Palipo na Utukufu ni pale pasipodai UKAMILIFU.Kujitukuza ukamilifu ni anguko la wanadamu. MAWAZO si kamilifu kwa uwezo wa wanadamu. Umbali ndiyo Ubora katika maisha.Thamani ya chochote ni KIASI. Tusihukumu watu. Mahubiri ya kweli ni yale yasiyolenga matendo ya watu na uhusika watu katika mapito yao ya maisha bali hulenga mapenzi ya MUUMBA. kuwaokoa,kuwapa uzima. Chochote kinachoendana na muda ni mapito tu. Muhimu ni kuvipa thamani vyenye udhaifu. Anayetambuwa kasoro ana uwezo wa kuweka sawa mambo. ❤❤🎉🎉Asante Chomoza pongezi kwenu nyote. Nimejifunza.
@KadTheGenesis3 күн бұрын
Nilichanganyikiwa nusu kuwa mwehu ni mafundisho haya ndio yalinichomoa kwenye changamoto hiyo mungu awabariki sana
@simpozeboy94902 күн бұрын
Kivip yalikusaidia kaka? Adi kupona
@AgnessPetro-y3x2 күн бұрын
@@simpozeboy9490 inategemea na hali Yako na utayari wako wakuwa mwanafunzi mnyenyekevu, magonjwa mengi ya kiakili ameyazungumzia na kutolea majibu
@KadTheGenesis2 күн бұрын
@@simpozeboy9490 siwezi kusema ni kivipi hila ile kuwa mfatiliaji wa haya masomo toka akili sehemu 1 hadi sasa hili la mawazo limenifanya kuwa na uwanja mpana kimaamuzi
@KadTheGenesis2 күн бұрын
@@simpozeboy9490 siwezi kusema ni kwa namna gani lakini nahisi ile kuwa mfatiliaji wa mafundisho haya tangu akili sehemu 1 hadi leo imenipa uwanja mpana kimaamuzi
@KadTheGenesisКүн бұрын
@@simpozeboy9490 siwezi kueleza ni kwa namna gani lakini ile kufatilia tangu masomo ya akili sehem ya kwanza hadi muendelezo huu wa masomo ya mawazo imenipa uwanda mpana wa kutatua changamoto nilizokuwa nazo
@zakazakazi-fn6zy3 күн бұрын
Chomoza Mungu awabariki sana nyinyi. Ni zaidi ya mwangaza
@ShabaniAdamu-j5s2 күн бұрын
Mungu awabariki sana chomoza mnazidi kutu elimisha
@officialsaitoti4923 күн бұрын
Very powerful session, thank u team Chomoza
@egidekalume10853 күн бұрын
Merci infinement d'édifier nos âmes et toute l'équipe est complète, je suis bénis par votre trilogie
@kelvintety3 күн бұрын
The visualisation and affirimatiom Siku moja Dr utufunilie kuhusu hilo