TUNDU LISSU KAUNGA MKONO HOJA YA MSIGWA KUMHUSU MBOWE.HATA MIMI WAMEANZA KUNISHUGULIKIA KAMA MSIGWA

  Рет қаралды 22,980

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@hectorgold147
@hectorgold147 4 күн бұрын
tumuombe heche anafaa sana heche kama unasoma chonde chonde 100% kaka upo vizuri unaopa nini tayali lisu
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 4 күн бұрын
Wajumbe kama pesa chukueni, Ila kura mpeni Lisu mtu wa haki
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 4 күн бұрын
Lisu fanyen mdahalo na mbowe utamshinda tu kuweka njia salama.
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti 2 күн бұрын
John heche anafaa sana
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 күн бұрын
Mropokaji Lisu hana hakika na anachokisema anajichanganya au kachanganyikiwa
@frbm1729
@frbm1729 2 күн бұрын
Ccm mbele kwa mbeleeeeeeeee
@gwejonoah1900
@gwejonoah1900 3 күн бұрын
lisu baba umenyooka🔥🔥🔥
@mussarukigwa3453
@mussarukigwa3453 2 күн бұрын
Lisu namuamini sana
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 күн бұрын
Lisu anaweza
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 4 күн бұрын
Lissu kiukweli Muumba akufanyie wepesi tu katika hili, kwani una moyo mweupe safi Mathayo 5: 8) Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Muumba. 1. Ni msema kweli 2. Ni mpenda haki 3. Ni jasri 4. Ana upendo wa kweli 5. Ni mwaminifu sana. 6. Ana upendo utaifa wake. # All the waya Lisu. Muumba akuangazie na akulinde kwa kila hali.
@franksiame8441
@franksiame8441 Күн бұрын
Lisu hawezi kuongoza chadema
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 2 күн бұрын
Sasa mie hapa mnisaidee sielewi msigwa na makala wanamtaka Lissu huku ccm wao kama chama wanamtaka Mbowe sasa hapo inakuwaje si wanapingana wenyewe 😊😊
@MushiroseAlberth
@MushiroseAlberth 2 күн бұрын
Urais tena haupo mbona mnashindwa kuwa na staha mnalaumiana😊
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 4 күн бұрын
Nakukubali
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 2 күн бұрын
Aanzishe chama chake mbowe usmwachie huyo mropokaji umefanya kazi kubwa lisu hapanaaaa
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps 3 күн бұрын
Nyiye muna poteza muda wenu bure tu ccm baba lao nyiye wahizi tu
@MushiroseAlberth
@MushiroseAlberth 2 күн бұрын
Nyie mnaoenda fujo mbowe kajitahidi sana
@MushiroseAlberth
@MushiroseAlberth 2 күн бұрын
Mwaxheni mbowe ametesekea chama na amesimama sana nyie matamaaa tu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Wenje hafai hata kidogo kuwa makamu mwenyekiti
@FrankEdson-l2o
@FrankEdson-l2o 2 күн бұрын
Mbowe nimhuni, watuwote wanakataa yeye analazimisha. Sasa tunamwachia lichadema lake. LISSU tuko nawewe hama hawa wachaga hawa niwahuni.
@anoldishengoma4229
@anoldishengoma4229 3 күн бұрын
Kwa kauli ya lisu hata kwenye chadema Kuna uchafuzi, endeleeni kutuweka wazi mambo mengi😂😂😂😂
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 күн бұрын
Kaenda wapi
@knight6757
@knight6757 3 күн бұрын
Pesa za Abduli zinawasumbua wapenda asali ....mnalumbana wao wanawacheka ! Aibu tupu
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye 4 күн бұрын
Lissu hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
Kwa kweli hafai. Na ikitokea amechaguliwa kuwa Mwenyekiti basi Chadema ndiyo bye bye
@KangaMaluguru
@KangaMaluguru 3 күн бұрын
Kumbuka ukifeli katika nafasi ya uenyekiti,hapo zengwe linakuhusu na utatupiliwa mbali kilometer nyingi sana kutoka ilipo CHADEMA,uwe na akiba ya maneno ya kumtuhumu Mbowe.
