UBINGWA WA QUR'AN KATIKA BIOLOGY | WAJUWE WANYAMA NA WADUDU WENYE JINSIYA MBILI

  Рет қаралды 14,124

Adil TV

Adil TV

11 ай бұрын

#AdilTV #shksuleimanbinabbas
• UBINGWA WA QUR'AN KATI...

Пікірлер: 45
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 8 күн бұрын
Usi tangulize viumbe na wadudu kabla ya kuruani kushushwa kuraani ni maneno ya mungu na mungu ndie alien tangulia
@maiyaaliesry6192
@maiyaaliesry6192 11 ай бұрын
Sina budi kukupongeza kwa haya unyotuelimisha . ALF MABRUK. TUMEJIFUNZA MENGI KUTOKANA NA UNAYOTUELEZA. ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA AKUPE KHERI, BARKA NA MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO. AMIN.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
Mashallah Uislam Dini Shukrani Shekhe wetu.
@rajabuomari2694
@rajabuomari2694 11 ай бұрын
Mashallaa
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 11 ай бұрын
Wewe ndio mjinga..namba1.sababu Huelewi ungekua mjanja.ungejua mwañzo azao.wa.yesu kunanini.ndani.bibiayako.hujuikitu wewe Asante.shekhe.mashallah
@kingdullah7843
@kingdullah7843 11 ай бұрын
mmh
@ntakirutimanavicent-lj2tn
@ntakirutimanavicent-lj2tn 10 ай бұрын
From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 haya shk anayoyasema siwezikuyakubali Wala kuyakataa kwasababu chula kunamida tunawaona wakiwa wamepandana kwakono kono pia siwezi kukubali kwamba hawana dume wala jike sikubali kwamujibu wa Quran inasema Allah aliumba kila viumbe 2 jike na dume kwahio Mimi kiupande wangu kono kono lazma kuna dume na jike kulingana na Quran inavosema kwamba kila viumbe aliumba 2
@user-ht8po7un8p
@user-ht8po7un8p Ай бұрын
Auja elewa soma na usikilize vizuri amesha kueleza iyo haya inayo sema ameumba viwili haibadiliki ipo pale pale kw sababu hata uyo kono kono jike ugeuka dume na dume ugeuka jike akiwai mwenzie na kuhusu chula pale unapo muona dume ame mgandia jike ujue jike pale yupo ktk kutaga na chula utaga siku 3 kwaiyo yai likitoka na dume utoa umaji maji fatilia elimu kua makini
@zitoncombo1317
@zitoncombo1317 10 ай бұрын
Mashallah Tabarakallah.
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 11 ай бұрын
Asante.shekhe mungu akupe Maisha.marefu
@user-xw9xh8nq7b
@user-xw9xh8nq7b 11 ай бұрын
Shukrani
@matukutajuma156
@matukutajuma156 11 ай бұрын
Kazak llah kheri
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 11 ай бұрын
Allah akbar ❤
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 11 ай бұрын
AllahuAkbar 🥰
@katore1982
@katore1982 11 ай бұрын
Allahu Akbar!
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 3 ай бұрын
Vyura vinapandiana mzeh nimesha onakabisa churakina pandia mwenzie apa south Africa nimesha ona sio maramoja ao marapili nimeona
@user-ht8po7un8p
@user-ht8po7un8p Ай бұрын
Apandi uyo chura uwa ana mpanda jike wakati juke ana taka kutaga kwaiyo akitaga ndio dume umwaga maji yake ukaa pale mgingini siku 3: hapo iyo elimu alafu uyo shekh sio shekh ni docta uyo kasoma amestaafu ni mwana sayansi aropoki tu
@alifakimati9614
@alifakimati9614 11 ай бұрын
Sheikh mbona kipindi cha mvua kwenye madimbwi utayaona mavyura tele yakipandiana.
@shadidumabote9262
@shadidumabote9262 10 ай бұрын
Pia hao vyura wanafanana kujamiana na kono kono
@MohamedKatanga-db4dd
@MohamedKatanga-db4dd 11 ай бұрын
Ndug sikiliza vzuri, akisema mzungu ulikuanyan unakubali alafu unasema umesoma,hai wasomi wako wanamjua!
@shabanizayumba5432
@shabanizayumba5432 11 ай бұрын
Kuran ni kitabu sahihi kwa madaktari kukisoma ili kuongeza maalifa zaidi
@martinmkoba361
@martinmkoba361 11 ай бұрын
Husiwe bogasi nawewe Quran inaelezea vitu ambavyo imevikuta sio ya kwamba yenyewe ndio imetabili😢😢😢
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 10 ай бұрын
​@@martinmkoba361ok Quran 3:19 hii nayo unasemaje? Imeikopi wapi?? Acha uboga na uzuzu ww. Quran ilikuwa na wajibu wa kutueleza hata yaliyopita haijalishi yalitajwa na vitabu vilotangulia Kwa sababu nasi tuna haki ya kuyajuwa na ili tupate mazingatio. Kwa mfano kisa Cha MUSSA na Firauni. Asa utaizuwiaje Qur'an kuelezea visa hivyo Kwa hoja eti itakuwA imeiga vitabu vilotangulia, halaf ulivyokuwa zuzu hujui kuwa aliyeiteremsha Qur'an NDIYE huyohuyo aliyateremsha hivyo vitabu vilotangulia, wewe unampangia kuwa kwenye kitabu hiki asisimulie hizo khabari wakati zote ni ZAKE!!!! Ok haya kasome na hii hapa sura ya 3 Aal imraan Aya ya 37 Allah anaonyesha ya kuwa Mariam mama yake na Yesu alikuwa ni mtu mchamungu na alikuwa akila vyakula kutoka peponi. Hii ni Quran inayasema haya. Sasa njoo utuonyeshe maneno haya Quran imeyakopi wapi??? Nyinyi mnadanganywa danganywa na hao viongozi wenu waongo waongo. Qur'an Ina mambo mengi ambayo huyapatikani hata ktk vitabu hivyo mnavyodai imekopi ikiwemo hata hayo aloyasema shekh hapo wapi umeyaona ktk vitabu vyenu. Acheni uzwazwa I proud to be a Muslem. Thnx Allah.
@bellasi349
@bellasi349 11 ай бұрын
Acha ujinga we muzee n'a njaa zako eti ubingwa wa quran kwani wadudu n'a quran kipi kilianza sasa si quran anasema wadudu wenye imekuta wanaishi we twambie kwanini Muhammad alikuwa analala n'a wakeze wakiwa kwenye siku zao
@sullaymanchande632
@sullaymanchande632 11 ай бұрын
Kwani we inakuuma? Unaisikiliza ili iweje? Hayo wameambiwa waislam haya nawewe umefata nn kwa waislam? Ukiweka chuki mbele hutoweza kujifunza .
@user-tt6xh1tr5j
@user-tt6xh1tr5j 10 ай бұрын
Ww kuna alie kuita hapa?
@hamisself6820
@hamisself6820 10 ай бұрын
Aky we nawe nikama akili huna before utoe comment elewa kwanza mada sasa tuambie wapi kwa Bible imeaaleza ivyo vtu
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 10 ай бұрын
Chizi hilo
@sophiangwaju
@sophiangwaju 3 ай бұрын
Kaka Kuna tofauti ya kulala na kufanya mapenzi u hv 2 understand that.
@bellasi349
@bellasi349 11 ай бұрын
Ndo maana mi nasema ga nyie ni wajinga ungeanza kutwzmbia kwamba hao wadudu au viumbe quran n'a wao ni kipi kilianza n'a kabala ya quran hao viumbe hasa uyo unaemsema alikuwa n'a jinsia ngapi na quran ikaja wakawa n'a jinsia ngapi kwa ufup quran imesema yale yaliyokuwepo tokea zamani kabla ya iyo quran kwaiyo quran imekopi
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
@bellasi mjinga ni wewe unae chamba na makaratasi Fala wewe.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
@bellasi huna adabu kabisa!! Wewe una ujanja gani kwa mfano ? Bilbia yako ina kufundisha nini ? Au una fwata wazungu ( wanasayansi ) walio waambia muowane jinsia moja ? Kwa hiyo wana sayansi wana akili kushindana Mwenyezi Mungu alie waumba? Mtumwa wa fikra kabisa.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
@ bellasi nyie ndio watumwa wa fikra kila anacho sema mzungu mna tiii badala ya kumtii Mwenyezi Mungu. Wazembe wakubwa nyie .
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
@bellasi mjinga ni wewe unae amini Binadamu alikuwa nyani baadae akawa Binadamu. Mkachonga na masanamu alafu mnayaabudu je kuna ujinga kama huo? Kinyago ukichonge mwenyewe alafu uki ite Mungu na mama ake.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 11 ай бұрын
Ukishindana na mjinga na ukishindana na mwenye elimu, basi ukimshinda mjinga inatakiwa ushangilie, kwanini kwa sababu mjinga siku zote anajiona anajua kwaiyo utakavyomuelewesha vyovyote atakuona hujui sasa mjinga mmoja ni wewe bellasi yaani wewe mjinga kisha hujitambui kuwa ni mjinga
@bellasi349
@bellasi349 11 ай бұрын
We akiri huna uzee umekutawala umepoteza mwelekeo kwan kabla ya Muhammad walikuwa wanapandana vipi siutwambiye wadanganye wajinga wenzako
@rodgerssimaku9717
@rodgerssimaku9717 10 ай бұрын
🙄🙄🙄
@shabbymakapane
@shabbymakapane 10 ай бұрын
MUHAMMAD Amefanya nini Sasa ?
Sheikh Hassan Ahmed - Kisa cha wanandoa
1:57
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 60
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 62 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 19 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,9 МЛН
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
KILA ALICHOKUWA NACH OMWANAMKE - SHK BIN ABBAS
1:33:50
A5 Online Tv
Рет қаралды 5 М.
MAKAFIRI NI WABAYA KULIKO MAJAMBAZI SURAT BAYNA SHEIKH MSELEM
1:02:16
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 62 МЛН