Hongera kamanda wapeleke mputaputa Hao wezi mpaka kieleweke
@JesuinaBabili3 күн бұрын
Yaani hii imekaa njema kabisa peleka speed hayo mazombi hadi huyo aliyepo the so called ‘nyuma ya pazia’ - km si pazia kuchanika akatolewa mazima basi achanike yeye…tushachoka na drama zao
@sharafisaidi79993 күн бұрын
Kipengere hiki Cha pingamizi kingeondolewa watu wakaamuliwe na wananchi wenyewe
@visionstudios68043 күн бұрын
Hakijawekwa bahati mbaya 😂
@idanysedrc12003 күн бұрын
Huyo bonge mwenye earphone sikion ndio nani maana yupo busy kusikiliza sijiu mziki😀😀😀Wala Hana concentration na anaeongea
@MenAbdy-ct1iz3 күн бұрын
Senge sana hilo simamizi harafu yanapewaga raki to
@sebastianmwantuge55973 күн бұрын
Mbona mnamlealea huyo msimamizi msaidizi?
@MenAbdy-ct1iz3 күн бұрын
Kumbe wananijua kuwa wamechokwa
@AllyFaraji-r4y2 күн бұрын
Yani ccm sijuwi wanaogopaga nini kuweka uchaguzi uliyokuwa wa uhuru na haki
@EmmanuelKiula2 күн бұрын
Wanaogopa kutafuta kwa jasho na kujipikia, wamezoea kula bila jasho/vilivyopikwa tayari!
@NjotaMichaelКүн бұрын
Mungu.atusaie
@paull86593 күн бұрын
Hawa wasimamizi ni wa kuchinja chinja tu..baadaye au wahame vijiji.
@csato94153 күн бұрын
Kufanya kazi kwa maelekezo ni shida maana hata yeye msimamizi msaidizi uso wake unaoyesha anaona aibu tupu kwa kutofuata utaratibu. Lakini je uhuni huu utafanywa mpaka lini !? wananchi tuungane kupinga uhuni huu tusiwaachie walioenguliwa tu tuwaunge mkono kudai haki.
@JesuinaBabili3 күн бұрын
Yaani hii imekaa njema kabisa peleka speed hayo mazombi hadi huyo aliyepo the so called ‘nyuma ya pazia’ - km si pazia kuchanika akatolewa mazima basi achanike yeye…tushachoka na drama zao
@YohanaTiamasi3 күн бұрын
Yaani yaleyale ya Donald tramp alisema wakihesabu kura halali watalaa mapema sana lakini wakichanganya na za uhuni watatuibia ushindi wetu ndo haya ccm bila nyongeza kwishaàa
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Muda utaongea
@salama11133 күн бұрын
Jambo tv ndo chombo cha habari pekee tunaowategemea sio hivyo vingine
@gowekogoweko58032 күн бұрын
WAMECHOKWAA HLF WANALAZIMISHA KIUBABEE. SHAME
@hamisimuhunzi79163 күн бұрын
CCM hawataki tena uchaguzi wanajua wananchi hawawataki
@MAGIDACHIMIJA3 күн бұрын
Ninachokijua ni kwamba ccm hamna mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri na kujibu hoja by hoja
@xaixaiobrigado48463 күн бұрын
Kwani kuenguliwa ndiyo imekuwa uchaguzi wenyewe? >>Ondoeni kipengee cha mapingamizi,wagombea wakagombee,wapiga kura waamue!
@csato94153 күн бұрын
Kabisa hilo ndio la muhimu wananchi waamue wenyewe.
@pendobruno11110 сағат бұрын
Nashangaa unahongwa kwa muda tu shida huku tunateseka wanaempigania yeye maisha mazuri
@CharlesMwakajinga-r5d3 күн бұрын
Nchi tunapoteza sana muda kwa mambo yakijinga ndiyo maana tunataka katiba mpya
@lusajomwaipopo50423 күн бұрын
Ndiyo maana uchaguzi tulishauri angalau ungesimamiwa na tume ya uchaguzi nasio mkwe wa samia
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Wananchi waliopinga Mahakani Tamisemi siyo wa kusimamia huu uchaguzi waliona mbali sana. Yanayotokea ni maudhi, aibu na kero kwa wananchi. Watawala jitafakarini
@FREDYMBUGHI-q5k2 күн бұрын
Au tuailishe kama hatupo tayari kufanya uchaguzi kuliko tunatumia mabilion ya fedha za injiii kumbe ni upuuzi,wasimamizi wanatoka wapi mbona wanawamulia wananch,
@yudachelango682416 сағат бұрын
Safi pambania mwanangu wa UDSM
@teamwanandototv85662 күн бұрын
Morogoro vijijini Kijiji cha nyamigadu b chadema wamepigwa chin na hawajapeleka rufaa wanaomba msaada
@SeverinepauloPeter2 күн бұрын
Ccm wamezidiwa wanaogopa uchaguzi
@philimonmtweve45223 күн бұрын
Uchaguz wa maelekezo ni shida
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Halafu hata hawajali. Mungu anawaona
@AineaMasagasi2 күн бұрын
Kuna haja ya kufanya marekebisho ya sheria Ili uchaguzi huu wa serikal za mitaa usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi Kwa sababu huku kwingine ni sarakasi tu ndo zinakua nyingi sana,
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Sheria tayari ipo lakini wameiweka pembeni for no good reason. Mungu anawaona
@kilianjulius98822 күн бұрын
Wachumia tumbo badilikeni Mungu yupo atawachoma moto,,,
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
Wataanza kuungua wakiwa hapa duniani kabla ya kufika ahera.
