Tundu Lissu Afunguka Haya Dodoma; Vuguvugu la Maandamano, Sakata la Kuitwa 'Ubaguzi' na Hali ya Mais

  Рет қаралды 24,190

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Mwanzo mwisho alichokizungumza Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipohutubia wananchi wa jiji la Dodoma baada ya kufanyika kwa maandamano ya amani.

Пікірлер: 86
@hamadirock
@hamadirock 5 ай бұрын
Lissu hii nchi anaijua aisee.Historia zote ziko kichwani
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 5 ай бұрын
Ni kweli utanzania unatumika kuwaibia Watanganyika hii walaaniwe wote wanaoibia Watanganyika .....MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI
@amosmerama3680
@amosmerama3680 5 ай бұрын
Tunapata elimu, tunalishwa siasa safi na tunatolewa utumwani mwa CCM, tundu lisu the man!!
@nassirnassir3623
@nassirnassir3623 5 ай бұрын
Hamna kitu hapo. Wakete sera za vipi watanzania watajikomboa kiuchumi sio raisi mamabo ya Raisi anatoka Zanzibar. Kwani hayo nani hajui. Chadema wameishiwa na sera wanaanza kuhubiri Zanzibar badala ya maendeleo
@edwardmwingira7096
@edwardmwingira7096 5 ай бұрын
Aksante sana Lissu kwa elimu nzuri
@paschalmagai751
@paschalmagai751 5 ай бұрын
Navutiwa sana na uelewa wa mambo toka kwa Tundu Lissu yani huchoki kumsikiliza...... Hawa ndio viongozi Tanzania inawahitaji.
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 5 ай бұрын
Jamaa anakazi ngumu sana yn ANAHATARISHA maisha yake vibaya mno😂😂.... anyway Mungu amsaidie
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 5 ай бұрын
Waambie ukweli
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 5 ай бұрын
Chaguo la Mungu kwa Tanzania 🇹🇿 timamu. Mungu akutunze
@ibrahimsalum5757
@ibrahimsalum5757 Ай бұрын
Hongera
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 5 ай бұрын
Nakuelewa sana Mungu akubariki sana ndugu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 5 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza shangazi anakereka na ukweli.
@leiyoolemangi5135
@leiyoolemangi5135 5 ай бұрын
Go ahead
@Zaikadena
@Zaikadena 5 ай бұрын
Ila watanzania mcpo muelewa uyu mwamba shaurienu anafungua sana ila co kwa masilai yake mana yeye yupo vzr wanawe ni raia wa marekani na hata akiamua ajiunge na ccm anapewa cheo lkn hajataka ivo kwa sababu yenu wabongo na ukitaka kujua uyu ameletwa na mungu kuwapigania nandio mana hakuruhusu afe huyu mwamba ila kama mtampuuza kitawakuta kitu mm nipo pale
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 5 ай бұрын
Bg point
@husnakalumba2578
@husnakalumba2578 5 ай бұрын
Huyu huyu anaesaport ushoga ndo kaletwa na Mungu 😂
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 5 ай бұрын
Ufahamu wako ni finyu, na ujengaji wako wa hoja ni duni sana. Elimika ulipo elimishwa
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 5 ай бұрын
Manasheliya tundu hongela Kwa mapambano
@bakermusa9033
@bakermusa9033 5 ай бұрын
Viongozi wote wa CCM in total akili zao hazifikii hiki kichwa
@annapeter4994
@annapeter4994 5 ай бұрын
😭😭😭😭Mahali walipotaka kukuua jamani
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 5 ай бұрын
Tundu ni Kiongozi muhimu na imara na Mtanganyika wa kweli
@petermwashilindi2222
@petermwashilindi2222 5 ай бұрын
Asante lisu ❤
@rashidomari5224
@rashidomari5224 5 ай бұрын
Hakuna anamweza tundu lisu kwenye sheria
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 5 ай бұрын
Amandaneni kama hamuutaki MUUNGANO hata sisi WAZANZIBAR hatuutaki😂😂😂 kwani hamjuwi😂😂😂 ... bado kukuuzeni WATANGANYIIKA wote... MAMA SAMIA MITANO TENA😂😂😂😂 Mnapiga makelele tu iyo inaitwa MUKITAKA MUSITAKE TUNAKUREMBENI TU😂😂😂😂😂😂😂😂
@IfadhimussaKhamis
@IfadhimussaKhamis 13 күн бұрын
Nimefurahi kusikia kwamba zanzibainamipaka yabahari ilatungependa ututajie hyo mipaka muheshimiwa lisu ila angalia usije likanyaga nalapili muheshimiwa Samia amkaa kwamujibu wakatiba hakukaa kwahiyariyake muheshimiwa huwaniubaguzi
@AdamRajabuIsango
@AdamRajabuIsango 5 ай бұрын
Guys, let's be united, let's cooperate in the next investigation, let's get a better leader and keep praying to Allah, he is the one who can do everything.
