USTADHI KONDOBUNGO APINGA KUTUMIA PETE NA MAJINI KUVUTA UTAJIRI KAMA DR SULLE, AMKUBALI UST. SHAFII

  Рет қаралды 3,435

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

9 күн бұрын

TUMEPATA WASAA WA KUONGEA NA USTADH KONDOBUNGO KUHUSIANA NA MATUMIZI YA PETE NA MAJINI KATIKA UISLAMU NA KUPINGA KWA MUJIBU WA MTUME

Пікірлер: 40
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 күн бұрын
Mashalah mashalah mashalah tunajifunza
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 4 күн бұрын
Uislamu haumrazishi mtu ila kwa hiyari yake mwenyewe. Uislamu ameushika Mwenyezi Mungu mwenyewe, akishirikuana na wanaoutaka uislamu., na anaye uchafua uiskamu ni sawa anajichafua yeye mwenyewe, uislamu wenyewe upo safi.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 5 күн бұрын
Sheikh ni wa kwanza katika masheikh ambayye anampwekesha Mwenyezi Mungu katika ufalme na uweza wake Mwenyezi Mungu. Na ndio nilipata kummwambia Dr. Sule kuwa unapotosha imani za watu ole usipojieousha utasujudu kuzimu. Huko kuna UJI WA CHUMA. Nikasema hakuna jinni mwema kwa mwanadamu.
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 6 күн бұрын
Tunataka watu wa eliminate kama hii anaweka kilakitu hatharani kuelewesha watu, ameogea kama watu mia na Mia , Asante nauendelee Mutugi fish’s zaidi kwawale hawaelewi waelewi zaidi
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 6 күн бұрын
Ukosawa kabisa ustadh uNaeleweka
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Күн бұрын
Kwenye hii video amechemka upande wa Pete mara anakataa kuhusu pete kuwa na nguvu lakini muda huwo huwo anakubali kwamba wachawi na freemason wanapete za kishirikina hapo maana yake Pete yenye nguvu zipo bila kujali za kishirikina au sio za kishirikina ila zipo kukubali au kukataa ni utashi wa mtu binafsi. Pete ikipata mtaalam anayeweza kuifanya mambo na ikatenda miujiza, swala inafaa au haifai ni swala lingine. DR SULE yupo mbele ya muda amewazidi maarifa upande wa elimu hii ya pete na majini
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 күн бұрын
Uyo mtangazaji maswali yake yakujiludia ludia muda wote na haelew
@keidykudrat2533
@keidykudrat2533 7 күн бұрын
Dr sule kazimguwa
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 6 күн бұрын
Allah akibaru Dr sulle ni nja tu
@user-oh1cy6iv2r
@user-oh1cy6iv2r 6 күн бұрын
100%
@user-fu3cg3gv9g
@user-fu3cg3gv9g 7 күн бұрын
Bas itabidi mkubaliane kama pete ni uchawi mchawi wa kwanza suleman
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 күн бұрын
Suleman mwarabu ndiyo alikuwa na mapete ya kichawi lakini suleman mwana wa David myahudi hakuwa na upumbavu huo
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 7 күн бұрын
Darsa imenyooka sana...
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 7 күн бұрын
ME NI MKRISTO NA NIMEKUELEWA VIZURI SANA NA UMEONGEA SAHIHI. Mwenye anaetumia majini ndio lazima akupinge na asikuelewe. Ila tunawaelewa WANAKAZAVICHWA KUMKUBALI MUNGU.😅
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 7 күн бұрын
Me ni mkristo mkatoliki ila huyu shekhe ameongea vizuri sana. Sule anapotosha UISLAM unakua uchawi.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 7 күн бұрын
Wewe mkristo unatetea Nini kuhusu uislamu wakati majini ni ndungu zao mashetani mapepo wachafu mkristo autakiwi kuwatetea majini ju ya mwanadamu Yesu aliamlisha kuyafukuza mapepo wachafu majini