@MushiroseAlberth
@MushiroseAlberth 2 күн бұрын
Wewe lisu hayo ni maumivu tu na tamaa ungegombea ukakaa kimya unaanza kumsema mvowe na wenzake mbowe kajitolea sana kukisimamisha chama anaa maneno mazuei ya utaratibu ingekuwa wewe damu zingeshavuja bado mbowe anapendeka
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 4 күн бұрын
Tundu chaguo la Watanganyika wenye kuipenda haki,Ila Ila Tundu lisu elewa hupambani na mpinzani wako, kuwa makini sana
@josephbonday8510
@josephbonday8510 2 күн бұрын
MBOWE AKIENDELEA KUWA M/KITI WA CHAMA HIKI,...NATABIRI ACT WAZALENDO KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NDANI YA MIAKA 10.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 күн бұрын
Watz gan? Sema wanachadema
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 күн бұрын
Kwani Wana Chadema Sio watanzania? Punguza ubaguzi, Tz hatuna roho za hivyo aise. Uzuri hajasema watanzania wote, amesema Watanzania. Sio lazima uwe mmoja wapo.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 4 күн бұрын
Unapokuwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau Msigwa na ww ni timu moja maridhiano hakuyataka halafu ahamie huko huko ? Huo ni uongo wa wazi ww hufai kabisaaaaaa kuwa mwenyekiti unaropoka ropoka ovyoooo
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
Duh wenye akili wameanza kumshtukia
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 күн бұрын
Kichaa Lisu. Rudi kwa familia yako Ubelgiji hatutaki shari zako. Malidhiano ndio yamekurudisha Tanzania huna shukrani domo kaya wewe
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 3 күн бұрын
Wajumbe fedha kila, kura kwa Lissu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Kumbe umegombea umwenyekiti baada ya wenje kugombea makamu mwenyekiti.
@conasmalale1073
@conasmalale1073 2 күн бұрын
Sasa nini kilimfanya Msigwa akimbilie CCM na kusifia 4R Ninyi nyote ni Waongo mgongano wa Maslahi tu
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 3 күн бұрын
Mpango ukifeli mnajipanga upya siya kuua chama na heche asingekushinda tatizo lisu unamatatizo makubwa hujielewi pamoja na kuwa umehudhuria shule pili umesema unashughulikiwa uenyekiti ulitataka ugombee mwenyewe?
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 4 күн бұрын
Lakini karidhiana kaenda huko huko, kwa Hiyo Msigwa asiongelewe hapo.
@hamishmooreesc2151
@hamishmooreesc2151 4 күн бұрын
Hiyo ndio wakenya wanaita kubebwa ufala mtu aliyepinga maridhiano na ccm baadae akaona ajiunge na Hiyo hiyo ccm! Na bado anatambulishwa kama shujaa yy mh lissu aliyekuwa mtetezi wa haya maridhiano mara zote mitandaoni kwa kutaja faida mbalimbali chama kilinufaika nae anadai kuwa yeye aliyapinga na hayakuwa na faida yoyote yaani maamuzi ya kamati kuu sasa tulazimishwa tuamini yalikuwa ni maamuzi ya Mbowe peke yake!!
@BossiLaizer
@BossiLaizer 3 күн бұрын
Mnapumbazwa TU mnakubali afu ndio mnatarajia kukamata Dola, labda ya marekani
@allandavid752
@allandavid752 3 күн бұрын
Sasa msigwa alipinga na bado kaenda ccm si ujinga...bora huyo wenje aliyepiga rivers but yupo ndan ya chama
@barryrioba3934
@barryrioba3934 4 күн бұрын
Tunaomba MDAHALO Kati Ya LISSU NA MBOWE Kumaliza Huu Ubishi.
@msengimakala2280
@msengimakala2280 2 күн бұрын
Tundu lisu awe mwenyekiti wa clubhouse.....chadema tunamtska mbowe
@chrispinmavukilo4238
@chrispinmavukilo4238 4 күн бұрын
Kama alikuwa hataki maridhiano mbona ameridhiana kivyake? Usituchanganye bana
@mosesmasatya6622
@mosesmasatya6622 4 күн бұрын
Kwa mara ya kwanza,NAMUOMBA Heche,maana yule Bwana kwa focus aliyo nayo nikuwa OKOA wenye nchi kutoka kwenye UJINGA number1 to the world cos Upinzani wake unamgusa mwenye nchi 1m1 KIUCHUMI Amkennnnnnnnn🎉🎉
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 2 күн бұрын
Wewe hushindi wakati utafika mbowe hoyeeee
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 3 күн бұрын
Kumbe Tundu aliamua kugombea uenyekiti baada ya kuona nafasi anayoitegemea ya umakamu mwenyekiti inashindaniwa na Wenje pia.
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye 4 күн бұрын
Unajua Lissu unachekesha sana yaani wenje kigombea ni kosa na kuwa umewejewa ila wewe kigombea ni sahihi na Mbowe kigombea ni kosa mbona wewe ni mbinafsi kiasi hicho !
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
Watu wanamchora tu anavyoropoka asubiri tarehe 22 January 2025 ndiyo atajua hajui
@emanuelsanga1218
@emanuelsanga1218 4 күн бұрын
Mumekosea njia Bado munajichekesha
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 4 күн бұрын
Lissu wewe ni mtu wa haki msigwa kaenda ccm ila bado umeongea ukweli kuwa alikuwa mtu wa kuhoji angekuwa mwingine angemshambulia kwa ubaya ila wewe ujafanya ivyoo ...swali langu naomba kujua saizi chadema tunahitaji nini transformation or changes
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 2 күн бұрын
Mbowe ni mwelewa ww na hao wenzio changamoto haaas
@TumainiMaswanya
@TumainiMaswanya 4 күн бұрын
Mbona mh lissu unajaribu kukwepa kila kitu na kujitetea kana kwamba hukuwa Makamu mwenyekiti wa chama. Kwani hayo yote kutendeka huyaona
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
Mpuuzi huyu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Lissu yeye mwenyewe aliyapongeza maridhiano. Anaongea na rafiki zake wanaomdanganya
@gaspercosmas390
@gaspercosmas390 4 күн бұрын
john heche mwenyekiti msaidizi
@allandavid752
@allandavid752 3 күн бұрын
Lisu kuna muda akili inatoka haya yote ya nini si asubiri kura..anasemwa amepingwa kwa kuwekewa wenje kwan ni kosa??
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 4 күн бұрын
Tunaendelea kupata ya ndani,
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 3 күн бұрын
Lisu anafaa kuwa mwenyekit
@alexjovin2981
@alexjovin2981 3 күн бұрын
Umekujaje Tanzania kama siyo maridhiano. Lema amekujaje tanzania. Msigwa alipinga sababu hakutaka Chadema ipate nguvu. Kama wenje kutangaza anagombea uenyekiti umesema unshughulikiwa. Ila wewe kwa mbowe ni democratically. Wenye akili mmejua
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 4 күн бұрын
Nanda kampasue kwenye mdahalo, tunaamini dhulma haijawai shinda haki
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 4 күн бұрын
Lissu tunaye na tunatamba nae
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 3 күн бұрын
Katika viongozi waongo ni Lissu huyo Msigwa yupo Ccm na huyo Lema alimsifia sana Mama Samia Leo unaongea Nini wewe Lissu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 күн бұрын
Uchaguzi chadema umegeua vita
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Sasa huyo msigwa mbona kaenda huko huko
@TumainiMaswanya
@TumainiMaswanya 4 күн бұрын
Huyu msigwa unayemtetea mbona wote na mbowe ndio walikubeba kwanda nairobi?😊
@josephlorri431
@josephlorri431 3 күн бұрын
Wenje ndiye aliyefanya mawasiliano na hospitali za Nairobi,kuwa tayari kumpokea mgonjwa.. zikakutana ambulance mbili Airport
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 күн бұрын
Lisu limechoka
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 3 күн бұрын
Kwa hiyo Msigwa ndio shujaa wako Mheshimiwa Lissu?Chadema hatutaki atajwetajwe kwenye shughuli za Chadema. Lissu tunakuheshimu ;Baki Chadema,achana na Peter Msigwa au mfuate huyo rafiki yako Msigwa,acha Chadema ikiwa salama.
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 4 күн бұрын
Msigwa apinge Maridhiano na CCM halafu ajiunge na CCM? HUYU Mzee muongo muongo Sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Kwa kauli hizi naona sasa Lissu anataka kukibomoa chama.Naona kama ana nia ovu vile.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 күн бұрын
Hata wewe ondoka Malaya wa kisiasa
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 4 күн бұрын
Lissu anafaa kuwa Rais wa nchi
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 күн бұрын
Labda nchi ya misukule na watz wenye akilì timamu
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 4 күн бұрын
@ndogoroedson199 kubali kataa kwa ss hakuna mwanasiasa nguli na mashughulk km Lissu Tanzania
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
@@johansenerasto5890endelea kuota mpaka utakapoamka
@kibwetere1418
@kibwetere1418 4 күн бұрын
Nani anawashughulikia huko tena!
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 4 күн бұрын
Kwani wa kuwashuhulikia hao ni kina nani wakati wewe makam mwenyekiti na habari ya kumtaja msigwa unazingua mzee, usiichafue Chadema kama unataka kuondoka nenda mfate huyu unayemtaja
@ArbertMhando
@ArbertMhando 4 күн бұрын
Mheshimiwa hoja Yako sijaielewa, kwangu Mimi msigwa s shujaa Kwan ameenda kwa maadui ni msaliti.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 күн бұрын
Huna akili ameendaje kwa maadui? Nan alikuambia siasa ni uadui? Haya mlipomchukua Lowasa mlikuwa ni akina nan? Fikiri kabla ya kuropoka
@hamishmooreesc2151
@hamishmooreesc2151 4 күн бұрын
Huu Ushujaa anaopewa msigwa ni ushujaa wa kufikirisha sana
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
@@ndogoroedson199ndiyo ameenda kwa maadui kwa kuwa CCM ndiyo adui namba wa upinzani.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 күн бұрын
Fisi nyinyi
@hectorgold147
@hectorgold147 4 күн бұрын
heche gombea
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 4 күн бұрын
Naona lisu akiwa mwenye kiti chadema ita nyooka sana lisu nimsema kweli
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 4 күн бұрын
Lakini tunachojua kuhusu msigwa yy alipinga zaidi kushindwa uwenyekiti kwenye maridhiano hatukusikia matamshi yake kabisa. Na sasa amekigeuka kabisa chama anakuwaje shujaa? 6:40
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 4 күн бұрын
We lisu ni mpumbavu sana.
@barryrioba3934
@barryrioba3934 4 күн бұрын
Wewe TEMBA Ndio Mpumbavu Kwasababu Unazani Hii CHADEMA Ni Mali Yenu Nyie WACHAGA.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 күн бұрын
Ni aibu kufikiri kuwa Chama ni mali ya mtu au KABILA fulani!!! Watu wengi wanasumbuliwa Sana na UJINGA huu wa UKABILA ni HATARI SANA!!!
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 3 күн бұрын
Temba tunataka chama kuwe Cha kitaifa,sio Cha kikabila au kidini.miaka 21 inatosha amekididimiza chama
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 күн бұрын
Kwahiyo wewe ni umegombana na mwenyekiti wako.pumbavu wewe
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r 4 күн бұрын
Tunataka wewe uwe mwenyekiti
@ChifuMwakatobe-o8x
@ChifuMwakatobe-o8x 4 күн бұрын
Heche
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 4 күн бұрын
Lissu tumaini la watanzania
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 күн бұрын
Watz misukule kama ninyi anawafaa lakin cyo watz wenye akili!
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 4 күн бұрын
Shda Yako uchawa na upambe
@hamishmooreesc2151
@hamishmooreesc2151 4 күн бұрын
Yaani msigwa alipinga maridhiano na ccm lakini yenye mwenyewe akaona ajiunge na haohao ccm !! What a madness !!!na kuna watu wanaamini hizi mbanga za kugeuzwa geuzwa kama chapati
@1961nungwi
@1961nungwi 4 күн бұрын
Ingekuwa wewe ungefanyaje? Ungekubali upotee jumla? Msigwa alijitafutia sehemu ya kuendelea kuwepo. Na akapokelewa kwa mikono miwili!
@hamishmooreesc2151
@hamishmooreesc2151 4 күн бұрын
Yaani alikataa maridhiano ya uongo kati ya chadema na ccm lakini baadae akafanya maridhiano binafsi kati yake personal na akjiunga nao ccm ambao hawapendi! Mbona hakukiunga na vyama vingine zaidi ya icho!!?
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 4 күн бұрын
@@1961nungwikwahiyo na Lissu atamfuata Msigwa ili aendelee kuwepo? 😅😅😅
@andreakomba1773
@andreakomba1773 2 күн бұрын
​@@hamishmooreesc2151Mfano wewe unasema Hawa watu hawafai halafu unaenda kukubaliana nao katika Hali isiyo ya kawaida ni kwamba Hawa watu siyo wabaya sisi ndo tuna wapa ubaya Kwa hiyo Msigwa kwenda huko hajakosea kaona kumbe Hawa wanapewa ubaya tuu.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 144 М.
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 31 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН