nimecheka kwa sauti , huyu semaji ni nooomaaa sana 😂😂😂😂😂 we love you semaji la dunia
@StephanoAlmas-z6n5 ай бұрын
DAH! Semaji ni Moja tu duniani, AHMED ALLY...Unaongezea sana watu uhai.
@EsmaandreaMakita5 ай бұрын
Acha kuongea aibu wewe
@Swamyhassan_sy5 ай бұрын
Hawa watu nawapenda wotee jamnii wapo vzr na wanaongoza vzr sana ❤❤❤
@catherinecostantino20345 ай бұрын
Nawakubali Sanaa baba na mtoto wake
@EbenezerNassary5 ай бұрын
😂😂😂 ila ahmed ally bhan anyway nafrah san mkiwa pamoj huo ndo mpira 😊
@PaulAmos-vb1is5 ай бұрын
Hawa jamaa ni washikaji vibaya mnoo❤
@Heri-k3v5 ай бұрын
Daaah nimecheka watani hawa ni hatari ila Ahmed Ally duuuh kila nikimskiliza nafurahi
@GodfreyMhando-gn7ok5 ай бұрын
Brother mm najuwa sanaaa hongera sanaaa brother
@RajabuRamadhan-cy4cj5 ай бұрын
Nawapenda sana wasemaji wetu ashamed aliy na aliy kamwe❤
@kefangendwa33365 ай бұрын
Ahmed ally ni hatar sanaaa🎉🎉🎉😂😂
@KakeSimba5 ай бұрын
Hii nimeipendasanaaaa
@pascalvitalis5 ай бұрын
Wasomi wakiwa wamekutana... Ahmed Ally 🎉🎉🎉
@BeatriceSamwel-t1m5 ай бұрын
Ahmed ali atari sana 😂😂😂😂😂😂ubaya ubwela🎉🎉
@AbdulMartial5 ай бұрын
😂😂😂😂duuuh mbn nyie mlimvisha kinyago
@AndrewLikiti-yb2ws5 ай бұрын
Ila Ahamed Ally uko vizuri unampa uzoefu.
@fettyabuu26445 ай бұрын
Mpira ni furaha sio uhadui. Safi sanaaa
@Africa_Yao5 ай бұрын
Ali kamwe anafurahi sana Ahmed ally akiongea ndo ujue thamani ya mtu Ni watu
@JosephSongolo-lb9fr5 ай бұрын
Hadi Raha me nimeipenda sana hii watani hasa Hawa wanajua utani ni Nini.😂😂
@OmaryAthuman-jt2fc5 ай бұрын
Nimeipenda sana hii semaji langu❤❤❤
@IssackJackson5 ай бұрын
Ahamed ally hatariiiiii sana
@RAMADHANAllykibanga5 ай бұрын
😂❤Ahmed ninoma
@chrisjulius43105 ай бұрын
Apo mzungu roho inamuhuma😅😅😅
@adeliusvedasto72145 ай бұрын
Nimependa hii. Mpira si uadui.
@godwinrurio90605 ай бұрын
Hii ndo maana ya utani wa jadi.
@juliaskasiaka5 ай бұрын
Hawa majamaaaa wawili asee nimewapenda sana bureeeee2
@IsmailMrisho-v1n5 ай бұрын
ila Ahmedy Ally.....😂😂😂
@stevenkomba46215 ай бұрын
Daaah laha tupu yan😂😂😂😂😂
@aminahhuawei11335 ай бұрын
Semaji kama semaji la caf ila nyny mnavituko sanaa nambajuwa kutuchekeshaa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@malitozzy35385 ай бұрын
Ali Kwa Ali mnatuchekesha sanaaa😂😂😂😂😂
@JosephAlex-pm7rp5 ай бұрын
Hahahahahahaa ila jmn daaa mnavituko nimewapenda buree
@SalmahMwagunda5 ай бұрын
huu ndio utani sio haji manyara
@abdallahakida79085 ай бұрын
Mkiwa huvi mnakua kama ndugu huu ndio kuleta mpira wa tz pamoja sio kilasiku kupakana kuweni kama wasemaji wa club kubwa acheni utoto
@sandalakabalo54425 ай бұрын
Ahmedy ally bhana
@NtamamiloGibson5 ай бұрын
Ila Ahmed Ally anajua kuchekesha kweli jama ni comedy haswa.
