yako pia mtu huijui mnashabikia tu ..umebakia maguu oyeeee .
@shamsahaji62024 жыл бұрын
@@salma0000 lol ni hivo vipaja voo nacheka km mazur hahHhaha
@waheedahtanzania58844 жыл бұрын
Oyeee ni KAZI TUU POROJO zenu tushazizoeya nia YENU mtuletee vita kama ya Libya mpaka leo wamepoteza Amani ya nchi na wamebakia wapweke kila ukicha afadhali ya jana na nyie hamuhitajii haki mnataka vita yote hiyo tamaa mwanaume mwenzenu kawaonyesha siyo ninyi katufanyia maendeleo ya HARAKA NDANI ya miaka 5 sasa inawakeraa na huo uhuni mmeufanya ninyi ili lengo muipinduwe CCM ya NYERERE sasa mmeshindww abadani CCM HAIDONDOKI hata muiwekee NGUZO YA UYOGA AMBAYO UNAISUKUMA KWA KIDOLE LAKINI KWA CCM HAIDONDOKI mpaka kiama na KESHO muanze ninyi viongozi kuandamana halafu mtaona shughuli YAKE kikwete mlimuita dikteta kaja mwamba MAGUFULII mnamwita dikteta haya na ninyi mlobaki tuwaitaje,?acheni Hasadi nyie mtakufa midomo wazi kwa kutunga uongo na Taarifa zenu mlitupa wenyewe kabla ya uchaguzi kwenye KAMPENI mlijitangaza Eti mkishindwa mtafanya maandamano fanyeni sasa tuone kwenye UBUNGE KWENYE KIKAO CHA BUNGE MLIKIMBIZWA NA CORONA SASA MLITARAJIA KWENYE UCHAGUZI RAIA watawapigia KURA 😂😂😃AJABU ACHENI WAMILIKI MAJASIRI SAFARIHII Ubunge mpaka IKULU na hatutaki mtuponze sisi TULOJITULIZA nyumbani
@jamesjulius30134 жыл бұрын
Fake hizo kura fake bana kama vipi wataje namba za wapiga kura tuone kama ni kweli.....pia wange shinda ingekuwa demokrasia wame shindwa ndo sio demokrasia...tatu kama mpama jeshi na usalama wataifa hawa wataki si basi jamani why mnataka madalaka kwa nguvu hizo mnataka fanya nini na nchi yetu?
@keffajacob52654 жыл бұрын
wahini kupunguza mmoja kwa manufaa ya taifa
@abuusharhabili16494 жыл бұрын
Jamni jamni wazanziba4 wenzangu tambueni sisi hatuna Vifaa vya matibabu wenzetu wanavyo na ndio wakawa wananguvu iyo kwaiyo unapo ambiwa n ww ONGEZA ZAKO zanzibar ni kisiwa maskini ssa wao ndio wananchi wao
@maliamhotimaliamhoti53024 жыл бұрын
Hatuna muda wakuandamana kwajil ya maslahi yenu. Watanzania tuamke!
@anisamohammed69334 жыл бұрын
Sawasawa fanyeni maandamano mpk kura zipigwe tena lkn muwe macho musifanywe km kesha
@johngeorge17854 жыл бұрын
Tumia akir ww
@isaacmwakosya54934 жыл бұрын
Mungu tunaomba uingilia katia hali hii. Kwani ulisema katia Nemo lako, Wenye haki wakitawala wata watu hufurahi. Mimi ni miongoni ma watu wenye huzuni kwa mwenendo huu.
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Karatasi mmetengeneza wenyeww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔
@maulidwhyder88484 жыл бұрын
Mkunduo
@nizobeatz904 жыл бұрын
Wazee mlibweteka na posho za bunge mwaka huu mmeula wa chuya amna upizani wakweli wengi mpo kimaslai yenu binafsi
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
Unawakilisha akili za watanzania wengi hongera sana ila tupo kwenye jahazi moja. Usije baadae ukalaumu tra au kikotoo pasipo na mtu wa kukusemea. Au labda mwenzetu ni kula kulala
@elibaricksadock95624 жыл бұрын
Brother Sisi Wana KIGOMA ume tunyanyasa sanaaa Kwa miaaka yote hiyo nyie fanyeni maandamano pekeenu Ila so lazima uwee mbunge tafta kazi ingine ufanye ili maisha yaendelee kak
@zuukiss19muacheaswazuukiss274 жыл бұрын
We bwege nn
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Hujuelewi
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Andamana si tunaendela na kuendela na majukumu yetu
@olivambala30864 жыл бұрын
sura yake mbaya wananchi wameichoka wakampiga chiniiiii. chezea wajumbee wewe.
Ccm niwatu maaduwi wakubwa was Tanzania wakifatiwa na jeshi LA polisi na usalama wa taifa yote yanatokea kwakuwa umoja wamataifa awawapi adhabu staiki ndio mana awaogopi
@emmanuelowiti82174 жыл бұрын
kwisha habari yenu, hivi kama marekani hakuna democrasia hii mnayotuhubiri kila siku huku, je nyie mnatueleza madudu gani?!!.si mkubali kushindwa?,kwani ni nyie wenyewe mliumbwa na Mungu kuja kuwaongoza wengine na nyie msiongozwe?!,hebu acheni lawama kunamaisha hata nje ya uongozi
@almasjuma68724 жыл бұрын
Punguza unafiki hamnasera
@manaseelias23514 жыл бұрын
Andamaneni wenyewe na familia zenu ss tuko bize na kusaka tonge JPM amani yetu from GOD
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
From which god,the god of thefty and injustice. Ila kwa roho zetu mbaya tunastahili yote.
@kenedyrocky46414 жыл бұрын
NAUNGA MKONO HOJA KWA 100%
@pabrokapili8104 жыл бұрын
Zito kabwe jitasmini wewe binafsi .kisha kwani unayoyaonyesha ni kweli?kama mlijua hayo kwanini hukuweka wazi au pingamizi kabla ya hayo?kingine acha taharuki za kibinafsi uwezi sema hayo wakati matokeo yanasainiwa na wakala wa chama chako.sasa kwa taarifa unazozitoa huoni ni kujipotezea muda?na kama mlikuwa mnajua yote hayo kwanini msitoe ushahidi mapema kwa wasimamizi wa uchaguzi,Leo unaongea kwa kufanya kama nchi haina serikali au utawala kwanini ?hivi wewe ni mzarendo wa nchi hii ya tz au ni mzarendo wa familia yako na ukoo wako ?kwani Luna akina zito wangapi Tanzania ambao walisha wahi kuripotiwa na vyombo vya habari wameita watanzania wenzao wenye shida na dhiki akawasaidia ?kama alivyofanya diamond na wengine ?hakika madaraka ni dhamana ya kidunia Leo uko tayari kutaka kuhatarisha maisha ya maskini wa Tanzania kwa kukosakwako maslahi yako kweli wewe ni mzarendo wa nchi?hivi kama unaamini kwa mungu lolote linawezekana kwanini wewe huamini kilichotokea kwenye jumbo lako?kwani wewe uliweka ahadi ya muda gani na mungu juu ya nafasi hiyo ya ubunge?je kwa hili ndgu ZITO wewe hufikilii kuwa rais wa tz ?ni nini sifa za MTU kuwa rais ?rudi nyuma kwanza mjue mungu wetu sote kwa hilo mnalofikilia wewe na wenzio wa upinzani,kingine ndgu ZITO KABWE nakumbuka kama skosei wewe uliwahi kuwa mwanachama wa chadema vile au ?na kipi kilikuondosha Kyle na kujiunga ACT nakumbuka kilikuwa chama kipya cha yule mama mkuu wa mkoa Kilimanjaro ni nini uliamua kutoka chadema?na Leo ni kipi kinakushawishi kuungana nacho kwenye hilo?asante
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Kama hapakuwa na uchaguzi mbona mkienda kupigakula Ya nn hileaminini kadar Ya Allah wanataka umojawa mataifatu uingilia Akuna jingine hapo
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
hatuna hela za kucheze ..ni kodi zetu usitupotezee muda..umeshindwa kalale ..
@nuratkalinga5814 жыл бұрын
Kura mpige wenyewe harafu msingizie ccm
@mrsnam68974 жыл бұрын
Tutaamini vipi ikiwa hizo karatasi hamukuzitengeneza nyinyi mafisadi tunataka, ushahidi uliokamilika, Ivi bongo hii anakamatwa mwizi anaachiwa akimbie na mukamate mali tuh, kwani ilitokea hivyo sehemu ngapi angalau hata moja itakua alipatikana na kukamatwa alohujumu uchaguzi
@mayungalugodisha8834 жыл бұрын
Tuonyeshe njia
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
sasa si uwanzi kuandamana baba
@athmanmuhammed73334 жыл бұрын
Sifa za tanzania zimeshaisha
@mussaelisha63524 жыл бұрын
Safi .jeova
@kapambalapole82274 жыл бұрын
Mnaebdelea kuchonganisha watu
@johngeorge17854 жыл бұрын
Mmekosa kaz ya kufanya mta piga wenyewe hz kula
@thadeiminja18554 жыл бұрын
WATANZANIA WANA HALI NGUMU HAWAWEZI KUPIGANA.