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 күн бұрын
Wewe ni mpinga kristo maana hakuna mkristo wa hivyo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 6 күн бұрын
@@FridayMwassa mpinga kristo ni yoyote anayeamini Kuwa Kuna majini wazuri mapepo wachafu wakati Yesu alituambia tuwafukuze mapepo wachafu majini Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 6 күн бұрын
@@FridayMwassa wewe mkristo Gani mpenda mapepo wachafu majini wewe hao unaowatetea wanakupinga Kuwa Yesu Sio mwana WA Mungu na hakufa hachana nao
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 6 күн бұрын
@@FridayMwassa Hoja ipi inapingana na ukristo kaongea au sababu ni muislam sitakiwi kumuunga mkono? Me naona yupo sawa juu ya majini . Hakuna jini anaepaswa kuabudiwa. Ni uchawi. Me naamini kutakua na waislam safi tu hawaamini kama sule.
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 7 күн бұрын
Majini siyo wakushirikiyana nao, maana adhabu ya Moto imeshatolewa kwao, hakuna msamaha tena kwamajini. Nikama mwizi ukishirikiana naye na wewe ni mwizi
@msemakweli243
@msemakweli243 7 күн бұрын
Huyu sheh amejitahidi kueleza lakn bado ukweli anauficha
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 6 күн бұрын
We inaonekan ni mjinga na km sio shoga wew sijui
@msemakweli243
@msemakweli243 6 күн бұрын
@@ramadhanimandoa716 upo sahihi kwa ulichofikili, njia ya mpumbavu ni safi kwa macho na moyo wake mwenyewe kama wewe
@kdloon2030
@kdloon2030 5 күн бұрын
Sheikh kamaliza,ila wewe uelewa wako ndiyo mdogo!Kama huna bando za mawazo,tazama tena utang'amua wapi ume miss
@RashidiMwanongo
@RashidiMwanongo 7 күн бұрын
Huyu bado hajielewi anatafuta umarufu
@saidisaidi4502
@saidisaidi4502 7 күн бұрын
Yah wewe inaonyesha ujielewi huyu sheikh kondo ni sheikh mkubwa maarufu Hao kina sulle waulize wakufahamishe
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 7 күн бұрын
We utakua unamajini ndio lazima umpinge😂😂😂 Hahiitaji D mbili kukuelewa mtu kama wewe.
@user13375
@user13375 6 күн бұрын
Waislam mnatupigia kelele tu, mtume aliwasilimisha wakawa waislam ndugu zenu😮😮😮
@kdloon2030
@kdloon2030 5 күн бұрын
@@RashidiMwanongo wewe na yeye nani maarufu hasa,au ndiyo mara yako ya kwanza kumuona!Mtoto mdogo
@chaco1466
@chaco1466 7 күн бұрын
Yaani bado sija Helewa wakina nani wako sahihi
@user-hv4px1dh4l
@user-hv4px1dh4l 7 күн бұрын
Waislam na dini yenu woote ni washirikina ,hamna lolote😮😮😮😮😮
@saidnaggy5209
@saidnaggy5209 6 күн бұрын
Usitukane tu sikiliza elimu iliotolewa hapo.kwa kweli waislamu ni wasomi sana na wako na elimu kubwa sana..ambazo wewe mwenyewe niko na imani hapo ulipo unashangaa
@saidnaggy5209
@saidnaggy5209 6 күн бұрын
Nyinyi hamna hata wanachuoni ndio maana hamuelewi mambo mengi munadanganywa na wazungu ambao hao wazungu wenyewe wanatumia qur'an kufanyia tafiti zao
@vijasa1124
@vijasa1124 5 күн бұрын
@@user-hv4px1dh4l Unamaana tukiwa mahakamani ushahidi tayari unao
@mohagurey2214
@mohagurey2214 6 күн бұрын
Huyu shehe anaongea kama mawahabi
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 4 күн бұрын
@@mohagurey2214 kumbe mawahabi sio waislamu kumbeee, ndo umenifundisha leo
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 күн бұрын
@@isihakaabdul1134 kweli sio waislamu
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA
11:39
USTADHI MAZINGE HASHINDWA KUJIBU SWALI LA WASABATO
12:32
Segerea Sda Church
Рет қаралды 25 М.