Naitwa MOHA (abdulhaq Osman) nakutazama nikiwa Eastleigh (isiri) Kenya Nairobi mungu akubariki bwana pastor ndacha
@YusuphLyanga-e8j4 ай бұрын
Tujitahidii kuwachangiaa hawa watumishi waendelee kueneza injili hii ya kwelii✊️✊️✊️✊️
@petermgonja85474 ай бұрын
Ndacha, polen Sana, kwa kazi ya mungu. Pangeni kuja hata Arusha . Waislamu watulizwe mioyo yao.
@DicksonRwechungur4 ай бұрын
Nawapenda sana kwa jinsi mnavyo fundisha injili Barikiwen sana na Bwana
@franquefrank59514 ай бұрын
Your gift from God is very special. I know no one else so far who has memorized the Bible, Quran and other religious books like you. Not only memorizing but also the manner in which you teach and elaborate your points is spectacular. May GOD strengthen you more both physically and spiritually to continue implementing that your unique talent and gift.
@margaretmargaret57444 ай бұрын
The young 🧒 man 👨 is talented naturally But most people don't appreciate such talents
@AidanoSilvestreSabiniSabini4 ай бұрын
Pastor Ndacha, mimi nataka kubatisua na wewe,ila mimi niko mbali sana. Mozamique. Nakupenda sana.
@Mamantontine4 ай бұрын
Nakutazama nikiwa congo.ambia watu ukweli hizi nisiku zamwisho.chapa kazi mtumishi wa Mungu
@JumaBudoya4 ай бұрын
Mungu akubariki kalibu simiyu na nuru ya mungu itang,aaa
@thepresenttruthlastdayeven36054 ай бұрын
Kama itawezekana mfike na Katoro Geita kwa mihadhara huku kuna trinitarians wengi sana na watu wanazidi kudanganywa sana,pia kuna misikiti mingi huku inahitaji ubatizo mjoli,Kama itapendeza Mungu ajalie iwe hvyo wajoli
@sakaniamos4 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi mweza BWANA ANAKUPENDA SANA,,,,,,NE❤EMA NA AMANI PAMOJA NA UPENDO WAKE KRISTO IWE PAMOJA NAWR❤
@JaneKyusa-xy9xz4 ай бұрын
Roho wa mungu aendelee kuwa juu yenu wajoli tutazid kuwaombea na kuchangia kwa moyo mungu atusaidie
@EVERYDAYADVENTISTS4 ай бұрын
Amani na barska za MUNGU muumba na Yesu mwana wa MUNGU ziwe name pia
@njeriwanyoike25324 ай бұрын
Pia vile vile mpange mdahalo hapa kenya na wahubiri wakenya wamepoteza watu wengi
@thepresenttruthlastdayeven36054 ай бұрын
Amina mtumishi ni wakati wa kupunguza Mali zetu zitumike kwa kazi ya Mungu maana mda si mrefu wenye nazo watabeba chao
@DAVIDMAGHANGA4 ай бұрын
Asante saaana
@MercylineGetuma4 ай бұрын
Amen Mtumishi Mungu awabariki we will continue to support injili ya Bwana ya ukwel
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl4 ай бұрын
Nakupenda sana mwalim
@githinjiwakimiri58144 ай бұрын
Mungu azidi kuwatia nguvu na uwezo zaidi katika wajibu huo wa kueneza injiri njema ya Yesu kristo
@RestutaLucas-p7e4 ай бұрын
Mfike Kigoma watumishi
@herikipengele83214 ай бұрын
Karibu tujifunze pamoja pia katka Kanisa la Kristo ili Mungu aendelee kutukuzwa.
@SafariShangalume4 ай бұрын
Mungu awa tiye nguvu
@KisaBwivuge4 ай бұрын
Mwalimu Mungu akutie nguvu mwalimu
@DavidMatata4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Lord Jesus 🙏.