@rebekakulwa61593 күн бұрын
Fisiemu ni janga na ukoma
@WilleyKiwelu-yg4yq2 күн бұрын
Hii nchi ngumu sana huyo unaye mtolea maelezo ni uv ccm Dodom kesi ya ngedere kwa nyani
@bsmonline84822 күн бұрын
Wanajua wananchi hawawataki Umkute makala anavyojimwambafai kwamba wanawaweza CHADEMA utacheka😂😂 sana
@zebedayokatamaduni9676Күн бұрын
Wana waweza wapi 😂😂😂😂😂
@pendobruno11110 сағат бұрын
Waache wananchi tuchague tunaowapenda ndio itakuwa vizuri
@yudachelango682415 сағат бұрын
Linalo elejezwa hapo naona hata halielewi chochote😅😅
@venantrugabela67983 күн бұрын
Limekaa linavunja tu viti
@GoodluckNjau-km3ymКүн бұрын
Msimamizi sioni kama ana elimu ya kutosha kusimamia mambo ya uchaguzi
@estachengula3902Күн бұрын
Hawa watendaji wa selikari hawajasoma mbona wanatusumbua sana sisi wananchi tunaye mtaka hawamtaki kwa hiyo wanatuzalau wananchiiiiiii?
@modestwenceslaus92 күн бұрын
Msimamizi msaidizi wa uchaguzi anafundishwa majukumu ya kazi na anaonekana wazi haelewi chochote kuhusu kanuni za uchaguzi yaani anatia aibu ofisi ya Serikali.
@amiri.channel2 күн бұрын
Ila Deo 😅😅
@exprodigitaltechtv557115 сағат бұрын
Kanuni wanatunga wao lakin kuzisimamia tena wanaona mzigo
@EmanuelMuna2 күн бұрын
yani wasimamizi niwajinga kupigiliza ivi wanaona vyama vingine ndo hawajui kuandika au so wakazi wa hapo na kumbe walisha wahi kua viongozi hapo
@BozaDizamile-u1d3 күн бұрын
CCM KAZI MNAYO MWAKA HUU ACHENI WATU WAGOMBEA FIGISUFIGISU AZITAWASAIDIA CCM WATANZANIA WAMESHAICHOKA
@adelinelyaruu30362 күн бұрын
4R eti.
@danielpaul41083 күн бұрын
Ccm maji yako shingoni,
@titoelisha89542 күн бұрын
“… sisi tunaamini katika utaratibu…”
@Mosmwampa2 күн бұрын
Yaani sasaiv ishajulikana wazi kuwa tz tunaongozwa Kwa njia za kihuni tu. Hali inapokuwa hivi ujue ni swala la mda tu Kuna mabadiliko makubwa yanakuja
@salama11133 күн бұрын
Hawajui wapi waongo wanafanya kazi kwa maelekezo
@evancykashaga65763 күн бұрын
Ivi kwanini mnakuwa weziwezi yani mnakela sana kwanini msiende ulingoni simna jiamini
@IsayaSosolo-nx8zk2 күн бұрын
Huyo kavaa jezi hiyo kavirugwa na mengi hapo nyie mnabishana naye matokeo ya Yanga yamememvuruga hiyo!
@estachengula3902Күн бұрын
Ccm viongozi mnatia aibu mpaka watoto wanawashanga
@EliaHiluka3 күн бұрын
Kwani Hawa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wametwishwa majukumu makubwa ambayo uwezo wao mdogo
@eliphasmlengu63313 күн бұрын
Kwanza anazarau kaweka earphones anasikiliza taarabu mwezie anaongea
@leokamil62842 күн бұрын
Anaulinzi ndio maana anadharau sana
@jerome31432 күн бұрын
shida awajui sheria na katiba ya Tanzania aina semaje
@ramadhanimohamed41902 күн бұрын
CCM BWANA
@khalidmdotta3843Күн бұрын
Hii mijamaa ni mihuni
@ashahamad-mq3iz3 күн бұрын
Hawa ndio kazi zao hizo hawezi kubalika mpaka kiama kwa sababu hawajimi kwa sababu hawana watu hawa watu wameichoka chukua chako mapema hayo ni maelekezo kutoka kwa walio waweka
@jumaalmasjuma17003 күн бұрын
Akili nyingi huondoe maarifa
@MenAbdy-ct1iz3 күн бұрын
Hawa watendaji Hawa wasimamizi hawa watu sio wazaman mjue hilo