@evaristvenant5 ай бұрын
Nimerudia karibu mara 10 yaani LEONARDO AJIPANGE😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody56185 ай бұрын
😂😂😂😂nawakubali sana hawa watu
@michaelnsingija5 ай бұрын
daa mnafulahisha sana
@ranman49105 ай бұрын
Ahmed Ally 😂😂😂😂😂😂
@JosephLamau-yq1lx5 ай бұрын
Wawoo hii safi Sana semaji la cafu na semaji utopolo Simba na Yanga yeeee
@Fatuma-z9u5 ай бұрын
Ila Ahmed Ally 😂😂😂😂😂
@IsihakaAlly-fj4qo5 ай бұрын
Kuna kipindi alipandikiza chuki kwa mashabiki wa Simba na Yanga mpaka ikawa wanapigana uwanjani ila hawa jamaa wanachokifanya watataniana watachekana na maisha yataendelea
@mahmoudhamisi6735 ай бұрын
Hahahaha unaruhusiwa kuchekesha😂😂😂
@denizamwanisawa62305 ай бұрын
Safi sana vigurunyembe mnaanza kuchongaa.
@AbdulkarimKigarawa5 ай бұрын
Dah alikwame tembelea upepo wa ahmed ally ilo likowaz
@ranman49105 ай бұрын
Aki na ukwa😂😂😂😂
@omarybakunda25545 ай бұрын
Ahmed Aliii
@reymahandrew25645 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zanguuuuu uwiiiiii
@Green_255_Enock5 ай бұрын
Hawa jamaa wanatoa laha sanaaa
@AminaMagunda-lv4sn5 ай бұрын
Ahmedy ❤❤❤
@thehustlerafrica5 ай бұрын
Ahmed Aly 😂😂😂
@TitoSarwat5 ай бұрын
Nakuelewa Ahmed Ali
@ZablonjaphetAsulwisye5 ай бұрын
Nawapenda wote wanafulaisha sanaaaa
@NeemaMushi-wj1zn5 ай бұрын
Ahmed ali 😂😂😂
@juliaskasiaka5 ай бұрын
😂😂😂😂 bhana mbavu mpaka sinaniuma asee
@brunonkelemi26375 ай бұрын
Safi sana ma afisa wetu
@rasheedseleman97795 ай бұрын
Mbn Ahmed ally atujamskia ????atununuiiiii
@eggysulle79885 ай бұрын
😂😂😂 kwenye nyongeza😂😂😂
@emanuelleopod39495 ай бұрын
Tafsiri halisi ya Utani 😂😂 hata mashabiki tungekua namna hii ingekua poa sana
@beyondmediatz16075 ай бұрын
Ahmed awamuwezi
@mahmoudhamisi6735 ай бұрын
Yani hawa wakizeeka wakianzisha comedy wanatoboa kabisaa
@godlistenclaud12055 ай бұрын
Ahmed ally😂😂😂
@josephmathayo51395 ай бұрын
Hawa Vijana wako vizuri. Usemaji wa Vilabu si Vita na hapo mnadhihirisha kuwa utani wa Jadi Simba na Yanga ni vita ya maneno Kwa Muda mfupi. baada ya hapo maisha yanaendelea.
@IddyMawenge5 ай бұрын
Yaani hawa ndy watani wa jadi halisi siyo yule nguruwe pori cha matusi
@AlfaniMichael5 ай бұрын
Mjinga yule Hana utani wa kweli kwanza yule wap na wap na utani
@ChingaPambakalii5 ай бұрын
Yule zeluzelu anaupungufu wa akili awa ndo wasemaji
@ELVASMBOGO5 ай бұрын
Bodi ya ligi wawapige faini tumlipie Ahmed Ally
@AbdallahMapila5 ай бұрын
Ahmed ally ni comedy
@MafundaSaid-r8p5 ай бұрын
Yaani kama umenuna utacheka Kwa Ahmed Ali kongole semaji la CAF
@Jerie-q1c5 ай бұрын
Jamaa wamenichekesha sanaa. Mafundi sanaaa
@WilsonBonface5 ай бұрын
Ila tunaomba sana viongozi tunakaa roho juu kwa aya madeni ila Ahmed kituko sana jamaa
@haidarywenge36075 ай бұрын
Inapendeza😅
@DAVID-wp4vc5 ай бұрын
Nimecheka sana😅
@kaizachief49125 ай бұрын
😂😂😂Ndugu kabsa hawa
@israelkiobya87025 ай бұрын
Tunaitaji kucheka. Maisha ni furaha
@SamsonKarungubale-dh4so5 ай бұрын
Sawa bwana
@barakamfilinge69435 ай бұрын
Kibwaga udugu hapa asingeweza
@halidimgonza59455 ай бұрын
Ahmed Ali mmoja ni sw na Ali komwe saba 7 wa UTOPOLO 😂😂😂
@robertzamani56125 ай бұрын
Huyo ni komediani bhana usimfananishe na ally Kamwe
@robertzamani56125 ай бұрын
Huyo ni komediani bhana usimfananishe na ally Kamwe
@chusseboywcb28085 ай бұрын
Huo ndio mpila sasa sio chuki Hawa wasemaji wanapendeza sio Manara nachuki zake
@yustinndu-gt8hr5 ай бұрын
Yyaaan imenis tyu Ali kamwe a cheke mana semaji la caf liko kazin
@mckobatz58615 ай бұрын
😂😂😂 hawa jamaa burudani sana
@IMANIMWAITEGE-ve8gr5 ай бұрын
Nimefurahi nyinyi mkiwa pamoja.
@SamwelJulius-e7k5 ай бұрын
Ila yanga kila mwezi lazima washtakiwe na FIFA
@EsmaandreaMakita5 ай бұрын
Wanaujua utan hapo tumemkosa ibwe t
@naimasbuguza23955 ай бұрын
Hawa jamaa ni marafiki na wanapendana sannah
@IMANIMWAITEGE-ve8gr5 ай бұрын
Ali kamwe na semaji la CAF mnatuvunja mbavu
@nathanjulius53125 ай бұрын
Tumechekeshwa na tumejua kabila lake ... Kumbe mpare wa same
@Lulaboytz5 ай бұрын
Asante sana
@majaliwahamisi88985 ай бұрын
Duuuuu
@shukranitv29715 ай бұрын
Hawa watu. Akili mingi sna
@MadarakaNyenza5 ай бұрын
Ahmed Tisha mbaya
@johanesdeogratias51065 ай бұрын
putty IPO Sawa lakini card zao zinagoma kuingia ndio maana tumeach kuzinunua
@YovitaHilalChilemba-xe4cg5 ай бұрын
Mko vzr ivyo ndo inatakiwa sio yule bwana matus
@enoshmhemakapaya5 ай бұрын
Ukijichanganya kwa Ahmed ali umeishaaaa kwakwel
@JofrayMahenge5 ай бұрын
Ahamed ally yeye ni suuti kuwa nazifu Ila Alli kamwe ni miwani na tisheti inamana suti hazioni
@AzariaKajiru-eh3se5 ай бұрын
Hawa jamaa wapo sawa
@ALLYSAIDI-jl6dn5 ай бұрын
😅😅
@ranman49105 ай бұрын
Mwijaku na baba levo
@RodenMgata5 ай бұрын
😂😂😂😂😂🌹🌹🌹
@ChingaPambakalii5 ай бұрын
Unaluhusiwa kuchekesha
@MADINAKITEMO5 ай бұрын
Ahmedi Ally nimekuvulia kofia
@YohanaMwakaje5 ай бұрын
Nhuruwe mbona siioni
@flova70225 ай бұрын
Ila hawa ndugu mmanara awaache tu...
@beyondmediatz16075 ай бұрын
Kabisa manara miaka aliyokaa nje ya mpira kapotea hawezi kuendana na upepo huu