Umetoa ufafanuzi mzuri big up Mimi binafsi nimekuelea. niutaratibu mzuri wa kupiga kura kumbe wajumbe wanaopiga kura wanaelewe. Hivyo wajumbe wapiga kura msituangushe.
@margarethpolepole743811 сағат бұрын
Mbowe must go
@أبوجعفرالسلفي-ف7ك19 сағат бұрын
Hongera kwakujibu maswali vizuri
@SamuPetro19 сағат бұрын
Hapa ni mwendo wa lisu tu
@Leodimk-n5c20 сағат бұрын
Mbowe asigombane na Lissu kama vipi agombane na sisi wananchi
@salehechedego15919 сағат бұрын
,😅,,😅,,e,,, SC C, 😅to 😅z😅, 😅,😅x*ccc,c, you '*8"😅😅,pjh,
@FranceKomba-sn3ui17 сағат бұрын
Kaka unaongea kwa hoja ,,hongera sana unaeleweka mnoo ,,team lissu wanaongea hoja ila mbowe ni kelele tu wanapiga .
@JfourHumbi17 сағат бұрын
Mbowe mast goo out
@mikidadmhando250416 сағат бұрын
Jengeni chadema na kamwe Msikibomoe
@AllyMandunda-tj9jc20 сағат бұрын
Yaani ninyi watu wa mitandao mnatuvuruga sana, tumuombe Mungu tuvuke salama
@giftkalenge41817 сағат бұрын
kweli CDM Wana akili huku mikoani Sam wanaongea waziwazi kuwa mboe na wakwao lazima ashinde kazeni Buti Licyu ashinde vinginevyo Hali kwa jamii itakuwa mbaya kiuchumi maana gharama ya kushinda mboe tutalipa wananchi
@JemissNgaaka-t8l16 сағат бұрын
Kwann mboyye akataka kugombea shoshotee aaaaayi ataka kuhama shaka Ashe kugombea tena shadema tunaamini kwamba lissu atakuwa tuwwwu binadamu mboyyye akaye
@majaliwakulanga380612 сағат бұрын
Apitishwe lisu
@SilveryMasalu20 сағат бұрын
Lyenda super 100%
@SilveryMasalu20 сағат бұрын
Lyenda 100%
@boneventuremweya367315 сағат бұрын
Lissu anatosha kila nyanja
@JustusNteghay16 сағат бұрын
Mbowe aondoke.Hana uwezo wa kukipeleka chama zaidi ya hapo.Kitakuwa stationary.Lissu hana uwezo wa kuongoza.Heche anaweza.
@BakaryZahoro11 сағат бұрын
Mbowe hafai
@hamadhamud-n4j20 сағат бұрын
Kula bado.lakini mnayoa matokeo.subiri trhe21
@أبوجعفرالسلفي-ف7ك19 сағат бұрын
Tena walimuita wao
@GreyMbogela19 сағат бұрын
Kama haupo kweny mfumo wa utekaji unapataje taarif
@YohanaMwakaje19 сағат бұрын
Mbowe miaka 20 inakutosha mwachie Lisu ndo demokras Sasa ccm Wana tuckeka kuwa je tikichukua nchi si mbowe ata kuwa dikteta mbowe usi tugawe sepa mjinga wwe.
@jetymagereja405818 сағат бұрын
Wajumbe wajumbe wajumbe nimewaita mara3
@adelinelyaruu303616 сағат бұрын
Naomba wawe na busara
@WilbertChambilo-yl1kc16 сағат бұрын
Fatilieni uchaguzi wa marekani, la sivyo kitawalamba sana aise na hamtaamini. Na Ngoma ikivuma sana mwishoni hupasuka.
@SmithJacob-f2r19 сағат бұрын
Kushughurika how kwan ni lazima kila mtu amuunge yeye mkono jinga kweli
@GreyMbogela19 сағат бұрын
Tusaidie mmeokoaje utekaji wakt hajui mpango wa mtu anacho waza moyoni au plan ya mtu
@FrankKwanama-lo6fj16 сағат бұрын
Mbowe acha kujimilikisha chama wapo wengi wenye uwezo wa kuongoza!
@yustogikanka562116 сағат бұрын
Mbowe ameng'ang'ania aingie kwenye uchaguzi ili akianguka na baadaye chama kikawa na matatizo atakuwa na jibu rahisi kuwa Hana kosa , ni wanachadema waliomtoa katika u m/kiti .
@JemissNgaaka-t8l16 сағат бұрын
kwani lissu amefanya nini jani asheni apite
@MohamedIbrahim-bn1gz19 сағат бұрын
Afadhali mumpate huyu lisu ili akutokomezeni kabisa msionekane
@NungulaRais17 сағат бұрын
Hii
@GreyMbogela19 сағат бұрын
Unaposema umeokoa watu kutekwa unajuaje kwamb leo wanatak kuniteka mimi au kesho watAmteka mwandishi au mtu mwingn mnajuaje had unasema mmenuru utekaji
@petsmore995517 сағат бұрын
Uchochezi tu huo. Tundulisu hafai kwa sasa. Kwanza ni mgonjwa, pili hana lolote la kufanya zaidi ya mbowe. Kama ameshindwa kumfikisha makonda mahakamani licha ya ushahidi alionao, atafanya nini kuilazimisha serikali hii ya kidikiteta? Pili ni mropokaji anasahau kuwa waandishi ni machawa, wakimchokoza tu anaropoka hata ya ndani ya chama bila kujua wanamwinjoi!