@MsAggie54 жыл бұрын
Kila la heri Zito
@mahelamnazaletinmm8804 жыл бұрын
Uchaguzi wa magufuri pumbavu xana
@ayubumohamed35154 жыл бұрын
Kwahiyo yote yanakuja kwakua mmekosa mbona ccm wakikosa wanakua wapole
Yaan hata uongo hamjui sasa hiyo karatasi et ccm iko namba tano duuh
@jacklinkavishe49104 жыл бұрын
Au Zitto Uende Chadema na Lissu aje ACT Wazalendo Yaan mfanye kubadilisha na vyama tuone itakuwaje.
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
Acha maneno ya watoto wa mama na kula kulala.
@presseg.63624 жыл бұрын
Kwenda zako
@lusajomwanyande65264 жыл бұрын
Pambana mpaka kieleweke
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
Una rorote kabwe chup we
@sansisansi36864 жыл бұрын
hakuna kitu unasema wewe mnataka vita tanzania
@bahatynassor54314 жыл бұрын
Afande sele piga hao mpaka wajikojolee
@mzeejombi80474 жыл бұрын
Tanzania hakuna amani kuna uoga na uonevu
@aliaminmbeo99984 жыл бұрын
Andamana na mke wako
@wilfredmlaki8224 жыл бұрын
Mjifunze kuishi bila ruzuku
@salyali78074 жыл бұрын
Well done. .. keep it up
@filbetkalembe28064 жыл бұрын
Nyie nao kwa uongo
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
Acha unafiki.
@jacksonmdima56594 жыл бұрын
Vibaraka mtalimia meno mwaka huu
@hawamaricca40034 жыл бұрын
Mtajiju andamaneni na watoto wenu sio watoto wa wenzenu
@sifamajura79254 жыл бұрын
Hujaambiwa wewe
@frankkikambako92814 жыл бұрын
Imeisha iyoo
@zengomichael82384 жыл бұрын
Wapo watakwenda maana wamechaguliwa na wananchi siyo chama
@salumahmad884 жыл бұрын
Andamaneni nyinyi sisi hapana
@yunussothman74224 жыл бұрын
Ww huna lazima
@revocatusedward57394 жыл бұрын
SEASON 01, EPISOD 01, NJOO TULIME MAHARAGE
@trophainamagogwa99914 жыл бұрын
Na Lisu ameshakimbia nyie hamukimbii au hamna pa kukimbilia??
@msingida334 жыл бұрын
sasa zile maana yake hazijapigwa na hazijahesabika, sasa matokeo yametoka sasa inakuwaje ushindwe,??. lakini mimi bado siwaelewi. alafu mkizoea kudanganya tutawaelewaje??
@engzuberir.akilenza17644 жыл бұрын
Acha unafiki.
@mangobase4 жыл бұрын
Thubutu labda siyo JPM
@AliRaza-wq3sp4 жыл бұрын
We IMA Karri Au muislamu Mnafiq , Hugo Magi Kwani yy Mungu !!!!!? Acha ukhanithi Weeeeee Fala Pooraaaaaaaaaaaa ! Karambaaaaaaaaa.
@mialanomangobo93564 жыл бұрын
Kelele za chura hazizui n’gombe kunywa maji
@rajabumilambo17614 жыл бұрын
Yupo wa chadema
@zuukiss19muacheaswazuukiss274 жыл бұрын
Tutaandaman yumechoka
@suyamselem80384 жыл бұрын
CCM Awatakiwi ila wanafosi
@neemachengula80474 жыл бұрын
Acha uongooo watu mlio wakamata wako wapii
@neemachengula80474 жыл бұрын
Mlio wakamata wako wapi?
@setholivier48624 жыл бұрын
Nitaungana na police kuwa charaja viboko
@abuuhabshy42154 жыл бұрын
Allah atuafikie
@saidabdala49804 жыл бұрын
Amin
@bigdreamer88574 жыл бұрын
Mlijua timu ya refa anaechezesha alafu mnakubali mechi mlikuwa na maana gani??
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
Ndiomkomee
@fundikado8774 жыл бұрын
Haya /
@ayshaaysha63584 жыл бұрын
Wapumbavu nyinyi
@bigdreamer88574 жыл бұрын
Waandishi wa habari mlianza Lini kuwapigia makofi viongozi wanapohojiwa
@Kapandetv4 жыл бұрын
Bora damu imwagike tumechoka
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Tangulia mbele sawa
@mozesdadi6074 жыл бұрын
Ngoja ianze yako
@ameirzapy13184 жыл бұрын
Haha eti baada ya uchaguzi NDIO unasema mtihani umevuja poleni sana sana
@josephjulius23984 жыл бұрын
Anza ww kwanza
@festojonhson42524 жыл бұрын
eti lizito linasema "na kuilinda nchi yetu" nchi gani sasa?