@simonmhagama-vl7cb4 ай бұрын
habari njema ya ufalme wa MUNGU zivumekote
@charlesisaboke16434 ай бұрын
Shuka kilifi Kenya
@Andaybuidingworks4 ай бұрын
Pia jakaranda wabatizwe wasidanganyike
@AnithaMuvurwaneza4 ай бұрын
Mungu Abawezeshe hakika hatujakuwa nakazi tunapenda kazi munayotumika
@benadethajohn26964 ай бұрын
mungu akusimamie sana
@alzawahirabdallah22994 ай бұрын
Mungu alishasema atawawekea uwadui baina yenu wenyewe kwa wenyewe
@fauwilliam67804 ай бұрын
Kazi mnayoifanya ni kubwa sana na mko vizuri kuelimisha ila watu ni wagumu kuelewa wanapenda ushindani tuu
@HellenaMky4 ай бұрын
Amiina mtumishi
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@YusuphLyanga-e8j4 ай бұрын
NATAMANI SANAA MFIKE SANA NILIPO JAMANI,,,MAANA IMANI IMANI NILOYONAYO SASA HAIPATIKANI KWA MAKANISA,,,SA NAKOSA NIENDE WAPI,,NABAKI KUSIKILIZAA VIDEO ZENU TU
@mjombawallace49664 ай бұрын
Unafanya kazi mzuri mtu wangu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Ndacha mungu akupe ujasili mwingi mno
@MarthaJoy-lx2qk4 ай бұрын
Asante sana mtu mwisho piya na wachungaji wote ambao muna saidiya kwakazi ngumu hihiyi
@michaelsyuma38604 ай бұрын
Amen
@furahag30984 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Andaybuidingworks4 ай бұрын
Update jakaranda mlipata kiwanja
@romankasangu46264 ай бұрын
Johana alisema vizuri yeye anabatiza watu kwa maji lakini Kuna mwenye anakuja ambaye niyesu ata yoana mwenyewe cannot untie his shoe lens wewe gatiba unafuata yesu ama ni yohana
@charlesmakuri7924 ай бұрын
Ninapenda mapambano na uislamu tunaona hata huko Uk hali ilivyo
Kwa nini uwaguse waisilamu kwanza? Tatizo ya Ndacha na wakristo ni kuwa hamna kitu cha kuhubiri bila kutaja waisilamu. Kwa hakika dini ya haki na ukweli ni Uisilamu. Mnajaribu kuichafua Uisilamu lakini ukweli iko wazi, na watu wengi wanasilimu kila siku duniani kote, Alhamdulillah.
@otaibonny88354 ай бұрын
@@ibruzah001 kabla ya kupayuka waambie sule na mazinge akina shafy wawache kuchambua biblia. Dini yenu iko na itilafu mengi ni nzuri waondoe watu katika Hiyo Giza
@KenedyDesigner4 ай бұрын
Mbona nyinyi mnawagusa wakristu ili mtu asilimu mnamdanganya yesu ni mwislamu. Na pia ndacha waga hasemi vitu kwa akili zake anasomaga vitabu vyenu Juzi Sule kasema ukweli mmemshambulia
@khammadjeffa5154 ай бұрын
MUNGU ni baba yenh yesu ni bwana yenu!!!!!!! Confused fellows
@romankasangu46264 ай бұрын
Roho mtakatifu ndio ubatiza watu kulingana na yesu si maji johana maji yesu roho mtakatifu je unafuata. Yesu ama nijohana?
@basilejuma4 ай бұрын
Wasoma bibilia kweli?
@johngikiru54004 ай бұрын
Na wewe pia
@abdillahmchia85574 ай бұрын
Ndacha nothing
@young_brother274 ай бұрын
Sio ‘BUJU E’, ni ‘BUNJU A’
@QweAsd-ry7tb4 ай бұрын
Preaching should be done on the streets not booking halls.
@martoo5394 ай бұрын
What about weather patterns Saa ZINGINE tumiaga Akili
@dvjkelly84494 ай бұрын
tanzania zilikatazwagwa hizi, ndio maana huonagi mihadhara tena tz, ko kibali cha sasa kwa tanzania ni kufanyia mihadhara yenu kwenye hall, na makumbi, make huko watu hawawezi kuleta fujo
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha
@SamsonAmos-ly6ml4 ай бұрын
Ukweli unauma dawa yako ni chungu lakini inaponesha