@EbenezerMagari
@EbenezerMagari 5 ай бұрын
Duuh hiki kichwaa apanaa
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 5 ай бұрын
hahahaaa jnn kwa hiyo tunaongozwa na nzanzibar jmn
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 5 ай бұрын
Kwakweli huyu kiongozi mungu ambaliki sana anajitaidi sana kuwelimisha mbumbu za bongo lakini ngumu kuwelewa
@AmourAmour-f4c
@AmourAmour-f4c 5 ай бұрын
Yani katika wayu amba hatuupendi muungano bc nisisi wazanzibar ila nyinyi wenzetu watanganyika mnaupenda kwaiyo wachamaisha yaendele maraisi wote walowepo wazanbari mawaziri wazanzibar 😅😅
@RashidMohamed-rv2hm
@RashidMohamed-rv2hm 5 ай бұрын
Ilio ungana sio Tanganyika na Zanzibar iliungana TANU na ASP
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 ай бұрын
Ila lissu nikama Kuna kitu nyuma ...ushasema pale mwanza kwamba tumetembea tumechoka ....lakin upo sahihi
@DamianShirima-nh4gc
@DamianShirima-nh4gc 5 ай бұрын
Ombaombo hii ni mpaka lining ndugu Watanzania?
@mosaidi2633
@mosaidi2633 5 ай бұрын
Zanzibar nchi ndogo hata mchanga wa kujengea tunanunua tanganyika na Tanganyika bado ni pori tu 😂😂
@IssaJohn-kk8pb
@IssaJohn-kk8pb 5 ай бұрын
Unanifurahisha kaka lisu maana hutishiwi nyau
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 5 ай бұрын
Ninashukuru kwa kazi njema na ngumu ya kutetea wananchi wa Tanganyika. MUNGU akupe nguvu,akusaidie na akushike kwa mkono wake wa kuume wa haki yake.(Isaya 41:10-13)
@Tanzania_ni_yetu
@Tanzania_ni_yetu 5 ай бұрын
Tuko pamoja baba
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 5 ай бұрын
Love you lissu
@munongomeshili7612
@munongomeshili7612 5 ай бұрын
Kweli tundu anachokisema ni sawa ila hatuwezi tukampa urais kwani atatuletea ushoga!!
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 5 ай бұрын
Indeed.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 ай бұрын
Huyu mwamba hotuba zake zinawachukiza sana ccm
@edwardmwingira7096
@edwardmwingira7096 5 ай бұрын
Kumsikiliza Lissu ni darasa tosha.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@gmarwapanoceanictz
@gmarwapanoceanictz 5 ай бұрын
siasa tena basi. toeni taarifa ccm izifanyie kazi. hatuhitaji maandamano. wala katiba mpya , itapelekea wafanya kazi kuongezewa kodi kulipia wakao vya katiba mpya. maana ni gharama sana, hamjui tuu. ombeni mabadiliko ya sheria zilizopitwa na wakati au mbovu zilizopo ndani ya katiba, na zifanyiwe mabadikliko bungeneni na sio vikao vya katiba. maana hadi kutayalisha upya katiba, hela zitetumika nyingi na kwa muda mrefu sana. walaji watakua wengi sana. hata mimi nita aply kuwa mjumbe wa katiba mpya nipate ulaji.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 5 ай бұрын
Ulipo tupo tatizo umeshika makali ccm imeshika mpini tu.😂😢
@sabriabdalla9562
@sabriabdalla9562 5 ай бұрын
Umejitahid kufafanua lakini still ulichosema ni ubaguzi. Kupotea kwa Tanganyika kumesababishwa na watanganyika wenyewe. Ubaguzi hausaidii.
@rashidomari5224
@rashidomari5224 5 ай бұрын
We ndo hujui. Kafafanua kisheria mbona wew huji na sheria ka yeye tuone alikobagua?
@williumgeofrey9587
@williumgeofrey9587 5 ай бұрын
Huyu jamaa nilikuwa namchukia ila leo nimemuelewa
@Zaikadena
@Zaikadena 5 ай бұрын
Samia hana kosa Nyerere alkulupuka na katiba mbovu
@ndagabwenejohn
@ndagabwenejohn 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@piusprospa8832
@piusprospa8832 5 ай бұрын
tangia lini mzanzibari aingoze tanganyika huu ni uchulo
@AliJussa
@AliJussa 5 ай бұрын
Ndio akili hamna,, na hamna katiba
@saidinaweka9425
@saidinaweka9425 5 ай бұрын
Uyu kaka nimwanasiasa mzulisana ila uku ubeligiji anako kenda kunashida qazungu siwaamini
@KhamisiSalimu
@KhamisiSalimu 5 ай бұрын
Kwanini sasa hamutak tuvunje mungano na sisi wazanzibar tuko tayar hatutak mungano
@lucasmartin431
@lucasmartin431 5 ай бұрын
Tulia....Muungano utadumu na utaendelea kudumu, kaa kwa kitulia.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Hizi nchi mbili zingeungana kwakua hazijaungana.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 ай бұрын
MAGUFULI ALIPOSEMA WATANZANIA WANA AKILI ALIONGEA KITU CHA UKWELI NA ALIFIKIRIA
@AliJussa
@AliJussa 5 ай бұрын
Kati ya watu wako tayr kuvunjwa mkataba ni wazanzibar, na mumeandamana coz Magu hayupo😅 mtanganyika mwenzenu
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 5 ай бұрын
Nape, tutakikumbatia CHADEMA hadi ushangae! Habari ya kupeana madaraka kiukoo yataisha Nape mtoto wa Moses. Ni Nyerere tu hakutaka upuuzi wenu wa kuandaana baba na mtoto
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 5 ай бұрын
Kwani miungano ndo maisha ya watanzania au changamoto ya maisha ya watu siasa ni hatari sana ww ukiingia ikulu utafanya madudu mengi tu
@rashidomari5224
@rashidomari5224 5 ай бұрын
Umekurupuka. Nenda darasani ukasome tena namna ya kumsikiliza mtu na kumuelewa kisabihi
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 5 ай бұрын
@@rashidomari5224 tatizo uelewa miungano unawahusu wazanzibar sisi hautuhusu na kusoma ni sawa ila tz hakuna chama Cha siasa ila porojo ndo nying mfano mgawanyo wa ajira na sekta za usafirishaji mabasi yapakiliye stendi kama zamani hayo ndo maslahi ya wanch si miungano hautu husu
@dulasaid2581
@dulasaid2581 5 ай бұрын
FATMA karume asikubabaishe anakhofia mungano kuvunjika. Analinda legacy ya family yake
@frankjohn8706
@frankjohn8706 5 ай бұрын
MTU WA MUNGU AKIZUNGUMZA KILA KIUMBE KINAMSIKULIZA YANI HATA WASIOMPENDA WAKO MAKINI KUMSIKILIZA NA KUZINGATIA SANA NAKUTAFUTA TAFUTA NENO LA KULIITA BAYA AU TUSI ILI KUMCHAFUA AU KUMTIA HATIANI MAANA ASEMAYO MTU WA MUNGU HUUWEKA WAZI UOVU WA WAOVU NA WAOVU HUCHUKIZWA SANA
@lgf7297
@lgf7297 5 ай бұрын
Anawatukana in their face
@AmourAmour-f4c
@AmourAmour-f4c 5 ай бұрын
Kwanini tanganyika haina katiba?
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Kwenye Kodi hapo hakuna tatizo kwakua hata Marekani muswada hupitishwa na bungu lakini rais ndo Anasaini kukubari
@markjeremiah9447
@markjeremiah9447 5 ай бұрын
Hujamwelewa lisu vizuri ebu rudia kumsikikiza Tena ndugu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Je, wanapewa Fidia baada ya maeneo yao kichukuliwa? Kama wanapewa, je wanapangiwa maeneo mengine ya kuishi kwa wale ambao wanapinga kuhama?
@bakarisagna554
@bakarisagna554 5 ай бұрын
Hauwezi mshurutisha mtu kuuza ardhi yake kwa manufaa na wageni
@lgf7297
@lgf7297 5 ай бұрын
Sasa hoja zooote zimeisha sasa kaanza kuku kula mayai yake.
@lgf7297
@lgf7297 5 ай бұрын
Kwa nini msimpige mawe?
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 5 ай бұрын
Apigwe nan nyie ndy sababu ya hii nchi haina mabadiliko zaidi ya wanawake
@JohnKasind
@JohnKasind 5 ай бұрын
Jambo tv
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 5 ай бұрын
Hapa ndio mana nagundua kwann Magufuli alimkataa huyu jamaa sio mtu mzuri hata kidogo
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 5 ай бұрын
Wewe mjinga sana huna tofauti na mtoto mdogo.
@tanzanitetv
@tanzanitetv 5 ай бұрын
Usimlishe Magufuli maneno yako omary bakunda
@EmmanuelMassawe-c5g
@EmmanuelMassawe-c5g 5 ай бұрын
Aise hatar sana
@rashidomari5224
@rashidomari5224 5 ай бұрын
Uwez penda mtu anaejua sheria namna hii weye. Wakwako ni wale wanaotupumbaza kila kitu. Wanaotuambia ukweli hamuwataki. Ipo siku Mungu atajb
@KhamisiSalimu
@KhamisiSalimu 5 ай бұрын
Hatutak mungano tuachiyen zanziba yetu
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 5 ай бұрын
Asa sis Zanzibar yanini tumewabeba tu amna lolote
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Bwege umeshiba unasema tukuachie zanzibar.mmenyonya vya machogo unachekelea.!!!
@gmarwapanoceanictz
@gmarwapanoceanictz 5 ай бұрын
Bandari haijauzwa. imetijishwa, ili kufanya biashara zaidi. waulize wachumi, sio wanasheria maana hawajui business. na katiba hizi za nchi mbili hazifanani maana ni nchi mbili tofauti. mbona hilo tunalijua. kwa kifupi ni hivi. kuna nchi ya 1. zanzibar 2. tangajika na 3. jamhuri ya muungano. wala muungano haujavuluga sheria za zanziba wala za jamhuri na wala za tanganyika.
@sheikhaswalehsalim3392
@sheikhaswalehsalim3392 5 ай бұрын
Wewe ni yako ni kuuza nchi na usha hidawa na hao ma bwana zako ,lakini ngoo huipati maisha porojo tu na kuwa fanya watu wapumbavu lakini lengo una juwa mwenyewe Samia oyeeeeee,utakufa nacho kijiwe cha moyooo😂😂😂😂😂😂😂
NGAI AGUTIGWO MWENA WA RIGATHI GACHAGUA 😳😳
33:16
kigoocofm kenya
Рет қаралды 11 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
FISTON MBUYI-Lindanda (Concert Surpris lubumbashi)
11:21
Fiston Mbuyi
Рет қаралды 2,6 МЛН
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 66 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН