No video

TUNDU LISSU: NINGEKUA RAIS NINGEFANYA HIVI/ VITA CONGO/UGUMU WA MAISHA/ MCHOKOZI URUSI NA UKRAINE

  Рет қаралды 16,495

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#tundulissu #vita

Пікірлер: 23
@leonardkazimoto6339
@leonardkazimoto6339 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri
@ndinnoe2020
@ndinnoe2020 Жыл бұрын
Mzee kaongea vizuli.....❤
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Жыл бұрын
Hoja ya gharama za kuendesha serikali ni ya maana sana. Ugumu wa maisha unasabanishwa na mzigo wanaobebeshwa masikini na serikali haionji ugumu wa maisha. Vita ya Urus na Ukrein hasihusiki kabisa. Ni sababu ya maisha ya anasa ya serikali. Pesa yote wanayo takiwa kuipata wananchi masikini inaingia mifukoni mwa watu wa serikali.
@mwittaebenezer8213
@mwittaebenezer8213 Жыл бұрын
This presenter is composed... Anafaa kuwa BBC huko
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Mwamba uyu apa 🔥🔥
@yusuphbura950
@yusuphbura950 Жыл бұрын
Sasa msimamo wako kuhusu vita vya Ukraine ni upi
@sweetbertkikarugaa8814
@sweetbertkikarugaa8814 Жыл бұрын
Hamna Cha Tani moja,mazao yote yanalipiwa Kodi wakati wa usafirishaji
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Kichwa chake kitawekwa katika national museum ili vizazi vijavyo vijifunze courage na patriotism.
@irenembise6004
@irenembise6004 Жыл бұрын
✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@josephjila957
@josephjila957 Жыл бұрын
Nakuomba 2025 ngombe ubunge achana na uraisi
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa balaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Siyo kweli wewe kwani mungu kwanza wewe unatumwa na mabeberu tuuane kwa faida yako
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Weka hoja zako hapo ubaoni tuone yeye katumwa na mabeberu sawa aya wewe ulietumwa na mbuzi jike tukusikie
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Ukraine haitaharibika ila Urusi atafirisika ndiyo maana amechelewa kushinda na hata shida kirahisi hivo kwani yeye siyo Mungu
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Жыл бұрын
Inatakiwa uelewe toka mwanzo urusi haipigani na ukren tu inapigana na nchi zote za magharibi toka mwanzo ingekuwa ni ukren tu story ingekuwaga ilishasahaurika kwamba kulikuwaga na vita wewe sasa jiulize nchi zote za magharibi kwa nini wamemshindwa mtu mmoja pamoja na kwamba wamemuwekea vikwazo vyote lakini bado wanachanganyikiwa wenyewe
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Prophetjohnmasso wa mchongo ziro kabisa
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Muda utasema,ni mwaka sasa umeisha baada ya uvamizi wa kijeshi je amepata faida gani? Kwa akili zako unadhani yeye hana hasara?anatumia nguvu nyingi na pesa nyingi mwisho wa siku mataifa matajiri watamuunga mkono Ukraine kujenga upya miundo mbinu yake kwa ukisasa zaidi na Urusi atabaki na jauri yake ...anafirisi uchumi wake tyuu
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Urusi kama anao uhalali agombane na wakubwa wenzake ..kwanini aivamie Ukrein na kuua watu hivo Mimi sijapenda msimamo wako
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Jikite kwenye mambo yanayotuhusu nchini, jambo la Urusi na Ukraine ni kubwa mno kwako, jadiri mambo ambayo unauwezo nayo. Tundu kaongea mengi humo, sio vit hiyo tu. Kingine sisi weusi wengi ni wanafiki sana, tunasikitika Wazungu kuvamiana halafu hatusikitiki Rwanda kuivamia Congo mara kwa mara, ujinga mtupu
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Hujielewi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Hapo lisu nakupata Tanzania na sis tuwe upande wa putin tuu
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Point yake, sio kuwa na upande, waongee yaishe
@gbetter4713
@gbetter4713 Жыл бұрын
Huyu baba anauchungu sana na nchi yake na laiti kama angepewa nchi naamn anafanya hata zaidi ya yale tunayoyaona
TUNDU LISSU ATUMA UJUMBE KWA RAIS SAMIA?/ AWATAJA WABAYA WAKE
10:48
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 6 МЛН
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,5 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН